"MIMI SIO MWANAMKE WALA MWANAUME | SINA JINSIA" Mgombea UWT Afunguka Kwenye Clouds 360

  Рет қаралды 650,177

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 жыл бұрын

"Kwenye mwili wangu sijui kama mimi ni mwanamke au mwanaume ila Mungu alichojisaidia kwamba nina sehemu ambayo naweza kujisaidia haja ndogo na kubwa lakini sehemu ya kuniweka kama mdada au msichana haipo sawa kama wanawake wengine sina ovari na upande wa mwanaume sina kiungo chochote na sijawahi kuona siku zangu, nina miaka 26" Baby John Musamba, aliyekuwa mgombea UWT

Пікірлер: 1 500
@junnykimathi2363
@junnykimathi2363 3 жыл бұрын
Hiyo ni Baraka.wanawake Wengine wako na shida kubwa, wengine vipofu,wengine bila miguu na mikono,wengine wako na kila kitu lakini mungu akawaandikia hakuna kita fanya kazi. Mungu ana sababu yake. You are created special. Bibi wengi wa manabi wa mungu walikuwa hivyo hivyo. Kubali uko hivyo sababu mungu akupenda. Nitakuoa ,uwe bibi yangu kwa njia ya mungu.usi laumu mungu.,mambo za scientists zita kupoteza.wata kuharibu,hawaamini mungu.nipe nambari tuongeange.
@isayarevelian9698
@isayarevelian9698 3 ай бұрын
me huyo namuoa tena kwa ndoa kabisa
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Kazi ya Mungu haina makosa🙏 alikujua hata kabla hajakutengeneza kwenye tumbo ya mamako. Wengine wana jinsia mbili na wengine hawana lol maajabu ya mwenyezi Mungu . 🤗🤗You are wonderfully made
@hikmajeyz5072
@hikmajeyz5072 4 жыл бұрын
Takbiiiiir!! Allahu akbar! God above evrything and thats part of his works,Big respect to Almighty
@hassanwanje7373
@hassanwanje7373 4 жыл бұрын
Ameen
@tauhidajumahamad1218
@tauhidajumahamad1218 8 ай бұрын
Amin🤲
@eliyajoseph6862
@eliyajoseph6862 3 жыл бұрын
Doctor kasema! Lakini Mungu pia anasema.. Mungu bado ana spea nyingi tu, amini tu na utauona utukufu wake. In Jesus name
@keshimartin2946
@keshimartin2946 4 жыл бұрын
Watangazaji hamjamtendea haki huyu mnayemhoji kwa sababu 1.Mmeuliza maswali mengi unprofessional, hasa mtangazaji wa kike. 2.Hamkujali kabisa ombi lake kwamba anatamani kuonana na viongozi na kupata ufadhili wa masomo..angalau kwa kulisisitiza na kuweka namba yake hewani,mlipopata mlichokitaka basi, this is not fair, be generous.
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
We nawe mjuaji, ebu kaa huko na elimu YAKO isiyo na faida
@mwajiranimesalimu5509
@mwajiranimesalimu5509 4 жыл бұрын
huyo mtangazaji wa kike wallahy haelewi kabisaa
@soamesphares
@soamesphares 4 жыл бұрын
Dada anajitambu vizuri sana. Elimu ni tatizo kwa mtangazaji wa kike!!. Watangazaji ilipaswa wajielimishe japo kidogo kabla ya kumhoji huyu Dada. Then, interview ingekuwa inajazia elimu yao ndogo na wakati huo huo kutuelimisha wengine. Badala yake sasa unaona watangazaji wanashangaa tu na kuonekana kama wanamdhalilisha Dada.
@nyerere1259
@nyerere1259 4 жыл бұрын
sahihi kaka malehiwa wa ppm
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
@@soamesphares haswa huyu mtangazaji wa kike
@rachelwanganga939
@rachelwanganga939 3 жыл бұрын
You are a lady, your voice can tell. Be strong you were created by God for his own glory. His grace and mercy is sufficient for you.
@kaachonjo263
@kaachonjo263 3 жыл бұрын
Hapo umeongea dada
@anestabengesi5334
@anestabengesi5334 3 жыл бұрын
Ameeen🙏🙏
@mwanasiahamis7063
@mwanasiahamis7063 3 жыл бұрын
Amen
@agnesmutindi3094
@agnesmutindi3094 8 ай бұрын
Hakika
@TangusArabs
@TangusArabs 7 ай бұрын
Then huku Kuna Nini...?
@mshamyusuf6332
@mshamyusuf6332 4 жыл бұрын
Asante dada nilikuwasina majibu kwamtoto wangu ambae hatamiezimiwili hajafikisha yukokamawewe anasehemu yakukojolea tu yaani nitundu tu ambayo ninyembamba sana Mimi ni baba mtoto huyoanachokiongea nikweli Nahisi huyomtangazi nahisi haamini Nawala sijui kama anaelewa unachoongea daaa aisee nashukuru kwakupatamajibu ya mwanangu
@happymacha9053
@happymacha9053 4 жыл бұрын
Mungu mwema ndugu yangu..
@happymacha9053
@happymacha9053 4 жыл бұрын
Mungu mwema ndugu yangu..
@enockndamo1350
@enockndamo1350 3 жыл бұрын
Isikupe shida zipo dawa inapasuliwa na anapata homoni
@SijaliAlly-po7tq
@SijaliAlly-po7tq 16 күн бұрын
Mm mwenyew Nina ndugu yangu mwanae nae ana kitobo Cha haja kubwa na ndogo tu
@ImaniChabayanga
@ImaniChabayanga 6 күн бұрын
Ni kwel wangu alizaliwa hivy lkn tulimfanyia upasuaji mapema
@SafeHaven_TV
@SafeHaven_TV 4 жыл бұрын
Mjasili sana dadangu,nimekupenda bure.Mungu akupe nguvu,uzima na uwezo wa kumtumikia yeye.
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 4 жыл бұрын
Siwezi vaa kiatu chako my dear ww zaidu ya strong zaidi ya jasili daah Allah akupe furaha zaidi ya hy ulio nayo
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Kwakweli
@yusufukibhakibha3741
@yusufukibhakibha3741 4 жыл бұрын
Mungu akuinue ndug yetu umekua MTU wa pekee Tz
@yusufukibhakibha3741
@yusufukibhakibha3741 4 жыл бұрын
Jamn ndugu pole kwa hlo kam huna hisia usdanganyke kuolewa wanaume watakudanganya 2
@sistercathe1708
@sistercathe1708 4 жыл бұрын
Wapo watu wa aina yako ndugu pambana uwatee
@realb1180
@realb1180 3 жыл бұрын
Nimempenda huyu Dada Baby John anajielewa anadadavua kesi alionayo vyema.....Mungu ambariki na kumtunza najifunza mno nikiwa na msikiliza.
@fredrickmapesa7377
@fredrickmapesa7377 4 жыл бұрын
Mtangazaj mwanamke sijui anakichwa gan. Naona haelew kabisa maelezo. Anakwaza sana kwakwel
@dianemanirakiza4847
@dianemanirakiza4847 3 жыл бұрын
Non mumuelewe mtangazaji jameni ni binaadamu naye alistuka kwa kweli nimaajabu ya Mwenyezi Mungu
@DOGMANBOOKS
@DOGMANBOOKS 3 жыл бұрын
You are the most inspirational person I've ever seen. You also speak very well. Just a wonderful person.
@raisakarenga5933
@raisakarenga5933 8 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊
@marypeter6911
@marypeter6911 7 ай бұрын
Mengine ni Kwa utukufu wa Mungu usijisumbue Kwa kuolewa au kumlekebisha Mungu kaa ivoivo na Mungu anapendezwa nawewe
@sekundambilinyi5450
@sekundambilinyi5450 4 жыл бұрын
Huyu dada ni jasiri sana!Big up dada Mungu hatokuacha!
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 4 жыл бұрын
Wewe Baby kuolewa sio kushinda maisha. Hongera mama hutapata mauzi ya wanaume.
@onesmokabia80
@onesmokabia80 4 жыл бұрын
Usiseme hongera ni kumpa pole na yy anatamani angekuwa na viungo vyote na sio hivyo alivyo,hata kama kuna maudhi ya wanaume,kama unaona vzr ivo alivyo kwa vile tatizo halipo kwako.
@onesmokabia80
@onesmokabia80 4 жыл бұрын
Usiseme hongera ni kumpa pole na yy anatamani angekuwa na viungo vyote na sio hivyo alivyo,hata kama kuna maudhi ya wanaume,kama unaona vzr ivo alivyo kwa vile tatizo halipo kwako.
@selemanikitatungwa9283
@selemanikitatungwa9283 4 жыл бұрын
Pole Dada, naomba usimamie msimamo wako, unajitambua vyema Sana, ukikubali kuolewa na hao wanaotaka kulazimisha waweza lazimishwa na mengine yasiyofaa, kimaadiri yetu ya kitz
@dismacymoris5296
@dismacymoris5296 3 жыл бұрын
Pole Sana dada angu Kama unaweza eb toa namba tukusapoti
@halimashaib9102
@halimashaib9102 3 жыл бұрын
Allahu akbar. Allah Ana uwezo wa kila kitu na hashindwi na chochote kile. Hata ulie katika jinsia ya kike au ya kiume anaweza kukubadilisha ghafla na ukawa km baby John. Huo ni uwezo wake. Na tusipende Sana kuuliza maswali ya ndani km kutaka kujua hadi utumbo wake ukoje nop utakuwa unajaribu kudadisi kazi ya Allah. Homgera Sana baby John na Allah Ana sababu zake kukuumba hivyo. Wala mtu asione labda Allah ameghafilika la hashaaa. Naamini qadari za Allah
@msabahkhamis9438
@msabahkhamis9438 4 жыл бұрын
Usikubali kuolewa na mtu wa kawaida atakulawiti Labda uolewe na mtu mwenye jinsiya kama yako awe kabezi tu upande wa kiume. Msabah gas kisima majongoo zanzibar.
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 жыл бұрын
Huyo (Mdada ) Anajieleza Vizuri ila Hao watangazaji Hapo Ni Wajumbe Hao Wanamuuliza Maswali Yasiyoeleweka
@everkabete6645
@everkabete6645 4 жыл бұрын
kweli kabisa yani anajieleza vizuri sana na anaeleweka
@maatumkadhi1760
@maatumkadhi1760 4 жыл бұрын
Ww mtangazaji wakike unachosha!!! Mashwali yako hayanamantiki ya kitoto sana yaan ningekuwa karibu na ww nikuchape vbao huyo nibinadamu pungza maswali yanayozidi kuumiza moyo😭
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
Ukweli msumbufu anamchanganya
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 4 жыл бұрын
Kweli!
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 4 жыл бұрын
The questions are being asked for people who dont know or understand waweze kuelewa kwa ndani dah! ndio maana ya interview
@melkizedekanthony4151
@melkizedekanthony4151 4 жыл бұрын
Hahahaa...mhusika hajalalamika. Mbona hivo
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 4 жыл бұрын
Kuishi ni atake mungu, sayansi inafeli hapo, kuwa huna omon huwezi kuishi. Uhai uko kwa الله mungu tu.
@floraflora5717
@floraflora5717 8 ай бұрын
Bibi baby pole mrembo nikazi ya Mungu aina makosa ❤❤❤
@user-jx9xc6vo9x
@user-jx9xc6vo9x 8 ай бұрын
Poleni sana mwanangu. Na mimi nyumbani tuna mtoto wa shangazi yangu yuko hivyo alizaliwa hivyo kama huyo mdada wala wala asiwe na shida amshukuru Mungu tu
@wemajohn9283
@wemajohn9283 4 жыл бұрын
Mipango ya Mungu tu jamani, Mungu anaweza mfanyia njia pasipo nanjia
@monicakawanara1077
@monicakawanara1077 4 жыл бұрын
Mtangazaji Wa kike unamaswali ambayo kiukweli unamfedhehesha Dada Wa watu. Yaan mnavyomuhoji as if tatizo ni dogo Sana'a. Dada Mwenyeenzi Mungu akutunze
@saumsalim9966
@saumsalim9966 4 жыл бұрын
True
@ismailchilonga2878
@ismailchilonga2878 3 жыл бұрын
Kabisa
@jamilao8133
@jamilao8133 3 жыл бұрын
Kweli Kabisa nafanya utani
@humphreymadiwa8324
@humphreymadiwa8324 3 жыл бұрын
Nyie acheni kudharirisha watu mtu kasema hana hicho kiungo unataka aolewe ili akahudumie vp unyumba acheni mawazo ya kishetani bwana
@faumamakwaia5095
@faumamakwaia5095 4 жыл бұрын
Wewe Dada Mtangazaji ujui kuuliza maswali!!
@emmyjohn3970
@emmyjohn3970 4 жыл бұрын
NATAMANI MUNGU WA MBINGUNI AKUSHANGAZE..YAAN NATAMAN UFUNGULIWE NA UWE MZIMA IN JESUS NAME
@bellabakera
@bellabakera 3 жыл бұрын
Afunguliwe vp sasa? Mbn yupo sawa kabisa kwenye macho ya Mungu. Nahisi wewe ndo unatakiwa ufunguliwe ufahamu na uelewa kutambua uwepo wake na kumkubali basi.
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 3 жыл бұрын
Kweli inawezekana kwa jina la Yesu
@btylove1870
@btylove1870 8 ай бұрын
​@@bellabakeraAsante umejibu vizuri sana.
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 8 ай бұрын
Amin
@tauhidajumahamad1218
@tauhidajumahamad1218 8 ай бұрын
Amin🙏
@rehemajumamlinde9418
@rehemajumamlinde9418 4 жыл бұрын
Maswali ya dada mtangazaji utadhani ya wajumbe... 😁😁😁😁
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
Hahahahahaha
@AfRICA0404
@AfRICA0404 4 жыл бұрын
Wew
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 жыл бұрын
Hahahahahahaaa Wajumbe Si Watu Wazuri
@johnbernad6806
@johnbernad6806 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@walterchilumba8302
@walterchilumba8302 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@rahelgrayson6927
@rahelgrayson6927 4 жыл бұрын
Mungu akusaidie mwanangu naamini kwamba uumbaji wa mungu hauna makosa,kazana kupambana zidi ya wengine heshima iwepo na kuwatambua naamini utafika lengo,nimeipenda Sana ulivyojikubali maana hata iweje haiwezi kubadilika chochote,mungu azidi kukutunza
@sakwacshimakabhai9817
@sakwacshimakabhai9817 4 жыл бұрын
Karibu dada. Yaani huo ni mshutuko tu kwa anaye kufanyia mahojiano. Kama hakika wewe ni mkristo,mtumaniye Mungu. Urithi wako ni kwa Mungu, asante dada usife moyo wala kutanganwa na walimwengu. Mungu awatetee wote 😘🙏
@prettymoore6780
@prettymoore6780 3 жыл бұрын
The interviewer is very insensitive. She’s not tying to understand the situation at hand. I’m proud of baby, May God help her accept herself and make the right decision in life. I wish you well.
@deborahanyango8605
@deborahanyango8605 3 жыл бұрын
Disability is not inability,love your courage cutee soldier on.
@nyotasandra1176
@nyotasandra1176 3 жыл бұрын
Mungu atakusimamia, wewe ni jasiri, Mungu akushangaze, katika jina la Yesu
@esthermungai5802
@esthermungai5802 4 жыл бұрын
Dada wewe ni jasiri sana. Issue yakuolewa usijihusishe nayo kabisa maana haitakupa raha. Focus on your studies and become successful in life. God knows why it had to be this way.
@mariamathuman5862
@mariamathuman5862 3 жыл бұрын
Pole sana mwanangu alizaliwa hivyo alikua tundu la mkojo na haja kubwa hila mashavu yalikuwepo akiwa na wiki 2 tulimpeleka hospital wakampasua kumbe kulikua na ngozi imeziba wakamchana mpaka sasa yupo kama kawaida na kaolewa na ana mtoto
@margretchacha5457
@margretchacha5457 7 ай бұрын
Amen
@GHOST-gc8ju
@GHOST-gc8ju 4 жыл бұрын
Halo ndiyo unapoona tanzania imepoteza mtu mmoja muhimu sana yaani kwa ninavyomjua mzee wangu RUGEMALILA huyu kiumbe angekuwa sehemu ya kuwafikia wengi na tungewaona wengi sana anastahili heshima sana huyu dada
@frankbangimoto3462
@frankbangimoto3462 4 жыл бұрын
She is very smart and strong girl. I wish asome udaktari.
@apoloniaalex2825
@apoloniaalex2825 3 жыл бұрын
Ushauri mzuri
@mussamapesa5632
@mussamapesa5632 4 жыл бұрын
Mtangazaji wa kike yuko vzr sana anachimbua ili mjue sio kana kwamba anataka aolewe
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 8 ай бұрын
Yaani nakombea kwa MUNGU wetu ahingilie kati shida lako, pia fika kwanza vuka yordani Arusha tafadhali sana naomba...
@sharifaselemani4608
@sharifaselemani4608 4 жыл бұрын
Tangu nimeanza kumsikia uyu Dada nimempenda sana amejikubali na anajiamini.nakupenda my love
@deboraramadhan8663
@deboraramadhan8663 4 жыл бұрын
Kama hauumwi popote dada kaa chini mshukuru mungu jinsi alivyokuumba mungu anamakusidy makubwa na wewe
@everkabete6645
@everkabete6645 4 жыл бұрын
kweli kabisa
@shanelwanjala9422
@shanelwanjala9422 3 жыл бұрын
Kabisa 😭😭😭
@gloriatoo22
@gloriatoo22 3 жыл бұрын
Kweli
@edgersenyagwa3583
@edgersenyagwa3583 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Kila Jambo Mungu hupanga nakila
@brigidn6670
@brigidn6670 3 жыл бұрын
Kubali jinsi ulivyo dada
@wivinenyamukama9701
@wivinenyamukama9701 4 жыл бұрын
Dada Mungu anaweza.tafuta watumishi wa Mungu wako wengi duniyanai anaweza mwenyezi Mungu
@kemilembekazimoto5010
@kemilembekazimoto5010 4 жыл бұрын
Dada kwanza pole sana, ni mapenzi ya Mungu ila kama u amwamini Mungu anaweza, Mimi kuna dada mmoja ninamfahamu alikuwa na tatizo kama hilo ila Mungu alifanya muujiza siku asiyodhani aligongwa na gari lilimpitia juu yake hakufa wala hakupata mchubuko sehemu yoyote ila alipoinuka akajikuta amekuwa mzima aliolewa mwaka 1998 saizi ana watoto 5 mme wake alifariki mwaka jana,kwa Mungu inawezekana.
@alimasigasaleh8659
@alimasigasaleh8659 3 жыл бұрын
Allah ni mkubwa. Na uzuri dada yetu she's very thankful for how she is and much happy.
@omarikombo1410
@omarikombo1410 4 жыл бұрын
Pole dada Lkn kuna wanaume ambao wanaweza kukuoa kwani wapo ambao biological zao hazisimami
@magesamatiku7364
@magesamatiku7364 4 жыл бұрын
Hatuna la kusema sisi Binadamu tulieumbwa na Mwenyezi MUNGU.MUNGU ni Mwema siku zote yeye aliumbwa kwa Makusudi ya ke.Uumbaji wa Mungu una mibaraka yote.
@pasteurjeannotkubehwa313
@pasteurjeannotkubehwa313 3 жыл бұрын
Mungu anajuwa yote
@caren3010
@caren3010 4 жыл бұрын
Kabla hamjafanya mahojiano ya kisayansi muwe mnafanya research kwanza na muite wataalam wa mambo watoe ufafanuzi hapo hapo..maswali yenu very unprofessional, yanaweza muumiza muhusika.
@priscajohnson7383
@priscajohnson7383 4 жыл бұрын
Yaani huyu mtangazaji anaboa sana..
@prettymoore6780
@prettymoore6780 3 жыл бұрын
I second you, this type of interviews should be conducted along a gender specialist for proper clarification.
@cholohamod7050
@cholohamod7050 3 жыл бұрын
Amenikwera Sana km sio taaluma yk
@alicehinga8372
@alicehinga8372 3 жыл бұрын
Mtangazaji wa kike ndiye aliye na hayo maswali ya kipuzi.... Mwanaume hata anaingilia kuokoa huyu dada Baby kujibu hayo maswali...
@elizabethkariuki2601
@elizabethkariuki2601 3 жыл бұрын
I absolutel agree with you Caren. The interviewer comes off as too naive and insensitive.
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 3 жыл бұрын
What I like she's very couregous ,Mungu anasababu KWA Kila kitu MUNGU MKUBWA AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI
@aminamahamud9333
@aminamahamud9333 3 жыл бұрын
Very unprofessional nasty questions from mtangazaji wa kike. Baby John congratulations kwa ujasiri wako. Allah afunguwe njia ya malengo yako.
@alicehinga8372
@alicehinga8372 3 жыл бұрын
This interviewer nkt... From the onset this lady said what she has as her private organ is neither female nor male, just 'something' to pass urine.... The man understands what lady baby is saying, the lady interviewer is all about questions that even lady Baby doesn't know how to answer. Lady interviewer please be sensitive to your interviewees please... Lady Baby it is well, God knows you and that is what matters, take heart and bravo for your courage.
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 3 жыл бұрын
Sijui yukoaje huyu she just questions nonsense
@anethswai8141
@anethswai8141 4 жыл бұрын
love u baby since tukiwa shule,,Mungu akakupiganie na akusimamie kwa kila jambo
@tunujumanne3168
@tunujumanne3168 4 жыл бұрын
Duh pole sana,nilisomaga na mdada ana jinsia mbili ya kike na ya kiume
@user-rm6xb9xo7u
@user-rm6xb9xo7u 8 ай бұрын
Mimi nakupongeza Kwa kujikubali jinsi Mungu alivyokuumba,usingefanya hivyo ugekuwa na huzuni mno moyoni.Uwe na furaha na amani na Mungu atazizdi kukubariki.
@deusngumba5155
@deusngumba5155 4 жыл бұрын
Pole Dada, jipe moyo hiyo ni kazi ya MUNGU haina makosa Huenda kuna kitu kibaya alikuepusha kwa kukuumba hivo
@ignaskasilabwa5384
@ignaskasilabwa5384 3 жыл бұрын
Kwel kabisa, huenda kuna kitu aliepushiwa
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 жыл бұрын
Nna shangazi yangu yupo hvo na anamiaka 54 sasa, yaan hajawahi kuvunja ungo, hana nywele sehemu za siri (anavosema yeye) wala makwapani.. yupo ka mtoto mchanga, hana pa kufanyia mapenzi yeye ana pa kukojolea tu...hajaolewa mpka leo anasema hana hisia yaan yupo tu, hana matiti, ila ukimuona huwez jua mzurii sanaaa sahv ananlelea mwanangu tu yaan duuh ni ajabu ila kweli
@anoldykamugisha9993
@anoldykamugisha9993 4 жыл бұрын
Hello
@anoldykamugisha9993
@anoldykamugisha9993 4 жыл бұрын
Kwel hay Mambo yapo majumban
@arafatkhalid4391
@arafatkhalid4391 4 жыл бұрын
Huyu mtangazaji wa kike mbona anakazania huyo dada aolewe au kazoea kufirwa mtu kashakwambia hana kuma wala mboo wewe unakazania ndoa mpumbavu kweli clouds tafuteni Watangazaji wenye ueledi
@mwesigwaannte6751
@mwesigwaannte6751 4 жыл бұрын
😅😅😅😅😆
@saumsalim9966
@saumsalim9966 4 жыл бұрын
True
@leahpaul8267
@leahpaul8267 3 жыл бұрын
🤐🤐🤐
@nyigomakunza4285
@nyigomakunza4285 3 жыл бұрын
hahaha😂😂😂😂
@cjireri5651
@cjireri5651 3 жыл бұрын
😂😂😂
@aminahamadi4017
@aminahamadi4017 4 жыл бұрын
pole sana mdogo wangu yote mambo ya mungu
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 4 жыл бұрын
Pole dada ila Allah akupe maisha marefu sio rahisi kukubali hiyo hali but upo happy mno yn i like u baby girl good blessing you always❤️🙏🏼❤️🙏🏼 kujiamini ndio kila kitu 😍😘
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 4 жыл бұрын
Mkuu nani kakwambia huyo ni mdada bhana
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 4 жыл бұрын
atiko mbogolo ww hy ni Dada ni vile jinsia zote shakuwa nazo ila body yk ni yakike ulitoa jinsia
@banglagirl5682
@banglagirl5682 3 жыл бұрын
Pole san dear sister kweli mungu ww niwajambu
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Subhannallah, uyu Dada jasiri, dah! Allah akuzidishie furaha.
@mrishoswahbu2700
@mrishoswahbu2700 4 жыл бұрын
Saum hassan nimekumic kweli nilkua nimeibiwa cm nikawasioni comment zakosasa naziona
@danielndusilo4723
@danielndusilo4723 4 жыл бұрын
Mungu akupatie ujasiri.
@saidwale6053
@saidwale6053 3 жыл бұрын
Aamin
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 4 жыл бұрын
Huyu Dada Anajitambua,,anajieleza vizuri sana mungu amsimamie katika safari yake
@pascalfaustini9794
@pascalfaustini9794 3 жыл бұрын
Hai
@skolaandondile9287
@skolaandondile9287 4 жыл бұрын
Dada yangu nisingekuwa nimeoa mimi ningejitokeza wala sio lazima uzae kwa tendo, kwa kuwa hiyo ni mipango ya mungu mwenyewe, tena ni mzuri sana, ila usimlaumu mungu Ana makusudi yake, nakutabilia wewe utaishi miaka zaidi 90.
@hemedimussa2383
@hemedimussa2383 4 жыл бұрын
Ungejitokeza kumuoa au acha uongo
@plujorilugano9489
@plujorilugano9489 3 жыл бұрын
Hakika yangu mm naweza ishi nae kwa upendo wa dhati kuhesimu uwazi wake alionao, kwanza nampenda hv tu alivyo hakika naongea haya ya moyo wangu
@aggyparty2990
@aggyparty2990 4 жыл бұрын
Kiukweli mnaohoji hamjui kuhoji mnataaluma ila wagumu kuelewa hasa we mtangazaji mwanamke hamjui mmepanic au vipi mnarukiarukia maswali hampi nafasi yakujieleza hakuna kilichoeleweka sijui ndiyo mmechanganyikiwa na nyinyi yaani kunamengi yakujifunza ila mmefail kwenye kumuhoji
@magrethelisha2220
@magrethelisha2220 4 жыл бұрын
Ayo tv wanajua kuoji watu kama hawa mimi wakinioji wanipe na pesa
@aggyparty2990
@aggyparty2990 4 жыл бұрын
Magreth Elisha kabisa hakuna walichohoji angekuwa Millard ayo tungejifunza mengi mno
@badbouryali4785
@badbouryali4785 8 ай бұрын
You are a very brave person God will always pave a way for you, thanks for having the courage to educate us about this issue
@rosekway2626
@rosekway2626 4 жыл бұрын
be strong honey usikate tamaa. Hakuna lisilowezekana kwa MUNGU wewe endelea kuamini ipo siku Mungu atajibu ombi lako . soma methali 3:5-6
@mrjulius5840
@mrjulius5840 4 жыл бұрын
IMENIUMA SANA 😭😭😭
@miriamsaidtindwa1447
@miriamsaidtindwa1447 4 жыл бұрын
Yaan dah
@sinclairchippi5896
@sinclairchippi5896 3 жыл бұрын
Tafuta kanisa la miracle revival Pentecostal church, Dar salama, utapata usaidisi wa maombi nawee utapata hajaa za moyoo wako
@mrjulius5840
@mrjulius5840 3 жыл бұрын
@@sinclairchippi5896 kwan kuna sehem hapo nmeuliza kanisa lenu?
@sinclairchippi5896
@sinclairchippi5896 3 жыл бұрын
@@mrjulius5840 tunataka huyu dada apate uponyaji wake, ama huamini Mungu anaweza fanya miujiza?
@saidbanga
@saidbanga 4 жыл бұрын
Hii interview angeipata Salama Jabil Au Milady Dah Sijui Yaani..! nadhani huyu dada angeongea mengi Ambayo Yangefanya story yake iwe ya kusisimua Zaid
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
Kabsaaaaaaaaaaa
@jazilambaji2789
@jazilambaji2789 3 жыл бұрын
Said Banga'huyu dada alihojiwa na channel ya Millard Ayo alijieleza vzr sana na aliyekuwa akimhoj alikua vzr sana
@muniraabdulrahman5656
@muniraabdulrahman5656 3 жыл бұрын
Mbona ndio imeanzia kwa midady ayo
@elishaluchemba1071
@elishaluchemba1071 3 жыл бұрын
Baby jikubali ingia jinsia moja nayo itakujia kwa Iman unapendeza Sana ukiwa dada lakn mungu hakuweka jinsia ya kike ukijkubal unaweza kuwa mama wa watoto uso wako n dada na sauti pia nakupenda Sana
@emanuelmbondo4598
@emanuelmbondo4598 4 жыл бұрын
Huyu dada ana akili sana. Mungu ambariki
@laurentsimon8304
@laurentsimon8304 4 жыл бұрын
Baby kabae kaaa huyu mtu kaniumiza sana yaani machozi yana nitoka tu daa mungu ni muweza wa yote
@lushakenterprises524
@lushakenterprises524 4 жыл бұрын
Hawa watantazaji wanacheke vipi sasa?huyu ni binadamu tu bwana..it takes courage for her kujitokeza na kujieleza...na inshallah atapata kura.
@perisnjoroge3102
@perisnjoroge3102 3 жыл бұрын
I don't like the way they are interviewing Nkt
@mosesmureithi6823
@mosesmureithi6823 4 жыл бұрын
Live strong! You are created for the Glory of God.
@eunice1611
@eunice1611 8 ай бұрын
Wapendeza sana bebi 💖 lakini ni maumbile ya mwenyezi mungu jikubali tu
@fathiyaalrawahi6382
@fathiyaalrawahi6382 3 жыл бұрын
Pole sister hebu aombewe msaada ende nchi za nje labda atafanikiwa kwa opresheni.Mungu atakusaidia wapo kama haokweli duniani doctor ataona kama inawezekana .badala kumhoji sana
@feisalmangaya3327
@feisalmangaya3327 4 жыл бұрын
Dah uyu dada lkn mzuri mmmh
@adamdeus6015
@adamdeus6015 4 жыл бұрын
hivi wewe mtangazaji wa kike kweli umesomea taaluma hiyo mbona maswali yako kama mtu asiyesomea taaluma hiyo mbona maswali yako ya kumdhalilisha huyo ndugu
@queeneva3709
@queeneva3709 3 жыл бұрын
Jamani hata mimi nilitaka kijua kama anahisia au la. Maana sisi ambao tuna jinsia moja hatujui hasa ni namna gani wanahisi? Nime2ahi kusikia ishu kama hii hakuna hisia kabisa eti. Mungu huyy wa ajabu yaani kuna watu wamepewa utauwa toja mbinguni.
@cholohamod7050
@cholohamod7050 3 жыл бұрын
Yani km sio mzima kiakili
@leonardjames4360
@leonardjames4360 3 жыл бұрын
Pole Ila namm siamni Kama huna jinsia.hatamoja
@fatumahassan8605
@fatumahassan8605 3 жыл бұрын
Maswali yake sawa na gazeti la udaku ! She thought that shis the only perfect one! Plz learn how to do professional enterviews !
@mapendoimani2462
@mapendoimani2462 3 жыл бұрын
Mungu anajua kazi yake. Na yupo juu ya sayansi.God is an artist.Amen kwanza anajipenda anajitambue Mungu amjalie.she is comfortable n brialliant
@projectusmakwaya7895
@projectusmakwaya7895 4 жыл бұрын
Nimejisikia huruma sana!!! Mungu ni mkuu sana Maana huyu anaonekana Ana Amani amejikubali
@mohamedkafukuyaluraka9972
@mohamedkafukuyaluraka9972 3 жыл бұрын
Ewe mola mhifadhii huyu bint
@lovenessthomas9659
@lovenessthomas9659 4 жыл бұрын
bby my dear tumesoma wote lkn mpk tunamaliza ckuwah kujua km upo hivyo yaan siamin kbs na jinsi ulivyokuwa mchangamfu mwenye utani kiukwel Mungu akupiganie ktk hilo
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Ameen yarabill alamin insha'Allah Khair
@babyjohnmusamba5760
@babyjohnmusamba5760 4 жыл бұрын
Asanteniiii nyoote
@aishaamalemba1046
@aishaamalemba1046 4 жыл бұрын
Thuma ameen yote yawezekana kwa imani
@maidamatinya348
@maidamatinya348 4 жыл бұрын
@@babyjohnmusamba5760 hilo ni kusudi la Mungu! Mtukuze Mungu kwa uhai ulonao! Nakupenda kwa uchangamfu wako!
@enockndamo1350
@enockndamo1350 3 жыл бұрын
Naomba namba zake
@charlesblazio6821
@charlesblazio6821 4 жыл бұрын
Rais Magufuli mteuwe uyu ili awe kielelezo na picha kwa wengine wenye hali Kama iyo hata Mimi ningekuwa rais ningemteuwa ktk nafasi yoyote ile
@aimilyatuu2783
@aimilyatuu2783 3 жыл бұрын
Kwa akili yako ya kikuma ungechagua
@aimilyatuu2783
@aimilyatuu2783 3 жыл бұрын
Huyu ni mwanamke sababu ni matiti na body
@theresiakapinga5238
@theresiakapinga5238 7 ай бұрын
Hongera kwa ujasiri, Mungu anayosababu yakukufanya ulivyo. Ninawafahamu baadhi walio na hali yako. Mpe Mungu nafasi akuonyeshe kusudi la kukuumba hivi ulivyo.
@tunkuh661
@tunkuh661 4 жыл бұрын
Binafsi nimekuelewa nimekupenda na pia nimependa unavyojiamini na kujikubali... kazi ya Mungu haina makosa, siku zote nakubaliana na matakwa ya muumbaji na si binadamu ... Mtangazaji wa kike inaonyesha hujaelewa nini kinazungumzwa na unapata ugumu kuukubali ukweli unaousikia but huo ndio ukweli hatuwezi badili au kukosoa kazi hiyo nzuri ya uumbaji... Tz ifike mahali tutengeneze mazingira ya kukubali watu wa aina hii hamna namna tuwakubali na kuishi nao kwa kuwaona km wenzetu c kuwaficha na kuwanyanyapaaa maana hata wao hawakutaka kuwa hivyo walivyo ni mipango tu ya uumbaji wake Muumba.... ✌💞
@fatumamcharo3929
@fatumamcharo3929 4 жыл бұрын
Pole sana dada!! Mungu atatenda!!
@kailomsewa2258
@kailomsewa2258 4 жыл бұрын
Mungu wangu jamani Mungu WA ajabu 😢YaaAllah msimamie ivyo ivyo azidi kuwa strong
@amirimbelwa8447
@amirimbelwa8447 4 жыл бұрын
Binafs naweza kumuoa bila shaka na maisha yataendelea
@sein.208
@sein.208 8 ай бұрын
Masha Allah Subhana Allah Alhamdulillah Allahu Akbar
@aminambughi9613
@aminambughi9613 7 ай бұрын
Kazi ya Mungu haina makosa, Mungu akutetee!
@sabinashabani4688
@sabinashabani4688 4 жыл бұрын
Maswali mengine niyakuliza doctor wake jamani sio musika.mungu akuangazie my dear.
@elizabethrichard4780
@elizabethrichard4780 3 жыл бұрын
Baby John I love you so Much. From moyoni kabisa bila utani. UsikubaLi kuolewa hata siku moja. Lakini alivyokuumba hajakosea. Nae aliamua uwe hivyo basi shukuru kwa kila jambo. Ila shIka sheria za mungu kutoka 20:1-17.hakika utairithi mbingu
@evanschaedirectoreffortcon6264
@evanschaedirectoreffortcon6264 3 жыл бұрын
God knows why, we can not question Him.Hongera for coming you are beautiful
@hemedimnzava1322
@hemedimnzava1322 8 ай бұрын
14:54
@user-dk3ql2ll1m
@user-dk3ql2ll1m 7 ай бұрын
Pongezi dada kwa ujasiri hayo. Mungu akubariku sana na usidi kuendelea ku encourage watu kamawewe
@kennedyayuka9065
@kennedyayuka9065 4 жыл бұрын
Sauti ndio inatafoutisha tu yeye ni mwanadada. Ni vile kazi ya mungu haina makosa
@leahmwangi5804
@leahmwangi5804 3 жыл бұрын
This lady is soo unprofessional what kind of questions are you asking her she already told you she dont have private parts and you insists her to get married
@njokijeff9448
@njokijeff9448 3 жыл бұрын
Ngai Mwathani athugumaga nakii
@valerieshinia8526
@valerieshinia8526 3 жыл бұрын
Ameniudhiii walai singemjibu aki🤮🤮🤢
@veronicawanja2607
@veronicawanja2607 3 жыл бұрын
@@njokijeff9448 😂😂😂
@zumamarande3242
@zumamarande3242 4 жыл бұрын
Baby umechemsha una maswali yakitoto kiboko yaki Hassan ngoma
@HAMIDAMIVULE
@HAMIDAMIVULE 8 ай бұрын
Mwenyeezimungu amekuepusha na dhambi za zinaa mdofowangu mungu akubariki akupe kukubali hali iliulipwe pepoyake
@ahmedsoudathman5088
@ahmedsoudathman5088 3 жыл бұрын
I like this courageous woman... you deserve high office ... you have all the guards 👌👌
@ahmedsoudathman5088
@ahmedsoudathman5088 3 жыл бұрын
Guts
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 жыл бұрын
She is so beartiful❤
@barakajohn7442
@barakajohn7442 4 жыл бұрын
mungu akusimamie
@elizaeliza2435
@elizaeliza2435 4 жыл бұрын
Mtangazaji wa kike unaboa lkn muhusik yupo vzr san tn unaweza kbs kuwa kiongozi
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 жыл бұрын
Watangazaji mmeogopa eeh😀😀wallah nacheka Kama mazuri Allah atunusuru🙆
@Laizer3
@Laizer3 2 ай бұрын
Dada pole sana ,mungu atakupa ahera njemaa
@husseinashol8111
@husseinashol8111 3 жыл бұрын
Kazi ya Mungu haina Makosa,. Alhamdulillah 4 Everything
@othumanomary3298
@othumanomary3298 4 жыл бұрын
Hv kumbe we Baby wa Clouds huna Akili Kabisa Unauliza Maswali Ya kitoto wakati Kitu Kinaeleweka Unalazimisha Kitu unachokijua pumbavu ww
@omaryommy404
@omaryommy404 4 жыл бұрын
Lkn haukuwa na haja ya kumtusi jua kauliza c kwa ajili yake Bali kwa niaba ya watazamaji
@fatmakigula8634
@fatmakigula8634 4 жыл бұрын
Anazo anauliza kwa niaba ya watanzania maana watu weng hawajui wanahis Kama pale pa kuingiliwa papo kumbe mkojo unatokea juu na tundu inakaa chin
@winnshirima4122
@winnshirima4122 4 жыл бұрын
Namshkuru Mungu kaka zako wote wanakusapot waendelee na moyo huo huo
@elnestmbago8609
@elnestmbago8609 4 жыл бұрын
Hongera sana baby musamba ila nikushauri atakae kubali kukuoa aandike mkataba asije kukunyanyasa na akija kukunyanyasa aape kufungwa maisha maana Kwa kukudai unyumba au kutaka mtoto toka kwako ahsante Kwa ujasiri wako mungu akubari Kwa kuwa tayari
@ramamjema8391
@ramamjema8391 8 ай бұрын
Dada yangu hongera sana, Mungu anakupenda sana wewe huna shida yoyote Cha msingi kaa hivyohivyo kama ulivyo, na timiza majukumu Yako na kujenga taifa na mtegemee sana Mungu.
@abdallahkiliaki7299
@abdallahkiliaki7299 3 жыл бұрын
Mtangazaji; maswali yako kwa huyo binti yanakera, yanadhalilisha, yanafadhaisha. Binti amekwambia kwa uwazi kabisa hali aliyonayo. Halafu bado unamwuliza maswali ya aibu na yasiyojibika. Maswali yako yamekosa uelewa, utu, utu uzima na usiri ("privacy"). Unathubutu vipi kumwambia aolewe wakati unafahamu fika kuwa mojawapo ya majukumu ya ndoa ni tendo la ndoa na kuzaa? Mbona unahoji mambo km mtoto mdogo? Je, wewe ungekuwa ktk hali yake ungetaka uolewe? Namsifu sana huyo dada kw kukuvumilia. Ktk hali ya kawaida alitakiwa akukasirikie na kutokukujibu. Hali yake ni ya kuhurumiwa na asaidiwe kwa mali na kisaikolojia ili imsaidie kupunguza msongo mkbw wa mawazo alionao. Nahisi ningekuwa baba yake hakika ningekosa usingizi. Mungu amhifadhi na ampe subira na ujasiri pamoja na wazazi wake. Amin yarab!!!
@jumaashukia663
@jumaashukia663 11 ай бұрын
Mtangazaji alikua bado hajatambua vizuri kama hana kbs maumbile. Na ndio maana baada ya kufahamishw vizuri akaduwaa sana.
@gimbanantavyo5217
@gimbanantavyo5217 8 ай бұрын
Sana sana, yaani mpaka anaboa sana mbona Sam ameelewa haraka, yeye kimachomfanya asielewe na ni mwanamke mpuuzi tu
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 8 ай бұрын
hata mimi sijapenda maswali ya huyo dada, ila Sam ni mtu wa nuruni kaelewa
@kabembadrake6302
@kabembadrake6302 5 ай бұрын
Tumushukulu MUNGU kwa mambo yote, uyo ni malaika asiye jejuwa kwa sasa,lakini muda wake wakutenda kazi za MUNGU ziko kalibu malaika wa MUNGU usiogope ata uombe MUNGU uwanze kazi zake njo iyo ulitumwa duniani uoneshe ukubwa ya MUNGU usifanye dambi ya uzinifu msishsni mwako uko mutakatifu mbele ya MUNGU na mbele ya dunia ningepata bahati ya kukuzala weye ninge shukulu MUNGU sana yani maisha ningejuwa MUNGU amenikimbuka, kama mfalume daudi yani mie naitaje kuishi nawe ju ya utukuvu wako famile yako iko na neema ya MUNGU. Mie nsishi congo drc north kivu goma town MUNGU awbaliki saana
@missngai6135
@missngai6135 3 жыл бұрын
I love the courage of this lady, mungu anakupenda na unapendeza sana
@nururobert7172
@nururobert7172 4 жыл бұрын
Mtangazaji wakike anakela hajielewi kabisaa.... Anaudhi Sana namaswali yake
@liberathsamcky
@liberathsamcky 4 жыл бұрын
N kwel
@aynatjoe5756
@aynatjoe5756 8 ай бұрын
She's so brave, intelligent and beautiful,, see way she talks Wow.. God make wonders, God favor your what u ask him.. I bless u Baby
KWANINI WANAWAKE WENGI HAWAFIKI KILELENI
25:44
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 188 М.
Fanya haya kwa bibi kuendelee kuwa mdogo,usiachike.
14:55
The XO
Рет қаралды 204 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 82 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 205 МЛН
ibyo abahanuzi bamuhanuriye byanze gusohora atubwiye impamvu
50:42