Miujiza ya Mt. Padre Pio, Aliwasiliana na Roho za Marehemu Walio Toharani, Walimshukuru - Pd. Tito

  Рет қаралды 25,981

Jugo Media

Jugo Media

Жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 50
@alexpangani1944
@alexpangani1944 Ай бұрын
Àsante sana padre kwa mafundisho mazuri.
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 5 ай бұрын
Fr,Tito tumecheza nae utotoni kibaha sijamuona zaidi ya 20 years mmm,nimefurahi,this man was so genius darasani.Nafurahi kumwona leo,barikiwa sana Fr.
@alfonsinamwacha4193
@alfonsinamwacha4193 Жыл бұрын
Father Tito...ahsantee kwa mafundisho mazur...MUNGU aendelee kukutumia
@aloyceikangala9221
@aloyceikangala9221 Жыл бұрын
Be blessed Fr. Tito
@rozkiwale912
@rozkiwale912 Жыл бұрын
Asante sana Padre nimejifunza mengi mno naomba Mapadre wetu wafanye hivyo Kila kipengele kuwaombea marehemu
@patrickmuchiri7480
@patrickmuchiri7480 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/gsCeipyisr6oqGQ.html
@siuhibasil8049
@siuhibasil8049 Жыл бұрын
Amina,kwa mafundisho,mazuri kiroho,barikiwa, fr.
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
marehemu hawaombewi! kuombea watu waliokufa huo ni upagani 100% soma Mhubiri 9:5
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
marehemu hawaombewi! kuombea watu waliokufa huo ni upagani 100% soma Mhubiri 9:5
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 Жыл бұрын
Asante sana Baba kwa mafundisho mazuri. Mungu mwema akutunze 🙏🙏
@johnkaria7824
@johnkaria7824 Жыл бұрын
Rev. Tito Mungu akupe maisha marefu utufundishe kweli yote
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
kuwaombea wafu sio kweli yote! huo ni upagani 100% soma Mhubiri 9:5
@marierobert42
@marierobert42 Жыл бұрын
Congratulations father
@stephanomwile9920
@stephanomwile9920 Жыл бұрын
Mungu na atukuzwe milele
@reginamukama7333
@reginamukama7333 Жыл бұрын
Tuna mengi ya kujifunza. Ili tusimame Kwa miguu yetu naamu Asante Kwa mafundisho hayo
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
fundisho la kuwaombea wafu kamwe haliko ktk Biblia bali ni miongoni mwa mafundisho ya kipagani yaliyojaa upotoshaji 100% soma Mhubiri 9:5
@michaelvincentmhagama337
@michaelvincentmhagama337 Жыл бұрын
Ee Mungu, tunakushukuru kwa zawadi ya Imani.
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
kuwaombea wafu sio imani bali ni upagani 100%! soma Mhubiri 9:5. Soma Waebrania 11:1 ili ujue maana ya imani
@mwamkibemwamkibe5648
@mwamkibemwamkibe5648 Жыл бұрын
Mafundisho kama haya yanapaswa kufundishwa kwa nguvu zote ili waamini waelewe imani yao badala ya kutangatanga, hakika Pd Tito yupo very consistent kwa kile anachokifundisha. Barikiwa sana
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
unaelewa vzr maana ya imani? unadhani kuwaombea wafu nayo ni imani!??? kuwaombea wafu ni upagani 100% soma Mhubiri 9:5
@benno255
@benno255 Жыл бұрын
Yale majibu ambayo malaika alimpa yule tajiri kwenye kile kisa cha razaro inapaswa ikuonyeshe na kukufundisha kwamba ,ukiondoka duniania umeondoka unapoenda hakuna communication yoyote na dunia na hauwez hata kuomba favour yoyote ile.kifupi jarada linafungwa.
@Derick-zf9dd
@Derick-zf9dd Жыл бұрын
Amina
@emmanuelkuyunga5144
@emmanuelkuyunga5144 Жыл бұрын
Barikiwa sanaa Pd. Tito....
@getrudemassawe3400
@getrudemassawe3400 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Baba.
@newbornhaule
@newbornhaule 4 ай бұрын
Hili nalo nifundisho hatari sana kwa kanisa
@mariamoraa9404
@mariamoraa9404 Жыл бұрын
Kweli kanisa katoliki imefuata njia ya yesu kristu
@domitilaakonaay7190
@domitilaakonaay7190 Жыл бұрын
Tumsifu yesu kristu za binafsi nimebarikiwa sana na mafundisho ya mt p Pio nashauri yatolewe kila ck siyo mpaka ck ya birthday yake kama sasa nimejifunza mengi kipindi hiki Asante
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 Жыл бұрын
Amen
@alexpangani1944
@alexpangani1944 Ай бұрын
See Mt.Pio utuombee​@@rosemarysulle9288
@alexpangani1944
@alexpangani1944 Ай бұрын
Ee Mt Pio utuombee sisi wakosefu
@gaudenceluka3229
@gaudenceluka3229 Жыл бұрын
Tutapataje haya mafundisho
@alexpangani1944
@alexpangani1944 Ай бұрын
Hata Tomaso alikuwa mfuasi wa Yesu ila alidhihirisha mashaka yake Yesu alipowatokea,mpaka alipogusa!
@felisternyakali9114
@felisternyakali9114 3 ай бұрын
Unachokiamini ww mm sikiamini ndio kila mmoja ana imani yake
@sylivesterlucas-je5on
@sylivesterlucas-je5on Жыл бұрын
Ufunuo 21;7-8, UKISHINDA DHAMBI UKIWA HAI UTAENDA MBINGUNI SIKU YA YESU AKIHA MARA YA PILI , UKIFUA DHAMBINI HAKUNA MAOMBI YATAKAYOKUSAIDIA UENDE MBINGUNI ACHA KUPOTOSHA WATU
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Ай бұрын
Wewe baki kwenye uprotestant wako....usilinganishe kanisa katoliki na makanisa yenu ya watu binafsi.
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Mpiga picha rudi kajifunze huwezi mpiga picha mtu upande mwanzo mwisho
@patrickmuchiri7480
@patrickmuchiri7480 Жыл бұрын
😄 true.kzfaq.info/get/bejne/gsCeipyisr6oqGQ.html
@titorwegoshora6709
@titorwegoshora6709 Жыл бұрын
Kamera ilikuwa stationery. Mpigapicha pia alikuwa amekeri benchini akisikiliza
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Жыл бұрын
Marehemu waliotoharani maana yake Ni walio katika kuzimu ya Moto. Ipo tofauti Kati ya kuzimu ya Moto na jehanam. Jehanam itafunuliwa siku ya hukumu yaani siku ya mwisho. Roho za Wafu wasio watakatifu hukaa kuzimu ya Moto au toharani kusubiri hukumu siku ya meisho, na Roho za Wafu watakatifu hupumzika paradiso Hadi siku ya mwisho.
@titorwegoshora6709
@titorwegoshora6709 Жыл бұрын
Ndugu umevuruga sana uelewa kati ya toharani na Jehanamu. Tazama upya Katekisimu
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
imeandikwa wapi na kwenye Biblia gani ambayo inasema roho za marehemu ziko kuzimu? Biblia inasema wafu hawajui neno lolote, Mhubiri 9:5. hivyo fundisho la kuwaombea wafu ni upagani 100%
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Hakuna popote katika Biblia au katika mafundisho ya Yesu kuna ibada au misa ya marehemu, Biblia inatuambia kwamba "Mungu siyo Mungu wa wafu" pia baada ya kufa ni hukumu. Tatu,amjuaye mtu mtakatifu ni Mungu peke yake. Pia, Biblia inatuambia kwamba; kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe na kwamba; palipo nafsi ya mtu ndipo matendo yake yatakapokuwa. Sielewi kabisa kuhusu toharani kwani haimo popote katika Biblia,na hakuna popote penye mafundisho ya kuombea wafu. Naomba ufafanuzi kwa vifungu
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
wakristo walio wengi hawasomi Maandiko Matakatifu, hivyo watadanganywa sana!!
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Ай бұрын
Toka kwanza kwenye huo uprotestant ..uje kanisani uanze mafundisho.
@lukakanawematz1525
@lukakanawematz1525 Жыл бұрын
Bila ujazo Wa roho mt hakuna karamu yoyote. Udhihirisho Wa utukufu Wa mungu ni mapepo kukukimbia kwanza. yesu alisema msifura pepo wanavyowatii Bali kwakuwa majina yameandikwa mbinguni
@titorwegoshora6709
@titorwegoshora6709 Жыл бұрын
Kati ya watu wanaosumbuliwa na mashetani ni wale wanaodhihirisha mapendo makubwa kwa Mungu.
@ismailtarimo3974
@ismailtarimo3974 Жыл бұрын
Peleka uongo wako mmezoea kuwadanganya wajinga.wewe unaijua elimu akhera? Yangu lini mtu kafa alafu arudi duniani kuomba aombewe? Ama kweli wajinga ndo waliwao, utakuta jitu Lina PHD linadanganywa na wa darasa la Saba
@musabashiruhassani
@musabashiruhassani Жыл бұрын
Hhhh
@bobp6720
@bobp6720 Жыл бұрын
Mafundisho fake ya uongo
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 28 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 77 МЛН
DELIVERANCE IN TEXAS | DAY 1 |  FULL VIDEO HD 17 MARCH 2023
2:56:53
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 27 М.