Mama mwenye nyumba hakuwa na nia mbaya na wewe.wewe ulikuwa na roho ya uchawi kutaka kumvunjia ndoa yake hali yakuwa hajakukosea.sasa mungu amekulaani uliyo tegemea yamkute mwenzio yamekukuta wewe.na ukiendelea kufatafafa ndoa yao utapata usicho kitegemea.rudi kijijini ulee mtto wako hata yatima wanakuwa bila wazazi.usilie umalaya wako ndio uliokuponza. Umechimba shimo ukaingia mwenyewe.😂😂😂😂😂
@marymanoni55368 күн бұрын
Yani ww ni malaya tu 😂😂 usituchoshe mkubwa ivyo ulidanganywa nn ulitaka mwenyewe yani hawa wadada wa kazi wengi mnajisahsu mnatamani kuwa mama mwenye nyumba ndio mnaalibu iyo imekula kwakooooooo lea tu mwanaoooo msaada kwa uyo mwanaume ukingangania utakutesaaaa
@aminaolver91149 күн бұрын
Dada pole sana ila naomba usidanganyike tena yaani mwanaume alikudanganya uongo ulio onekana lkn ulishindwa kuuchanganua wacha kwenda kuharibu mahusiano ya watu au nyumba ya watu ambazo tamaa zako na roho ya kumshusha mwenzako ili wewe upande Mungu hapendi tafuta kazi lea mwanao miaka 3 unaweza kabisa kufanya biashara ukamtunza mwisho wa ubaya ni aibu na hao ndio wanaume pole sana
@angonzamujunangoma87758 күн бұрын
Pole kwa changamoto,kipindi hicho ulikuwa ma ulimbukeni,tafuta maisha dada
@souvenirweber71699 күн бұрын
Sasa kwanini usiseme ndio unasema yeah na kingereza hukijui yaani waswahili mna tatizo kubwa kichwani
@nillap7679 күн бұрын
🇰🇪 poverty is like punishment for a crime you did not commit 😢
@jeanmusamba84485 күн бұрын
hahahha ulikuwa unakatika unadhani unamwagia mwajia unampa mdogo na na kukata mauno unategemea nini?wala si issue kabisa
@user-ck3gw7ok7r3 күн бұрын
Umalaya mbaya nyiee kunalakujifunza hapa
@kulthumsaif28566 күн бұрын
Pumbavu nyooooo😏😏😏kenge ww Amuache mkewe kisa eti mwanaume wangu wa kwanza Lia mpaka ufe
@hadijahadija46998 күн бұрын
Unalia.nn.pumbavu.yani.ndomana.munarongwa
@jeanmusamba84485 күн бұрын
hahahahhahah dada Hadija noma sana hahahhahahah
@rayaabdul-gm3hcКүн бұрын
Ndio mana sitaki dada wa kazi .wanaume hawariziki bora afanye nje huko lakini linarudi nyumbani..lakini sio kumletea nyama ndani
@safiyasafiya50143 күн бұрын
Dunia inazunguuka uliyomtakia mwenzio yamekurudia mwenzio kamuoa na anamchit kwake wewe ndio nani roho mbaya loo selfish wewe mshenzi msiongopee shetani ye mwenyewe shetani😂
@adammjomba58145 күн бұрын
Hiyo NI hasara kubwa sana kwanini hamtaki kazi ya kilimo ?? Zamani mabinte walijishuhulusha sana na kilimo na baada ya mda wengi wao hupata wanaume na kuolewa then hupata family zao sio kuzuruka na kupata mimba zisio tarajiwa na kua singles mother
@rose763129 күн бұрын
Mmmmmhh!!!! Unafanya dhambi kwa ajili ya familia??
@safiyasafiya50143 күн бұрын
Huyo bwana pia mshenzi ungemwambia mke wake ajue anaishi na jini wa aina gani maskini huyo mama dhambi yake nini niboracuishi bila mme kuliko hiko li balaa ukute ndio kazi yake kwa kina dada wa kazi
@shakilamasoud29835 күн бұрын
Atajijua, avune alichopanda
@Leylah-pz5sc8 күн бұрын
Familia haijakupush ufanye zinaa ni umalaya wako tu
@marymanoni55368 күн бұрын
Kweli umalaya wako tu na uyo kafiki yako awe makini utalala na bwana akeee
@irenembura80459 күн бұрын
Ama kweli tamaa zinapeleka wasichana pabaya!!! Na unatamka Mungu akupe nguvu wakati wewe ni Msaliti???
@zayanazayana55182 күн бұрын
Hivyo ndio wanavofanya wa dada wa kazi wakienda Arabuni Wanatamani wamtoe mama mwenye nyumba waolewe wao, kinackowapeleka ni umalaya Hawana nia ya kazi, wana nia ya kutembea na baba mwenye nyumba, wana nia mbaya, na inawarudia wenyewe
@mukeshimanataussi69399 күн бұрын
Wewe binding Sasa unakuja kutenganisha ndowa kweli? Hatakuowa hata ufanye je?
@hadijahadija46998 күн бұрын
Yani.mungu.atakulani
@marryngaiza20617 күн бұрын
DADA POLE KWA KUTOTIMIZA MALENGO YAKO, SHETANI ALIINGILIA KATI(YULE BABA) . MTEGEMEE MUNGU MLEE MTT. MFAHAMISHE MJE WAKE YOTE YALIYOTOKEA ILI AJUE KUWA CHANZO NI MUME WAKE. MUNGU AWE NAWE. POLE
@valenakomba92186 күн бұрын
Kwani hiyo Mumbai alirushiwa kama risasi ? Si walikubaliana?