MCHUNGAJI HANANJA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA MAANDAMANO YA KENYA // AFICHUA MAZITO...

  Рет қаралды 31,016

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Ай бұрын

Пікірлер: 88
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile Ай бұрын
Wa arusha apewe miaka 1000000000000000 ya uraisi wa tanzania
@HellenLemilya
@HellenLemilya Ай бұрын
We ndio umeongea kweli, mchungaji mzuri, Mungu akubariki uendelee katika kweli
@joshuamwalusambo2391
@joshuamwalusambo2391 Ай бұрын
Kweli kabisa yule wa arusha na wAziri wa arizi MUNGU AWAPE MAISHA MALEFU
@BoniphaceButambala
@BoniphaceButambala 19 күн бұрын
Baba upo sawa nchi yetu imeharibika sana
@abdullahigedi9425
@abdullahigedi9425 Ай бұрын
Shukrani kwa ndugu zetu wa Tanzania kwa maoni na hisia zenu ... mie abdalla kutoka kauti wa Garissa kenya
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
Nyie Kenya subirini tuu Mungu Anaenda kuipeleka Kenya pazuri..endeleeni kumuombea Rais wenu Ruto. Mungu awalinde jirani
@amisibilly5084
@amisibilly5084 Ай бұрын
Nilikua nilisha mmiss mzee wangu from Australia big up sana
@rastaraj9577
@rastaraj9577 Ай бұрын
Asante kwa kuwahi kumleta mchungaji alete maoni yake, tunampenda xn 254 mpk kieleweke
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
Ruto must Go
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
Makonda Mungu akulinde Sana ❤❤❤
@Erick350
@Erick350 Ай бұрын
Mungu akubaliki pastor umbea Kenyan
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 Ай бұрын
powerful massage, stay blessed comedian pastor😜
@ronaldkimengich8958
@ronaldkimengich8958 Ай бұрын
We love you Hananja welcome to 254
@user-id1me9ve1o
@user-id1me9ve1o Ай бұрын
Masha Allah Wewe ni Bola Sana Baba Allah akuongoze ❤❤
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 Ай бұрын
Makonda ni kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea
@wisemanking001
@wisemanking001 Ай бұрын
Makonda ni kiongozi 100%
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Ай бұрын
Asante baba hata mimi kipind chamagu nilimchukia sana huyo mjomba lakini sasahivi wakamaliza 2000 zangu kilasiku nafurahia tu watu majibu yao yanavyoponywa
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi Ай бұрын
Tunataka kujua kodi zetu zinafanya nini. Deni ya nchi ilichukuliwa ya nini na ilifanya nini. Tunataka audit ya deni ya nchi tusiwe tunalipa pesa ziliwekwa mifuko ya watu.Kile kimetukera wa 🇰🇪 sana ni vile ruto na wenzake wanatuonesha madharau kiburi majivuno wakituonesha vile wameunga mapesa za ufisadi kwa kurukaruka na mahelikopta wamenunua na pesa zetu za wizi,,magari makubwa kuva ngua za biatu na saa za mamilioni ihali umasikini.umekomea kwa wananchi. Pili kudanganya wananchi kama watoto na hakuna maendeleo yoyote nchi . Kila kitu kimesimama 🇰🇪. Wanao jimudu ni wabunge na wanasiasa pekee na familia zao.Hawajali wananchi.
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 Ай бұрын
Africans tunahitaji viongozi wanyampara😂😂 noma sana
@jumamario-vr1mw
@jumamario-vr1mw Ай бұрын
Kweli mungu awae maisha marefu
@ezrakipkurui9094
@ezrakipkurui9094 25 күн бұрын
Tanzania mjiombee kwanza mue na uhuru yaku andamana
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile Ай бұрын
Kenya ni wazalendo wababe wananchi heshima kwa wananchi wababe
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Wababe gani???? Wanachafua na fugo tuu.
@Mpakauseme
@Mpakauseme Ай бұрын
Kwasababu wewe umetawaliwa na ujinga ukiambiwa chochote na wanasiasa wewe unaitikiaitikia ndio mzee ​@@awatifalghanim1106
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 Ай бұрын
​@@awatifalghanim1106nawewe ikakuuma
@michaelsiafu2369
@michaelsiafu2369 28 күн бұрын
Huyu mzee yuko smart sana..
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Ай бұрын
❤❤❤ umesema kweli
@kelvinmureti-fo4uy
@kelvinmureti-fo4uy Ай бұрын
Na huchochezi ndio mingi kutoka kwa vyama vya huongozi
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 Ай бұрын
Congratulations
@ginazngo4317
@ginazngo4317 Ай бұрын
😂😂😂hatari sana mungu amecheka hee meno wake yakaaje umeongea pwenti lakini hapo mungu ameche ka subiri niulizia maana mhh
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 Ай бұрын
❤❤❤
@MauBonde
@MauBonde Ай бұрын
Hata hiyo roma mpaka leo inajulikana kidunia ishamwaga damu...dah.
@bonniegtmagabe2009
@bonniegtmagabe2009 Ай бұрын
Mnazingua na hizo jingle zenu
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Makonda Mungu akurinde
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Hananja anasema ukweli
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
Mikoa mingine igeni huyo wa Arusha Hananja Mungu Akutunze
@hassaniabdi3991
@hassaniabdi3991 Ай бұрын
Sana makonda yupo vizuri sana
@MaryWuantet
@MaryWuantet 20 күн бұрын
Mungu ampe makonda uraisi jamani
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Ай бұрын
Mi nilishawaambia kitambo,Makonda ni mtu na nusu.
@danielshimora5315
@danielshimora5315 Ай бұрын
Hongela mama samia ni msikivu,.
@MRASISKA
@MRASISKA Ай бұрын
Msikivu wa nyokoo
@danielshimora5315
@danielshimora5315 25 күн бұрын
Toa hoja acha matusi,,au utakuwa tahira wewe,, acha kutukama watu ambao hawakukuza mtukane mama yako aliekuzaa na Baba Yako masikini kwani wakina bahalesa azae nao.
@alphabetagama3736
@alphabetagama3736 Ай бұрын
After raising your concerns, please give Ruto a time to rectify!
@megabrecatechniks
@megabrecatechniks Ай бұрын
He has no penchant to rectify. We want him out! otherwise, he'll face it rough. we are here for the long haul.
@baloz8974
@baloz8974 Ай бұрын
Ruto had enough time since ever he was In government in past all of those serikalis he has hasn't done anything for sure,tume does he want more it's 2yrs for now just stealing public money over taxing raia who is this guy .?zakayo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Makonda kaiongezea CCM uhai. Watanzania walichoka na CCM. Tuseme ukweli bila ya Makonda CCM isingeshinda.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Ай бұрын
Ccm Imeshinda wapi? Mnajidanganya! Ccm labda kwa wizi na kusaidiwa na polisi! Lakini uchaguzi huu ccm hatuitaki ife tu!
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii Ай бұрын
Ni kweli hakuna aliyekamilika na Kila kilichokobaya wakati mwingine kinaweza kuwa kuzuri kama vile sauli na badae akawa Paul akawa chombo kweli kwa Sasa makonda anajitaidi sana sana makonda Fanya kazi
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Ай бұрын
Hata mawazo yangu nikama yako baba
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Wamasai loliondo
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi Ай бұрын
Mchungaji chote kile umesema na kutosikiliza na kutojali umenena mia kwa mia rais wa bandia fisadi mkubwa muuwaji murongo Ruto wa 🇰🇪. Hapo ndiyo ametufikisha ukiona tukiingia maandamano
@SamuelKimani-xk5fl
@SamuelKimani-xk5fl Ай бұрын
Wambie wakwenyu pia wayanjue hayo
@damianikimario5695
@damianikimario5695 Ай бұрын
nimekuelewa sana.. yani umeongea kwa hisia mkuu unakitichako mbiguni. 🇹🇿👊👊
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Ай бұрын
Nimefahamu anachokiongea lakini sijaelewa
@KashumbaMshanzi
@KashumbaMshanzi Ай бұрын
Nakushuru kuwambia ukweri viogozi muwaskirize watu makoda
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau Ай бұрын
Maneno kuntu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Mjinga fulani aitwaye Lissu na Lema siku zote ni kuwaongelea vibaya watendao mema😢😢
@Mpakauseme
@Mpakauseme Ай бұрын
Kwasababu wewe bado ni mjinga , uliona wapi wanasiasa wakaongeleana mema wabongo mmelala sana usingizi
@babupiza641
@babupiza641 Ай бұрын
Kama wwe ulivyo mjinga
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 28 күн бұрын
Kwani Grace kagoma wewe ni mlaanika ,ivi Tundu Lisu kuharibiwa mwili wake vile wewe una endelea kumlaum lisu na lema watu ambao maisha yao yalikuwa kwenye uvuli wa mauti namna ile hakika wewe ni mlaanika
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Ай бұрын
KIONGOZI WA ARUDHA WANGAPI MMESIKIA HAPA KATAJWA MAKONDA?
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
❤❤❤❤😂
@MahdouMomba
@MahdouMomba Ай бұрын
Yule jamaa wa Arusha ana spirit ya yule Baba yetu wa Chato, naamini kuna mengi ya kujifunza kwa yule jamaa wa Arusha
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 26 күн бұрын
Makonda ninampenda mno,akachukue tu fomu ya uraisi.
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
kenya walipigania katiba haikuwa rais vile.ndio maanake nchi kama; Tanzania Uganda Nigeria Congo Nigeria Sudan Zinatamani katiba mpya ila sio rahisi
@yaredyndaga6483
@yaredyndaga6483 Ай бұрын
beat la wimbo gani ?
@kelvinmureti-fo4uy
@kelvinmureti-fo4uy Ай бұрын
Hello am kelvin mureti from Kenya,wakenya hatawataki kulipa hushuru
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 Ай бұрын
YOU ARE DEFINITELY NOT KENYAN..WHO SAYS WE DON'T WANT TO PAT TAXES..WE WANT ACCOUNTABILITY FOR WHAT IS BEING COLLECTED WE CANNOT BE BUDGETING FOR CIRRUPTION . wewe sio mkenya tutue tukome konokono kiwete wewe
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Huyo kiongozi wa Arusha anafanya uhuni tu
@johnmasha7851
@johnmasha7851 Ай бұрын
Thanks kelvin for ur numb remark
@johnmasha7851
@johnmasha7851 Ай бұрын
Thanks kelvin for ur numb remark
@johnmasha7851
@johnmasha7851 Ай бұрын
Thanks kelvin for ur numb remark
@hassaniabdi3991
@hassaniabdi3991 Ай бұрын
Viongozi wa juu ndiyo matatizo awana sauti ndiyo mana zuluma imerudi na wizi kila sehemu ivi sasa
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Ай бұрын
Vijana bangi na kuto penda kufanya kazi. Kutumika vibaya na wapinzani. Pole yake Ruto Moja kati ya Marais wenye busara kuwahi.kutokea duniani
@TinakishO
@TinakishO Ай бұрын
If you don't know what is happening here in Kenya, shut your trap!
@Mpakauseme
@Mpakauseme Ай бұрын
Wewe kwasababu bado ni mjinga , wakenya sio watu dhaifu kama wabongo nyinyi mnapelekwapelekwa kama wanyama pori
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Sasa tangia mmeandamana mmeshapewa Hela
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev Ай бұрын
We si huna akili​@@tinnahagustinolyelu4247
@wakalekimz
@wakalekimz Ай бұрын
Wee mama kalale .shoga mkubwa
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,7 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 50 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 458 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,7 МЛН