MAMBO MUHIMU KWENYE BANDA LA KUKU

  Рет қаралды 27,668

Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

5 жыл бұрын

Ndani ya banda la kuku kuna mambo umuhimu sana ambavyo huongeza uzalishaji wa mayai kwenye ufugaji wa kuku chotara na kuku wa mayai
Vitu hivyo ni vichanja kwa ajili ya kuku kufanya mazoezi ili kupunguza mafuta na pia vichanja huwaweka kuku bize ili wasidonoane.
Kitu kingine ni viota kwaajili ya kuku kutagia, pia viota hupunguza uwezekano wa kuku kula mayai na pia husaidia mayai yasichafuke.
Ufugaji wa kuku chotara na ufugaji wa kuku wa kienyeji.

Пікірлер: 6
@aishaathuman9589
@aishaathuman9589 5 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@aishaathuman9589
@aishaathuman9589 5 жыл бұрын
Ninikua sijui umuhimu wa vichanja. Asante
@ashakunambi3086
@ashakunambi3086 4 жыл бұрын
samahani kaka mimi kuku wangu wanakula mayai nifanyeje kaka naomba msada wako
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
Ongeza madini ya calcium kwenye chakula chao. Punguza mwanga kwenye viota. Wawekee vichanja kuwafanyabize na kurukaruka. Pia waweza kuwakata midomo.
@aishamohamed9033
@aishamohamed9033 5 жыл бұрын
Habari Namibia bounce changamkiaflusa .no 0714716138 .
@deogodi1655
@deogodi1655 2 жыл бұрын
ndoo ina weza kutumika kumuekea kuku kwa ajili ya kutamishia mwalim
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
Kuroiler Wanataga Mapema, Mayai 260 na Uzito wa Kilo 5
8:14
Changamkia Fursa
Рет қаралды 35 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 647 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 83 МЛН
NILIANZA NA KUKU 50 WA KIENYEJI  SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI
12:12
Mbinu za Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
10:32
Changamkia Fursa
Рет қаралды 9 М.
BANDA BORA LA KUFUGIA KUKU
3:07
AFRICA SITE BROADCAST (ASB)TV
Рет қаралды 20 М.
Banda Bora la Kulelea Vifaranga vya Kuku
6:00
Changamkia Fursa
Рет қаралды 63 М.
Uleaji wa Vifaranga wa Kienyeji kwa Kutumia Kuku Mzazi
10:59
Changamkia Fursa
Рет қаралды 25 М.
Usifanye Kosa Hili Kwenye Ufugaji wa Kuku Chotara
3:32
Changamkia Fursa
Рет қаралды 18 М.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Changamkia Fursa
Рет қаралды 235 М.
Pata Faida ya 700,000 Kila Mwezi Kwa Ufugaji wa Kuku Chotara (Kuroiler)
11:02
Mambo ya Kuzingatia Katika Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
6:16
Changamkia Fursa
Рет қаралды 7 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 647 М.