No video

Safari ya

  Рет қаралды 1,102

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Mwaka 2020 #MadeinTanzania imeweza kuweka nukta katika tasisi na viwanda mbalimbali vinavyochangia maisha ya mtu mmoja mmoja na pato la Taifa katika kutengeneza na kuboresha bidhaa za Kitanzania. Zipo changamoto na Fursa nyingi ambazo kwa kuzionyesha na kuwaunganisha wadau ni dalili njema katika kutafuta suluhisho la kudumu.
Tunawashukuru wadau wote ambao wameshiriki vyema katika safari ya #MadeinTanzania kwa mwaka 2020. Pia tunashukuru sana kwa wale wote waliotoa maoni, likes na ambao wame-subscribe account yetu.
Mwaka 2021 tutaendelea kuboresha safari ya #MadeinTanzania na bidhaa nyingi za Kitanzania zitapata kuonekana katika ubunifu, juhudi na umoja wa Watanzania wapambanaji.
Asante 2020!

Пікірлер: 4
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa uzalendo
@kenethfanuel9195
@kenethfanuel9195 3 жыл бұрын
Safii sana
@jpmugishapps
@jpmugishapps 3 жыл бұрын
This beautiful 😍
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm 2 жыл бұрын
mmepotelea wapi nyie watu mbona hamuweki news vids
#MadeinTanzania Unga Maalum Unaoweza Kutengeneza Uji kwa Muda Mfupi
31:25
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,1 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 191 МЛН
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 19 М.
#MadeinTanzania Jinsi ya Kutengeneza Viatu vya Ngozi
19:42
Xtreme Media
Рет қаралды 7 М.
Made IN Tanzania- Nyerere Day Special
20:33
Xtreme Media
Рет қаралды 2,9 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /28/ #love
45:53
BabaJoan
Рет қаралды 437 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН