MTOTO MUUZA NDIZI AIBUKA KWA MAKONDA KUMPA UJUMBE "UNISAIDIE KUNISOMESHA NIMSAIDIE MAMA YANGU"

  Рет қаралды 653,863

Millard Ayo

Millard Ayo

5 ай бұрын

Пікірлер: 1 200
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Magufuli kumbe ametutoka kimwili tu lakini kiroho bado yuko hai pamoja nasi. Mamwona akiwa hai ndani ya makonda. Asante ee Mungu wetu. Asante mama Samia kwa kumteua makonda.
@user-pi5ec6nj6j
@user-pi5ec6nj6j 5 ай бұрын
Kabisaa yan
@ChiefNgosyemo
@ChiefNgosyemo 12 күн бұрын
Amin hivyo Hawawezi😢 wakauwauwa wakawamaliza
@marieconnect6389
@marieconnect6389 12 күн бұрын
@@ChiefNgosyemo kweli kabisa
@marieconnect6389
@marieconnect6389 12 күн бұрын
Mungu wetu anatupenda sana na bado atatupigania watu wake. Asante mungu wetu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 12 күн бұрын
Kweli
@banguha
@banguha 5 ай бұрын
I'm crying for joy Asante Mokonda jmni uyu ni mtoto mdogo sana kizur anapenda shule na anakumbuka familia yake
@justinomtili9226
@justinomtili9226 5 ай бұрын
Daaah! Mtoto amenitoa machozi, Mungu akulinde mh makonda
@Bridge2024
@Bridge2024 5 ай бұрын
Hakika tukiwa na wigo wema wa kusaidiana kwenye maisha huo ndiyo uongozi mungu akubariki mh: makonda. Amin
@bbanyikwa
@bbanyikwa 5 ай бұрын
Haki ya Mungu makonda ni kiongozi Namuona magufuri ndani yake ❤❤❤❤❤❤
@laylayl5166
@laylayl5166 5 ай бұрын
Kabisaa yaani
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Kumbe Magufuli bado anaishi nasi japo amenondoka kimwili
@NasraOthmani-by4rn
@NasraOthmani-by4rn 5 ай бұрын
Kwakweli mungu amtunze
@selemanhamidu1398
@selemanhamidu1398 5 ай бұрын
Kabsa
@salometabu100
@salometabu100 5 ай бұрын
Kweli kabisa amefanya vizuri sana kumsaidia Huyo mtoto maana ndo professor wa kesho
@Maryc2G
@Maryc2G 5 ай бұрын
Asante Muheshimiwa Makonda kwa kumsaidia mtoto huyo na familia hiyo. Mungu asikupungukie kwa chochote.🌹🌹🌹🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@user-he1rn4og2i
@user-he1rn4og2i 2 ай бұрын
Mungu akuhifadhi akubariki Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Makonda
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Usikatishwe tamaa na wengine waovu wa kichinichini wenye wivu ambao hawana ubavu wa kusimamia haki kama wewe. Hawapendeki kama wewe hivyo wanatafiuta kila namna ya kukuchafua mh. Makonda kwa faida zao binafsi. Wewe piga kazi bila woga wala unafiki na mungu akutunukie uongozi wa ngazi kubwa zaidi kwa taifa hili ili aendelee kutimiza mapenzi yake kupitia wewe kwa faida ya faida lake hili. Tunakukubali mh Makonda Mungu akulinde na akuinue zaidi sana
@mjukuuhotelitv7736
@mjukuuhotelitv7736 5 ай бұрын
Makonda wewe ni Magufuli mtupu Mungu akuweke zaidi
@laylayl5166
@laylayl5166 5 ай бұрын
Amiin amiin yaarab
@jackiesheo6063
@jackiesheo6063 5 ай бұрын
Haswa
@jumakapesa2940
@jumakapesa2940 5 ай бұрын
Sitaacha kukuombea Mh:Makonda. Hakika unachokifanya kinaujira wake. Asante kwa Rais wetu Dr Samia kwa kukuteua katika nafasi hiyo.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 ай бұрын
Yaani cjui alijuaje?maana Arusha moto
@priscadaniel6459
@priscadaniel6459 5 ай бұрын
Makonda mungu akuweke sana .sio lazima kila mutu.aone.wema wako mungu akulkpe
@MuddyShaakif-wk8ni
@MuddyShaakif-wk8ni 5 ай бұрын
Dah sio uyu dogo amenifanya nilie kwa uchungu sana makonda mungu akulie endelea kuwa na moyo uwo uwo
@janethngowi1058
@janethngowi1058 5 ай бұрын
Kwa hili Mungu akubariki sana Makonda!
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 5 ай бұрын
😢Umasikini unadhalilisha sana 😢😢MUNGU ampony mama ako 😢😢na wewe ni mwamba 🥰hongera sana dogo
@ramadhanimuya2162
@ramadhanimuya2162 5 ай бұрын
Nimempenda sana huyu dogo.safi sana.Mwenyezi mungu amsaidie.
@OlivaSilayo-mj5yf
@OlivaSilayo-mj5yf 2 ай бұрын
😂
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 5 ай бұрын
Namkubali sana makonda, viongozi wakifata mfano huu ubarikiwe sana makonda❤🎉🎉
@RukiaMwenge
@RukiaMwenge 5 ай бұрын
Mungu akubariki mhe makonda hicho unachokifanya mungu atakulipa.Hongera sana mtoto wetu ni shujaa sana atafika mbali mradi asome tu
@KelvinBanda-pk5py
@KelvinBanda-pk5py 4 күн бұрын
MH Paul makonda mungu wakujua kubariki akubariki katika kazi zako zote,unapolala,unapotembea,unapowaza katika kutetea wanyonge na mwenyezi mungu akulinde kwa hari ya juu.Mi ni malawi ila nimeshawahi kukaa huko Tanzania kwa miaka 10 ila nachonderea kuona unachoendera kukiona ila moyo wangu nafurahi sana hakika wewe kabisa ni magufuri wapiri .
@tatutumbi4640
@tatutumbi4640 5 ай бұрын
Makonda, Mungu Akubariki Sana Mwanangu. Huyo mtoto , ndoto zake zifike mbali.
@user-br7sf6ey9t
@user-br7sf6ey9t 5 ай бұрын
Asante sana mweshimiwa makonda ❤❤❤❤ mwenyezimungu akutunze mpaka vitukuuu visipungukiwe amina
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 5 ай бұрын
Mhuu mwenyezi mungu akuponye kabisa katika Jina LA yesu lililo Hai 🙏 huyo mama
@samuelemmanuel3400
@samuelemmanuel3400 5 ай бұрын
Alienda kanisani akaombea akapona, such a miracle. Glory be to Jesus
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 5 ай бұрын
Amina❤❤
@JoyceMichael-bm9yw
@JoyceMichael-bm9yw 5 ай бұрын
Amen
@prizmtotnan2353
@prizmtotnan2353 5 ай бұрын
Na bado akainuliwa from no one to someone power of prayers
@isaliisu3408
@isaliisu3408 5 ай бұрын
Watoto wanaruhusiwa kujihusisha na siyasa
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 5 ай бұрын
​@@isaliisu3408😂 nawekumbe umemuona yule mtoto kavalia shati ya ccm
@mugetakasenyi821
@mugetakasenyi821 5 ай бұрын
sikuwa nakuelewa kabisa kazi yako makonda lakini kwa hili dah! nimelia sana huyu mtoto asomeshwe na hikishindikana tushirikiane
@mamamdogo409
@mamamdogo409 5 ай бұрын
Niko Kenya nakufatilia sana ila kwa hili la huyu mtt nimetoa machozi mungu akubariki nakupenda bure
@SirasKeyoo
@SirasKeyoo 4 ай бұрын
Kenya sehemu gani
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 5 ай бұрын
Makonda Mungu akuhifadh kwakweli unaiman na huruma Jaman Al haj Yahya Allah akuhifadh yarab usome ufaulu ManshaAllah unaakili baby wangu na
@mohamedsalat1066
@mohamedsalat1066 18 күн бұрын
Huyu mtoto msaidiyeni kabla haja poteza imani yake walahi siku ya kiyama tutaulizwa siku ya qiyama wale wako karibu nayo mimi walahi niko mbali sana lakini wale walio karibu ole wenu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Mtoto maashaallah anaakili sana yakujisaidia nakujiakini Allah akufanyiewepesi makonda Allah atakulipa heri ulipotoa pataongezeka lnshaallah
@laylayl5166
@laylayl5166 5 ай бұрын
Amiin
@YasminaMkali
@YasminaMkali 5 ай бұрын
This is more than painful 😢😢😢....mie sio wa kulia lia, ila leo nimelia sana 😢😢😢 Mzimu wa Magufuli wamvaa Makonda ❤❤❤
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 5 ай бұрын
Yaani acha. Nimeguswa. Hakika nimemkumbuka mzee wetu JPM. Alale mahali pema.
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 5 ай бұрын
Viongozi wetu huu ni ujumbe mzito sana kwenu, Wenzetu wanatengeneza future za vizazi vyao huku sisi tunatapanya pesa na kujivinjari kwenye mataifa ya watu wengine yaliyo endelea huku mkidharau na kuto kuidhamini Nchi yetu
@jeanmiruho4770
@jeanmiruho4770 5 ай бұрын
❤❤Ubarikiwe sana Makonda kuokoa maisha ya uyo mtoto Nakupata 5/5 från Stockholm Sweden
@BoavidaAlbenito
@BoavidaAlbenito 4 ай бұрын
🎉
@user-nu3gd9pt3y
@user-nu3gd9pt3y 9 күн бұрын
Mungu akakufanye kichwa wala si mkia wa juu tu wala si wachini ukafanikiwe sana mdogo wangu Mungu akutunze
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 5 ай бұрын
Dah! Wekeni hata namba jamani tumsaidie uyu mtoto! 😭😭
@lucaskagoma7605
@lucaskagoma7605 5 ай бұрын
Asante Sana Makonda kwa kumusaidia kijana huyu kwakweli kizuri huwa hakidumu naomba Makonda kuonana na wewe
@nkundajames3999
@nkundajames3999 5 ай бұрын
Dar huyu dogo nam fahamu japokua nilikua mgen kigoma lakin kunasiku nilimuona DOGO nikahisi kama kunakitu ndan yake nilimsaidia kwakile nilicho jaliwa mungu nimwema kumbe dogo anavitu vingi sana japo hatujaongea mambo mengi
@sabinuskomba2535
@sabinuskomba2535 5 ай бұрын
Nitafutie mawasiliano yake
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 5 ай бұрын
Hongera sana. Ulifanya vizuri sana. Mungu atakulipa siku yako ikifika.
@cjrtz
@cjrtz Ай бұрын
Mungu asikupungukie nkunda james
@habibabarker1644
@habibabarker1644 5 ай бұрын
Mwanangu Makonda Mungu akulipe na atakulipa tuu unasaidia wasiojiweza
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 5 ай бұрын
Mungu akubariki Mh Paul Makonda kwa kumsaidia huyu mtoto
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 5 ай бұрын
Makonde Allah akulipe kaka yangu akupe urmi mrefu
@filbertmahay32
@filbertmahay32 5 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa makonda kwa kazi kubwa unayofanya ya kuwasikiliza na kuwasaidia wanyonge.
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 5 ай бұрын
Makonda, Im following you from 🇨🇦 You're a nice man with good heart 💖 May God bless you and protects you💫🤲
@user-eu5fb7kd1y
@user-eu5fb7kd1y 5 ай бұрын
Amen
@jackiesheo6063
@jackiesheo6063 5 ай бұрын
Ameni
@Maryc2G
@Maryc2G 5 ай бұрын
Mtoto anaakiri sana, Mungu ampiganie huyo mtoto
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 5 ай бұрын
Makonda ni mwanadamu ktk wanadamu mungu ndo atakulipa🎉❤❤❤❤❤ C.C.M.Juu
@hamisimkulu6571
@hamisimkulu6571 5 ай бұрын
makonda we we nikiongozi
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 5 ай бұрын
Allah atakufanyia wepes mtt mzr na akurudishe kwnye iman yko ya awali na akuongoze ktk njia iliyonyooka
@jacquelinenanze6530
@jacquelinenanze6530 5 ай бұрын
God Bless you Brother Makonda.
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 5 ай бұрын
Another day to cry with stranger…😭😭😭😭😭
@budhbd5208
@budhbd5208 5 ай бұрын
Me to😢😢😢
@zurfapahenge8802
@zurfapahenge8802 5 ай бұрын
wow 😭
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 5 ай бұрын
Me too 😢😭😭
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 5 ай бұрын
Me to 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@JOYCEKIVUGO
@JOYCEKIVUGO 5 ай бұрын
​@@budhbd5208😊😊😊😊
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 5 ай бұрын
😢😢😢😢unanikumbusha mbali mdogoangu umenigusa
@amosmakoba5042
@amosmakoba5042 5 ай бұрын
Ninamshukuru Mungu kwa kukupa ufahamu wa Neno lake mh Makonda.. Mungu kakupa nafasi ya kuwa kiongozi katika Taifa hili kwa kusudi maalumu. Moyo wako uigwe na wengine katika kuongoza wananchi...🙏🙏
@user-ibrahim35
@user-ibrahim35 5 ай бұрын
Pitapita za magu zinaonekana mungu akubless sana more than a. Leader
@user-ut5iv2bv7s
@user-ut5iv2bv7s 5 ай бұрын
Mpaka Nimetokwa Namachozi Mungu Amsimamie Huyu Mtoto
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 5 ай бұрын
Namimi kabisa
@JehovaJonas
@JehovaJonas 5 ай бұрын
Inaumiza kwa kweli
@immaculathaemmanuel8240
@immaculathaemmanuel8240 5 ай бұрын
Mimi nimejikuta nalia tu
@user-kr4kn4vc9z
@user-kr4kn4vc9z 5 ай бұрын
Pole sana mdgo wangu mwenyez mungu akusimamie na akubaliki kwenye utafutaji wako
@user-vm3vt7sx6h
@user-vm3vt7sx6h 5 ай бұрын
This kid will never forget you Sir!!! He will live to testify your greatness
@jackiesheo6063
@jackiesheo6063 5 ай бұрын
Exactly
@user-iq3qn7bc2r
@user-iq3qn7bc2r 5 ай бұрын
Its so emotional wallahi,young boy like him takin care of the family as a Dad. Makonda live longer
@mokitaa8750
@mokitaa8750 5 ай бұрын
muache kuchezea hela kwa kununua goli moja milioni 5 . mnateketeza hela kwenye mpira hali ya kua wananchi wenu wana hali mbaya sana
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@ahmadisaidi3952
@ahmadisaidi3952 Күн бұрын
Kila kitu na umuhimu wake ndio maana budget ya nchi huwekwa katika makundi yaani wizara kutokana na uhitaj, kwa mfano wizara ya TAMISEMI inatengewa budget kubwa kutokana na majukum mazito iliyo nayo
@fadhilfundi6265
@fadhilfundi6265 5 ай бұрын
Daa Makonda Mungu akubariki urifanya kitu sahihi kabisa maana na sisi turipitia mitiani kama iyo msomeshe Allah atakuripa
@user-io5gh8gd7b
@user-io5gh8gd7b 5 ай бұрын
Makonda mungu akubariki kaka akuongoze ktk kazi kwa kumsaidia huyo mtoto Asante kaka makonda
@tilifozakikoti5046
@tilifozakikoti5046 5 ай бұрын
Makonda Mungu azidi kukutunza uishii maisha marefu kazi yako njema sana ubarikiwe sanaa
@user-ok4fe4be9m
@user-ok4fe4be9m 5 ай бұрын
Makonda mungu akubariki sana kwa kazi nzuri
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Asante sana kaka Makonda kwa kuvaa roho ya ubinadamu. Mungu akubariki sana.
@user-nu3gd9pt3y
@user-nu3gd9pt3y 9 күн бұрын
Mungu akubariki sana Mheshimiwa Makonda
@user-vl9ic1rb3w
@user-vl9ic1rb3w 5 ай бұрын
Be blessed Big Bro. Makonda. Another Magufuli coming for TZ. May Allah protect for the Evils.
@jackiesheo6063
@jackiesheo6063 5 ай бұрын
Exactly
@hilarymark7583
@hilarymark7583 5 ай бұрын
Huyu dogo apelekwe shule nzuri kisha jeshini moja kwa moja
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 5 ай бұрын
😅😅
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 5 ай бұрын
True
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 5 ай бұрын
Jeshini ya nyoko 😂😂
@bensonmasanja9862
@bensonmasanja9862 5 ай бұрын
​@@SululuZungu-kx8wsAnafaa kwenda jeshini,ana Uwezo mkubwa wa kiintelijensia.
@johnkigina1696
@johnkigina1696 5 ай бұрын
Jeshini ndo umeona pazur ndg mh
@BrendaGeorge-yz2px
@BrendaGeorge-yz2px 5 ай бұрын
Nimelia kwa uchungu xn, kuna watoto wanafanya kazi ngumu sana, umri wake wa kwenda shule huyu jomon. Duuuuuuuh Baba Makonda mshike mkono huyu mtoto, He'll make it oneday
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 5 ай бұрын
Allah akuhifadhi inshallah urudi mtoto mzuri katika imani yako ,,makonda ubarikiwe sana
@Pys590
@Pys590 5 ай бұрын
From tiktok . Aki qko na mungu wake..
@habibabarker1644
@habibabarker1644 5 ай бұрын
Alhamdulilah watu wakwetu jamani mmemchangia mtoto wetu Allah atawalipa
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
The president in the making. We have a future preside here. God thanks and bless our country with this kind of leaders. Amen
@jackiesheo6063
@jackiesheo6063 5 ай бұрын
Ameni
@zainab8251
@zainab8251 5 ай бұрын
Inaumiza sana،pole sana mwanangu mwenyexi MUNGU MWEMA
@gorethlutego2587
@gorethlutego2587 5 ай бұрын
Waooooh jamani nimefurahi bure be blessed Mhe.MAKONDA
@LeodigaryPatrick-zo5kl
@LeodigaryPatrick-zo5kl 5 ай бұрын
One love makonda your the best ❤❤❤❤
@user-ds8kq8ov6l
@user-ds8kq8ov6l 5 ай бұрын
Daaah nimeliaa sana jamn daah
@elieniyonzima1074
@elieniyonzima1074 11 күн бұрын
Mtoto kaomba vizuli hajaomba hela,ameomba kusoma uyo mtoto namtakia kila laheli, love from 🇧🇮🇧🇮
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Tanzania yetu Mungu atatujali tu. Tufanye maombi kwa sana Mungu atatuelewa tu. Atupe vipngozi wazalendo wenye mapenzi ya kweli na nchi toka moyoni na wanaopenda kutumikia watu na siyo kutumikiwa. Watu hao wapo Mungu wetu awasimamishe sababu yeye amawajua. Tuombe bila kukata tamaa 🙏🙏🙏 Mungu wetu siyo kiziwi
@MsalabaniReko
@MsalabaniReko Ай бұрын
Amina
@MaikoSiria
@MaikoSiria Ай бұрын
kweli kabisa 😢😢😢😢
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Ай бұрын
Amina na iwe hivyo
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 5 ай бұрын
Allah akulinde kiongozi wetu makonda🙏🙏🙏😭❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 5 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi ktk kazi zako muheshikiwa Makonda
@user-hh5pb9cb1k
@user-hh5pb9cb1k 6 күн бұрын
Genius mtto anaakili mpka raha eeh mwenyezi mungu nisamehe pale ninapokua nalalamika nashida kwasababu wako wanashida zaidi yangu
@AliHassan-fy6zk
@AliHassan-fy6zk 5 ай бұрын
Kazi safi Makonda Mungu akupe nguvu
@hellenmagembe8768
@hellenmagembe8768 5 ай бұрын
Mungu akubark makonda,pia mungu akusaidie mtt mzuriii ufke mbali 😭😭😭
@fedricksulley5919
@fedricksulley5919 6 күн бұрын
Mungu akubariki Sana makonda Hakuna MTU anayekuwa mbaya kwa kutaka mwenyewe kila ubaya unasababishwa na watu.. kwahiyo MTU akimuona makonda mbaya basi ubaya wake umesababishwa na watu wenyewe
@MonicaMikola-z5n
@MonicaMikola-z5n 15 күн бұрын
Mungu akubaliki muheshimiwa makonda mungu azidi kukuongoza katika kazi unayoifanya
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 5 ай бұрын
Huyu baba makond mungu ambaliki sana mimi ni murundi nirikuwa kambini tanzani arinisaidia sana na sasa niko ulaya yani watanzania wenye loho nzuli nyote mungu awazidishie balaka kwa jina ra yesu amen
@aminarajab1045
@aminarajab1045 5 ай бұрын
Mtt anakichwa cha utajili mbeleake
@mursilmursal
@mursilmursal 5 ай бұрын
Unaharibu hella kwa wanawake starehe zakijinga una kashifu kazi yako kuwa haina mapato mazuri unasahau kuwa kuna waatu wanapitia magumu wangetaka tu kukuwa na hicho kidogo unae pata siku zote shukuru Molla Allahamdullilah
@rosemassawe9456
@rosemassawe9456 2 ай бұрын
Mh. Makonda mungu akubariki pamoja na familia yako. Nimefurahi sana umeteuliwa kuja kwetu Arusha. Karibu sana ututetee sisi wakina mama ambao hatukupewa mkopo wa kurudisha bila riba. Kwani ni mungu amekuleta Arusha. Amina.
@magrethjullias5770
@magrethjullias5770 5 ай бұрын
Mungu alibariki Tumbo lililo mbeba huyu mtoto miez tisa mama ake anabahat sana kameniliza
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 ай бұрын
Mungu akujalie Kaka mpendwa wetu barikiwa sana
@bm4tv602
@bm4tv602 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie brother makonda
@stephenkilalacharles1981
@stephenkilalacharles1981 5 ай бұрын
GOD BLESS YOU BROTHER MAKONDA
@estermussa486
@estermussa486 5 ай бұрын
Kweli brother umezifuata nyayo mungu akuzidixhie
@mamamdogo409
@mamamdogo409 5 ай бұрын
Makonda nakuja kutoka Kenya ,tuijenge inchi maombi yangu yalijibiwa kukurudisha uwanjani piga kazi
@AlfredAloyce-wh5nq
@AlfredAloyce-wh5nq 5 ай бұрын
Mungu akubariki kiongozi makonda
@johnlucas8509
@johnlucas8509 2 ай бұрын
Kwa kazi unayoifanya Makonda Mungu aendelee kukukumbuka zaidi katika kazi zako kwa kusaidia jamii na kuwapambania wanyonge
@user-lt4vk6qy8i
@user-lt4vk6qy8i 5 ай бұрын
Kazi nzuri Mungu akutunze🙏🙏🙏
@lelomellowtz
@lelomellowtz 5 ай бұрын
IKIWA UNAJIONA WEWE NI MDHAIFU NA MNYONGE KUMBUKA MUNGU ANAPENDA KUTUMIA VITU NA WATU WADHAIFU NA WANYONGE WALIODHARAULIKA ILI KUONYESHA UKUU WAKE NA NGUVU ZAKE KWA KUWAINUA KATIKA VIWANGO VYA JUU KABISA. AMEN😭🙏🏽❤️
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Nimepmenda sana huyo mtoto ana akili ya ziada. Anapenda mamake na anajiprnda yeye pia. Anajua elimu ni ugunguo wa maisha. Tena yuko serious sana na kusoma. Good kid
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 Ай бұрын
I appreciate this mission for the poor and vulnerable. BIG-UP BROTHER MAKONDA
@shaabanayoub6343
@shaabanayoub6343 5 ай бұрын
Big up bruh🙌🙌🙌
@user-rn6ft5yz2l
@user-rn6ft5yz2l 5 ай бұрын
Natamani sana machoni mwangu nikuone ukitawala hii nchi maombi yangu mungu kayafanyia kazi
@SarahWilliam-ik2nc
@SarahWilliam-ik2nc 3 ай бұрын
Kweli KBS inshallah 🙏
@user-so5sd1fv1v
@user-so5sd1fv1v Ай бұрын
dah MAKONDA namkubali xn
@MwanaOmar-vx6op
@MwanaOmar-vx6op Ай бұрын
Yani uyu baba mungu amuweke zaidi jamn pacha wa magufuli
@tanzanitegemsCT
@tanzanitegemsCT Ай бұрын
Hongera sana kamanda umefanya jambo jema sana naona vita kubwa unayopambana nayo ya kutetea wanyonge mungu akulinde nakutabiria kuwa kiongozi mkubwa siku sijazo Allah akutimizie haja za moyo wako
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 5 ай бұрын
Nyieee MUNGU ni mwema sana alhamdulillah nakumbuka nami nilikuwa nasaidia mama angu kutembeza ndiz na bagia nkirudi shule alhamdulillah Sasa si haba
@vivianboaz8653
@vivianboaz8653 5 ай бұрын
Mungu akupe maishani mrefu kiongozi
@ProsperTillya-rr9pk
@ProsperTillya-rr9pk 2 ай бұрын
Hiyo nafasi ya uenezi walikuzumu tu ila Mungu atakutendea zaidi Makonda usikate tamaa Arusha chapa kazi Mkuu, am admire your work much
@juliusbaynit1060
@juliusbaynit1060 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mh. Makonda
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 5 ай бұрын
Jaman nimeumia sanaa jaman makonda siungegombea uraisi
@irenemwewe3566
@irenemwewe3566 5 ай бұрын
Makonda Mungu hakuweke baba
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 80 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 5 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1 МЛН
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 80 МЛН