No video

#MadeinTanzania

  Рет қаралды 8,597

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@patrickntobi6737
@patrickntobi6737 3 жыл бұрын
Hongereni Made in Tanzania kwa kutangaza uwekezaji na uzalishaji wandani ,kweli Tunaweza
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
Allah ibariki Tanzania yetu💚💚💙💙
@benmhamila2780
@benmhamila2780 3 жыл бұрын
I hope Mh. Bashe and Ngasungwa have been watching this.
@shabanisaid7351
@shabanisaid7351 3 жыл бұрын
asante mungu kwaupendo na tanzania yetu mungu tuzidishie maarfa tufaidi neema zaichi yet
@athumannchullah2086
@athumannchullah2086 3 жыл бұрын
Kazi nzuri mno katika hichi kiwanda. Nashukuru Dr Ally Khan alinipa nafasi ya kujifunza katika kiwanda chake nilipokutana nae katika uber nikiwa dereva. Nilijifunza mengi mno hapo.
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Salaam za pongezi kutoka Mwanza.🇹🇿🛫🌍.maarifa + taarifa= Ufahamu
@TANZANIAFILMMAKINGTV
@TANZANIAFILMMAKINGTV 3 жыл бұрын
Love this time of content I ll contact you soon we can discuss opportunities in you channel all the way from USA “ hapa kazi tuu””
@hyprotz2170
@hyprotz2170 3 жыл бұрын
Safi content nzuri sana kwenye hii channel tumekosa hizi contents kwa muda mrefu sana tulichelewa lakini good job itangaze tanzania vyema
@xtreme-media
@xtreme-media 3 жыл бұрын
Asante sana Hypro Tz, endelea kufuatilia channel yetu kuona mengi mazuri na fursa zilizopo Tanzania.
@mimimoop2617
@mimimoop2617 3 жыл бұрын
Kweli Tanzania tunaweza
@soabkhan6139
@soabkhan6139 3 жыл бұрын
I miss this place a lot and you too. Mr. Dr. Ali khan somani
@augustinomwanantala3989
@augustinomwanantala3989 3 жыл бұрын
Safii sanaa kaz nzurii SamSasali
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Safi sana
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Tanzania tuna kitu hatutakiwi kuwa maskini kabisa
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 жыл бұрын
Lkn hazitabgazwi km zinatoka Tanzania ikajulikana mazao kutoka tanzania zote zinaandikwa made asia
@charlesjephury4837
@charlesjephury4837 2 жыл бұрын
The investor should be produce more Tann in order to contribute the Tanzania To be amoung countries quality material s
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 жыл бұрын
Hakuna HT moja nafaka zinaandikwa made Tanzania zote Nchi ulotaja zinaandikwa kutoka Asia
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Kazi nzuri hongereni
@genxonlinetv2219
@genxonlinetv2219 3 жыл бұрын
Sasa ungeweka Link ya Kampuni na Information zingine za kuweza wafikia kupitia online
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 жыл бұрын
wengine wanabeza miundo mbinu na viwanda Tanzania. You can't achieve all these without a sound infrastructure!
@wilsonchombo6822
@wilsonchombo6822 3 жыл бұрын
Nipo Kibaigwa Dodoma Nina zao jamii ya kunde ambalo soko lake lipo Kenya tu Ninaomba tuwasiliane ili niwauzie nitapataje mawasiliano nao ? Na kiwanda kipo sehemu Gani? Call me 0715588633
@mustaphyassin9743
@mustaphyassin9743 3 жыл бұрын
Hilo zao lenye doko kenya ni ngwasha?
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 3 жыл бұрын
Mbona mbaazi haina bei Halafu kwa nini huulizi kazi zao wanayofanya,processing Wanafanya kazi za njee.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 жыл бұрын
Kwa nini watu kumi tu ambao ni permanent, halafu wengine unawaita casual laborers? Dr. you know what I am asking here. Hivyo hao casula laboreres hawana haki zozote zile, fringe benefits and etc.
@abbotazimio3870
@abbotazimio3870 3 жыл бұрын
Bwana Musiba ukitaka kujadili kuhusu Sekta ya viwanda Tanzania niko tayari tuwasiliane Kaka!
@kenethfanuel9195
@kenethfanuel9195 3 жыл бұрын
Wanaochukia hii ni wachawi.
@jacobmark5140
@jacobmark5140 3 жыл бұрын
Hatuwaelewi ni kunde au dengu
@JoinBA
@JoinBA 3 жыл бұрын
Jamii ya kunde yaani maharage, choroko, mbaazi, dengu, kunde zenyewe n.k
@abbotazimio3870
@abbotazimio3870 3 жыл бұрын
Tuambie ni nani anamiliki kiwanda na wakulima wa choroko,mbaazi,kunde,dengu,na mazao mengine wanahisa asilimia ngapi hapo, ujanjajanja wa kizamani acheni Dunia imebadilika!!!Taifa lazima lijitosheleze kwa chakula na mazao ya kilimo yakaajili watu viwandani!
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 жыл бұрын
Unauliza swali ambalo linaweza kujibika mara moja kwenda kwenye mtandao ukaona ni nani anamiliki hivi viwanda? Ulitaka viwanda vyote vimilikiwe na serikali ama ulitak serikali iwe na ubia? Ukilijibu swali hili utakuwa umejibu swali lako.
@wilsonchombo6822
@wilsonchombo6822 3 жыл бұрын
Nipo Kibaigwa Dodoma Nina zao jamii ya kunde ambalo soko lake lipo Kenya tu Ninaomba tuwasiliane ili niwauzie nitapataje mawasiliano nao ? Na kiwanda kipo sehemu Gani? Call me 0715588633
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 48 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 28 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Why Green Cardamom Is So Expensive | So Expensive
6:46
Business Insider
Рет қаралды 4,7 МЛН
JKLIVE | Lee Njiru: Ears of Power [Part 1]
35:23
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
#MadeinTanzania  Utengenezaji wa Vipodozi katika Kiwanda cha Tridea
21:01
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 48 МЛН