Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM leo

  Рет қаралды 235,886

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

March 23, 2017 Rais John Pombe Mgufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa maelekezo aliyoyatoa kwa nyakati tofauti juu ya kudhibiti udanganyifu wa mizigo inayoingia na kutoka nchini kupitia bandari hiyo ikiwemo usafirishaji wa mchanga wa madini kwenda nje ya nchi.
Katika ziara hiyo Mhe. Rais Magufuli ameshuhudia makontena 20 ya mchanga wenye madini kutoka kwenye migodi iliyopo kanda ya ziwa ambayo yamezuiliwa kusafirishwa nje ya nchi tangu alipotoa agizo la kupiga marufuku usafirishaji wa mchanga nje ya nchi tarehe 02 Machi, 2017.

Пікірлер: 190
@julithahayuma6277
@julithahayuma6277 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka Baba Leo nmekuja kukuangalia tena😥😥nlikuwa napenda utendaji kazi wako jaman😥😥Mungu akupokee kwake
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 7 жыл бұрын
TUTAICHIMBA TUTAKAPOKUWA NA AKILI GOOOOOOOOD NYERERE FOOTSTEP. I LOVE THIS MAN TO BE HONEST. HE IS SERIOUS, THE MAN OF HIS WORDS. EXCELLENT
@doreenjoseph7470
@doreenjoseph7470 7 жыл бұрын
Hongera sana milard ayo kwa Kazi zako za ukweli na uwakika unatoaga taarifa ya kweli wewe ndio unaefaa kuwa mwandish wa habari
@alishomar7549
@alishomar7549 7 жыл бұрын
iv ndio vitu vya msing .....sio flash za clouds...watu wanajidai wanasafirisha mchanga ....kumbe ni midhahabu inasafirishwa.....Nimesema chapa kaaaazi...i love my president JPM.
@lydiachembe9376
@lydiachembe9376 3 жыл бұрын
Masikini baba etu 😭😭😭 dah mungu akurehem
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
Namkubali sana huyu raisi ata anapo tumbua mtu najua lazima kutakuwa na siri nyuma ya pazia, naamini ata maamuzi ya kumtengua Nape, yupo sahihi
@hassanturky7511
@hassanturky7511 5 жыл бұрын
Allah akupe Imani.rais Kama huyu apewe uraisi mpaka aondoke dunia
@SuperKibwana
@SuperKibwana 7 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais asante sana kwa kweli kwa kazi nzuri sana sana sana. Nchi lazima iende mbele kwa kazi na bidii lakini pia kwa njia ya halali. wizi kamwe hautatufikisha popote, bali utatuongezea matatizo tu. Asante sana.
@dismaschukilizo1605
@dismaschukilizo1605 7 жыл бұрын
Hongera sana rais wetu kwa kazi nzuri unayofanya sisi kama wazalendo hatuna budi kukuombea kwa Mungu ili awataharakishe adui zako na wa Watanzania ! Mungu akubariki kuliko kawaida na aibariki na Tanzania !
@SuperKibwana
@SuperKibwana 7 жыл бұрын
Milard Ayo, you are the best.
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 жыл бұрын
Safu sana kazi ziendelee
@fene-djnews9557
@fene-djnews9557 7 жыл бұрын
Hakika ndiyo maana Mh. Rais anaomba watanzania tumuombee, bila maombi ya kweli hatutakuwa na msaada kwa Mh. Rais
@billtheadviser894
@billtheadviser894 7 жыл бұрын
may GOD bless you and live long the king
@innocentchristian4774
@innocentchristian4774 7 жыл бұрын
Waooo... Nice Movie
@augustinateshamelkiory6752
@augustinateshamelkiory6752 7 жыл бұрын
piga kazi baba mungu akulinde akupe maisha marefu
@stevenmahinda657
@stevenmahinda657 7 жыл бұрын
kazi kazi...kampeni 2020
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
asante my president piga kazi Baba tupo nyuma yako
@ntiliyothomas5146
@ntiliyothomas5146 3 жыл бұрын
Tutachimba sisi wenyewe tutakapo kua na akili aseeeeeh kweli rais wetu mpendwa ni mwelewa
@laynerngole2119
@laynerngole2119 7 жыл бұрын
Mungu akubariki raisi wetu endelea kudhibiti Wa halifu wote,
@robertwilliam8323
@robertwilliam8323 7 жыл бұрын
Wanang'ata visigino, presidaaaaa wewe wagonge vichwa afu watakuelewa, mie binafsi nakuelewa sana president
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
JPM ALIVYOWAKA KUHUSU MAKONTENA KUCHELEWA
8:38
Millard Ayo
Рет қаралды 349 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,2 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015
14:29
HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOWATUMBUA WAFANYAKAZI WA 3 WA TRA
4:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 37 М.
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 102 М.
Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
5:57
Millard Ayo
Рет қаралды 929 М.
BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 234 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 565 М.
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA KAIMU RPC RUKWA/ "ANAKIBURI....."
8:13
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН