MAKONDA AMTUMBUA MTENDAJI ALIYEPEWA CHETI cha UFANYAKAZI BORA - ''HUYU HATA KAZI ya UFAGIZI HAFAI''

  Рет қаралды 24,309

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

MAKONDA AMTUMBUA MTENDAJI ALIYEPEWA CHETI cha UFANYAKAZI BORA - ''HUYU HATA KAZI ya UFAGIZI HAFAI''
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 70
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h Ай бұрын
Kweli uongozi kazi sana Makonda hongera sana MUNGU akuongoze mana mm kwa hasira zangu huyo mtendaji ningeshamtia makofi yaani unaulizwa swali halafu wewe unajitoa Fahamu timua wote hao piga spana mpaka akili ziwakae sawa matapeli hao wala mali zauma
@user-ue8xd9li6f
@user-ue8xd9li6f Ай бұрын
Hakika mungu akujalie mheshimiwa nakufwatilia nikiwa Kenya
@barikimollel7890
@barikimollel7890 Ай бұрын
Umechelewa Sana mh Karibu Tena❤
@rovisonmashaija3198
@rovisonmashaija3198 Ай бұрын
Hahhahaha ningelikua uyo mtendaji naangalia kushoto na kulia napenya nakimbia maana kibunda chote kashakula 😃😃😃😃
@Elybwayz
@Elybwayz Ай бұрын
😅😂😂
@mbwizax87
@mbwizax87 Ай бұрын
Hata mimin ningekula nyoya
@rovisonmashaija3198
@rovisonmashaija3198 Ай бұрын
@@mbwizax87 nakwambia makonda angeliona manyoaa tu
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 Ай бұрын
Huyu mtendaji kwetu CHINA 🇨🇳 UNGENYONGWA 😂😂😂😂😂
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 Ай бұрын
Upigaji wa namna hii ni nchi nzima.Makonda akili kubwa sana.
@fellyfernando4516
@fellyfernando4516 Ай бұрын
Heko!..Paul ...Ulipo kuwa..umepumzika Utumishi...nchi ilirudi nyuma sana...
@menelus911mene5
@menelus911mene5 Ай бұрын
Duhiiiii msomi huyo arudishe zawadi yetu ya ufanya kazi bora hamna kitu hapo
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
hapo saw makonda unaendana na mawazo yangu kiukweli wakati wa magufuli Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu uongozi ulio nyooka
@karimmveyange280
@karimmveyange280 Ай бұрын
Makonda tunakupenda sana. Lakini wenziyo wanao kusemea mabaya ni wale viongozi Poyoyo wanao penda ufisadi. Na hushiriki kukupiga madongo na kukusema UNAWADHALILISHA WAHUJUMU WA UMMA. ILA MUNGU YUPO,ATAWADHALILISHA WAO,NA WAKATI UPO,UNAKUJA
@honoratusmodest285
@honoratusmodest285 Ай бұрын
Nchii hii inabidi tupate watu kama sabaya pamoja na makonda
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Ай бұрын
Sabaya napaswa kurudi aisee
@MuhidiniLeeba
@MuhidiniLeeba Ай бұрын
Qmmke uhuru umezid sasa😂😂😂
@BRM2025
@BRM2025 Ай бұрын
​@@mtzhalisi2232😂😂😂😂😂 sawa sabaya
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Sabaya record chafu
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
dah kweli ungozi kazi lazima akili itulie sana mana ningekua mimi Nakuliza swali halafu unajibu livasi Ningemuweka ndani kwanza police wanisaidie kumhoji mana anajitoa akili Nawakati alifanya uovu akiwa timamu
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 Ай бұрын
😂🤣🤣🤣🤣 walikuwa hawakujui,wanyooshe hao
@sadamissa5687
@sadamissa5687 Ай бұрын
Hii ni spana Malaya yaaani inafunga nati za Aina yyte mpk za trekta😂😂 yaan mpk mjinyeee
@WilsonKihanga-jb5fb
@WilsonKihanga-jb5fb Ай бұрын
😂😂😂mbavu zangu
@denismalembeka1871
@denismalembeka1871 Ай бұрын
Duuu jamani kweli mama Samia unapigwa sio polepole
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 Ай бұрын
Mungu pekee ndie anaetenda haki
@user-rk5jf2lq3h
@user-rk5jf2lq3h Ай бұрын
Nomaaaaa😂😂
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 Ай бұрын
Anaongea sana mtendaji ndo maana kapewa ufanyakazi bora
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Dahhhh kazi ndo bac!!! Sijui hii inakuwaje
@BRM2025
@BRM2025 Ай бұрын
😂😂😂😂yani ukiwa kiongozi makonda akija kwenye eneo lako ondoaga picha zako zote ofisini maana hujui litakalotokea
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 Ай бұрын
Mafisadi kweli kweli doooo hii nchi walimutisha hao
@mamsaramamassawe.4797
@mamsaramamassawe.4797 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉makondaaa
@mazikungusa
@mazikungusa Ай бұрын
sipana zina usika apo makonda
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Ай бұрын
Kamtubulia wapi
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
HUYU MTENDAJI TAKUKULU WADILI NAE SIO KILAISILAISI TU KUWACHIWA MLEVI WA CHIBUKU AENDE JELA AKITOKA WAMUACHE AKAENDELEE NA ULEVI WA POMBE MBOVU 😂😂
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
Kubebana ccm ndio kunatufikisha kuw na watendaji aina hii.
@joahkiswaga6347
@joahkiswaga6347 Ай бұрын
Anayoyagundua mh.Makonda huko Arusha, naamini nchi nzima yako hivohivo . Viongozi wa ngazi za chini ni wabaya sana kwa wananchi yaani ni mwiba
@user-tm3jl4yx9f
@user-tm3jl4yx9f Ай бұрын
Yaan mpka waseme
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s Ай бұрын
Mwamba kahukumiwa na kesi ya miaka 5 iliyopita
@shiracque8524
@shiracque8524 Ай бұрын
Pigaspana baba yangu
@user-im5kc6ey7j
@user-im5kc6ey7j Ай бұрын
Kumekuchaaa😂😂😂😂😂
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 Ай бұрын
Mtendaji ungejifanya umezimia kuliko fedhea ulioipata
@kelvinmandala5240
@kelvinmandala5240 Ай бұрын
😂
@user-ys5iu3qu3u
@user-ys5iu3qu3u Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 matembele
@drlukwaro
@drlukwaro Ай бұрын
Hahahahaa
@drlukwaro
@drlukwaro Ай бұрын
Hahahaahhahahha, kupatwa kwa juaaaaaaa
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 Ай бұрын
Kupatwa kwa Mali mana nimwendo wa kudai mali
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 Ай бұрын
Aibu naona mimi
@auriliamushi4092
@auriliamushi4092 Ай бұрын
Duh!! Haki ya mungu mkuu wewe kiboko nimekupenda bureeee natamani uende Kilimanjaro tena machame tunaonewa sana mama Samia kachagua kichwa nchi hii wakipatikana kumi tu kama wewe upinzani umekwisha
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 Ай бұрын
Hakuna anayewazalilisha,hapa naona wajizalilisha wenyewe
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Ай бұрын
KUOMBA MSAMAHA KWA MKUU WA MKOA MAANA NDIYE ANAWEZA KUMFUKUZA KAZI
@auriliamushi4092
@auriliamushi4092 Ай бұрын
Hebu tazama huyo mtendaji anavyojiamini kumbe pumba kabisa
@mbonijabut1405
@mbonijabut1405 Ай бұрын
Mama samia mlete makondq dar
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo Ай бұрын
-40:58 wazee wa taratibu na fursa 😂😂😂
@juliasmolellmolell4815
@juliasmolellmolell4815 Ай бұрын
Yakwetu loskito nayapeleka xaxa
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 Ай бұрын
Mtendaji anataka kuhara
@Elybwayz
@Elybwayz Ай бұрын
😅 na ndio anaand😅😢😢amwa
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 Ай бұрын
Shemeji huo mkoa utaunyoosha
@vitalniyonkuru7693
@vitalniyonkuru7693 Ай бұрын
Piga supana hawo
@neemasalema1546
@neemasalema1546 Ай бұрын
Tafuta watu wapya
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
ila huyu katibu kata anaonekana kiakili ni very shap ila uweledi wake unataka kutekwa na ibilisi..anaonekana ni mtu mahiri kweli ukimskiliza
@Elybwayz
@Elybwayz Ай бұрын
Anajua kuelezea 😅😅😅
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
@@Elybwayz kabisa. hata mie nimeliona hili
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 Ай бұрын
Nikifanya hivyo basi muwaongezee na mishahara yao watumishi... Musiwazalilishe tu alafu mishahara yao duni
@user-uf6oe3qi6v
@user-uf6oe3qi6v Ай бұрын
Ajazalilishwa huyo ni mzembe
@alexjohn7361
@alexjohn7361 Ай бұрын
Kwahiyo mshahara ukiwa mdogo ndo uwanyanyase wananchi?
@officialbwoywalandlord1896
@officialbwoywalandlord1896 Ай бұрын
Uyu mtumishi tapeli makonda Ako sawa sana
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 Ай бұрын
Haujui kwakuwa wewe sio mtumishi...!! Ungekuwa mtumishi ungeelewa... !!! Mifumo ya ufanyaji kazi ya nchi yetu haiko sawaaa .....
@elizabethjohn6812
@elizabethjohn6812 Ай бұрын
Mkuu husiache kufuatilia hayo unayoyatolea maelekezo mkuuuuuuuu
@denisyohana8104
@denisyohana8104 Ай бұрын
huku kwetu ndo kuna uhuni,sana wae watendaji wa vijiji na kata.
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Ай бұрын
Uozo mtupu baba wa watu kapigwa changa la macho
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 58 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
#LIVE: ROMA MKATOLIKI AFUNGUKA KUHUSU PAUL MAKONDA NDANI YA PLANET BONGO
1:02:45
5  IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
3:09:23
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 20 М.
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН