#MEDANIZASIASA

  Рет қаралды 10,158

Star TV Habari

Star TV Habari

Күн бұрын

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Пікірлер: 20
@ebitariho9720
@ebitariho9720 Жыл бұрын
Odemba unahitaji kuwa na malengo na interview zako. Unayumba Sana. Unazunguka kila mahali hujui unacho taka wasikilisaji wako waondoke nacho. Kwafano, unataka tumjuwe Fatma au unataka msimamo wake wa kisiasa, au unataka atupigie story.
@mrlovemsange7378
@mrlovemsange7378 Жыл бұрын
Asante chef odenba kwa unacho kifanya
@Hk-ig3ex
@Hk-ig3ex 4 ай бұрын
Uhuru kenyatta ni jina..lakkni halikua jina tuu..kuna maandalizi yalifuatia..hajui fatma hayo..aulize ...
@Hk-ig3ex
@Hk-ig3ex 4 ай бұрын
Hajui analo zungumza huyo fatma
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
Fatma hana njaa Ametokana na royal family ila anahitaji mabdiliko na anamsimamo usio yumba
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 2 ай бұрын
hatutaki wazanzibari watupigiee kelele kwenye aridhi ya tanganyika
@suleimanmohammed615
@suleimanmohammed615 Жыл бұрын
Pamoja Sana shangazi ulisaidia Sana kupambana na DIKTETA MAGUFULI amani iwe nawe shangazi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Жыл бұрын
Angeanza na baba yake 2001 alivyowaulisha Ndugu zetu wingi kwa Risasi Pemba hili apate U Raisi then ndo aendelee na huyo Magufuli Tuwache Unafiki tuingie Peponi
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 3 ай бұрын
​@@zanzibarboyzanzibar509Na ww uwache unafik pia
@thomsanga7956
@thomsanga7956 Жыл бұрын
Mwanasheria namba moja anaeunga mkono ushoga huyu!! Bora tuwe na utawala wa udictator kuliko kuwa na uhuru wa mashoga
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
Fatima kaa na ufahamu japokuwa ulikwa haujazaliwa kwamba maovu unayosema hayo maovu aliyoanzisha babu yako hayati Shehe Abedi Karume hebu muulize bibi yako ujuwe hivyo na ukazaliwa wewe mbona hausemi hilo
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 Жыл бұрын
Shangazi hatafuti kyjipendekeza ili apate mkate wa nyumbani maana katoka Royal family.Anasukumwa na haki.Hilo tu Sasa lazima akumbane na kadhia kwasababu ya mfumo tuliorithi enzi za ukoloni ambao anataka ubadilike And She is Right my friends. She sees the wrongness as the outspeaking lawyer and activist
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Жыл бұрын
Haki ipi anayoisimamia kwa Mfano?
@anordgerison8639
@anordgerison8639 Жыл бұрын
Natamani mtt wangu awe na akili Kama za fatume karume
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 Жыл бұрын
Ahahahahhahahah!Omba sana maana huyu Fatma kazirithi akili nyumbani kwao Ahahahahahahhahah! Kama.zipo home,itakuwa na kwa kudra za Mungu
@thomsanga7956
@thomsanga7956 Жыл бұрын
Basi huna akili
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Жыл бұрын
@@damasiuspetro5178 Akili za kupora viwanja Wazanzibar Wanyonge?
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 5 ай бұрын
Kwa nini usitamani wewe uwe na hizo akili, peleka mtoto shule na sio bora shule peleka shule za maana, msaidie mtoto wako awe anasoma vitabu kuwa na uwezo mkubwa wa akili anza kusoma nae au nao vitabu mbalimbali vya level yao pia waulizwe wameelewa nini na wamejifumza nini, unaweza kuwa na shule yako pia nyumbani ya kuwakuza watoto uwezo wa kujieleza waje na topic au wape topiki ya kuilezea
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Afadhali yako Umesema ukweli. Fatma .Naona kina mbowe wanalaumu magufuli eti aliwafungia mikutano ya hadhara. Samia Miaka miwili yake ya urais hawamusemi . Kama aliwafungia mikutano. Akili yao magufuli, magufuli Mbona Hata samia Miaka miwili yake hakuwaruhusu leo kawaruhusu. Wanapongeza Wamebakia kulamba asali
@victorgitigan631
@victorgitigan631 Жыл бұрын
Leseni ya Shangazi irudishwe bila masharti yeyote! Kina mama pigeni kelele wanaoizuia leseni hiyo ya Shangazi wana tabia mbaya ni ni kinyume cha sheria!
Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 1
41:43
YahStoneTown
Рет қаралды 124 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
Millard Ayo Akimhoji Babbie Kabae Katika Uzinduzi wa SHAJARA
1:10:37
WANAUME LALENI NA KANGA WANAWAKE TUSIANDAMANE
25:24
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
#LIVE-SULEMANI BUNGARA[BWEGE} NDANI YA MEDANI ZA SIASA.
59:20
Star TV Habari
Рет қаралды 8 М.
HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO
35:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН