Mashujaa FC 1-1 (6-5) Simba SC | Penati | CRDB Bank Federation Cup - 09/04/2024

  Рет қаралды 239,767

Azam TV

Azam TV

Ай бұрын

Tazama mikwaju yote ya penati iliyopigwa kwenye mchezo CRDB Bank Federation Cup kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC.
Simba imetolewa kwa jumla ya penati 6-5
Waliopiga kwa upande wa Simba ni Mohamed Hussein, Israel Mwenda, Freddy Michael Koublan, Willy Onana, Mzamiru Yassin, Ladack Chasambi, Sadio Kanoute
Waliopiga kwa upande wa Mashujaa ni Zuberi Dabi, Samson Madeleke, Masinda, Idrissa Stambuli, Adam Adam, Mpoki Mwakinyuke, Baraka Mtui

Пікірлер: 232
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm Ай бұрын
Kazi kuifatilia yanga tu haya leo Ashamed Ally ashangilie kama alivoshangilia yanga kudhulumiwa goal na ma melody si alishangilia ashangilie na leo hvo tumuone
@Kinyanambo
@Kinyanambo Ай бұрын
Mpoki Mwakinyuki what a Penalty brother!! Penalty nzuri
@user-zy6vq6lz7z
@user-zy6vq6lz7z Ай бұрын
Kipa jinga sana linaangukia upande mmoja tu
@alvinerwegasila1320
@alvinerwegasila1320 Ай бұрын
Hii Simba ndo tunayoijua
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi Ай бұрын
Ali Salim kipa Bora. Lakini namba hapati mnamueka benchi mda mwingi
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Ай бұрын
Woiiii woiiii woiiii kimetokea nini kwani ( in kazim bey’s voice)😂😂😅
@franciscokidava372
@franciscokidava372 Ай бұрын
Hongera sana mashujuaa
@ayubuchindo3799
@ayubuchindo3799 Ай бұрын
Kumbe ally Salim penat za kushoto hadaki 😂 au nimeona pekeangu?
@delicieusebrazilianmusicfm
@delicieusebrazilianmusicfm Ай бұрын
Robertinho Best Coach
@sunwizy608
@sunwizy608 Ай бұрын
simba itasimama tu ❤
@maxwell8007
@maxwell8007 Ай бұрын
amezoea za kuwaibia yanga Leo hakuna refa wa mchongo
@user-ox9zz7zk5h
@user-ox9zz7zk5h Ай бұрын
Jaman kila mtu qnacheka bax na mm😂😂😂😂😂😂
@user-zr8lq9lo8y
@user-zr8lq9lo8y Ай бұрын
Simba sasa kuna shida sio bure duuh 😢😢😢
@user-nb8yu1km2v
@user-nb8yu1km2v Ай бұрын
Wachezaj wengine jaman kama onana ,fled komole siyo wakuamini hata fled kabahatisha tu hanautfaut na onana
@yasintapantaleo295
@yasintapantaleo295 Ай бұрын
Tatizo anazalau tim yetu yanga lana ya msemaji wao
@user-rj9mb4yk6l
@user-rj9mb4yk6l Ай бұрын
Mbona Ali Salim anaruka upande mmoja t😂😂😂
@jumakuchele3624
@jumakuchele3624 Ай бұрын
😂😂😂 Ahmed Ally bado hajasema mpaka aseme aendelee sasa kuimba nyimbo zake tena za taarab mmbwa huyo anazalau sana
@user-ip6xg6jx3g
@user-ip6xg6jx3g Ай бұрын
Sasa wewe anakuhusu nini ahmedy aliy. Hivi unajua maana ya usemaji wewe. Hiyo ndio kazi yake lazima aongee. Kosa lake nini sasa unamchukia mtu kwa kuingelea kazi yake.
@HashimuMwingiliko
@HashimuMwingiliko Ай бұрын
Iyo ndo faida ya kusajili majina na cio wachezaji
@JamesJoramu
@JamesJoramu Ай бұрын
Simbaaa sahvi niusenge tuuu Wana tuumiza tuu ss mashabiki onana nin kafanyaa ubishoo mwengi mpaka kazin usengee tuu
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 Ай бұрын
Sijawahi kuona kipa wa ovyo kwenye penalties kama huyu kiwete Ali salum. Huwezi kuruka upande mmoja tu kila penalty
@CatherineOctavian
@CatherineOctavian Ай бұрын
Weee ali salimuu😂😂😂😂kweliiii ww au zoteee 😜
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Ай бұрын
Nawataka wote wawili tar.20 april wakae golini kusaidiana kupunguza idadi ya magoli.😅😅
@issaramadhani9141
@issaramadhani9141 Ай бұрын
Salim walimzibiti asitoke nje ya mstari😂😂
@PhlibertJohnny
@PhlibertJohnny Ай бұрын
Hii n maajabu
@user-uu7mg3ff8l
@user-uu7mg3ff8l Ай бұрын
hiii ndio simba tunayoijua jmn
@user-id5pz2wz6r
@user-id5pz2wz6r Ай бұрын
Ukisikia kilanga KOMO ndiyo hiki Sasa wamekula SITA 6
@dariaassey159
@dariaassey159 Ай бұрын
Simba ya sasa hatuitaki 😢😢
@user-gj4ru4kh9n
@user-gj4ru4kh9n Ай бұрын
Akabane pua na kwachezaji wake tuone nyau huyo
@SusanLubinza
@SusanLubinza Ай бұрын
Simba hamna jipya sasa hv et
@HoseaChanga
@HoseaChanga Ай бұрын
Msemaji wa simba kuna siku atapigwa maan anaongopea watu timu ya simba sahivi hamna kitu wachezaji wamezeeka
@beckhamlodialaurentlodia3508
@beckhamlodialaurentlodia3508 Ай бұрын
Salim kwenye penalty huaga analangua upande mmoja 😅
@alwiassafi7353
@alwiassafi7353 Ай бұрын
Chama. Aypo
@vailethfunga268
@vailethfunga268 Ай бұрын
❤Simba
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 Ай бұрын
Aliyesikia kivumbi na jasho like hapa
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 Ай бұрын
Onana bishoo sana bae aachwe tyu na viongozi wetu wanaangalia matumbo yao tyu watuache timu yetu
@izoohjack6687
@izoohjack6687 Ай бұрын
Makolo kuna shida mahali 😅😅 leo ally salim ameamua kumlipa benchika
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
Ile penati ya mwisho ya Mashujaa siyo goli mlinzi ameotea bwana Al Ahly walikuwa sahihi kuwaheshimisha Simba
@user-uj4rt1vx3h
@user-uj4rt1vx3h Ай бұрын
Jamani Manula Mbona Umegangania Upande Mmoja jamanii Eheee ww kiboko😂😂😂😂
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Ай бұрын
Co manura uyo, uyo ni ally salim
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z Ай бұрын
Sio hivo uyo kipa hawamtumii ndio maana ana shuka kiwango
@raajuny
@raajuny Ай бұрын
KAMA UNASIKIA KIVUMBI NA JASHO LIKE HAPA😂😂😂
@MwaniPh
@MwaniPh Ай бұрын
Waha hawataki ujinga
@AysheroumarNkunguni-do5vj
@AysheroumarNkunguni-do5vj Ай бұрын
😅😅😊
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi Ай бұрын
Simba mavi
@JoackimLaulent-qd7yp
@JoackimLaulent-qd7yp Ай бұрын
Shuli kwisha
@youngmasta5444
@youngmasta5444 Ай бұрын
Kama nanyie mmeona kua alysalim huwa anaruka upande wa kulia tu tujuane hapa😂😂😂
@tawakalimankasim82
@tawakalimankasim82 Ай бұрын
Makolo wakiendelea kucheza hivi siku ua dabi ya kariakoo watakula Kono la nyanyi la 5Gjengne tarehe 20 kama naliona linajirudia hivi hhhhhhhhhh
@YusufuHamisi-px3zr
@YusufuHamisi-px3zr Ай бұрын
Makolo ninyinyim naoshehereka
@deuspastory1814
@deuspastory1814 Ай бұрын
simba hakuna time hakunabenchika 😥😥😥
@user-fg5jy5cf8x
@user-fg5jy5cf8x Ай бұрын
Baaado hawajasema
@ezekiaChota
@ezekiaChota Ай бұрын
Ah ndo maisha ya watan
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg Ай бұрын
Huyu Ali salimu naye duhhh
@JuliasJonasMasali
@JuliasJonasMasali Ай бұрын
Poleni watani
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 Ай бұрын
Huyu ali mzima kweli au nguruwe hageuki upande mmoja
@user-gj4ru4kh9n
@user-gj4ru4kh9n Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 mnyamaaaaa kwisha kaliwa
@ZakayojrZ
@ZakayojrZ Ай бұрын
😂😂 Ali Salim bado Sana Bora ayoub
@HusseinRamadhani-tu3ld
@HusseinRamadhani-tu3ld Ай бұрын
Jamani msimlaum hata penati zenyewe zipo kwa uimara jamani
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Kwahiyo hata Diarra bado sana eti😂😂 Mambo ya mamelodi
@ZakayojrZ
@ZakayojrZ Ай бұрын
@@laninjeje8290 huyu kolo tatizo lake ana kalili upande mmoja
@ZakayojrZ
@ZakayojrZ Ай бұрын
@@laninjeje8290 akuna aliyo otea 🤔 hata moja kuku huyu una angauka upande wa kulia tu 😂😂 ww umekuwa mlevi au
@ZakayojrZ
@ZakayojrZ Ай бұрын
@@laninjeje8290 una angauka kulia sisi tunapiga kushoto 😂😂😂 tuone Nan ata tokasasa
@Stevennyatutu
@Stevennyatutu Ай бұрын
hivi huyu ni Ali salim au ni Ali kamwe😊😊😊😊
@MwaniPh
@MwaniPh Ай бұрын
😅😅
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Ай бұрын
Duuuh kazi ipo aisee,kwa mwendo huo?
@amosnnko7792
@amosnnko7792 Ай бұрын
Aly salim anafungwa penalt zote sehem moja kenge kwel
@swaumphilimini5720
@swaumphilimini5720 Ай бұрын
Ni kicheko 😂😂😂😂
@TopscolerJr2500
@TopscolerJr2500 Ай бұрын
Imekuaj ally salim jaman wanalunyasi
@selemanemanuel8044
@selemanemanuel8044 Ай бұрын
Salim anafanya hasira ya bench
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 Ай бұрын
Chasambi anaitajika kumpata coach atakae muamini, mbona yupo sawa tu ila tatizo hapewi nafasi
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 Ай бұрын
Huwa siamini kama kweli huyo Ali salim anaowezo wa kudak a penalti
@kelvinngugo3776
@kelvinngugo3776 Ай бұрын
Mashujaa walisema kunatim kubwa itadondoka kigoma 😅😅😅😅
@AnnoyedBreakfast-zn2bo
@AnnoyedBreakfast-zn2bo Ай бұрын
Kula chuma simba mubana pua yiko wapi
@SylvesterSafari-nf4fy
@SylvesterSafari-nf4fy Ай бұрын
Kumbe huyu Ali Salim Kuna sku Huwa anaamka vibaya ndo kama hii game
@ChrissMwasalanje-em3rl
@ChrissMwasalanje-em3rl Ай бұрын
Onana tumepigwa sio mchezaji ametufersha nimeumia xana alixalim aende xhule kwanza
@chizashungu8364
@chizashungu8364 Ай бұрын
Mkishinda ooh simba ni timu bora,mkipondwa mnaanza.Hakuna wachezaji humo simba.....mkiambiwa mnaleta mzaha na bado.Ahmed ally atakuja kuzungumzia yanga tena.
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 Ай бұрын
🤣🤣🤣,pole mtani wetu wa jadi.tatizo lenu mpila mnauchezea mdomoni,siyo uwanjani.
@Producertsix
@Producertsix Ай бұрын
umesahau kama onana ndo aliwafunga wydad magoli yote mawili
@kwejimisobi4491
@kwejimisobi4491 Ай бұрын
Onana si mlicfia juzi tu na msemaji wenu kwmb kafufuka baada ya kuwafunga Wydad goli mbili na akaja kufunga kombe la Mapinduzi. Ko akikosea mmepigwa? Kazi mnayo
@chrifordcostantine8422
@chrifordcostantine8422 Ай бұрын
Kumbe ka Ali salumu Huwa kanabet upande wa kwenda yaan penalty zote kanaenda kulekule na wamekajulia
@iwenikigodi5419
@iwenikigodi5419 Ай бұрын
Ali Salim Yuko wapi hata moja haja ona jamn dhambi lakn😂😂
@mwachiaally4251
@mwachiaally4251 Ай бұрын
Hakika wanasikitisha aisee
@user-nt6fb2ky3t
@user-nt6fb2ky3t Ай бұрын
Wamemfanya Al Salim vbaya 😊
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg Ай бұрын
Upande wa kushoto wa ali Salim umeoza
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 Ай бұрын
​@@selemanmaganga-le4zgYes huyu dogo hata Tanga kwenye mechi za ngao ya hisani Yanga vs Simba ni mkono wa kulia tu alikuwa anaruka na akawaotea Yanga.
@AhmmadKitabu
@AhmmadKitabu Ай бұрын
Iz ni zalau jaman daaah
@faidha23
@faidha23 Ай бұрын
Dah ivi myama ndo kaliwa namashujaa 😂😂😂
@salummakadi311
@salummakadi311 Ай бұрын
Jamani Simba inaboa Sana au hawana umuhimu ?
@PatrickEddo
@PatrickEddo Ай бұрын
Kazi ipo
@user-ue6jg2mk5f
@user-ue6jg2mk5f Ай бұрын
yani sio siri mchezo wenu unamkatisha tamaa mpaka kocha ukimuangalia jinsi anavyotoka unamuona kabisa anakata tamaa hamjitumi wachezaji wachache ndio wanaonyesha moyo lakini wengine mnacheza tu ilimradi mcheze
@user-gb1jq9zz1j
@user-gb1jq9zz1j Ай бұрын
Wachezaji wote awaitaki simba huo ndio ukweli
@AndreamasoyaKatilimke
@AndreamasoyaKatilimke Ай бұрын
Ally salimu kama htak kubaki simba si aseme sasa anadakaje kama hataki pumbavu zake
@RashidAlly-oy2ed
@RashidAlly-oy2ed Ай бұрын
Simba mbovu
@AminaTanzania
@AminaTanzania Ай бұрын
Wamekuja kichapo kikubwa yaani simba nzombi
@graciellaYerry-hi2ky
@graciellaYerry-hi2ky Ай бұрын
Jamani hadihuluma😢😢😢😢😢
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Ай бұрын
My wa mashujaa anarembua tu😂😂😂😂
@official_peter_og7890
@official_peter_og7890 Ай бұрын
#Israah #MoHusein #M_Yasin_Selemba Ndio watu pekee wenye kuipenda simba yao
@user-rz4mi8og1w
@user-rz4mi8og1w Ай бұрын
Simba sio ya kuicheka ni yakuiyonea uluma
@japhetaverin-ou9rp
@japhetaverin-ou9rp Ай бұрын
😂😂😂
@Ally-sr4cw
@Ally-sr4cw Ай бұрын
Ali Salim kaaibika😂😂
@HusseinMatola
@HusseinMatola Ай бұрын
Kilicho Baki saiv tusiend uwanjan kwenyewe ela zetu bola tulewe .maan viongoz kusajili hamtaki munasajil wachezaj walio suguwa mabenchi saizi muend wenyew uwanjan mukangalieg mavi yenu hayo
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el Ай бұрын
Aibuuu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
BABA MWAMPOSA UKO WAPIII VIJANA WANATUDHALILISHA BABAAA... MWAKA JANA VIONGOZI WALIKUITA UKAJA KUWAOMBEA LAKINI BADO MAMBO MAGUMU BABA JAHAZI LINAZIDI KUZAMA, KILA SIKU AFADHALI YA JANA.... BABA YALE MAFUTA YAKO YA UPAKOO NA MAJI YA BARAKA NGUVU YAKE VIPIII BABAAA... IMEKUWAJE TENAAA MBONA TUNAZIDI KUDHALILIKAAA 😢😢😢 TUNAUMIA BABAAAAAAAAA
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
😂😂 Mwombeni Mungu
@stefanohonory7974
@stefanohonory7974 Ай бұрын
uchawi umeenda wapi Leo mamae hata yakubahatisha
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Ай бұрын
Huyo salim vip sasa
@edwinmtei9400
@edwinmtei9400 Ай бұрын
Kwa hiyo hawa ndo walienda kuitoa al ahly nyumbani kwao!😂
@sarahsalum997
@sarahsalum997 Ай бұрын
😂😂😂hii Simba tumwachi Ahmedy Ally tu ndo anawezana nayo
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 Ай бұрын
😊😊😊
@Josephkihiyo
@Josephkihiyo Ай бұрын
Hamna ki2 hapo kelele2
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 Ай бұрын
Pasco kabombe bhan 😂😂😂😂 et yaleyale
@Josephkihiyo
@Josephkihiyo Ай бұрын
Wanazinguw makundi ilikuw Kam ndoto y robo waliozoea ni aibu bana..
@JonasLukumay-bj9bz
@JonasLukumay-bj9bz Ай бұрын
Dhuluma mbaya sana
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Ай бұрын
Makolo 😂
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Ай бұрын
YuleShoga ahmadaAlly chupiyake yukowapi ashangilietena
@lewismpangala927
@lewismpangala927 Ай бұрын
Lionana hili
@user-fc7zp2nd4m
@user-fc7zp2nd4m Ай бұрын
Imeisha iyo kwa simba wakalime mihogo 😂😂😂😂😂😂😂
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
Onana😂😂😂😂😂😂
@callicevallice7383
@callicevallice7383 Ай бұрын
Tatizo umbea simba, punguzeni umbea jamani
@hagaisanga7286
@hagaisanga7286 Ай бұрын
😂😂😂😂kolo waaaa
@HassanSeif-mh6oh
@HassanSeif-mh6oh Ай бұрын
Hapa kipa amna 😂😂😂😂penart zote kaenda upande mmoja
@kwejimisobi4491
@kwejimisobi4491 Ай бұрын
Si ndo huyohyo aliyecheza penalty mkwamkwani kwenye ngao ya jamii na alisifiwa kweli😂😂
@chumatyres7586
@chumatyres7586 Ай бұрын
Ali salim leo katoa boko
одни дома // EVA mash @TweetvilleCartoon
01:00
EVA mash
Рет қаралды 6 МЛН
ISSEI funny story😂😂😂Strange World | Magic Lips💋
00:36
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 136 МЛН
😱СНЯЛ СУПЕР КОТА НА КАМЕРУ⁉
00:37
OMG DEN
Рет қаралды 1,8 МЛН
where is the ball to play this?😳⚽
00:13
LOL
Рет қаралды 14 МЛН
Mpoki kawauzi Gari mbovu wanajeshi | Balaa Analo
10:02
Chekesha
Рет қаралды 70 М.
PENATI ZOTE: HIZI HAPA: YANGA VS MAMELOD
8:07
Vijana News Updates
Рет қаралды 8 М.
Penati | Yanga SC 1-3 Simba SC | Ngao ya Jamii - 13/08/2023
5:28
Respect To This Girl's Bicycle Kick ☠️🥶🔥#shorts
0:14
KickOffTube
Рет қаралды 26 МЛН
Practice Makes Perfect 🤯 #3
0:19
Skiller90
Рет қаралды 9 МЛН
Наказал дебошира спустя годы!
0:56
БЕЗУМНЫЙ СПОРТ
Рет қаралды 936 М.
Helicopter 🚁 you can fly? Made in Miron Spizak🇵🇱  #trenerdryblingu #drybling #skills #football
0:17
Nauka Dryblingu - trener dryblingu Piłkarskiego1v1
Рет қаралды 11 МЛН
Наказал ВРАТАРЯ ЗА НЕУВАЖЕНИЕ #shorts
0:40
Тайна FIFA
Рет қаралды 301 М.
Tragic Moments In Football 😭 #2
0:35
FMOOOD
Рет қаралды 29 МЛН