Рет қаралды 3,186
DW Kiswahili
Fahamu masoko maalum nchini Ujerumani ya kuuza bidhaa mbalimbali. Leo Grace Kabogo amelitembelea soko la Bonn linalojulikana kama ''Markt'' ambalo ni maarufu kwa kuuza bidhaa za mboga mboga na matunda kutoka mashambani kila wiki.