TUMEIPATA SAUTI YA MSIGWA SIKILIZA ALICHOONGEA ''MIMI NI MTU HURU/SIJAENDA CCM KWAAJILII.....

  Рет қаралды 25,132

JAMBO TV

JAMBO TV

6 күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 169
@emlongetcha88
@emlongetcha88 4 күн бұрын
KILA MTU ANAMSEMA MAGUFULI... Laana ya kumsema vibaya marehemu iwe Juu yako daima.
@williamshinini7896
@williamshinini7896 3 күн бұрын
Nailiza tu kwa nia njema. Huyu huwa anajiita Mchungaji, ni Mchungaji wa ng'ombe au Mbuzi? 😂😂😂😂
@reginas1832
@reginas1832 2 күн бұрын
Mbuzi na ngombe
@AbrahamMjema-di1li
@AbrahamMjema-di1li 2 күн бұрын
Wewe sio kiongozi bora
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 4 күн бұрын
Mtangazaji upo vzr kwa kumhoji
@aliebrahim9423
@aliebrahim9423 18 сағат бұрын
Hongera sana mtangazaji
@WaziriMaftah
@WaziriMaftah 4 күн бұрын
Msigwa upo vizuri
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 4 күн бұрын
Njaa za mfukoni zimehamia kichwani na tumboni! Very good!!???
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 4 күн бұрын
😂😂
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Күн бұрын
Msigwa upo Sawa achana nao hao mashogaaaaa CCM ndo chama bora
@nikundiweamosi5087
@nikundiweamosi5087 4 күн бұрын
Unasingizia magu hawex kujibu sasa
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 2 күн бұрын
Ww hiyo ni njaa tu inakusumbua ungekuwa mtu wa maana ungebaki nashughuli zako tu unaenda kujiunga na watu ambao wanatuhujumu tena
@RwechungulaBegumisa
@RwechungulaBegumisa 4 күн бұрын
Sud upo vizuri sana umemuhoji mpumbavu aisee
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 3 күн бұрын
Acha ujinga Wewe chama Kiko imala nakitakuwa imala natutakuimala uliye Potenza dila niwewe msigwa njaa zinakusumbua kwenda tuu acha kujibalaguza
@josephatmbilinyi8947
@josephatmbilinyi8947 3 күн бұрын
msigwa umetufanyia vibaya sana,
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 3 күн бұрын
Hata Kingunge alihama Lowasa Sumaye Mwenyekiti Shinyanga ana haki
@user-wz3ne2kc3o
@user-wz3ne2kc3o 3 күн бұрын
Umeuza haki yako kwa mlo (tumbo)
@oam14l
@oam14l 3 күн бұрын
Huyu hana msimamo wowote!
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 3 күн бұрын
😂😂😂Ni aibu kwa nchi
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o 4 күн бұрын
Umeshindwa kanda ya nyasa unatafuta cheo ccm chenzi sana unapenda cheo
@emmanuelernest3596
@emmanuelernest3596 3 күн бұрын
Mpumbavu tu huyo mzee lakin pia hata chama changu pia sijui wanawazaga nini wakati mwingine...huyu mzee aliyekosa hekima kwanza basi tuendelee
@reginas1832
@reginas1832 2 күн бұрын
Jamaa alikuwa kwenye payroll.
@robertnkovuma7488
@robertnkovuma7488 3 күн бұрын
Aisee nimegundua wanadamu wanabadlika kumbe asiyebadilika ni mungu pekee inasikitisha sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 күн бұрын
Chagadema ni umbea na uongo mtupu Sera hakuna Zaidi ya lawama ,malalamishi,ubinafsi,uchonganishi, ubaguzi na usenge 😢😢
@giftkalenge418
@giftkalenge418 4 күн бұрын
kiukweli simpendi msigwa alivyofanya Bure kabisa
@abdalamfinanga6434
@abdalamfinanga6434 4 күн бұрын
Huyo ni mtumishi wa mungu alichokifanya anajua mungu na yeye ila naamini.mungu hazihakiwi
@waweruwaweru3303
@waweruwaweru3303 4 күн бұрын
Mungu hapendi basaliti na wanafiki.
@AntonyKawage
@AntonyKawage 4 күн бұрын
Aisee umetufundishs,pakubwa sana kwamba ww ni mnafiki unayeonesha ni kiasi gani viongozi wa kiafrika ni wachumia tumbo
@Globalpeace123
@Globalpeace123 4 күн бұрын
Msigwa Kwa kweli ametia aibu sana
@user-rj2kt5qg5y
@user-rj2kt5qg5y 2 күн бұрын
Njoo iringa uongee na wezao CHADEMA sisi ccm hatukutaki
@user-gy5gu1mn4x
@user-gy5gu1mn4x 4 күн бұрын
Tumbo tumbo njaa 😂😂😂
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 4 күн бұрын
CCM msifurahi sana mawazo yenu sio ya Mungu huyo sio wenu Mungu atamrudisha alikotoka ana kazi nae huko
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 2 күн бұрын
Kama mtu anahama hama chama Siyo mtu wa kuaminika sana tengenezeni wanachama wetu hawa ni watu Tamara tu hate ccm kuna prinspo
@davidsamson8204
@davidsamson8204 4 күн бұрын
Wewe ni msaliti tuu hauna jipya ukiona baba anakimbia nyumba yake na kukimbilia jilani huyo hafai hata kidogo hata huko hufai maana unajenga tumbo lako tu
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 4 күн бұрын
Huyu Mtangazaji ana sauti kma Tido Mhando ni yeye?
@kibwetere1418
@kibwetere1418 4 күн бұрын
Sudi mnete
@NicodemBarantanda-ud7qy
@NicodemBarantanda-ud7qy 3 күн бұрын
Jamani naomba mnisaidie msigwa anatambulika mwanzoni kwa cheo Cha utumishi wa Mungu ni kweli aliwahi kumtumikia Mungu au aliwahi kukuwa mchungaji wa kondeni TU.Naomba kujua tu maana nilimwamini Sana.
@isacklaizer6776
@isacklaizer6776 4 күн бұрын
Je bado utaendelea kudai katiba mpya, pamoja na tume huru ya uchaguzi? 😅😅😅
@emmanuelernest3596
@emmanuelernest3596 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@reginas1832
@reginas1832 2 күн бұрын
Subuti
@neemafrancis3968
@neemafrancis3968 Күн бұрын
Jamani naota au!
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 2 күн бұрын
hili jamaa pumbavuu waheedi,, hata hajitambui anataka nini - mbabaishaji tu na njaa sana..
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 2 күн бұрын
Chadema wote ni wasaliti musiwaamini hawa wanafiki wahuni walavi wa walaku wapenda vyeo
@albertkamala6843
@albertkamala6843 3 күн бұрын
>Mahojiano yanakuweka mahali pagumu sana Mch. Msigwa! >Uhuru ni jambo moja lkn CHADEMA kupoteza misingi ni jambo lingine kabisa wala hakusafishi misingi ya CCM uliyoipinga miaka yote. >Mshituko mkubwa wa wananchi wengi ni kielelezo tosha cha kukosa msimamo na kanuni! >Kujenga chama na nchi ktk muundo na mfumo uliopo, kabla ya kupatikana Katiba Mpya ni mtihani na kutarajia miujiza!
@GodMziray
@GodMziray 3 күн бұрын
Sema upumbavu yote .achana na jina la mzee wetu wew .bado tunae mioyon.Mag oyeeeee
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl 4 күн бұрын
Ccm Kuna watoto wao usichukue vyeo vyao. Hah hah hah! Ok
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 күн бұрын
Chagadema baki na Lissu chizi wenu hawana Sera yoyote
@idatonymassawe
@idatonymassawe Күн бұрын
Njaa tuuu ya hela na cheo hamna kitu kingine.
@AbdulOthman-gy7nu
@AbdulOthman-gy7nu 3 күн бұрын
Msigwa Kuma tuu utatuambia nn wewe umejalia masilahi yako sio ya kukomboa nchi njaa tuu hiyo
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 3 күн бұрын
Huyu ni mnafiki na mtu dhaifu sana. Anajaribu kuficha upumbavu wake na madhaifu yake kwa kumsingizia Magufuli. Magufuli gani aliyemwahidi pesa? Anataka kutudanganya Samia hajamwahidi cheo? PUMBAVU KABISA😡😡😡
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Күн бұрын
Hakuna cha njaa wala usaliti Msigwa katumia demokasia yake sasa lawama za nini au kwavile kahamia CCM ndo mnakerekwa poleni sana chadema 🤣🤣🤣🤣
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Күн бұрын
Inaonekana hata siasa kwako ni ziro sana,Msigwa ni wazi alikuwa anatumika tangu kwa Mzee Magufuli alikuwa anakitafuna chama cha Chadema pole pole na hao Chadema walikuwa wanampeleleza pole pole ndiyo maana katika uongozi wa Kanda waliamua kumkata yaani amepigwa na Sugu,kitu kingine sio siku nyingi ameukosa Uongozi mara katua CCM,huoni kama alikuwa anatumika zamani?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Күн бұрын
@@RamadhaniLukambuzi We ndo hujui siasa ndo maana ukachagua chama cha wachaga Msigwa tunaye imewakera sana Msigwa kujiunga na CCM angenda chama kingine wala msinge sema poleni 🤣🤣🤣
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Күн бұрын
@@halimamasai2234 Kwenda CCM sio shida kwa sababu ni haki yake ya kikatiba lakini ameenda huko kwa muda gani?Kwahiyo lengo lake ulikuwa ni uongozi sio?Je kuwa Chadema au CCM ni lazima uwe kiongozi mkubwa?huwezi kuwa mwanachama wa kawaida kama mimi hapa?Hata huko alikoenda anadhani anaweza kuwa katika nafasi ya Mama Samia kama alivyomjaribu Mbowe?Kauli Mbiu za Chadema na pamoja na matakwa ya wananchi ya kuishinikisha CCM na Viongozi wake wafanye kwa Wanachi yamefanyika?Ili tuseme labda ameenda huko kwa sababu Chama tawala kimekizi haja za Msingi za Watanzania?Hoja za Chadema siku zote ni hizi 1.KATIBA MPYA;imepatikana?2.TUME HURU YA UCHAGUZI;imepatikana?3.KODI ZINAZOTOZWA;haki imepatikana kwa walipa kodi?4.KODI ZA WATANZANIA WANAZOLIPA;zinatumika kwa njia iliyonyooka?Kama hizi hoja zimefanyiwa kazi basi anayo haki ya kurudi huko!
@mashakakwembe7482
@mashakakwembe7482 3 күн бұрын
We umeshatuzalilisha wanyalu pita kule huna jipy
@AishaNdinadyo
@AishaNdinadyo 4 күн бұрын
Tuje nyumbani kwako na picha zako za uchafu wako tuonyeshe kwenye vyombo vya habari hata cku nne kabla ujajiunga ccm ulikuwa ipogoro na kimada chako vp tumwage na ss ugali
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Күн бұрын
We fala kwanini uto hizo picha sasa kwa vile kahama ndo inakumaa na bado mtaumia sana Msigwa yupo sawa cha cha siasa si baba la mama We matako nini CCM oyeee Msigwa oyeeee
@MbegaMwangasha
@MbegaMwangasha 3 күн бұрын
Msenge tu ww
@WilliamMandwanga
@WilliamMandwanga 23 сағат бұрын
Msngwa umeruka mkojo ukaenda kukanyaga mavi pole
@TATUMSUMSA
@TATUMSUMSA Күн бұрын
Miyeyusho msingwa umejichosha umeonyesha hila
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 3 күн бұрын
Kwani vipande vinaonyeshwa wazi wazi?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 күн бұрын
Msigwa achana na chama cha wahuni chagadema 😢
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 2 күн бұрын
Kuna jambo MUNGU anafanya utashangaa
@user-rj2kt5qg5y
@user-rj2kt5qg5y 2 күн бұрын
Kanisa la huyu bwana liko wapi
@TumtukuzeMbise
@TumtukuzeMbise 4 күн бұрын
Chizi fresh
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 4 күн бұрын
Tafadhali sanaa..Tuachie JPM.Alale kwa.usalama.Amefanya mambo makubwa Sana'a ktk nchi hii.huo.Uhuru mlionyimwa kwa.sababu mlikuwa mnamkwamishwa ktk kujenga nchi.kwa kuhama hujakosea.Hata Zito alihama.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 күн бұрын
Mjinga mmoja ww
@shinipapaya846
@shinipapaya846 4 күн бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzmjinga na choko nani bora? 🤣🤣🤣
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 күн бұрын
@@MathewNathan-yb2bz Naamini.ujumbe.umefika kisawasawa
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 күн бұрын
MBONA CHADEMA NI WAHUNI SASA WACHA WAMTUMIE TUNDU AKIJA KUSHTUKA NDUKI
@user-em9vh8wr5c
@user-em9vh8wr5c 3 күн бұрын
kwanini iwe baada ya kushindwa uchaguzi
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc 3 күн бұрын
Inauma sana basitu
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc 3 күн бұрын
Inauma sana kama
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 2 күн бұрын
Maswali ya mtangazaji yote yamekaa vizuri ila yamejibiwa kiubabaishaji kwani aliyeulizwa Hana jipya zaidi ya kua mpiga porojo km huko alikoenda. Watanzania umetuangusha mno lkn kubwa umejiangusha wewe mwenyewe na history itakuhukumu .
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 күн бұрын
Huna safariii wewe yeyote anae kimbiaa mapambano hua hanasafari anapotea kamaa linavopotea vumbii tu
@Fundi12345
@Fundi12345 3 күн бұрын
Hixho chama ukifikingazi ya juu ndo utajuwa kuwa kumbobcham cha mtu moj hivihivi siyo rais
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 11 сағат бұрын
Wewe unatama ya madaraka wakwagarie kwa macho mawiri
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 күн бұрын
Kama JPM alikuofa pesa na ubunge WA CCM sasa unawezaje kukwepa usaliti huu !?
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 3 күн бұрын
Welcome msigwa kama naona mkutano utakavokuwa mzuri iringa
@ottomap-u2i
@ottomap-u2i 3 күн бұрын
msigwa atakuwa mwanachama wa kawaida kama wengine. yeye kama anatarajia atapata uongozi basi asahau maana hata ccm wapo watu wenye uwezo kuliko msigwa.
@benjaminmpili9485
@benjaminmpili9485 13 сағат бұрын
Hakika JK Nyerere alisema namnukuu:Wanasiasa wanaohamahama ni malayamalaya wa kisiasa Nakumbuka sana kweli Wanasiasa wahamao vyama ni Malaya? KAMA alivyosema MWALIMU
@user-ub8fc2gy3y
@user-ub8fc2gy3y 3 күн бұрын
Njaa uyòoo
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 3 күн бұрын
Acha mbwembwe msigwa sema ukweli wako
@ntegrity277
@ntegrity277 Күн бұрын
Malaya hana aibu huyu ni mpenda madaraka miaka 20 ndani ya chadema ni uasi
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 3 күн бұрын
Mchungaji hawezi kuwa mnafiki na muongo , lakini kwasasa watu washakujuwa ni mnafiki na muongo ,,YAANI UNATWAMBIA YAKWAMBA YALE YOTE ULIYOKUWA UNAYASEMA DHIDI YA WAOVU CCM YALIKUWA NI UONGO NA UNAYOYASEMA SASA NI YA UKWELI?
@songombingo108
@songombingo108 3 күн бұрын
Njaa mbaya sana.
@shanjemanumba6325
@shanjemanumba6325 3 күн бұрын
Nakiomba chama chetu pendwa chadema tujipange Kila anapotoka Msigwa na sisi tunaenda kujibu hoja mpaka akae kimya
@HappyIlomo-z3h
@HappyIlomo-z3h 3 күн бұрын
😢😢
@tedlema8105
@tedlema8105 3 күн бұрын
Kumbe kweli uchungaji wako ni feki,biblia inasema ndiyo Yako iwe ndiyo na hapana iwe hapana,Sasa inakuwaje ndiyo Yako ni hapana? Sisi tunajua unachokikataa ndicho ukweli wenyewe
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 3 күн бұрын
Ahhaaaaaa kumbe jamaaa anapenda vyeo
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 күн бұрын
Ww msigwa ulisema ukienda ccm utapewa cheo na vitu vingi tu
@msabahaali758
@msabahaali758 2 күн бұрын
kiukweli umekosa la kusema wewe mpenda vyeo
@kingj9606
@kingj9606 4 күн бұрын
Wanasemaga mbwa hawezi kula matapishi yake, ila leo ndo imekuwa ukweli. Yaani Mchungaji mzima na yale yote aliyosema kwa ccm leo hii anasema anaenda kukijenga chama?. Kwa hiyo chama kiendelee kuteka watu, kupoteza au na kuiba, n.k. 😂. Kwani huwezi kujenga nchi bila kuwa na chama?. Mbona watanzania wengi wanaijenga nchi na hawana hata chama. Hao wauza karanga kariakoo wanaolipa kodi TRA hawaijengi tanzania?. Au kwani Bakhresa ushawahi msikia anasema anasubiri mwenyekiti wa ccm amwambie nini afanye kujenga tanzania?. 😂.
@AshaMwamba
@AshaMwamba 4 күн бұрын
Apa hutosema chochote mmm umeyakanyaga bana
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 3 күн бұрын
Nyaa haina adabu
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 4 күн бұрын
Wewe acha kudanganya watu umehongwa na kunyimwa uenyekiti wa kanda
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr 4 күн бұрын
Duuuh Siasa hizi😂😂😂
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl 4 күн бұрын
Hah hah hah! JE usipopata hiyo nafasi utafanyaje ndg yangu ? Ok
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 3 күн бұрын
Acha ujinga kabisa msigwa sema unanjaa tuu Wewe usitufanya watt ukajinge nachi gani uicnjenge Wewe wanaojenga ichi nimashujaaa sokama wewe
@user-rj2kt5qg5y
@user-rj2kt5qg5y 2 күн бұрын
Hajielewi huyu
@ntegrity277
@ntegrity277 Күн бұрын
UNGEKISHAURI HICHO CHAMA WEWE NI MJINGA TU NA MALAYA
@ntegrity277
@ntegrity277 Күн бұрын
Leo unatukana chadema useless msigwa
@ellymartin9343
@ellymartin9343 4 күн бұрын
Kwa kweli mtu hakosi hoja za kuongea, Aibu sana kwa mtu kama yeye, Hongera Monetę kwa maswari ya msingi.
@daudimchileg307
@daudimchileg307 4 күн бұрын
Mshenzi tuu, kumbe unanjaa hivyo
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv 3 күн бұрын
Mtu huru anunuliwi
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 күн бұрын
Siasa bongo njaa nying
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 күн бұрын
Huasein hata kama ungekuwa ni wewe hutaki kupata ridhiki mantashalla nenda zako
@henryndosi2002
@henryndosi2002 4 күн бұрын
Mzigwa akili IPO kisogoni tapeli muongo mkubwa sio mchungaji wa Nini nitapeli Fulani hivi,
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 4 күн бұрын
Bora umeondoka maana ungeng'ang'ania ingekula kwako
@ntegrity277
@ntegrity277 Күн бұрын
Jakaya alishindwa na mkapa akatulia baadaye akawa rais msigwa ni mpenda madaraka alikosa sadaka
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 3 күн бұрын
Yuda😂
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 күн бұрын
Hakuna sababu za msingi alizozieleza
@shinipapaya846
@shinipapaya846 4 күн бұрын
Lakini uongo zambi jamaa kijani kimemtoa kinoma 🤣🤣🤣
@user-ex9gt9np8i
@user-ex9gt9np8i 3 күн бұрын
Wewe una maana mchungaji kinyonga
@MichaleMwakyambiki-pq4co
@MichaleMwakyambiki-pq4co 4 күн бұрын
Ni bola umeondoka, ugetuvulugia chama
@FilipoJastin
@FilipoJastin 3 күн бұрын
Yuda
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 4 күн бұрын
Ushahidi upo wa kuhonga watu aliotumia
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 23 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 40 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 18 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 38 МЛН
#LIVE CHADEMA WANAUNGULUMA KUHUSU MUUNGANO NA MPINA KUFUKUZWA BUNGENI
1:46:32
Delhi Airport roof collapse: Negligence? | Faye D'Souza
10:20
Faye D'Souza
Рет қаралды 186 М.
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 23 МЛН