MAGUFULI Alivyowaona LEMA, SUGU, MNYIKA, NYALANDU AKAWASALIMIA Mwanza...

  Рет қаралды 260,093

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MAGUFULI Alivyowaona LEMA, SUGU, MNYIKA, NYALANDU AKAWASALIMIA Mwanza...
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, amesalimiana na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani katika sherehe za miaka 58 ya uhuru akiwemo Lazaro Nyarandu, John Heche, Boniface Jacob, Sugu, pamoja na Godbless Lema katika uwanja wa CCM kirumba Jijini Mwanza
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
kzfaq.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
kzfaq.info?list...
GLOBAL RADIO TV:
kzfaq.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
kzfaq.info?li

Пікірлер: 95
@yassinkabingwa8915
@yassinkabingwa8915 4 жыл бұрын
CCM ni kioo cha Democracia nchini na katika bara la Africa. Mungu ibariki Tanzania pia mbariki Raisi wetu JPM daima
@hussainomar1849
@hussainomar1849 4 жыл бұрын
Ni Jambo jema kuwaachia huru BINAADAMU hususan walioingia gerezani bila ya hatia.
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Shukrani amri jeshi mkuu kwa kuwasamee wafungwa
@fidelslick2086
@fidelslick2086 3 жыл бұрын
Yaani Magufuli amepatana na Wahuni Face to face...Safi sana Bongo poa
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 4 жыл бұрын
Hii ndio Tanzania ya wote sasa hakika MUNGU ni mkuu sana.Maendeleo bila umoja na upendo hata ktk familia ni kasoro kubwa.Hongera baba Magufuri wewe ni baba wa wote na MUNGU akupe wepesi ktk kusimamia majukumu yako.
@abdallhaibrahim3816
@abdallhaibrahim3816 4 жыл бұрын
Mimi kilicho nifulahisha viongozi wote kufika bila jujali tofauti zao hakika mungu atuongoze tusije chukiana sababu ya vyama nawapa hongela viongozi wote kwa ujumla
@victormneney8236
@victormneney8236 4 жыл бұрын
Da Safi sana imejenga taswira nzuri sana kwa Taifa letu hasa wale wasiopenda Taifa letu wapo kimaslahi zaidi
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 4 жыл бұрын
Imaleta raha. Moyo unafurahia mno
@emanuelmrema3970
@emanuelmrema3970 4 жыл бұрын
Kama kuna aliemuona mwinyi akisimama kila SAA kuonyesha kuabudu agonge like
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
I just love this President, hata kuwasalimia tu wapinzani is a good gesture for the peace of the nation
@ntemikingi3531
@ntemikingi3531 4 жыл бұрын
Naam
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 4 жыл бұрын
Hongera sana raisi wetu
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 4 жыл бұрын
Mmemuons LEMA ANAVYOUTAFUTA MKONO WA MAGUFULI ILI MRADI AMSALIMIE HALAFU KESHO UTAMSIKIA ANAMPONDA
@magdalenaandrew5457
@magdalenaandrew5457 4 жыл бұрын
Mbona hivyo Ana utafuta una nin?
@deokessy4714
@deokessy4714 4 жыл бұрын
JPM utazidi kuwa juuuuuuu,like hapa Kama unaamini hivyo
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Wafungwa wa Arusha na Kilimanjaro una visa nao?
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Wafungwa wa Arusha na Kilimanjaro una visa nao?
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Wafungwa wa Arusha na Kilimanjaro una visa nao?
@edwardmagori6630
@edwardmagori6630 4 жыл бұрын
Safi sana Rais wetu... Nimekiona pale ulipo wasalim wale jamaa pale chini Na Rangi zao za kaki.. Haaaaaaa
@alvinbenito9115
@alvinbenito9115 4 жыл бұрын
Good to remember.
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 жыл бұрын
Nmefurahisaana kuona vngozi waupinzani wakiwa kitukimoja
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Asante mheshimiwa rais kwa kuwasamehe,wafungwa
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 жыл бұрын
Magufuli ana akili finyu sana. Unasamehe Wafungwa kwa upendeleo. Magereza kumejaa wagonjwa wa maradhi sugu na Wazee amemwachia nani wakuu wa Magereza.
@jimjam7687
@jimjam7687 4 жыл бұрын
Jambo la busara Sana.
@adrianondumbaro3933
@adrianondumbaro3933 4 жыл бұрын
Loyce Akim usilete wongo wako. Sio kila mtu alinyoosha mkono amsalimie ila baada ya raisi kumsalimia nyalandu alimsalimia pia yule mwanamke na alimpa mkono. Acha uzushi.
@josephmateru8892
@josephmateru8892 4 жыл бұрын
Mm Bnafsi Nampenda Cna Rais Wangu Magu Mwamba Wa Ziwa Victoria Mungu Hakuweke tu Umefanya Makubwa Ndani Ya Kipindi Kifupi Hongera Watanzania Wenzangu tuendelea Kumsaport Rais Wetu Nimungu Katupa
@fransicsamson106
@fransicsamson106 4 жыл бұрын
Joseph Materu mungu hajamuleta jpm acha ujinga mungu hayuko upande Wa dikiteta.
@josephmateru8892
@josephmateru8892 4 жыл бұрын
@@fransicsamson106 Cwa Kaka Mm Kweli Mjinga Ww Mwelevu Cna Coz Unataka Mm Nifate Mtazamo Wako Mm Kusema Jpm Kaletwa Na Mungu Nimtazamo Wangu Mjinga Na Mpumbavu Niyule Mwenye Kupinga Mtazamo Wa Mtu Mwingine Coz Mm C Ww Na Wa C Mm Nandio Maana Hata Levo Za Maisha 2potofauti 😂😂😂😂Haaaahaaahaa😂😂😂😂☝️☝️☝️
@omaryrjohn65
@omaryrjohn65 4 жыл бұрын
hiki ndicho tunachokihitaji babaaa ktk taifaletuuu i like it
@ntemikingi3531
@ntemikingi3531 4 жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kukutanisha viongozi wrote kwa ubora huu
@mchungajijesse4593
@mchungajijesse4593 4 жыл бұрын
Safi sana kusalimiana na wapinzani
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 4 жыл бұрын
Msamaha niufunguo... Raisi wetu Mungu akubarikisana
@user-nj1jd6zy8e
@user-nj1jd6zy8e 4 жыл бұрын
Mungu ibarik Tanzania, Mungu mbarik Rais wetu amiiin
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 4 жыл бұрын
Sungu nimemuona hapo Tanzania mungu aiyongoze tanzania amani
@yassinkabingwa8915
@yassinkabingwa8915 4 жыл бұрын
Pongezi kwenu kazi nzuri
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 4 жыл бұрын
Viva JPM
@professamuddy5407
@professamuddy5407 4 жыл бұрын
Mzee malichela wanasema tukitaka kuona maendeleo tuende dodoma kwani maendeleo yanastahiki dodoma pekee!! Au nchi ni dodoma tuu??
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Mm ntaenda nyumbani kwangu na eneo nililopo
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Utaelewa tu ni kwa nini babu tulia
@mikemotikas8145
@mikemotikas8145 4 жыл бұрын
Wewe ni profesor wa nini MALICHELA ni nini??
@roseberryhamoud6542
@roseberryhamoud6542 4 жыл бұрын
Which is which, 57 years or 58 years?!!
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Msiopenda nchi yetu Hasa wale wakoloni wanaotaka kutugawa mtateseka sanaaaa, kwa nini mtesekee, tuacheni tu, thank you Mr President JPM chief in commander.., vyama tupa hukooo, nchi kwanza.. , twenzetu wote...
@hebronkilimanjaro6724
@hebronkilimanjaro6724 4 жыл бұрын
Tanzania Taifa langu viongozi mbali mbali nawapongeza Sana! kwa kuwa Pamoja katika siku hii
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 4 жыл бұрын
YAPO MENGI YA KUIGA HAPO NA UMOJA NI NGUVU SANA...HONGERA JPM
@ntemikingi3531
@ntemikingi3531 4 жыл бұрын
Safi sana tuendeleeni kudumu kwenye UPENDO na UMOJA huu mzuri daima
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
Tanzania tusipokuwa na umoja, mshikamano, undugu, na amani Maadui watatufanya hakuna maana Tanzania inazo rasilimali ambazo hata zingine hatujazitumia. Tuwe makini sana na Siasa za chuki.
@roseberryhamoud6542
@roseberryhamoud6542 4 жыл бұрын
Bango linasomeka miaka 57 maandishi yanasema 58!
@robertjunior9916
@robertjunior9916 4 жыл бұрын
Naona haina haja ya uchaguzi mwaka 2020
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Kesho Kenya. Miaka 55 ya uhuru
@eriezarichardmbeya1233
@eriezarichardmbeya1233 4 жыл бұрын
Msukuma sijaewa alichozungumza wamemuelewa wasukuma lkn sio mbaya,,,,,,,
@luqmanalmas2166
@luqmanalmas2166 4 жыл бұрын
Nani kamuona yuke mdada anamuangalia rais vibaya au macho yangu
@fredpiter4657
@fredpiter4657 2 жыл бұрын
Uliku naupendo sana
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 4 жыл бұрын
mkiteuliwa mkafanye kaz sasa muache uchama...sisisote tunajenga nchi moja.
@professamuddy5407
@professamuddy5407 4 жыл бұрын
Kwani hawa wa uamsho katiba hairuhusu kuachiwa ?? Au hawaonekani??
@mapundaone9380
@mapundaone9380 4 жыл бұрын
Kwa ninavyofahamu Mimi kisheria kwa mujibu wa ibara ya 45 na viprngere vyake, kwamba mhe.raisi ana haki /nguvu ya kisheria kuwaachia wafungwa *waliopewa hukumu* au wiokwisha hukumiwa, Sasa tatizo ninaloliona Mimi ni kwamba mahakama haijaamua kuisikiliza hiyo kesi wala kutoa hukumu ,raisi hatakiwi kusamehe mahabusu kwakua atakua anaingilia muhimili wa mahakama kisheria, Kwahiyo kwa mtazamo wangu naona kama kuna ucheleweshwaji basi inawezekana ukawa upo mahakamani ,huo ndo ufahamu wangu Mimi kisheria
@mapundaone9380
@mapundaone9380 4 жыл бұрын
Labda kama kuna anayefahamu zaidi anaweza akafafanua kwa undani tukajifunza kitu na kuongeza uelewa
@massawejacob
@massawejacob 4 жыл бұрын
Sasa kipi tena tunataka ? Tuijenge Tanzania twendeni mbele
@ambokilesilwani4074
@ambokilesilwani4074 4 жыл бұрын
Baba umeeleweka no comment yako ni mapya kila iitwapo leo
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 4 жыл бұрын
Mtani upovzri
@shadiasalumu8503
@shadiasalumu8503 4 жыл бұрын
sasa wana adabu magu mwamba buana
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 4 жыл бұрын
Ukiangalia kwa makini zaidi utagundua kabisa my rais hana tatizo na wapinzani na hana ubaya nao kabisa,nadhani wapambe ndio vichonganishi sana,binafsi naomba rais aendelee kuongoza nchi hii,ila kuwepo na wanachama wengine kwenye kuongoza nchi,ana upendo sana na watu wote,Mungu ambariki sana mh rais na kumpa maisha marefu,.
@fransicsamson106
@fransicsamson106 4 жыл бұрын
richard tungaraza acha ushamba jpm akomee hii mitano inamtosha
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 4 жыл бұрын
@@fransicsamson106 hujaelewa kaka,kabla hujapanic na kuongea hovyo tafakari maneno yako,mtandaoni humu,jpm ataongoza kwa mujibu wa katiba na si vinginevyo
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 4 жыл бұрын
Mungu amekuchagua Raisi mwema
@mlawajafari5741
@mlawajafari5741 4 жыл бұрын
Mh magufuli wa pizani wamesha kuelewa chapa kaziiiiii
@hafidhali3020
@hafidhali3020 4 жыл бұрын
Wamesamehewa majambazi lakini mashehe wetu wasio na hatia wanasota kwa dhulma ,mungu amlani makufuli amin
@saimonmwansile6101
@saimonmwansile6101 4 жыл бұрын
Mpuuzi mmoja wewe!!
@saimonmwansile6101
@saimonmwansile6101 4 жыл бұрын
Alewatuma walete usumbufu nani,jiangalie wewe!
@loyceackim4296
@loyceackim4296 4 жыл бұрын
Wangapi wamemuona mwanamke aliyesimama na Nyarandu hakutaka kumsalimia Raisi
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 4 жыл бұрын
Kwa maradhi sugu,uzazi na uungaji mifupa karibu kituoni kwetu Chanika kwa Dadi jijini Dar-es-Salaam. 0716651640/0685074983/0742671603
@allyfutto8763
@allyfutto8763 4 жыл бұрын
Magufuli anaonyesha kutimilisha maadili ya watanzania na halwa wanyonge na pia hana ubaguzi dhidi ya wapinzani mungu wabariki watanzania wote wazidishe upendo baina ya wote kwaumoja AMIN
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
No one like you
@lucasjacob9733
@lucasjacob9733 4 жыл бұрын
Wasukuma wanapenda sifaa
@lauriansimon2566
@lauriansimon2566 4 жыл бұрын
Uzalendo jukwaani ofsini watekeni hao
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Ni mawazo yako
@ancomagutanzania7068
@ancomagutanzania7068 4 жыл бұрын
Na hilo ndio tatizo lako toka mtoto
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 4 жыл бұрын
Na hilo neno
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 4 жыл бұрын
Haoooo jamaaaa tuwavishe jezi zakijani ,tu wasitudanganye,
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 4 жыл бұрын
Bado ni kiwango cha chini kabisa kupeana mikono hakumaanishi kwamba nchi haina matatizo kauli ya raisi kama kweli anataka ukiona nchi ni huru basi tamko lake ni muhimu kwa matukio yaliyotokea ya hujuma kwa wapinzani.
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Wapinzani mtaisoma No pofu itawatoka sana
@aldoba2826
@aldoba2826 4 жыл бұрын
Mbowe ni zaidi ya wote hapo.hakuna wa kumfikia
@agripinamichael800
@agripinamichael800 4 жыл бұрын
Asante kwa kuwaachia huru watanzani wezentu
@jacobnassoro6009
@jacobnassoro6009 4 жыл бұрын
Umamacho ya akili
@ancomagutanzania7068
@ancomagutanzania7068 4 жыл бұрын
Uyo mbowe ni MUNGU AU MALAIKA eti ni zaidi Kama kweli ni zaidi aachie uwenyekiti alio kalia kwa myaka 15 na zaidi
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 4 жыл бұрын
Saana
@ancomagutanzania7068
@ancomagutanzania7068 4 жыл бұрын
Au chama chake na katiba nawafwasi wake kinamtaka awe mwenye kiti wa kudumu
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
No like you
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Shukrani amri jeshi mkuu kwa kuwasamee wafungwa
@hebronkilimanjaro6724
@hebronkilimanjaro6724 4 жыл бұрын
Tanzania Taifa langu viongozi mbali mbali nawapongeza Sana! kwa kuwa Pamoja katika siku hii
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 10 МЛН
BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU,AWAITA WABUNGE
6:30
Global TV Online
Рет қаралды 492 М.
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН