MFANYABIASHARA ACHARUKIA VIGOGO KARIAKOO “SAIVI WANALINDWA NA ASKARI, HATUFUNGUI MPAKA RAIS”

  Рет қаралды 73,570

Millard Ayo

Millard Ayo

12 күн бұрын

Пікірлер: 220
@issashekh4726
@issashekh4726 11 күн бұрын
Uhuru wa kujieleza ulete tija na mabadiliko ya kisera na kisheria kwa maendeleo ya taifa letu ❤
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 11 күн бұрын
Narudia tena hawa wanyilamba 2 kitilia mkumbo na mwiguru hawakufai mama samia fukuza hao wapo watu wapya wasomi wakubwa sio hao wako kwa wizi tu hawakufai tafadhari tafadhari mama samia wanakuchonganisha na wananchi hao
@husseynomar9523
@husseynomar9523 11 күн бұрын
SWALA NI MOJA NCHI HAINA WAADILIFU TU...😢
@hamadikandota6271
@hamadikandota6271 11 күн бұрын
Tanzania kujikomboa kifikra bado sana eti wanamtaka mama samia kwan mama samia hajui kinachoe delea? Shida ni Uongozi mzima wa nchi ya Tanzania kuanzia chini mbaka kwa Rais Wabongo mkiacha uonga viongozi wenu watawaheshimu. Yan unamtetea Samia af unamtukana mtu wa TRA kwan Unazan TRA atakufata bila kufata katiba ambayo imesaimiwa na Rais apo
@awadhally1052
@awadhally1052 11 күн бұрын
Kwel kabisa
@hamiskayombe6061
@hamiskayombe6061 11 күн бұрын
Dah wasaidieni wafanyabiashara jaman inatia huruma sana Wanahoja za Msingi
@bilid4128
@bilid4128 11 күн бұрын
Huyu ndio kaelezea vizuri kwa uchungu
@machujamathias7165
@machujamathias7165 11 күн бұрын
Mko sahihi, Gomeni
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 11 күн бұрын
Hili swala la migomo litaleta hasara kubwa katika hii Nchi yetu,Mheshimiwa Rais Mama Samia nakuomba uwasikilize Wananchi vizuri huyo Waziri Mwiguru ni kama vile hawajazaliwa na wazazi masikini,Wekeni kodi zenye urafiki na wananchi alafu hizo kauli za Mwiguru huwa sio rafiki kwetu!
@BabaZuu-fq8zj
@BabaZuu-fq8zj 10 күн бұрын
Rais haombwi wewe mbwa anaagizwa afanye acha uwoga watanzania au ujapiga kura ww
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 10 күн бұрын
@@BabaZuu-fq8zj Mimi sio mbwa kama unavyofikiria mimi ninaheshimu mamraka zilizoko Nchini mwangu kwa mujibu wa sheria na imani yangu;Tumeimizwa kutii Mamraka zinazotuongoza:-QURAN4:59Soma uelewe sio unatukana tu bila akili,sio kila haki inadaiwa kwa fujo!
@sonnyr1899
@sonnyr1899 11 күн бұрын
Mama Samia please jitokeza upige spana hawa watu wanao watesa wananchi.
@mohammedalishamis9405
@mohammedalishamis9405 11 күн бұрын
Ni kweli toka zamani mfumo wa malipo si mzuri na hao wafanyakazi wa serikali hawautaki mfumo mzuri sababu watakosa kula
@subirahowen124
@subirahowen124 11 күн бұрын
Ni kweli kabisa wafanyakazi wa serikari tra wananufaika na rushwa
@RenatusMatungwa
@RenatusMatungwa 11 күн бұрын
Kwani hawalipwi mishahara.?tatizo hawaridhi na mishahara yao mwisho inawagharimu na wengine
@mohamedisalimu
@mohamedisalimu 11 күн бұрын
@@RenatusMatungwa TRA wafanyakazi wengi mno...mishahara mikubwa wanafilisi nchi
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 10 күн бұрын
Nimegundua kuanzia ngazi za juu mpka chini wanafiki sana, kama mama anaongea na makonda akiwa kwenye kikao inakuwaje anashindwa kuongea na chalamila live mbele ya wafanyabiashara. Lao moja hakuna cha mama wala nani Mission ni moja tu
@rosehaule6765
@rosehaule6765 11 күн бұрын
Uchungu mkubwa mnoo😢😢Mama samia ingilia kati
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM 11 күн бұрын
Jifunzeni kwa majirani zenu Kenya
@reginas1832
@reginas1832 11 күн бұрын
Samia mwenyewe yuko busy kuuza rasilimali zetu
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 10 күн бұрын
Point sanaaaa ndio Life lakibingo lushwa imetawala nibora mlivyo elimika ukitoa rushwa unakua umejilisha hasara ww na familia yako bola utoe hera ifike selekalini italeta maendereo yako nakizazi kijacho🙏🙏💪💪🔥🔥🔥🔥🔥
@robertmoshi2113
@robertmoshi2113 11 күн бұрын
afuu mpigie kura chama kimoja cha ccm yan
@maswimadaraka9094
@maswimadaraka9094 10 күн бұрын
Kuna machinga wana mitaji hata wenye maduka hawafiki … ni kweli kabisa
@bukharysaid
@bukharysaid 10 күн бұрын
Wanachukua meza ili wakwepe kodi
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 11 күн бұрын
Ni uwizi wa asubhuhi na sio usiku serekali inapoteza matrilioni kwa.sekunde
@kawiche4911
@kawiche4911 11 күн бұрын
SAMIA YUKO BUSY KUTAFUTA WAWEKEZAJI ANDISHINDWA KUJUWA NCHI ITAJENGWA NA WANANCH WENYEWE HAKUNA NIDHAMU YA KAZI SASA ANAONGOZA NINI
@joshuamwalusambo2391
@joshuamwalusambo2391 11 күн бұрын
Kusema ukweli kabisa mimi mwigulu sijawahi muelewa ni msomi ambaye hsangalii uhalisia wa Manisha ya watanzania .kwahiyo kama ataendelea kuwa waziri wa fedha tutarajie matatizo makubwa zaidi ya haya kwa wafanya biashara
@enoskilongo7685
@enoskilongo7685 10 күн бұрын
Lipeni Kodi acha maneno mbona mimi nnalipa nasijawahi walaumu
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 10 күн бұрын
Wewe ni mhujumu uchumi
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 11 күн бұрын
Kazi iendelee wazee na vijana , let's work continue kumbukeni kwa mjenga nchi ni mwananchi. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 11 күн бұрын
Baadhi ya viongozi wanamwaribia mheshiniwa rais mama waangalie sana
@r14kgroup68
@r14kgroup68 10 күн бұрын
Point mzee baba
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e 9 күн бұрын
Toka mama aingie madarakan sijawah ona ziara ata moja akiwasikiliza wananchi, mungu ibarik tz
@BonfaceMwaipaja
@BonfaceMwaipaja 10 күн бұрын
Kuhusu wachina ni tatizo kubwa sana ,tena wakikoma himekula kwenu sio watu kabisa ulizeni afrika kusini pambaneni mapema sio wazuri watawashindeni kibiashara
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 9 күн бұрын
Aiseee mtanzania genius anajua kujieleza
@woah.africa99
@woah.africa99 10 күн бұрын
Kweli
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 11 күн бұрын
Hapo safi sana. Mungu hawa linde.
@user-xn1nw5cm1h
@user-xn1nw5cm1h 6 күн бұрын
Mama Samia atawasaidia Nini na hao viongoz ndo kawateua yeye hap kazen kugoma tu au maandaman ndo suluu kwa maon yangu
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 9 күн бұрын
Kweli kaka lazima nchi imlinde mzawa, hapo Kweli mchina hafai😅😅
@matjjoseph9708
@matjjoseph9708 10 күн бұрын
Point 🤔👏👏👏
@Mapishinatibatv
@Mapishinatibatv 10 күн бұрын
Lipeni kodi acheni janja janja ,tukilipa kodi kama Amerika tutanyooka kama rula , kwa sasa hivi walipa kodi halali ni wafanyakazi tuu.
@anicethpeter3100
@anicethpeter3100 10 күн бұрын
Wa Kenya hoyee
@hubasuleiman1701
@hubasuleiman1701 11 күн бұрын
Ilo kweli
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 10 күн бұрын
TRA Iondolewe serikali iweke mfumo ambao mlipa kodi atalipa na hela itaingia moja kwa moja hazina na sio kupitia kwenye mikono ya vishoka TRA
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 9 күн бұрын
Mimi binafsi naon wamachinga waondolewe kabisa tuwe tunanunua dukani kama posta, maana kwanza wanaongeza msongamano na wizi
@mpefu_4936
@mpefu_4936 10 күн бұрын
Jamani kwa aoni malalamiko ya watu wake akaingilie kati
@Thomasimasalu-pn8zi
@Thomasimasalu-pn8zi 10 күн бұрын
Wafanye kazi na wao wasitegemee mishahala waone kama ni rahis
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 11 күн бұрын
Sasa kero zote hizo, harafu kenge Moja tu inaanza kutishia tishia
@user-ob8cd2zj1o
@user-ob8cd2zj1o 11 күн бұрын
Yule sio Mkuu wa Mkoa bali mchekeshaji#
@awadhally1052
@awadhally1052 11 күн бұрын
Yule ni kenge kama nikenge wenginee
@Rasoulhk98
@Rasoulhk98 10 күн бұрын
Haya yote ni madhara ya matumizi mabaya ya kodi za umma. Mtu huna ajira lakini hata ukijiari wanachukua kile kidgo ulichopata, huu mgomo ni ishara tosha ya ukombozi. Ukiona mwenzio ananyolewa, Zako Tia maji #GodIsGood
@ManyoriModernFarmMMF
@ManyoriModernFarmMMF 7 күн бұрын
na sisi tunahama,maana mwigulu alishasema tuhame basi tunahama wajiongoze wenyewe.MAGUFULI UTAKUMBUKWA SANA..
@hurumalunda2490
@hurumalunda2490 9 күн бұрын
Apo kwa wachina umetishaa maana watatuua kwenye biashara
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 7 күн бұрын
Uyu ana jaziba kunamengi hayajui
@juniorndambalilo66
@juniorndambalilo66 10 күн бұрын
Komaeni hivyohivyo hao viongozi wenu washapewa pesa wapumbavu ....tuamkeni watanzania tunakoelekea tunarudi ktk ukoloni wa watu weupe
@IsmailMjesh
@IsmailMjesh 10 күн бұрын
Wafanya biashara hawamtaki kumskia nani wala cha nani, point yao kubwa wanataka kumuona mama tuuu......... Lolote atakalosema nafsi zao zimelidhika........
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 10 күн бұрын
Sirikali sirikali sirikali 😢😢😢😢😢😢😢, hivi vitu vitawatafuna mpaka kwenye malalo yenu
@user-rg2py2yz4x
@user-rg2py2yz4x 10 күн бұрын
Safi..sanaa😂😂
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 10 күн бұрын
Ndio maama wanalalamika kuna uhaba wa dola kumbe tatizo linatokana mambo kama haya, sasa wanaoleta dola katika mazngira kama haya inakujaje?
@JustineKimwaga
@JustineKimwaga 11 күн бұрын
👏👏 samia jitokeze we ndo msemaji wa mwisho
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 11 күн бұрын
Yuko huko South Africa 😅😅
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 11 күн бұрын
Umezungumzia mambo ya msingi kabisa kwa kweli inatia huzuni na uchungu kwanza wachina wangefukuzwa wataruhusiwaje washindana na wananchi wa kawaida wao si wawekezaji?
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 10 күн бұрын
Inashangaza na kulindwa juu na jeuri juu
@SskKizonga
@SskKizonga 10 күн бұрын
Bongo ujinga sana eti mgeni nae anafanya biashara kama mzawa inaskitisha sana😢
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 10 күн бұрын
Wasomi wengi tanzania wanafanyiakazi kile amabacho hawahakisomea hata hao TRA hawajsomea?Mambo ya TRA
@Mnyakyuboy
@Mnyakyuboy 10 күн бұрын
Ongea wasikie mzeee🙌🙌🙌
@user-eg1fi6gi7b
@user-eg1fi6gi7b 11 күн бұрын
Hii sio Tanzania tena hili ni gulilo
@karlschrader4026
@karlschrader4026 9 күн бұрын
Yaani endeleeni Kugoma mpaka kieleweke
@AlbertRemmy
@AlbertRemmy 11 күн бұрын
Kero ni nyingi sana
@shikuhata
@shikuhata 10 күн бұрын
Kwani wafanyabiashara hamjui makadirio yenu kwa mwaka? Kwanini msubirie mpaka operation ifanyike? Mngekuwa mnalipa Kodi Kwa wakati kamatakamata isingekuwepo
@eliahmaluguofsua
@eliahmaluguofsua 10 күн бұрын
Hujaelewa, kwanza usipolipa kodi kwa wakati inapiga penalty hakuna ambae anafanya makusudi kutolipa kwa wakati ikitokea labda ni bahati mbaya.
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 10 күн бұрын
Ukitoa lisiti utaskia lisiti ndogo . Tunaandi lisiti ya thamani ya hela ambayo hatupati
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 10 күн бұрын
Shida mlio wachagua ni woga Sana
@RahelPetro-ro3yn
@RahelPetro-ro3yn 10 күн бұрын
Tanzania bado 🤔🤔
@AlhajiSalimu-xx3yh
@AlhajiSalimu-xx3yh 10 күн бұрын
Jamaa kuongea point tu
@EmmanuelYohana-if5bq
@EmmanuelYohana-if5bq 10 күн бұрын
IVI MAMA HAONI AU,,AMEENDA,,KOREA KUSINI,,,😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 10 күн бұрын
TRA wanapewa maagizo na wakubwa.
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 11 күн бұрын
Mnakwepa Kodi midomo mirefi mnakwepa Kodi af hamtoi risiti sawa na mzigo sema Huwa mnasitiriwa tu, mkikaziwa mnaanza midomo sera zenu hazina mashiko mshazoea miteremko, kwani ukitoa risiti sawa na mzigo wako nani atakusumbua af waacheni wamachinga wanapanga Kaz kwenye meza maduka yanaonekana juu af wamachinga ndio wateja wenu wakuu wakilasiku hamna shukran wakwepa Kodi wakubwa
@awadhally1052
@awadhally1052 11 күн бұрын
Ww nyamaza huelewi chochote fisadi mkubwa ww
@veronicangailo7644
@veronicangailo7644 10 күн бұрын
Huna biashara ndio maana unaongea fyongo
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 10 күн бұрын
@@awadhally1052 hamtoagi risiti sawa na thamani yamzigo Kwan uongo? Mbona Hilo hamlisemi mnaona yakwenu tu eeh
@bestman8182
@bestman8182 10 күн бұрын
Mara ngapi wateja tukinunua bidhaa mnatuomba mtuandikie risiti ya kiwango kidogo kuliko niliolipa mteja? Na mfunge tu maduka daadek😅
@princejames-vp8fm
@princejames-vp8fm 10 күн бұрын
Wakati mwingine ukikomaa kudai risiti halali ni bora asikuuzie kabisa
@SebastianGeorgeSamuel-yg2zc
@SebastianGeorgeSamuel-yg2zc 10 күн бұрын
Daaah😢😢😢hiiii serikalii hiiii😢😢😢
@thomasmassaga4430
@thomasmassaga4430 10 күн бұрын
Serekali yetu siasa nyingi
@bestman8182
@bestman8182 10 күн бұрын
Wahuni tu wakwepa kodi. Fungeni maduka tuone marejesho mtalipaje
@mpefu_4936
@mpefu_4936 10 күн бұрын
Hiyo ilikuwa aridhi watu wanatajirika kwa rushwa ni dili
@elbattawy2864
@elbattawy2864 10 күн бұрын
Na hili nalo mkaliangalie
@jerrymboyya2346
@jerrymboyya2346 10 күн бұрын
nikweli kabisa biashara za kariakoo wateuliwa wa serkani sio waadilifu
@janifajani8875
@janifajani8875 10 күн бұрын
Kweli k/koo akuna mpangilio mzur wamachinga wange pangiwa upande wao mm ukinipeleka nikanunuwa kitu nikigeuka tu atuwa 5 ukiniambia rudi ulipo nunuwa sipakumbuki
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 11 күн бұрын
Machinga waende machinga complex tu. Hasiwepo mtu wa kupanga nje (50%) ya kinachonunuliwa kariakoo havikatiwi kodi
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 10 күн бұрын
Mwigulu jina lake ni waziri au waziri ni cheo chake yeye anaitwa Mwigulu, kwasababu mi naona kila raisi anaeingia ye ni waziri tu anazunguka kwenye wizara tu,hivi kweli nchi hii tunauhaba wa wasomi kiasi hichi kweli au kuna namna jmn
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 10 күн бұрын
Ila nikweli mnaandika risiti za uongo, mtu akinunua kitu Cha milioni mbili mnaandika laki nane
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 10 күн бұрын
Arudishwe makonda ndiyo ataweza kariako siyo chalamila
@jamaa2760
@jamaa2760 10 күн бұрын
1. Machinga, 2. Wageni kupotea Mitaa 3. Bidhaa pasipo risiti
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 10 күн бұрын
It pain ukisikiliza, sijajua nini shida kwa nchi hii, kweli watu wananenepa na kula hela za watu kiholela na kila wakilalamika mifumo ipo pale pale haibadilishwi, ni huzuni, kaka kashauri vizuri sana wakijua idadi ya maduka mtu akakadiriwa vizuri malipo yake usumbufu usingekuwepo, machinga kariakoo kweli ni kero mbona kuna machinga complex lakini hao machinga hawaendi kufanya biashara huko kumedoda kimya
@MariamOmary-qm3je
@MariamOmary-qm3je 10 күн бұрын
Nikweli
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 10 күн бұрын
WATAWAKIMBIZA WAGENI KWA KWELI... HII NCHI FOOOLISH KWELI 😢😢😢😢😢
@harshkirit6780
@harshkirit6780 10 күн бұрын
Aliyekuwa mkombozi wa wanyonge Hayati magufuli hakupenda nyonge aumie hata kidogo. Baba tutakukumbuka daima. Uongozi unahitaji ubadilike na hawa viongozi wataipooza hii suala kisa tumekaribia uchaguzi mkuu. Shida tunamafisadi wengi Mhe. Rais naomba uwe unawasikiliza wananchi wako kuliko hawa chawa viongozi wanaojali matumbo zao
@Rasoulhk98
@Rasoulhk98 10 күн бұрын
Yameanza kama masiara, ila yatazaa matunda tu. Mwananchi ndio muamuzi wa mwisho wa nchi yoyote.
@mpefu_4936
@mpefu_4936 10 күн бұрын
Kweli kariakoo amna ustarabu bara2 kero mm sijui km na miji mingine Pako hivi tafutia wamachinga pa kuuzia tutawafata
@user-yz3zi6ht3j
@user-yz3zi6ht3j 7 күн бұрын
Walipewa ufree kusudi wapige kura za ccm na wataondoka wote kusini kuja mjini
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 10 күн бұрын
Dadaangu anauza kachori kibalazani kwa mtu apate kuisha watoto wake Lakini wanakuja watendaji kudai kodi duuh mama Samia hapana kwakweli 😢
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 10 күн бұрын
Kwa kwel inchi gan hii😊
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 10 күн бұрын
TRA wasumbufu sana na mfumo wa ukusanyaji Kodi ni mbovu.Machinga wana mitaji mikubwa kuliko wenye maduka.
@juliethhenrymasanja940
@juliethhenrymasanja940 10 күн бұрын
Msifungue kabisa
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 11 күн бұрын
Hao viongoz piga chini washabadilishwa akili na wakuu ndo mana wanalindwa cjui katiba yenu ikoje ila kama inaruhusu piga chini wote
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 10 күн бұрын
Tatizo nchi haina waadilifu mama alifeli mapema kumweka mwigulu kitengo ndiko alipo feli mama tafuta mtu sahihi kwenye izo nafasi utaondoka madarakani ukiwa na dowa kubwa sn lisilo zuri ondoka na dowa kovu la mema mama yetu please kipenzi chetu tunakuomba badilisha wasimamizi wako wanakufelisha nchi aiendeshwi kwa mabavu toa mwigulu weka hata makonda au waziri silaha wapiga kazi hao na wasikivu kwa raia
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 10 күн бұрын
ccm hiii imechoka
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 күн бұрын
Nabado hamjasema mpaka mseme mkitetewa namange midomo juu mnamuona mbaya
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 11 күн бұрын
Kama mambo yenyewe ndio hivi du ndio mana wafanya biashara wengi wanaangukia kwenye ushilikina kuloga, kuua au chuma ulete ili wasipotee na hii inatutisha wengine tunataka kufanya biashara sasa huo upole wa wananchi siku wakichoka na huu ugumu wa maisha wote wantaingia mtaan kama kenya hakuna atakae wazuia. Wafanyakaz wanalia mishahara, wastafu kikokotooo, wafanya biashara kodi, unadhani wakianza kulala njaa watakua na ustarabu tena lazima watakua vichaa tu njaa mbaya shauli yenu serikali😮😮😮
@Peterchipemba
@Peterchipemba 11 күн бұрын
Wawashieni moto kama kenya,,,apo watawaeshimu maana tozo izo ni miladi yao,,kwa kelele izo watawazalau
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 10 күн бұрын
Viongozi wamewasaliti Yesu rohoni pesa mfukoi
@devangandhl2255
@devangandhl2255 11 күн бұрын
Faini inabidi iilingane na thamani ya mauzo Mfano 10000-100000 30000/= 100000-1000000. 100000 Nk kama wanawaamini maafisa TRA Wafanyabishara tushitikiane na TRA na kutoa risiti sahihi Kama TRA wako makini mimi naona kama mfanyabishara hajatoa risiti ni asimamimiwe hapohapo na atoe risiti sahihi ya thamani mara 5 ya mauzo vilevile
@devangandhl2255
@devangandhl2255 11 күн бұрын
Kwani huyu waziri wetu wa biashara mbona kimya.aje akae kariakoo aangalie mazingira
@simonmartin5358
@simonmartin5358 11 күн бұрын
Hiv wewe mfanyabiashara una payuka unafikiri unaraisi hapa tz. Hiv angekuwa magu tayari mgekuwa mmesha pata suruhu, huyu rais wenu kawasikia sana ila ttzo watu wa chino mtajiju
@callicevallice7383
@callicevallice7383 10 күн бұрын
Na hili nalo mkalitizame😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 11 күн бұрын
Serekali inabidi Tanzania nzima mtoe machinga kwenye njia za kutembelea kwa miguu nje ya maduka. Watafutieni sehemu special za kuwaweka ili wafanye biashara zao hapo .
@Masa__966
@Masa__966 10 күн бұрын
Tunisia’s kitu kutoka kenya jamani..!
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 10 күн бұрын
Ni kweli wachina wanauza hadi maua ya buku
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 10 күн бұрын
Hapo kwa wa China umesema kweli kaka
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 44 МЛН
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 64 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 12 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 231 М.
MFANYA BIASHARA AJILIPUA KUMTAJA MWIGULU SAKATA LA KARIAKOO
9:31
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 44 МЛН