#TANZANIA: Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe aivaa Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapunguzia Wananchi wake umasikini. Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE KZfaq Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram
Пікірлер: 9
@elibarikimollel714917 күн бұрын
Mwalimu Nyerere aliruhusu mwananchi kwenda kuishi popote ndani ya nchi bila kujali anatokea Mkoa gani mradi asivunje sheria,lakini kumteua DC,RC kada wa chama kutoka mkoa wa mtwara kwenda kuwa DC,au RC kwenda kuongoza mkoa mwingine asikojua jografia,tabia, changamoto,na wanavyoishi kwa asili zao,ni dharau kwa wananchi ambao kila mkoa wana uwezo na haki ya kumchagua wanayemtaka, ndipo Rais amteue kama mwakilishi wake kwa wananchi husika
@AbdallahHussein-of7wd16 күн бұрын
Kwel kuna mahari kuna changamoto za kiongozi serikali iruhusu wapinzani washike dolla kama tutaona hawafanyi vile wananchi hatujatarajia kwenye uchaguzi tunarudi chama tawala tena
@AllyMandunda-tj9jc17 күн бұрын
Watakuja,wanakwenda kwa kanda. Wapo kanda ya kaskazini,Njombe ni kanda ya Nyasa watakuja tu njombe.
@user-zk9ox3di4b16 күн бұрын
asante sana ndugu yangu waambie hao tuuuzie sera utatufanyia nini ukichukua. nchii mwaambie Samia awache kiti Cha taifa sababu anaitumbukiza nchi kwenye uwislamu wakirto awapewi kazi Tanzania sio nchi ya kiislamu waaambie chukua mkondo mpya nilazima watanganyika waishi kwa mapambano kaskasini wame tengwa. na Samia atupewi ata uwaziri ata mmoja je serekali ya Samia atutaki mabeberu ndani yabunge tunawaona walowezi ndani ya. bunge bado mapambano mapambano tuamke wooote fungueni macho wenu ni simba sauti ya wanyonge tunataka serekali iheshimu haki za raia wenu Simba sauti ya wanyonge tunataka serekali
@JoyceKabula-in1sh17 күн бұрын
Pokes mauwa baba 🎉🎉🎉🎉
@ElishaOisso17 күн бұрын
Peoples
@eliahnjavike482717 күн бұрын
Mbona Njombe hamni,mnabagua
@AllyMandunda-tj9jc17 күн бұрын
CHADEMA HAWANA UBAGUZI
@SundaySteven-bz4yq17 күн бұрын
Watanzania wanadanganywa kwamba waitunze amani manayake hata wakikamuliwa damu na serikali au ccm wasiandamane wawe wazalendo ubwege huu tuukatae