Maziwa ya Kienyeji na Maziwa ya Kisasa (Low fat au Skimmed milk) yapi Salama kiafya?

  Рет қаралды 12,889

Dr Boaz Mkumbo MD

Dr Boaz Mkumbo MD

5 жыл бұрын

Maziwa ni chakula kinachopatikana kutoka kwa wanyama. Binadamu tunakunywa maziwa ya ng'ombe mbuzi ngamia nk.
Maziwa asilia ambayo hayajachachuliwa naamanisha yaliyota moja kwa moja kwa ng'ombe huwa yana protini,mafuta vitamins (A,D,E) pia huwa yana madini ya Chuma yanayo saidia kutengeneza damu,Madini ya calcium ambayo hutusaidia kuimarisha mifupa. Haya maziwa yenye viambata hivi huitwa MAZIWA ASILIA (Full fat milk)
Maziwa ya kisasa ni yale yanayotokana na maziwa asili. Ila yamechujwa mafuta na unapokuwa unachuja mafuta unazichuja pia vitamin zinazotembea na mafuta kama vitamin A,D,E na baada ya hapo utalazimika kuweka Vitamin Feki ambazo tunasema ni "Artificial vitamin" ili kumdanganya mtumiaji kwamba zile vitamin ulizotaka kwenye maziwa teknolojia hii ya kuchuja haijazipoteza. Kumbe zimeongezwa nyingine ambapo zile asilia zimepotea.
Maziwa ambayo ni Skimmed milk ubaya wake wa kwanza huwa hayana ladha, Pili yana uwezo mkubwa wa kupandisha sukari kuliko maziwa asili, tatu hayawezi kukusaidia kudhibiti uzito wako ina maana yatakuhatarisha kupata maradhi mengi yatokanayo na kisukari kutodhibitika na uzito kutodhibitika.
Hebu tizama Video hii mpaka mwisho utaelimika.
Pata nakala ya sayansi ya mapishi upate kujinoa na nina uhakika utayavuka mateso yote unayo pitia kiafya endapo ukifuata elimu hii kwa mazingatio ya hali ya juu.

Пікірлер: 45
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 4 жыл бұрын
Nakupongeza sana Dokta Boaz Mkumbo kwa kweli wewe ni Mkombozi ambae mungu amekujaalia kipaji kikubwa sana cha kuwakomboa watu kiafya maana watu wengi waliangamia kwa kukusa elimu hii ya afya
@user-wr9yz1hh3l
@user-wr9yz1hh3l 14 күн бұрын
Jazaak Allah kheir doctor. Allah akupe Afya njema
@zachariayakubu7949
@zachariayakubu7949 Жыл бұрын
Asante Dr.Boaz unatusaidia wengi na tumepona magonjwa ya ulaji mbaya bila kutumia sawa Mungu akupe maisha marefu yenye kheri.
@nuruali9608
@nuruali9608 2 ай бұрын
Barikiwa Sana Dr Boaz
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 Жыл бұрын
Huyu Dr huwa hajibu maswali anayoulizwa hapa ndiyo maana nimeacha kusubcribe
@elizabethsamwel6691
@elizabethsamwel6691 2 жыл бұрын
Doctor mimi swali langu ni kwamba!? Maziwa mtindi yana athari gani katika mwili iwapo umetumia dawa!?
@user-nd2ps3ik4z
@user-nd2ps3ik4z Жыл бұрын
Nakukubali sana boaz
@albertkingwa7469
@albertkingwa7469 5 жыл бұрын
Asante sana mtalam
@FATUMASWALIHU
@FATUMASWALIHU Жыл бұрын
asante
@gladysgladys7393
@gladysgladys7393 4 жыл бұрын
Wacha nijaribu haki juu nimejaribu Sana na ndimu na maji nilikuwa nakunywa litre moja na niko na kilo115 kwansia sasa nimeaja wacha nifuate masomo nione haki Kwa imani be blessed dictor
@stephanodickson4167
@stephanodickson4167 3 жыл бұрын
Nimepungua kilo12 kwa kufuata maelekezo yko dct.axnte n mungu akulunde.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 5 жыл бұрын
Ahsante dr
@ayubumwaipaya9463
@ayubumwaipaya9463 3 жыл бұрын
Doctor na vip kuhusu maziwa mgando ni sawa katika kupunguza uzito .
@elizamujingamujinga1329
@elizamujingamujinga1329 5 жыл бұрын
Asante
@kapasimoses98
@kapasimoses98 4 жыл бұрын
Soma zuri sana
@mercymacha8982
@mercymacha8982 2 жыл бұрын
Sawa asanteh natoaje mafuta kwenye maziwa
@edwardvelidiana1864
@edwardvelidiana1864 3 жыл бұрын
Tunashukuru Dr kwa huduma hii munguakutie nguvu
@paulosonda8995
@paulosonda8995 5 жыл бұрын
Uko sawa kabisa mm nawashangaa watu wanaonunua maziwa y kopo wakati maziwa y asili yapo
@comcastroadssolutionsltd3500
@comcastroadssolutionsltd3500 5 жыл бұрын
Absolutely Dr
@doreenmshana4529
@doreenmshana4529 5 жыл бұрын
Dr ninavidonda vya tumbo nikitumia maziwa freshi tumbo linajaa gesi lakini mtindi haunisumbui naomba umielekeze shida nini?
@veronicawilliam4817
@veronicawilliam4817 3 жыл бұрын
Docta unatupatia elimu nzuri sana nauliza swali mbali na kisukari je vidonda vya tumbo tiba yake nini na vanasababishwa na nini kipi kitumike na kipi kistumike
@rahazero2730
@rahazero2730 3 жыл бұрын
Asnt mwalimu
@salimamasanja4659
@salimamasanja4659 5 жыл бұрын
Asante Dr ,mi ninakisukari lakini nimegundua nakunywa sana maziwa na sukari inapanda,kumbe nazidisha kipimo,nimekuelewa dr
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Tumia mbirimbi tia kwenye mchuzi na kila unapopenda. In shaa Allah itakusaidia. Nimewahi kuwasikia watu wenye sukari waliopo huku nje wakija huko wanatumia na wanapumzika kutumika madawa.
@jeniphersamson1467
@jeniphersamson1467 2 жыл бұрын
Mbilimbili Nini tujuze
@elizabethmapunda6806
@elizabethmapunda6806 4 жыл бұрын
Asante Sana dr nimekuelewa Sana ila mimi natumia Olive oil na cheese mafuta sasa hiyo cheese inafaa?
@mosesmahenge1150
@mosesmahenge1150 Жыл бұрын
Habari, Maziwa ya packet yaliyoandikwa full cream ni sahihi kutumia kwa mgonjwa wa kisukari?
@FabiolaNgalawa-qi9hc
@FabiolaNgalawa-qi9hc Жыл бұрын
Mm nipo makambako nahitaji bizaa zako nazipataje
@lusekelomwaipyana
@lusekelomwaipyana 3 жыл бұрын
Vipi kuhusu maziwa ya unga je Yana madhara gani kiafya?na Yana faida zipi
@mariethasanga997
@mariethasanga997 5 жыл бұрын
Kwa mbaya vinapatikana wapi
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Maziwa yakikufanyia taabu tia chumv kidogo
@petermathias2284
@petermathias2284 5 жыл бұрын
Nimekuelewa mtaalamu,swali langu ng'ombe yupi anafaa kwa maziwa wa kisasa au kienyeji?
@JosephmasatoKebwasi
@JosephmasatoKebwasi 3 ай бұрын
Wa kienyeji ndo habari ya mjini.
@emmachide9146
@emmachide9146 4 жыл бұрын
Hello Docto, na fuata sana mada yako na yote unayo ongeya ni kweli, ila sisi DRC tuta pataje hizo chakula zako ? Naomba number yako ya watshap. Asante
@DrboazMkumboMD
@DrboazMkumboMD 3 жыл бұрын
TUMA SMS WHATSAPP 0767 074 124
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 5 жыл бұрын
Tulio wengi hali zetu kifedha ni ndogo. Mafuta ya olive oil ni aghari sana na ya alizeti ndio pendwa na bei ni wastani. Je, tutaishi kutumia karanga na nazi tu?
@DrboazMkumboMD
@DrboazMkumboMD 5 жыл бұрын
Margareth Solomon Hilo liko nje ya uwezo wangu kama Daktari. Kazi yangu ni kukufundisha kile ambacho ni kizuri kwa afya bila kujali kina gharama sana au laa..Kisha wewe Utachagua njia Inayokufa.
@anitamahwago4374
@anitamahwago4374 5 жыл бұрын
@@DrboazMkumboMD Natumia maziwa ya Ng'ombe wa kienyeji sana. Ina maana nitoe Kilimu hii ya maziwa ni siitumie. Mi natumia kwa kuungia mboga na kutengenezea vitafunwa.
@DrboazMkumboMD
@DrboazMkumboMD 5 жыл бұрын
Anita Mahwago Sikiliza tena somo langu upate kuelewa vizuri
@renialukamya914
@renialukamya914 5 жыл бұрын
Margareth Solomon sasa kama kipato hakitosho utakapoumwa alaumiwe nan?
@toyosameer
@toyosameer 4 жыл бұрын
Maji ya madafu mazuri kwa mgonjwa WA kisukari
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 101 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
CHANZO CHA UGONJWA WA KISUKARI, FAHAMU TIBA YAKE YA ASILI...
7:31
Global TV Online
Рет қаралды 6 М.
5 Reasons Diabetics SHOULD Drink Almond Milk Daily
14:12
Diabetes Fixer
Рет қаралды 24 М.
KUTENGENEZA YOGURT "LOW FAT" NYUMBANI KWA URAHISI
3:46
Foodlovers Tz
Рет қаралды 25 М.
KUTENGENEZA YOGURT NYUMBANI/ MAKING FLAVORED YOGURT AT HOME
6:14
Why is Starbucks being boycotted?
12:59
GZT
Рет қаралды 68 М.
MAPISHI BAGIA ZA DENGU
19:04
Sunday Temba
Рет қаралды 295 М.
Lishe bora ya mgonjwa wa Kisukari. Jifunze sayansi ya vyakula na Kisukari
20:38
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН