No video

#MadeinTanzania

  Рет қаралды 10,095

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Wiki hii utaweza kujionea kiwanda ambacho kinatengeneza pipe za size zote, katika teknolojia ya High-density polyethylene (HDPE) ambayo inapatikana Tanzania tu kwa upande wa East Africa. Huu ni mbadala tosha katika kutengeneza mabomba makubwa imara yenye teknolojia ya kisasa, ambayo hutumika katika kutengeneza chemba za maji safi na maji taka badala ya zege ambayo inavunjika.
Location: Plasco Limited Tanzania
Plot no 112, Mbozi road, Chang’ombe
Dar es Salaam
+255-22-2199820 ,
+255 717 752 726,
+255 686 350 543
www.plasco.co.tz
Usikose kufuatilia Made in Tz Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku:
Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio).
SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Пікірлер: 25
@mwantebeexpertsurvive672
@mwantebeexpertsurvive672 4 жыл бұрын
Kaz nzur
@ayileenenga9670
@ayileenenga9670 4 жыл бұрын
you guys are doing great. i didn't know anything before i stubble on your channel. i am glad you are taking yourself apart from the rest of the African countries by bringing valuable aspects of economy and development needed in your region. Much love and appreciation from GABON
@mudykajembe6677
@mudykajembe6677 4 жыл бұрын
Hi channel ni nzuri sana imekaa kizalendo zaidi kuna vitu vingi sana tumevifahamu kupita hapa pendekezo langu fanyeni utaratibu wa kuipromote nauhakika wananchi watajifunza vingi sanaa
@xtreme-media
@xtreme-media 4 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa maoni yako na tutayafanyia kazi.
@abrahammnzava841
@abrahammnzava841 4 жыл бұрын
Tanzania is on the move
@ramakwio6480
@ramakwio6480 4 жыл бұрын
Kupitia hii Chanel nimejua mengi ambayo Tz tunafanya especially in industrial sector, thanks bro Sam
@brendameteyer6377
@brendameteyer6377 4 жыл бұрын
Very nice, by the time I finish these video's I've learned some swahilli.
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Tanzania ya viwanda JPM 2020
@mfaumekindole2907
@mfaumekindole2907 4 жыл бұрын
Proudly 🇹🇿✊
@godswillbosco7383
@godswillbosco7383 4 жыл бұрын
This is inspiring a lot👏
@wazirimbwambo540
@wazirimbwambo540 4 жыл бұрын
Nice
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 3 жыл бұрын
Hizi ndivyo tunataka mgombea aongee kuusu viwanda kutupunguzia gharama ya vitu
@edsoniminani7061
@edsoniminani7061 4 жыл бұрын
Mtangazaji hivi vipindi Ni Vizuri saaanaaa
@esthernsami7732
@esthernsami7732 3 жыл бұрын
Je pamoja kuwa made in Tz, mnaangala wafanya kazi wa kawaida wanapata mshahara kiasi gani.? Usalama wa hawa wafanya kazi upo? Ni vema sana kujali maisha ya watanzania.
@AngelusMgaya
@AngelusMgaya Жыл бұрын
Nahitaji bomba 1.5" lolu 30 na 2" lolu 10 nazipataje nipo njombe
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 4 жыл бұрын
Kiwanda kimefunguliwa mwaka gani,media zisimamie ukweli......samaki....
@richardmlenge4083
@richardmlenge4083 4 жыл бұрын
kiwanda kimefunguliwa 1993, lakini product ya weholite ni mpya kabisa tanzania haina hata miaka miwili
@msingida33
@msingida33 4 жыл бұрын
kwani viwango vya kimataifa na chandani kiwe tofauti kwani isiwe kiwango Sawa nandani??
@msingida33
@msingida33 4 жыл бұрын
hichi kiwanda kiko wapi .jen kinatengeneza pallet za tofali?? naomaba mawasiliano kwa e-mail : Mclaughlin_80@hotmail.com
@hallin9561
@hallin9561 4 жыл бұрын
Izi habari za viwanda mbona zinachipuka sAna kipindi iki mbona miAka yote mlivunga kimya,, au ndio KAMPENI IZO
@frankmare1708
@frankmare1708 4 жыл бұрын
Akili fupi bhana
@rusakanyohenry6932
@rusakanyohenry6932 4 жыл бұрын
Yaaan mtu mzima lkn una fikra fupi
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 4 жыл бұрын
#Mawazo_mgando
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Akili huna... kwani ikiwa kampeni unaumia nn?? Unafikiri kila mtanzania ana access KZfaq?
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
Sasa utaki
#MadeinTanzania Unga Maalum Unaoweza Kutengeneza Uji kwa Muda Mfupi
31:25
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 13 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4,6 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 2,9 МЛН
Lawrence Maiyaki - Assistant Plant Manager, Better Gas Filling Plant
1:53
MOB Integrated Services Ltd
Рет қаралды 6
Waste Plastic Recycling Machine | How to recycle PP, PE into plastic pellets and granules?
1:29
Plastic Recycle Solutions Supplier
Рет қаралды 114 М.
Kamal steel LTD Tanzania
1:18
Jeetu Palsra
Рет қаралды 1 М.
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 13 МЛН