MR HOUSE AWASANUA WATANZANIA WANAOISHI NJEE ZA NCHII BEIZOTE ZA MATERIALS YAUJENZI KACHAMBUAKILAKITU

  Рет қаралды 3,937

Sanuka Media

Sanuka Media

5 ай бұрын

#ujenzinafuu #ramanizanyumba #ujenzi

Пікірлер: 43
@simbahussein4416
@simbahussein4416 5 ай бұрын
WANDUGU WANA TUHIBIA SANA MPAKA KUTUZULUMU ENEHO . KUTOKA AUSTRALIA
@user-dl1gy9pe1g
@user-dl1gy9pe1g 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-bt8bk7pm6e
@user-bt8bk7pm6e 5 ай бұрын
Nakuombea uwezekufungua na kampuni ya vifaa vya ujenzi. Vp kazizako kwa sisi wazanzibari. From omn Tim rial.
@SophiaMnguyu-ob4gh
@SophiaMnguyu-ob4gh 5 ай бұрын
Hongera sana kaka tupo pamoja DR HOUSE OG
@AminaKida-ik8fc
@AminaKida-ik8fc 5 ай бұрын
Ila umeweza Allah akulinde kwa kila hatuwa
@user-ks6wj1uf9k
@user-ks6wj1uf9k 3 ай бұрын
Shukrnii man wanaon km pesa tunaokota
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 3 ай бұрын
Kakaangu mi naitaji unijengee nipo arabuni lkn ujenz wng sio wa moja kwa moja siunajua mpk ujikusanye mara kwa mara ndio utume
@user-wq2jf6zq5r
@user-wq2jf6zq5r 4 ай бұрын
Asante sn
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 5 ай бұрын
Asee barikiwa saana ndugu 🙏
@felicianamutakyahwa1549
@felicianamutakyahwa1549 4 ай бұрын
Ubarikiwe maana umekombolewa ki fikra
@gracekakwezi8941
@gracekakwezi8941 5 ай бұрын
Barikiwa sana
@erinestangowi7785
@erinestangowi7785 5 ай бұрын
Yani kweli mbagala vitu bei sana
@user-xl4zq9ow9u
@user-xl4zq9ow9u 5 ай бұрын
Safi sana ndugu...
@fanni-ck6do
@fanni-ck6do 5 ай бұрын
Allah akuweke twaelimika
@FelistaAsenga
@FelistaAsenga 5 ай бұрын
asnate san jmn
@aliyahmedahmed590
@aliyahmedahmed590 5 ай бұрын
Inategemea na ndugu sisi Wazanzibari tunajenga na nyumba zinaisha vizuri....na akichukua hiyo hela ya ziada wala hatujali na nyengine tunamuongeaza
@user-bt8bk7pm6e
@user-bt8bk7pm6e 5 ай бұрын
😂😂😂
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 5 ай бұрын
Weee sio wote mwenzangu hakuna cha mzanzibari wa mzanzibara kwenye pesa kuna mandugu uko znz wanakula pesa za ndugu zao mpaka wakirudu wanakuwa machizi 😢nna mpaka ushahidi kamili km umebahatika ni weye mwenzangu na sio wote wapo na huruma 😢Allah atusaidie tu na familia zetu kinacho takiwa ni tuhurumiane tu
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 2 ай бұрын
Nashukur nipo kwenye kupaua lkn huo mziki wakee nahis kuvurugwa😢
@washa1346
@washa1346 5 ай бұрын
👏👏👏👏
@user-dl1gy9pe1g
@user-dl1gy9pe1g 5 ай бұрын
Asante
@bentybenty2343
@bentybenty2343 5 ай бұрын
I wish ungeweza kunisaidia ,bt I'm 4rm Kenya 🇰🇪 😢
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 5 ай бұрын
bonge la darasa
@AminaKida-ik8fc
@AminaKida-ik8fc 5 ай бұрын
Umetusanuwa vyema
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 5 ай бұрын
MashaAllah nakufatilia sana brother, ila hujibu message zangu Whatsapp 😢
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 4 ай бұрын
Namba unge eka hapa unataja haraka haraka wenzio tupo mtingo😂
@ramadhanimpate-yj3qp
@ramadhanimpate-yj3qp 5 ай бұрын
hawezi kujua yote elfu 50000/= utakuwa wakutoa mitaroni mwa balabal kipindi hiki cha mivua
@lil-masougee7388
@lil-masougee7388 5 ай бұрын
Mwanangu mm kweli npo USA napambana huku na ni kweli umenipa upeo mkubwa juu ya material Maana nyumba ya kwanza nimejenga huko tz na walionisimamia n rafiki angu wa karbu sana nilituma takribani million 650 lkn nyumba yenyewe sijaielewa
@zaharampenda9973
@zaharampenda9973 5 ай бұрын
Acha uwongo😂😂
@shakilabakari6928
@shakilabakari6928 5 ай бұрын
😂😂😂😂 jmn nimecheka sanaa
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 2 ай бұрын
Mmmmh..ni nyumba au stendi ya mabas eti million ngap
@Tamtam-wd1dy
@Tamtam-wd1dy 5 ай бұрын
Mr House hapo umeongelea. Mwana sheria wako tu raha mtu nae awe na mwana sheria wake ndio contract itakua nzuri zaidi. Je unafanya hivo pia? Mana mtu mwingine ye anataka kumuhusisha mwana sheria wake pia.
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 4 ай бұрын
Nikweli ulicho zungu mza ndugu zetu hawa tuelewi tunavyo surubika huku pia wasimamiz hatuna watoto ni wadogo had tuna ogopa hata kuhusisha maana hata maisha Yao yaweza kuwa mashakan je na weza kukutumia wewe kuanzia kiwanja?
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 5 ай бұрын
Nimekubali mwana, vipi kuhusu zenji, ningependa pia utusanue baba.. Kabla hatujaumizwa.. Unafanyaje kazi zako kule?
@user-eu4pk3eh5d
@user-eu4pk3eh5d 5 ай бұрын
Zenji vitu ni bei sana vya ujenzi na yeye si mkaaji wa kule ni ngumu kutambuwa hali ya bei za vifaa vya ujenzi
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 5 ай бұрын
Kama kupigwa nimeshapigwa mpaka basi
@user-dy3gq3qf4h
@user-dy3gq3qf4h 5 ай бұрын
Ndungu nimecheka,😂😂😂tu
@Juliana-fx8tr
@Juliana-fx8tr 5 ай бұрын
Mkimjengea mtu vifaa unanunua au mteja ananunua yeye
@JumaMario-px8tt
@JumaMario-px8tt 5 ай бұрын
Mimi nimekosa hata WA kumuamini ili ninjenge
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p 5 ай бұрын
Shid ukitumiw sms wsp ujibu ukasave number kila nikituma sms ujib sasa cjui unaangalia na number za kujib
@ramadhanimpate-yj3qp
@ramadhanimpate-yj3qp 5 ай бұрын
bei ya tofal haijui vzri tofli nch6 bei gani
@felicianamutakyahwa1549
@felicianamutakyahwa1549 4 ай бұрын
Je mikoani unaweza kwenda pia? Maana mi nipo nje ya nchi lakini nataka kujenga kibanda changu huko kijijini morogoro please
@CarolineValentine-kl9ve
@CarolineValentine-kl9ve 7 күн бұрын
Morogoro vijijni hoyeee
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 62 МЛН
Этот Пёс Кое-Что Наделал 😳
00:31
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 2,6 МЛН
KAFARA ZA SIRI WAZITOAZO KWA SHETANI EV PASCHAL CASSIAN
9:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 25 М.
ujenzi chumba na sebure, choo
2:19
Jiver Kasigara
Рет қаралды 20 М.
WAKABIDHIWA NYUMBA YAO |FURAHA YAPITILIZA
24:46
DTV
Рет қаралды 12 М.
SOMO LA NDOTO: TAFSIRI YA KUONA UNAFANYA MTIHANI ( johanitha Jeremiah-founder visionary youth org)
28:33
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН