Mimi ni Isĺam ĺkn napenda sana mahubiri yako , mimi nathamini neno Imani ndio muongozo wetu ,viumbe🎉❤
@user-fx2qf7zg2e21 күн бұрын
Nikweli
@olphanyamweya3154Ай бұрын
Asantii sana MCHUNGAJI umenitia nguvu upande wa ibaada ,Niko Saudi Arabia mala mingi makosa kutomba Kwa masaa yangu eti ziko mahali patakatifu YESU nizaidie 🙏
@olphanyamweya3154Ай бұрын
Samahani kwa wale mumesoma , namaanisha kutomba msinielewe vibaya.
@olphanyamweya3154Ай бұрын
Kutaomba
@fredykiluka660629 күн бұрын
Delete na andika tena
@EsterFanuel-l2b29 күн бұрын
Mungu akubariki pastor umenitia moyo katika changamoto zinazonikabili naamini Mungu atanisaidia kutokuamini kwangu
@AgnessMrutu29 күн бұрын
Aminaaaa, barikiwa kwa kunitia moyo kwa jina la Yesu Kristo mimi ni B
@ElizabethOmwoyo-hj4chАй бұрын
Have mercy upon me, O Lord, for I am in trouble: mine eye is consumed with grief, yea, my soul and my belly.May ur divine restoration be upon us in Jesus name 🙏
@neemafortune548129 күн бұрын
Asante saaaana Mchungaji Mbaga Mungu aendelee kukupa Maisha marefu na Izima Tele na Baraka Tele ili tupate Kumjua Mungu Zaidi kwa Mafundisho yako
@JoachimMkunda13 күн бұрын
Amen, Barikiwa sana
@emanuelymittango374115 күн бұрын
Amina ubarikiwe Mchungaji unazidi kutufundisha
@Kalolitv599Ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji mbaga kwa kuendelea kusambaza neno la MUNGU
@user-ou4un3gs9dАй бұрын
Amen nimebarikiwa na neno Asante MTU wa Mungu
@enockmatondo18217 күн бұрын
Aminaaa Asante Sana Pastor Kwa masomo mazri
@calebmakoriАй бұрын
I have opened business not once, twice and till 8 times but it has eaten all my resources. NOW PRAY FOR ME PLS. Have tried but in vain
@samwelmose199719 күн бұрын
Be blessed pastor for the encouragement message, now i have a reason to continue..❤
@user-kt3bb7mr4e26 күн бұрын
Ubarikiwe sana karibu Sana ilula
@esthernkwabi167513 күн бұрын
Nimebarikiwa kwa somo hili.MUNGU akutie nguvu
@EnockMASABO17 күн бұрын
Hata Burundi tunabarikiwa Mungu akuwezeshe ❤kuifanya kazi yake kwa Imani
@FurahaGisele-wz1mb26 күн бұрын
Niko Goma RDC mahubiri Yako inatutiya ngufu ubarikiwe n'a zaidi upate mwisho muzuri katika maisha Yako Ya kiroho Que Dieu te protège
@senorinamtei8202Ай бұрын
Nabarikiwa sana pastor
@MariamBuseleАй бұрын
Amina mchungaji unanibariki sana ubarikiwe pia
@DieumeKasereka-z4uАй бұрын
barikiwa muchungaji toka DRC goma
@MamaSamu-ro8zjАй бұрын
Kiukwel ninashukul
@Jetzider12 күн бұрын
Mungu nitie nguvu saidi..amiin🙏🏾
@mbigwajbbyamungu4875Ай бұрын
Toka DRC 🇨🇩 sud Kivu uvira ville ubarikiwe mupendwa !!
@Sumartineone17 күн бұрын
Aminaa sana Mchungaji Mbaga
@kadzocharosilver411Ай бұрын
Amen mutumishi
@sinzalemossi205428 күн бұрын
Amen Pastor Mungu azidi kukubariki umefanyika baraka kwenye maisha yangu
@user-cx8zx2ip2u28 күн бұрын
Ubarikiwe sana pasta kwa somo zuri nabarikiwa sana nikiwa oman
@Joharissa-f6p15 күн бұрын
Amen
@mtumishiraymond2001Ай бұрын
Amen 🙏🏿
@purity134Ай бұрын
Amina
@josephmbembe342429 күн бұрын
Amen amen
@user-pq9be8re6i29 күн бұрын
Hapa saudi Arabia ninaomba hata nikitembea na ninamini siku moja atanitendea yasiyowezekana 🙏🙏🙏🙏
@jeremiaisowe444315 күн бұрын
Hakuna mtu yeyote atakayemtafuta Mungu asipate dhawabu
@LevinaRutashongerwa10 күн бұрын
Asante baba mm sio msabato
@jaynice-hn7jn21 күн бұрын
Amina kwa NENO
@isaacnsengiyumva27 күн бұрын
Umenikumbusha kipindi nilikua niko shuleni, nilisoma kitabu muandishi aliandika hivi : SUCCESS IS ONLY A FAILURE AWAY.
@fredrickmziray488516 күн бұрын
Asante mwalimu
@Trizah-254-eАй бұрын
AMEN
@GeorgeBarnaba-to5sx17 күн бұрын
Barikiwa Mungu anisaidie kutokuamin
@user-kq9je6zf3vАй бұрын
Amen 🙏
@RehemaKihoko-jz9od20 күн бұрын
Asante sana Mungu kwa mchungaji huyu barikiwa sana
@sylviaomwenga8740Ай бұрын
Eee Mungu baba tubariki
@EliaoleshengEa-pv8fuАй бұрын
Elfu 10 mchungaji niyakula tu otelini haitoshi kufungua biashara ya m7
@DanchiboMnyama2 күн бұрын
❤❤❤❤
@K-go1qj29 күн бұрын
Nyanya ya unga ukitaka kuitumia unaikoroga na maji inakuwa rojo inatumika tena
@LukaKidumba26 күн бұрын
uishi sana mtumishi
@K-go1qj29 күн бұрын
Nyanya za unga zipo
@kefajuma455527 күн бұрын
niko na changamoto sana ila Mungu akuzidishie miaka mingi mchungaji kwa kunitia. moyo
@generosegastor245322 күн бұрын
Mchungaji nimebadilisha sana baba
@jeremiaisowe444315 күн бұрын
Luka 17:5-6
@FarajaApolo23 күн бұрын
Nice
@mrsdeborahurioАй бұрын
Mungu akubariki sana,Mchungaji!
@jeremiaisowe444315 күн бұрын
Marko 9:24
@user-xy2kz1tl9c28 күн бұрын
Mwanaume aliubwa kwa tope, lakini mwanamuke katoka ndani ya mifupa ya mwanaume. Naitaji tafsiri na ukweli Pasta Mubaga.
@jeremiaisowe444315 күн бұрын
Mathayo13:58
@rasitkipkoech7441Ай бұрын
Ibada ya madakika ..... Majaribio Mara Miki.... Hakuna kujiusulu::::
@loycep7785Ай бұрын
Amina Mchungaji barikiwa sana kwa Mahubiri ya kutia moyo mara nyinhi tunakosa lmani na kuwa na uhakika wa mambo yaliyo mbele yetu Asante sana
@loycep7785Ай бұрын
Mara nyingi=sahihisho
@JosephHiyala28 күн бұрын
barikiwa.sana.mchungaji.kwa somo hili
@user-xy2kz1tl9c28 күн бұрын
Bwana asifiwe Mchungaji. Mimi nina swali?? Kwanini watu wanasema kama mwanamuke akuubwa?? Eti mwanaume tuu njoo aliubwa kwasababu eti wakati Mungu alitaka umba mwanadamu alisema " tuumbe mtu kwa mfano wetu" nawakati ileneno imetimia ilionekana kama mwanaume tuu njoo aliumbwa... sasa naitaji kujuwa kweli.
@johnsonstephano912119 күн бұрын
Mwanzo 1:26-27 [26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. [27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.