MUKIONA MTU ANAMTUKANA MAMA AKILI HANA - PROF MAZINGE

  Рет қаралды 140,467

MAKIR ONLINE

MAKIR ONLINE

Жыл бұрын

#makironlinetv #tanzania

Пікірлер: 293
@abdillah_Viera96
@abdillah_Viera96 10 ай бұрын
Allah Akupe Umri Mrefu shekh
@RamadhaniMduni-mv8gv
@RamadhaniMduni-mv8gv Жыл бұрын
Alla aupe nguvu uislam awaongoe wasio ipata neema ya uislam
@kondempya
@kondempya Жыл бұрын
Ukiona wanabweka ujue umewapatia. Allah azid kukupa nguvu shekh mazinge
@leonardmathias9948
@leonardmathias9948 Жыл бұрын
Asilimia 20 ,tu ya waarabu ndo waislam wanaobaki Ni wakristo na wa dini ya kiyahudi .nyinyi mliopokea hii dini mnatumia nguvu nyingi sana kutetea Mungu wenu ambaye hana nguvu yoyote juu ya kristo, mpaka mnaua,
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
MASHA ALLAH HONGERA SANA SHEIKH
@RashidyJofrey-pq9dk
@RashidyJofrey-pq9dk 10 ай бұрын
Kweli shekh
@hafidhabdi2004
@hafidhabdi2004 Жыл бұрын
Na kuna waislam kibao wapo wanauzalilisha uislam na kumuhukumu muislam mwenzao subhanallah 😢😢😢😢😢 nasikitika sana sana sana
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Muislam gani alohukumiwa na muislam mwezake
@hassansalum2572
@hassansalum2572 Жыл бұрын
Ayo mambo ya Siasa msiyatiee kwenye dini Serikali Haina dini
@user-bf8eb7gv4x
@user-bf8eb7gv4x Жыл бұрын
We mzee kuwa makini na kauli zako hizo za kichochezi tunakuelewa we ata Mungu wako ninawasiwasi naye lema hakuegemea popote
@awadhgugu317
@awadhgugu317 Жыл бұрын
Wakifanya mihadhara yao ya kikristoo hawasumbuliwi wala nini Allah aendelee kuwaonesha na kutupa vyeo na nguvu sisi waislamu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Mnachanganya wakristo.mkristo mwelewa mavazi ya kiislamu ndio yanafaa
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Shehe usilie usihuzinike mavazi ya islamiki ni ya kustiri.miili.kila mwanamke alitakiwa avae.hivo.sasa.stetwani na uelewa wakristo wanaoelewa wanaelewa
@mwanjammassa8563
@mwanjammassa8563 11 ай бұрын
Japo si muhislamu,lakini kwa hii, mazinge wewe noma sana. Unajuwa nimechekaje baada ya kusikia MTUME WA KWANZA kufunguwa HOLI😂😂😂😂, heti ni mwamposa 🤣🤣🤣
@professorimmah
@professorimmah Ай бұрын
Sana noma mazinge
@user-sh5vq8hz8q
@user-sh5vq8hz8q 10 ай бұрын
Tundurisu umeishiwa maneno Tanzania niireire pereka uhuni ubarigiji
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 2 ай бұрын
Ww mnafik xna sheet wangu
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Жыл бұрын
Wamevaaa ijabu ila bando hawaifahamu nini Maana Ya Ijabu kwa Maana wamevaa Ijabu na Umalaya uchawi ufisadi yani tabiya zote wamejaa na Viji Ijabu
@mamyomar1241
@mamyomar1241 8 ай бұрын
Usitukanne wakunga na uzazi ungalipo. Unataka kuniambia umalaya na uchawi wanafanya wa vaa hijabu . Hao wanaopita wakianguka na nyingi ni wabaya hijabu. Natalia nafsi yako usikatalie nafsi ya mwengine.
@mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
@mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 11 ай бұрын
Siyasa imebaki makanisan wa munatetea kula tutaomba San ili mungu atusamehe mumebaki kulushian maneno kwenye makanisan kwasababu ya matumbo yenu manabii muko kmy amuoni ayo wachungaji muko kimy amuon ayo mungu aweke kundi gan siasa imeingia kanisani wachugazi mmekaa kimiy kabisa tuombe San kila mtu ichi imepasuka mambonde San kwasababu yenu nyinyi
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 2 ай бұрын
Chadema chama cha wahuni tu
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 11 ай бұрын
Huu Sasa uchonganishi
@user-tu4dv2gd6i
@user-tu4dv2gd6i 11 ай бұрын
Allah akupe kheri nyingi sana iwenisababu ya kuingia pepo ya darusalam Ammin Ammin
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 Жыл бұрын
اللهم صلى على محمد وعلى آل محمد
@user-sp8yr3cu6n
@user-sp8yr3cu6n 11 ай бұрын
Allah❤akuongozee
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 ай бұрын
Kama mama anataka mabaya kwa sababu. Anatutendea maovu kwa kujificha katka dini. Mwamposa hajawahi kuuza udongo hayo ni yako.
@deuskamugisha3627
@deuskamugisha3627 Жыл бұрын
Dah!!! ila nyinyi watu amuwezi ona kwamba Mungu yuko hapa Tanzania pamoja na vita hii Kali ya Nuru na Giza???
@Andrewnchenge-il7ij
@Andrewnchenge-il7ij Жыл бұрын
Nakukubarigi sana shekhe! Shusha dahawa iwaingie
@ASHURASHEMBIRU
@ASHURASHEMBIRU 25 күн бұрын
🎉cawa
@anwaryshabani210
@anwaryshabani210 11 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu ufanye kazi yake
@ZaiduHashim-ry1zr
@ZaiduHashim-ry1zr 10 ай бұрын
Allah Akulinde na mabaya
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 Жыл бұрын
Hata wew kama hufanyi vzr utatukanwa tuu
@hassancharo1496
@hassancharo1496 10 ай бұрын
Chungeni mashekhe musikuwa wana siyasa kama kama kina professor jay masjid niza MUNGU c za siyasa
@patrickjohn4135
@patrickjohn4135 Жыл бұрын
mazinge mada hapani hatutaki mkataba feki, mbovu, achaneni mambo y dini .Sasa wajiandae kwa upako kwa imani tu.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 11 ай бұрын
Asante sana Mazinge.
@newchanel6154
@newchanel6154 10 ай бұрын
mashekhe habari za siasa mngeachana nazo watu wamechoka na chama hiki wakitukana pia sawatu
@danielalmas6595
@danielalmas6595 11 ай бұрын
Kuhusu kupinga ushoga I support you sana but kuhusu kuzungumzia hayo ya siasa si ku support hta kdg
@bonabonala5559
@bonabonala5559 6 ай бұрын
mbona mimi nakutukana wewe bwege tuu huna akili umepewa pesa za mauzo ya bandali mbwa wewe akili huna uza nawewe majini yako upate pesa au uza kanzu yako uingize pesa
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Hasbiya Allah wani'mal wakiil Mwenye Enzi Mungu awa shinde yaarab kwa uwezo wake
@kabayesankula7895
@kabayesankula7895 11 ай бұрын
Huyo Ni shoga ame vurugwa na wa zungu huko aliko toka
@masala8099
@masala8099 Жыл бұрын
ukiona koment mbaya ujue ni kafiri
@ramadhaniyahaya7286
@ramadhaniyahaya7286 11 ай бұрын
Acheni kuongelea hayo mama lazima aambie ndo udini huo
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
M/Mungu Amjjaalie Kheri Sheikh Amiiin.
@RichardJailo-pp7kj
@RichardJailo-pp7kj 10 ай бұрын
Bahasha imetembea
@HusseniMsilimumbanachi
@HusseniMsilimumbanachi 3 ай бұрын
Mungu akubaliki
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 10 ай бұрын
Chadema ni chama Cha wahuni watupu
@ramadhaniyahaya7286
@ramadhaniyahaya7286 11 ай бұрын
Mbona jamani tunakuwa wa kuchonganishana hebu tunahangaika sana hongelena na hayo mimi simo
@NeemaAgustin-yw1wi
@NeemaAgustin-yw1wi 11 ай бұрын
Shehe mungu wambinguni pekee
@issakazi2758
@issakazi2758 11 ай бұрын
Akina lissu mwenda wazimu na wenzake
@MessiPeter-ek4gq
@MessiPeter-ek4gq 10 ай бұрын
We ndo mwenda wazima kbc puguwani kbs mpumbavu 1 ww
@user-sh5vq8hz8q
@user-sh5vq8hz8q 10 ай бұрын
Chadema omben msamaaa kwa mama mpewe kazi ya kudeki vyoon na virabun hasa mwenyekiti na makamu wake njaaaa mtakoma unatukana mama umepigwa nabunduki mama kajakakupa pore leoiii unamtukana mamaetu ushindwe kabisa kichaaaa wewew Jim mkubwa
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 10 ай бұрын
Kwa kweli risasi alizopigwa huyo jamaa zimemtia kichaa mambo ya yaijabu yanausikanaje na mambo ya bandari je mtu akisema risasi ulizopigwa ni haki yako utabisha
@HAFIDHIFAKIHI
@HAFIDHIFAKIHI 11 ай бұрын
Good kiongoz
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 Жыл бұрын
Tanzania akuna udini wakristo na waislam damu moja tatizo ni mkataba mbovu sio dini
@mohamedalmiskiry2606
@mohamedalmiskiry2606 Жыл бұрын
Shekhe mazinge tunakupenda we na siasa wap na wap usiongee usivyovijua shekh wasilimishe makafiri waingie kwenye uislam sio siasa
@oyay2821
@oyay2821 Жыл бұрын
Mimi nilikua naichukia ccm lakini hawa chadema wameni chafua, siwataki tena Chadema
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Wambie vilaza ao😂😂
@onelovetz7935
@onelovetz7935 11 ай бұрын
Hayo tisa mkataba wa bandali sio udini ongea ukweli utajibu siku ya kiama utakoma
@Godisable4281
@Godisable4281 Жыл бұрын
Mnakosea sana kuchanganya dini na siasa, hali hii italipeleka Taifa panaya sana haijawahi tokea
@user-zf7dr9nc9k
@user-zf7dr9nc9k 11 ай бұрын
Shekh siasa itakutoa heshima
@spabiton7989
@spabiton7989 11 ай бұрын
Wewe huku soma ndio maana serikari Haina dini wewe ni kichaa unatoa mwenyewe
@user-oj4wm5kq3n
@user-oj4wm5kq3n Жыл бұрын
Unayumba sheh
@joshuambanga7994
@joshuambanga7994 10 ай бұрын
Safi mkuu
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 11 ай бұрын
Mmmh,mimi na dini yangu sina dhambi ya kutukanana wala kusema mtu,dini hizi duuuh,
@thomastarimo
@thomastarimo 9 ай бұрын
ina maana ijuma ndiyo siku ya ibaada tu
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
Mnahamishia hoja za msingi kwenye udini...Masheikh wengine bwana njaa tu.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
Wewe ulieshiba let a hoja tukusikie
@user-hv3mi6sy6o
@user-hv3mi6sy6o Жыл бұрын
WEWE MAZINGE UNAZUNGUA KUMA LA MAMA YAKO UTALETA VITA YA UDINI........HUSIJIINGIZE KWENYE SIASA.
@Kituramohamed9698
@Kituramohamed9698 Жыл бұрын
Mbwa ww mamako Ana bwawa mbele kule
@user-hv3mi6sy6o
@user-hv3mi6sy6o Жыл бұрын
@@Kituramohamed9698 WEWE KAFIRANE NA VIBWENGU CHOKO WEWE.......KUMA LA MAMA YAKO KUBWA KAMA HII DUNIA.......MM SIONGEAGI NA LGBTQ KAMA WEWE.
@jumasalehe4113
@jumasalehe4113 Жыл бұрын
Kibo og
@mbeguofficial6646
@mbeguofficial6646 Жыл бұрын
MAMA YAKE YESU HUVAA SHUNGI KWA NINI WAO HAWATAKI
@yakobodaniel1553
@yakobodaniel1553 9 ай бұрын
Bomgo sitaa
@mazikudismas6838
@mazikudismas6838 11 ай бұрын
Kwani kanzu na hijabu ni dini???? Viongozi mnaferi wapiiiii?????????
@user-fn3ek2my3q
@user-fn3ek2my3q Жыл бұрын
Njaaa wew sheh unaongea Mavi tupu
@rudiaeliakim2172
@rudiaeliakim2172 Жыл бұрын
usituletee udini sisi na wahislam ni ndugu tunapendana sana sana yayo ni mavazi lakini mungu anaangalia roho ya watu wake
@aminasaid6555
@aminasaid6555 11 ай бұрын
We nae muislam?
@StaniMponzi-kx6ok
@StaniMponzi-kx6ok Жыл бұрын
Kalale mzeee
@saidal-rawahi4564
@saidal-rawahi4564 Жыл бұрын
Sheikh Wape vidonge vyao
@amossimukonda4914
@amossimukonda4914 11 ай бұрын
Mambo ya kidini hayo masilahi ya kidini
@richardhezron2588
@richardhezron2588 Жыл бұрын
Hoja huna unataka kutuaminisha kua mama hatupaswi kumuomba chakula mama hapo alipo sema ndo anakamilisha umma wake kua kweli yy ni mama mlezi akisikiliza wote
@erastoerasto6040
@erastoerasto6040 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mwamposa anawatesa waisilam
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 3 ай бұрын
Awatesi ila wakiristo wajinga sanaaa vip yesu alikuwa muehusi ama mzungo? Isingekuwa putin mgejuwa lini😂😂😂😂 samaa niye wajinga sanaaa
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 Жыл бұрын
Wewe mazinge mtu wa ovyo sana, kwanini unapenda kuwataja watu wa dini isiyo Kuhusu? Mbwa wewe.
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
Sheikh wa Serikali
@leomika8473
@leomika8473 Жыл бұрын
We nimweu
@aishamzeehamissi6859
@aishamzeehamissi6859 Жыл бұрын
Asalam shekhe mazinde Allwaa akupe umri mrefu yarabi uzidi kuelimishaa jamii
@AbdulazizMohammed-wi8qz
@AbdulazizMohammed-wi8qz 3 ай бұрын
Uwislaam haukubali kumtawalisha mwanamke
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 2 ай бұрын
ww serikali haina dini
@SamuelWafula-cd4gs
@SamuelWafula-cd4gs 4 ай бұрын
M 0:30
@RashidyJofrey-pq9dk
@RashidyJofrey-pq9dk 10 ай бұрын
Saf shekh
@mc-shaulinsingeristmsomi3903
@mc-shaulinsingeristmsomi3903 Жыл бұрын
Mazinge choko kidogo
@claytonthomas4805
@claytonthomas4805 Жыл бұрын
Hahahah
@user-oj4wm5kq3n
@user-oj4wm5kq3n Жыл бұрын
Achen upatu hakuna kutea uovu wananch hali mbaya lkn mnatetea amakweli cku hz hakuna watumish
@labanigalusi874
@labanigalusi874 Жыл бұрын
tumia hakili wewe acha kuongea pumba ww bandar sio mali ya msikit wa ya kanisa acha uchochz wa udini nakucfia cfia ovyo uyo ni mama ako wewe kua nadu cc mama zetu tunao ka una mwita mama niwewe mama ako ww mm nilie mpigia magu
@sadih5333
@sadih5333 Жыл бұрын
Bandari nyinyi mnao toka Bara haiwahusu ni Mali ya watu wa pwani,
@user-yo9oi5ww3x
@user-yo9oi5ww3x Жыл бұрын
Sijaona point ya kutukanwa uislam hapo,wakati mwingine sisi waislam ndio tunautukanisha uislam
@bethmahela2182
@bethmahela2182 Жыл бұрын
Mmmmh
@JUMAJUMA-ym1kt
@JUMAJUMA-ym1kt Жыл бұрын
naam khaswaa sisi tumekatazwa kuwatusi wazazi kumtukana mzazi wa mtu nisawa na kumtusi mama yako eleweni watu wenye akili musiwatukane wazazi wenu Mcheni Allaah kiongzi apewa nasaha ukiwa na nafasi ya kuma nasaha kama huwezi unakiwa uwe na subra dhidi yake kwa sisi waislamu dini yetu inatufundisha hivyo
@hafidhabdi2004
@hafidhabdi2004 Жыл бұрын
Assalamualaikum warahmatullah wabarakat vp Hal Shekh comment yako irekebishe kuna sehem umechapia ukaandika tusi
@olivernyange2349
@olivernyange2349 Жыл бұрын
Mzazi wa nani,ka
@machaggechacha243
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Huyo ni sheikh wa matope tu. Mpumbavu wa karne hii.
@edoedo4973
@edoedo4973 Жыл бұрын
SHEKHER KWENI MWANAMKE ANA LUHUSIWA KUWA KIONGOZI
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 2 ай бұрын
Serikali haina dini wala haifati dini na katiba hamjamkataza mwanamke kuwa raisi
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 Жыл бұрын
Shekh kwenye jambo la misingi kama hili usilete fitna kama kweli ni mcha mungu! Wewe unajinasibu ni kiongozi wa dini badala ya kuzungumzia amani unatuletea ubaguzi wa kidini? Binafsi nina wasiwasi na uraia wako rudi kwenu mkachinjane huko.
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter Жыл бұрын
na watu mnaunga mkono eti kaongea pointi kweli ??? mbn mazinge hapa katukosea kabisa waislam ... kwanza katuingiza kwenye siasa, miongozo ya dini ipo wazi ... aachane na kuuingiza Uislam kwenye siasa ... af ana sadiki kuwa mwamposa ni mtume ... huu ni upuuzi
@manyandaramadhani5427
@manyandaramadhani5427 Жыл бұрын
Shekher mbona wewe kibidubidu?
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 11 ай бұрын
Mzee na elimu yako unakaa jukwaani kuhubiri ukristo..!...ubiri waislamu wamjue Allah !.....watukane makanzu warukane wahijab..achana nao...
@user-oj4wm5kq3n
@user-oj4wm5kq3n Жыл бұрын
Mwamposa c mwanasiasa n c fisad
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Жыл бұрын
Mtume w kwanz kuwa n hotel ni mwaiposa😂😂😂
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd Жыл бұрын
Mbona huzungumzii mkataba
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Kwani mama hana hoteli huko zanzibar acha hayo
@masanjapaulo109
@masanjapaulo109 Жыл бұрын
Mama anaitaji dua kwa kuuza nchi. Kama umetumwa hatuto kuelewa zaidi ya kupoteza heshima yako
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Uyo mazinge mnafiki anajionaga mungu mtu
@user-cd5sq1dz4u
@user-cd5sq1dz4u 11 ай бұрын
Mazinge huko umepotea bakara 257
@AbdulUngando
@AbdulUngando 10 ай бұрын
😢😢wambie waskie
@simonkenne6892
@simonkenne6892 Жыл бұрын
Kaka ......unapotea
@MawazoKaroli-mc8yk
@MawazoKaroli-mc8yk 11 ай бұрын
Omba cheo serikalin din huwez unasifia ya hovyo
@muhamedbashir2661
@muhamedbashir2661 3 ай бұрын
Ndo mana mnaambiwa someni kitabu chenu akili yote mnampa poster ambae anakupelekeni pabaya
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Жыл бұрын
Njaa zinawasumbua sana na kujipendekeza
@jumannendayigeze2899
@jumannendayigeze2899 Жыл бұрын
Ina maana bandari kuuzwa ni vizuri tu
@fransiscajohn4373
@fransiscajohn4373 Жыл бұрын
Kwa kweli
@samwelsanare9907
@samwelsanare9907 Жыл бұрын
Unalolote
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
HATIMAYE RAIS AZINDUA TRENI YA MWENDOKASI DAR-MORO-DODOMA.
25:00
SE MEDIA TV
Рет қаралды 1,8 М.
വിഷംതുപ്പുന്നപാതിരി
30:01
MWAMPOSA TAPELI SHEIKH MAZINGE ALIPUKA
7:18
arkas online tv
Рет қаралды 34 М.
MKE KAZIZAKE NI MBILI TU //SHEIKH OTHMAN MAALIM
32:34
arkas online tv
Рет қаралды 260 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 1,7 МЛН
这是王子儿子吗
0:27
落魄的王子
Рет қаралды 4,1 МЛН
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 42 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
0:21
FASH
Рет қаралды 17 МЛН