MAOMBI YA KUTEKA NYARA FIKRA OFFICIAL VIDEO- PR. DAVID MMBAGA

  Рет қаралды 17,576

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

6 ай бұрын

Пікірлер: 78
@PendoSaidy
@PendoSaidy Ай бұрын
Mungu wangu wa Israel utusaidie,uteke nyara fikra zangu Amen.
@gracezunda8804
@gracezunda8804 6 ай бұрын
Badilisha lugha yako maisha yako yatabadilika Ameeeeeeen
@pendosengerema
@pendosengerema 6 ай бұрын
Asante sana pastor. Lakini naomba uniombee nitembee na roho mtakatifu
@mariamaswani832
@mariamaswani832 6 ай бұрын
Niombee pastor napitia magumu mpaka naona nikama mungu hayu kwangu
@user-fg9zg8yi8q
@user-fg9zg8yi8q 6 ай бұрын
Mungu akubariki na azidi kukutumia na unikumbuke kwa maombi uniombee Mungu anijaze na roho mtakatifu niweze kufanya kazi ya kanisa.
@user-gf7gk8ul4r
@user-gf7gk8ul4r 6 ай бұрын
Pr Mmbaga barikiwa sana somo zuri ila kila siku unazidi kuwa mdogo tu kweli ukimtumikia Mungu uzeek kabisa
@omankadara6418
@omankadara6418 2 ай бұрын
Pasita naomba Mungu abadili akili yangu na niendelea kumzua zaidi
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 6 ай бұрын
KWA HIYO MCHUNGAJI KWANZA SHALOM KIFO KIKIJA MUNGU HAUSIKI? OKAY THANKS.NSOMBA UNIOMBEE NIPATE WOKOVU UKAE NDANI YANGU AMEN.
@user-kh2ev8qw7e
@user-kh2ev8qw7e 6 ай бұрын
Naomba binti yangu. Apate. Kazi
@UserUser-gq1ir
@UserUser-gq1ir 6 ай бұрын
Asante mungu kwa kutumia pastor kuleta ujumbe ambao unatuinua kiroho
@user-cc8fy5il4n
@user-cc8fy5il4n 6 ай бұрын
Mtumishi. Shalom kwa majina ni Kavira mume wangu na mimi tumekufatili sana natunatamani kuwa nainani moja nawe mtumishi tutakapofika Uganda maana wakati huu tuko Canada Ila mumewangu yeye amepangia kurudi Africa yaani Uganda anasema atatafuta kanisa ya wasabato akuwe naingilia pale mesh wamwezi wakwaza anaenda nahitaji maombi kwa safari yake nisamehe mtumishi kwa kuadika virefu mtumishi waMungu nina hitaji ya miaka 30 kupata kwangu usingizi nikungumu nimeuliza wazazi wanasema hawajui kitu juuyangu sasa kijwa inaanza kuniuma sana nikipata dawa yausinguzi sitafuga hatamacho hata hapa Canada wamekosa nini kunawakati mwengine nakatwakatwa mwili mahitaji yangu nimegi ilaunisamehe mimi ni mzaliwa wa Congo Roho wa Mungu akuwezeshe usikie swahili yangu natamani hata nikuite Ila saa zinapisha ubarikiwe mtumishi naomba razi Kavira asante
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 6 ай бұрын
Naomba niombee npate kz ya kudumu
@rosemuia
@rosemuia 6 ай бұрын
Growly to JESUS mjungaji mafuzo yako yanabadirisha maisha yetu my GOD bless you
@NEEMAANDREA-sd2kk
@NEEMAANDREA-sd2kk 6 ай бұрын
Amina pastor niombee na mm nijitoe kikamilifu kwakwe
@estherjonas8466
@estherjonas8466 6 ай бұрын
Mtumishi tunamuombea Huyu kijana wa Mzee Aweze kufanikiwa ktk maisha yake na kumuondolea madeni na kupata kazi nzr.
@user-ff6jb5mf5z
@user-ff6jb5mf5z 6 ай бұрын
Niombeeni niko katika pambano la Kiroho..
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 6 ай бұрын
Mungu akutendee
@jacquelinenahimana2113
@jacquelinenahimana2113 6 ай бұрын
@@MahubiriPrMmbaga sarama napitiahapa naobasana munisaidia sana mmewagu anaumwasa naobamsada asatekwakunisadia Jacqueline Nahimana
@fridayuda9577
@fridayuda9577 6 ай бұрын
Ahimidiwe Mungu wa Mbinguni aliyekuweka kutupa neno lenye nguvu na uponyaji, Mungu akutunze zaidi
@mukariadangilas7319
@mukariadangilas7319 6 ай бұрын
Nawazalimu wote amujambo pasta ninataka maombi nataka kuoa na nimesanganikiwa sana nifanye aje
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi na asante kwa kumtumikia Mungu ipasavyo tumebarikiwa na kufunguliwa sana. Amina
@abilityemmanuel3000
@abilityemmanuel3000 6 ай бұрын
be blessed pr david, hata katika kipindi kigumu mwisho, yehova atainua watu wake
@beatricenyiro5913
@beatricenyiro5913 6 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi naomba msichana wangu FLORENCE apate kazi
@DanielMuruthi-kc7pi
@DanielMuruthi-kc7pi 6 ай бұрын
Pastor may God bless you nibarikiwa Sana
@raelsarange638
@raelsarange638 6 ай бұрын
Pray for my family, spirit of rejection kwangu na watoto wangu pia
@ElijahMosong
@ElijahMosong 5 ай бұрын
Elijah amen pasta niombeeni nikuee kihorooo niko kenya
@user-os3vo4sm2n
@user-os3vo4sm2n 6 ай бұрын
Pastor ubarikiwe sana
@clevismugalo1928
@clevismugalo1928 6 ай бұрын
Muchungaji niombee niimarike kiroho na changamoto zidi yangu
@user-ju2ze2zu8v
@user-ju2ze2zu8v 6 ай бұрын
Pastor niombee mme wangu ametekwa nyara na wanawake wa nje leo miaka.8 nimeomba sana lakini sijapata majibu.niombee sana nakusihi leo. 10:07
@foundationfaithtv
@foundationfaithtv 6 ай бұрын
Nguvu za yesu kristo damu yake imuponye
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 6 ай бұрын
Amen ubarikiwe Pastor.
@gracezunda8804
@gracezunda8804 6 ай бұрын
Ameeeeeeen, mtu wa MUNGU barikiwa na uinuliwe mnooo Amen
@khadijajulius2611
@khadijajulius2611 6 ай бұрын
Ameena Mungu akubariki mchungaji
@johnstephano6486
@johnstephano6486 6 ай бұрын
Amina
@DennisNyangwara
@DennisNyangwara 6 ай бұрын
Be blessed
@EasterEmanuel-wh9dz
@EasterEmanuel-wh9dz 6 ай бұрын
AMINA
@rechaelnjeri3299
@rechaelnjeri3299 6 ай бұрын
Amen Amen thanks you for the message may God continue using 2be a blessing to us
@reyally1681
@reyally1681 6 ай бұрын
Mungu naomba nikumbuke
@estherjonas8466
@estherjonas8466 6 ай бұрын
Mtumishi Tunaomba Maombi ya nyumba yangu na Mume Wsngu.
@daudisobera9367
@daudisobera9367 6 ай бұрын
Pastor ombea mtoto wangu mwenye amekua na shida ya miguu tangu atoke shuleni. Mimi ni ruth kutoka kenya
@user-wg2qw3ul2h
@user-wg2qw3ul2h 6 ай бұрын
Kiukweli, MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGAJI
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 6 ай бұрын
AMEN 🙏🙏🙏
@user-jb7hi3fs6l
@user-jb7hi3fs6l 6 ай бұрын
Amen
@nicejohnson6555
@nicejohnson6555 6 ай бұрын
Mungu akubarik sana sana
@calebmakori
@calebmakori 6 ай бұрын
waiting
@ElijahMosong
@ElijahMosong 4 ай бұрын
Ameni
@user-jf2mt5tr4j
@user-jf2mt5tr4j 6 ай бұрын
Mchungaji David mbaga Leo ninataka kukuombea na family Yako kabra ya kulala nimeguswa saana kukuombea,
@NancyIngutia
@NancyIngutia 6 ай бұрын
Wow
@edithalotto1481
@edithalotto1481 6 ай бұрын
Mchungaji wewe endelea mbele simamia neno.
@josphinechepchirchir109
@josphinechepchirchir109 6 ай бұрын
Amina❤❤
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 6 ай бұрын
Amen 🙏
@neemajohn6142
@neemajohn6142 6 ай бұрын
Naaamin maandiko Sababu yana mema .elmu na faraja lakin dini yetu ama elimu yetu halisi ya imani ya dini sisi wa africa ni ipi? Make vyote vimeletwa .mavazi , lugha na hizo mila , ni kweli Mungu hajtufunulia asili yetu?
@Alex-Jr5
@Alex-Jr5 6 ай бұрын
I need a spiritual awake
@modestamarakammbishi1127
@modestamarakammbishi1127 6 ай бұрын
Amen Amen pastor mungu akumbariki sana..tangu nianze kusikia mafudisho yako..imekuwa ya baraka katika maisha yangu..naomba uniombe niko na growth ndani ya jicho ..najianda kwenda kufanyiwa operation..namini mungu atanitangulie kwa kila jambo.Amen
@AaS-wi9xl
@AaS-wi9xl 6 ай бұрын
mjungaji niombee naumwa na mifuba ya viungovya mwili Wangu 😢
@michaelassam5789
@michaelassam5789 6 ай бұрын
Mkuu wa anga (territorial principality)
@ruthokeyo6125
@ruthokeyo6125 6 ай бұрын
Morning pastor please teach about salt can some body use salt when praying?
@kadetwafidele-cj2sf
@kadetwafidele-cj2sf 6 ай бұрын
Okay
@dimanchebalole4106
@dimanchebalole4106 6 ай бұрын
Jambo mchungaji, nahitaji maombi kuhusu akili na ndoto zangu.
@brendakemuma1531
@brendakemuma1531 6 ай бұрын
How do get this pr i need to speak to him can someone plz link me with him
@gracezunda8804
@gracezunda8804 6 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 6 ай бұрын
Pr, unajua mambo ila vp kuh.UTATU mbona haufundisha deep kwa maandiko na nukuu kutoka kwa wasomi kama ulivyofanya kuichambua X mass? Acha kulinda UTATU uje ueleze deep huo utatu mliupata wapi?
@robertmomigi2580
@robertmomigi2580 6 ай бұрын
Pray for my faith to grow,
@donomondi3409
@donomondi3409 6 ай бұрын
How can I get pastor's phone number?
@estherjonas8466
@estherjonas8466 6 ай бұрын
Tunaomba Namba yako tunahitaji kuongea na wewe Mtumishi Kwa Wasp Please
@nyamiziImerda
@nyamiziImerda 6 ай бұрын
Ameen
@bamag-021
@bamag-021 6 ай бұрын
Amen
@SilvaNgwesa-hg8cy
@SilvaNgwesa-hg8cy 6 ай бұрын
Amina
@user-bw6rr7rp5c
@user-bw6rr7rp5c 6 ай бұрын
Waiting
@basildominicus3846
@basildominicus3846 6 ай бұрын
Amen 🙏
@emilynyaosi4782
@emilynyaosi4782 6 ай бұрын
Amen
@SilvaNgwesa-hg8cy
@SilvaNgwesa-hg8cy 6 ай бұрын
Amina
@leilahjaye6413
@leilahjaye6413 6 ай бұрын
Amen
@leticialawi9569
@leticialawi9569 6 ай бұрын
Amen
@ruthmoranga5142
@ruthmoranga5142 6 ай бұрын
Amen
@purity134
@purity134 6 ай бұрын
Amen
@evelynmutunga
@evelynmutunga 6 ай бұрын
Amen
@joliea2956
@joliea2956 6 ай бұрын
Amen 🙏
NI WAKATI WA KUSIMAMA (OFFICIAL VIDEO) || PR DAVID MMBAGA
59:18
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 21 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 29 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 161 МЛН
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 47 М.
4 Hours Worship Piano With Scriptures On God's Faithfulness
3:43:20
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 2,4 М.
PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS YOU SLEEP | APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:57:37
KWANINI UNAPITIA VITA KIASI HIKI? ( OFFICIAL VIDEO)
58:25
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 87 М.
JE WATAKA KUMUONA BWANA - PR. DAVID MMBAGA
1:01:22
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 21 М.
2 KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || Singida
2:59:49
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 22 М.
MAOMBI YA KUTAMKA | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:12:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 52 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН