MBWADUKE:MARVELOUS! HUYU OKEJEPHA NI KIPAJI HASA SIMBA/ MVP NIGERIA ANAYEKATA UMEME BILA KAZI CHAFU

  Рет қаралды 31,329

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

7 күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Пікірлер: 30
@fanuelfedrick2812
@fanuelfedrick2812 6 күн бұрын
Naombeni like siyo ubaguzi hivyo
@Stavanger-cr3ee
@Stavanger-cr3ee 6 күн бұрын
MO, unatishaaaaa, ila Fei na Mayele TUACHIE sisi Mashabiki tukusaidie, unafanya kazi kuuubwa Mzee baba🏆🏆🏆
@AudaxLwekamwa-kt6eg
@AudaxLwekamwa-kt6eg 4 күн бұрын
Sawaa Simba tumesajili Lakini mwanetu #Mbwaduke kazi ya uchambuzi anaiweza aiseeee Big up sana Brother
@FedeBoy-t5u
@FedeBoy-t5u 6 күн бұрын
Pia ningeomba utupe uchambuzi kuhusu Deborah Fernandez
@drallan6879
@drallan6879 5 күн бұрын
tunafurahia presentation zako mwaduke
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 6 күн бұрын
Huyu dogo anaonekana anatumia akili sana
@gasparyeugene4855
@gasparyeugene4855 5 күн бұрын
Ukisikia jina Fernandez ni shida ❤
@user-ix3ml6dm6y
@user-ix3ml6dm6y 4 күн бұрын
Jaman naomba like na ww
@JohnMhenga-cj2cs
@JohnMhenga-cj2cs 6 күн бұрын
Welcome okejepha
@user-pr1nk6vr2q
@user-pr1nk6vr2q 5 күн бұрын
Mungu ajalizie kazi ya mikono yko broo❤❤❤
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 күн бұрын
Mo Mayele na Fei tunawaomba
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 6 күн бұрын
Simba inasajili udagaudagaaa😂😂😂😂😂😂😂duh patamu hapo
@laurentjoseph2381
@laurentjoseph2381 6 күн бұрын
Umejuaje kma ni udagaudaga,?
@AbdullyMtwane
@AbdullyMtwane 6 күн бұрын
Welcome debola mavambo fernandez
@NasmaMwarabu
@NasmaMwarabu 6 күн бұрын
FEI mwakani ndani ya simba
@Mariampaul-me7qo
@Mariampaul-me7qo Күн бұрын
Mchambuzi boraaaa🎉🎉🎉
@user-bi6bo2hh9o
@user-bi6bo2hh9o 5 күн бұрын
Moo chukua fei toto simba atakiwahsa sanaaa
@gasparyeugene4855
@gasparyeugene4855 5 күн бұрын
Vyura washapata hofu hapa😢
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 6 күн бұрын
Nilikuwa nasubili upange kikos Cha Simba kitakavyokuwa
@NicolasSaimon-ot8pe
@NicolasSaimon-ot8pe 6 күн бұрын
Wakwanza leo😅
@user-tb1fe4it1m
@user-tb1fe4it1m 5 күн бұрын
Ahsante kwa uchambuzi ila tusaidie na failure Zak maan mazuri tayari tumeshapata mr . Statics
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 4 күн бұрын
Umesikiliza mpaka mwisho Mkuu au bando lilikata? Mbona humu Mzee wa Data kaeleza yote mazuri yake na changamoto zake? Sikiliza tena vizuri...
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 4 күн бұрын
😂😂utopolo mnasikia haya, Heshima lazima.
@HairuIssa-f9y
@HairuIssa-f9y 6 күн бұрын
Nkufuatlia xn
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 6 күн бұрын
Mnasemaje hukoooo
@StephenMezza-wg4ts
@StephenMezza-wg4ts 5 күн бұрын
Tunaomba utupe taarifa za ELIE MPANNZU
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 4 күн бұрын
Tusubiri Welcome(s) mpya ili kujua kama naye yumo ama ama la!
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 5 күн бұрын
Ningekua kiongozi yoyte pale simba ningemuajiri huyu mwamba ktk uchambuzi wa wachezaji na kujua na akae wapi ,kwa sababu ipi, huyu ni hatari
@StephenMezza-wg4ts
@StephenMezza-wg4ts 5 күн бұрын
Vp Elie Mpanzu amesajiliwa na Simba ?
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 4 күн бұрын
Soon...jiandae maana Mzee wa Data atatiririka hapa kwa facts tupu!
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 108 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
TAZAMA UFUNDI WA JOSHUA MUTULE HATARI
3:23
IZZO MEDIA
Рет қаралды 22 М.
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН