No video

MAKONDA ATUMIA HELICOPTER KAMA ya JESHI KUMBEBA MGONJWA ALIYEZIDIWA GHAFLA UWANJANI,.🙌🙌

  Рет қаралды 7,928

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Ай бұрын

Пікірлер: 21
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 Ай бұрын
Ila huyu jamaa😂😂😂😂, bonge la mbunifu👏👏👏👏
@Datiuspp
@Datiuspp Ай бұрын
Tupo na wewe mpaka tuakikishe unaitwa mkuu wa nchi sio mkuu wa mkoa tena.💪💪💪
@user-ex4hi7fj5c
@user-ex4hi7fj5c Ай бұрын
Isiwe ni kwa Leo tuu... Haya mambo yanafanyiwa watu kipindi cha kukaria uchaguzi au ni yanatakaiwa yafanyike kila wakati kwenye jamii? Km ni hv kila wakati na TUYAONE kwenye jamii siku zote watu akipata huduma Bure km wafanyavyo basi itakuwa ni Baraka kubwa Arusha... Ila kmnikutafuta kura na Kik za MUDA basi tunahitaji REHEMA na toba kwa mwenyezi Mungu
@saruni5673
@saruni5673 Ай бұрын
Kweli
@paulinef.millanzinana8279
@paulinef.millanzinana8279 Ай бұрын
Mungu akubariki sana Baba Makonda Yaani naamini kuwa wewe ni mjumbe sahihi na mtume sahihi uliye yum wa na Mungu ili kuifanya kazi yake hakika namuon Roho mtakatifu ameketi ndani ya kunywa chako hakika nguvu zake na uweza wake uko pamoja nawe. Maombi yangu kwa Mungu Baba wa Mbinguni azidi kukushushia macho ya Rihoni na kukujalia afya njema na ngvu. Kwa hayo yote unayo yatenda hakuna Mwenye kuweza kwa ajili za kibinadamu pekee pasipo na msaada wa Mungu na kuongozwa na Roho mtakatifu.
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 Ай бұрын
Mhe Mkonda thats called leadership. You are Great you have feeling for Tananians. Endelea hivi hivi Mungu mkubwa ana Angalia. God bless you Always.
@user-dt7ec3tr2v
@user-dt7ec3tr2v Ай бұрын
Hongera kaka👏👏👏👏 mungu Akufanyie wepsi kwenye majukumu yako Endlea kuchapa kazi wanao kuchukia watakupenda wenyewe
@stanleymanya438
@stanleymanya438 Ай бұрын
Arusha ikobize kinoma, Viva makonda vivaaàaa!!!
@hastingsrutinda9448
@hastingsrutinda9448 Ай бұрын
Good job
@user-dc1qh3nm5s
@user-dc1qh3nm5s Ай бұрын
Hongera mungu akulinde
@rubanimponzi8259
@rubanimponzi8259 Ай бұрын
Hongera sana Makonda
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Msimu mpya Makonda unaibeba CCM Mkoa wa Arusha
@saeedmbaraka3997
@saeedmbaraka3997 Ай бұрын
Big up
@masumbukojonas5510
@masumbukojonas5510 Ай бұрын
Noma sana
@user-cr9no9bo7l
@user-cr9no9bo7l Ай бұрын
Makonda aigwe mfano
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Big up jembe letu Mh Makonda Mungu akulinde ❤❤❤
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed Ай бұрын
Kaipata wapi
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Arusha zipo za kutosha mzee.
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Mungu wetu kamwezesha ❤❤❤Mbunifu mkubwa sana
@user-gx4vx5ru2u
@user-gx4vx5ru2u Ай бұрын
Hongera Sana baba Mungu akupe miaka km yote yenye heri
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed Ай бұрын
Anajua kusaka ubunge na uaziri
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 47 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 27 МЛН
PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,.
9:25
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН