Huo ndio ukweli Utabaki ukweli daima asietaka shauriyake ashukuriwe Allah subuhana wataalah
@user-xi3ky5vt9t2 ай бұрын
MashaAllah Jazakallahu khayr Allah akuweke Shekhe wetu inshaAllah
@rashidbusanya58433 ай бұрын
Sheikh mazinge Allah akulipe mara dufu nakupenda sana
@stevenkipara93103 ай бұрын
”Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo;“ Efe 4:11, 13 SUV
@bakarishaban93114 ай бұрын
Wanawaibia watu, kwakupitia jina la mungu
@youngtomuller-vh2pu2 ай бұрын
Voce é muito talentoso você é muito importante para gente Allah vai ti proteger insha-Allah ❤❤❤
@bakarishaban93114 ай бұрын
Tatizo elim hatuna wengi hatukusoma Ndomaana makanisa yamekua mengi na Mitume wengi mataperi tupu
@user-ys2gn1nd4q3 ай бұрын
naawo mashee wenu wauongo mtu akijua kiarabu2 nishee acha zarauww
@mwamvuarashid2903 ай бұрын
Maashaallah
@NeemaAlan3 ай бұрын
Malizia sentensi,imeandikwa heri maskin wa roho,siyo maskin tu,maskin wa roho n mtu mwenye kiu ya kujifunza neno la Mungu.
@user-bp5pq9to9e3 ай бұрын
Mwaminini Yesu Kristo Aliyeangikwa pale Msalabani akuokoe na udumu kumtegemea!Unatakiwa kuokoka wewe mwanadamu, tubuni dhambi YESU KRISTO aliwafia,muda ndio Huu! Mwl CHRISTOPHER JACKSON SAMBAA
@user-ij9te1ck9p3 ай бұрын
Muhammad ndio daraja la juu za mitume wote iliumbwa nuru yake kabla ya hata mbingu na ardhi kuumbwa jinsi Mungu anavyokipenda kiumbe chake hichi na hutakuwa salama abadani ukiwa against nae maana mitume wote walilijuwa hili kuna Mtume bora Allah atamleta baada ya sisi ila kwa hila ya mayahudi wakafanya fitna kuyabadili maandiko kulificha hili .
@user-ys2gn1nd4q3 ай бұрын
Kwenda uko mnafk mkubwaww
@user-ij9te1ck9p3 ай бұрын
"Lakum diinukum waliadiin". Nyinyi mna dini yenu na mm Nina dini yangu".
@alexmwinuka42803 ай бұрын
😂😂😂
@MathewNathan-yb2bz3 ай бұрын
Ni kweli kabisa Tz kuna mitume feki wengi.
@SadickKimela2 ай бұрын
Mwenyezi akutakie maishamalefu
@josephmchila64673 ай бұрын
Wewe ndo huna Mungu, Na utaenda motoni
@user-yt2qp6vs5q3 ай бұрын
Imekuchoma nn
@user-sg6qz3yw7k3 ай бұрын
Unatesekaukiwa wapi😅😅
@chusseboywcb28084 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kweli hii Dunia basi tu tatizo nierim hata serekal inachangia watu wanaibiwa sanaaa Elim nikitu bora sanaaa
@margarethpolepole74383 ай бұрын
Wanataka wenyewe kuibiwa kuna mtu anawazimisha kwenda kwa wachungaji feki biblia agano la kale lilisema kutatokea manabii wa uongo magonjwa yasiyotibika kama ukimwi corona kansa ebola nk sasa ndiyo waache waliwe
@Fifophonce3 ай бұрын
Tumswalieni mtume 😢😢
@Mohd-wd2jv3 ай бұрын
Mtume muhammad.S.A.w.ndie mtume wamwisho
@ellsonmkonyi13193 ай бұрын
Hivi n sahihi kukashifu iman za dini nyungine? Mm nafikiri n vzuri kuheshimu imani dini nyingine
@HassanHassan-vh6pc3 ай бұрын
Muhammad( SAW) ni mtume wa kweli. Tubu kwa ulilosema. To a ushahidi wako kama unapinga Hilo.rudia maandiko ilikiwemo quran
@JosephPeter-eo9sr3 ай бұрын
Acha mambo yako unatafuta kiki huna lolote kwaiyo ulitaka awe maskini au fanya mambo yako acha kufuatilia watu
@eliaichraymond12153 ай бұрын
😳😳😳
@margarethpolepole74383 ай бұрын
Kweli kabisa nakuunga mkono wala hujakosea
@iddiabdallah73522 ай бұрын
🤣🤣🤣umetisha sana sheikh wetu that true
@samsonhamery38092 ай бұрын
Kwa hiyo kwa aya hiyo ya maneno ya Bwana Yesu uliyosoma kwamba tajiri hataingia peponi Je Waislamu wote walio matajiri hawataingia peponi?!!
@user-jf3tv1gv9b3 ай бұрын
Waache watumishi wa mungu wa utangaze uflme wa mungu
@ModesterTutuki2 ай бұрын
😂😂😂😂 ety yesu aliniletea papai😂😂
@muniraally40913 ай бұрын
Yuko mungu mwanamke mwanza
@user-lt1bi5nr1x3 ай бұрын
Ni sawa kwa sababu na wapumbavu ni wengi tz kuliko sehemu yoyote duniani
@user-cy1er6sy5k3 ай бұрын
Wewe ni muongo si kweli kuwa matajiri hawataingia ufalme wa Mungu,kasome vizuri utaelewa vizuri hiyo Mathayo.
@dudemussa67152 ай бұрын
Hivi wewe hujijui kama ndiye muongo hasa kuliko mazinge! Nakushangaa.
@SadickKimela2 ай бұрын
Alwa hakibalu
@henrylyimo84912 ай бұрын
hivi nyie bila kuzungumzia ukristo hamuwezi kuhubiri yanayowahusu? husda tu yesu ni kweli na uzima ukokeni
@rehanijuma14213 ай бұрын
Kweli hiyo mazinge Tanzania mitume wengine 😂😂😅
@st.alvincollege61843 ай бұрын
Kwa hy sheikh, mtume anatakiwa kua Mwarabu au?
@patsonkyando17323 ай бұрын
Mazinge wewe humjui Mungu, Mwamposa ni Mtumishi wa Mungu,unapoteza muda kumsema Mwamposa
@HAJIBALO3 ай бұрын
Kutangaza biashara TV hio shiling ngapi
@Nim681823 ай бұрын
Musisahau kumswalia mtume😂😂😂😂
@saphinalutaha90773 ай бұрын
Radhma tumtakie rehema na amani mtume wetu najua haujui tofaut ya kumswalia mtume na kumswalia mungu pole
@Nim681823 ай бұрын
@@saphinalutaha9077 haya kumekuch Mungu unamswalia au umekosea kuandika
@Nim681823 ай бұрын
@@saphinalutaha9077 mmutakie rehema za nn Kwan alifanya nin mpk mmutakie hizo rehma
@Nim681823 ай бұрын
@@saphinalutaha9077 kumswalia Mungu??? Hee mbon balaa hii Mungu aswaliwe au umekosea kuandika
@akidashekue1633 ай бұрын
Mnyamwezi na Mnyakyusa
@mybrain89403 ай бұрын
Alisha was playing with dolls Aisha was a child Aisha ali lawitiwa soma hadith 😢😢😢😢
@user-ik4cp2kw8j3 ай бұрын
Huo n uongo mie najua Nigeria 🇳🇬 ndy kiboko ya matapeli dunia nzima.
@margarethpolepole74383 ай бұрын
User hata Tanzania wamejaa sanaaaa
@JajiZakayo-fw9mk3 ай бұрын
Wewe mwenyewe ni feki.
@charlesboniphace22493 ай бұрын
Kabla hujafika kwa mitume wa uwongo ,anza kwanza na hili la mohamed ni mtume wa uwongo na shetani ni muislamu kwenye mkutano na wasabato ( ndacha) ulikubali hilo ni kweli Kwaiyo unapozungumzia mitume wa uwongo na matapeli usimsahau na huyo mwarabu
@muhamedbashir26613 ай бұрын
Mwamba hamna dini kama uislamu kwanza omba dua upo duniani na azabu inakusubiri fala ww fungua macho unaemuabudu sio mungu ni messenger wa allah ww chakramu akili koko ww
@thekingdragon835826 күн бұрын
sawa majini walislimu wakawa waislamu kwani kiukirsto mtu akiwa jambazi afu akaokoka akabatizwa bado mtamuhesabu nijambazi ama... majini wakiislamun ni ndugu zetu katika imani ya kidini yetu hyo sio mbaya ila anaeabudu kiumbe yyte finar jahaanam na nyie mnamuabudu yesu mnamuita mungu wakati mungu nimwenye wivu maandiko yanasema katika bibilia mbona mnachukua sifa za mungu mnampea mtume wake ambaye ni yesu hamuoni kama hii nishirki
@charlesjuma1543 ай бұрын
Wewe mwenye tapeli
@pastor.frank.tmwaisemba74013 ай бұрын
Mazinge NI mjinga tu, Mazinge ana wivu wa kichawi. Mazinge NI 0 Tu. Wewe mwenyewe NI njaa Wewe ni mwongo.. Jenga na wewe hotel km NI rahisi
@Nim681823 ай бұрын
Nayey amechangish hapo
@margarethpolepole74383 ай бұрын
Haya huyo Mwenye nyota tano wakati naye mwislamu halisi tusemeje
@JosephPeter-eo9sr3 ай бұрын
Dili nawaumini wenu kila siku kuwasema wakristo sasa wewe ndiounazambi nyingi hufai kuwa kiongozi
@ndayikezaoscar34673 ай бұрын
Yaani hapo mmechangusha pesa kiakili sana😂😂😂 SASA hapo nyie na huyo mchungaji mliomtaja kuna tofauti gani??? Hapo ni swala la Uelewa tu
@jacobanania27413 ай бұрын
Huna lolote wew
@mwanaidisimoni793 ай бұрын
Kweli kabisa tena wote mitume ya wakristo
@petermwacha99093 ай бұрын
Kwani unataka kusema Wanyakyusa hawana hadhi ya kuwa watumishi wa Mungu?
@akidashekue1633 ай бұрын
Mazinge ni Mnyamwezi
@edwingideon36063 ай бұрын
Kuna mwamba mmoja mwarabu alikuwa muisram tena Ana degree ya Uislam. Anaitwa Christian Prince. Yeyote atakae mpigia simu au kumsikiliza lazima awe Mkristo. Yeyote anae jiona mwamba ampigie simu au amsikilize tu.
@mtukazmarcelo11193 ай бұрын
Kweny uisilam hakun digree
@omarinoel86603 ай бұрын
😅😅😅😅😅eti degree ya uislam 😂😂😂oya uislamu hauna degree lete hapa kwa mazinge
@sabihaibrahim1433 ай бұрын
kondoo ulopotea kwa kukosa maarifa
@mlyomikilonzo58973 ай бұрын
Tafuta dini achana na ulithi yy kama alikuwa mwarabu aimanishi kuwa yy ni muislamu waoo watu walio muona mtume na mitume live lakini hawakusadick mpaka umauti mmoja wapo ni abjahar sasa ww wamshangaa huyo mwamba wako
@omarinoel86603 ай бұрын
@@mlyomikilonzo5897 Yan huyo jamaa ni anazngua yy anaangalia mtu sio maandiko na jao wengi wao wantengenezwa
@Fifophonce3 ай бұрын
Tumswalieni mtume
@st.alvincollege61843 ай бұрын
Utakua na bf na Mwamposa wewe, mbn wapo wng kwa nn unamtaj huy hy tu mmoja
@margarethpolepole74383 ай бұрын
Huyo asikusumbu hana lolote Mazinge hao waswahili kazi zao porojo tu aliyepewa kapewa ridhiki hupangwa na mungu acha Mwamposa awakombe Wajinga ndiyo waliwao kwani aliwaita
@VedastoKeya-vt8pf3 ай бұрын
Ukiona malumbano yako ivi jua Kuna mmoja ni muongo ngoja inyeshe
Ulishawahi kusikia hawa mitume feki wakiwa waislamu ... Hakuna so nenda kasome maandiko usikoment vityu usivyojua usimtukane Muhammad cos hujawahi kusikia ata siku moja waislamu wakimtukana yesu
@nicksonlyimo15623 ай бұрын
Mohamad mwenyewe ni dalili ya kiama ,kwani Mohamad na mwamposa wanatofauti Gani ? Ujue tuu kua hakuna pesa za waislaam Wala wakristo pesa niza kaisari au za ulimwengu,wewe Lima mraba wako ,eti mwamposa alikua anavaa kaptula ulitaka avae Nini au apande ,mara ana gari ya bei ghali ulitaka apande Ngamia ?mazinge okoka Mohamad kakudanganya kua Dini yako ni ya Mwenyezi Mungu kama Mungu anadini basi nae ni Muumini ,YESU atamhukumu Mtume Mohamad mbele ya macho yako na hapo utastaajabu siku ya kiama.
@user-xo2tq7zs2c3 ай бұрын
Kwaiyo mwamposa ni taperi
@nomamatata7543 ай бұрын
Inaongoza ukiwemo na wewe mazinge, mchawi wewe kwaiyo shida ni mnyakyusa? Typical of african kwaiyo mzungu au mwarabu ndo wanapendwa na Mungu
@josephmchila64672 ай бұрын
Utaenda motoni wewe,utachomwa
@VedastoKeya-vt8pf3 ай бұрын
Tuache utumwa Wa mapokeo Africa tuwe na Chetu
@AzizMangara2 ай бұрын
Kwani huyo unayesema mwenye NYOTA tano ni MTUME AU NABII?! Kama mtu wa kawaida Kama mm na ww sawa. Utaperi wa kidini upo kote kote, ila Fikiria Upande upo upi Kati ya uislam na ukristo Huwa awanaga utani na Dini Yao na kupambana na mataperi wa kidini.!! Kama utakuwa timamu jibu utakuwa Usha lipata.
@mohamediabdalah76503 ай бұрын
Sikiizeni hata nabii nuh alivyo tangaza dini watuwengi hawakumuelewa
@user-rg3mh6vt3s3 ай бұрын
Ili liongo halifai
@user-vj1sy7ph7h3 ай бұрын
Hana akili mamaako
@JeanMuzaliwa-bs6qh4 ай бұрын
akiwemo Muhammad mtume wauongo!
@AleiHadji-js3ed4 ай бұрын
😢Pole Kwa kauli zako ukifa ndio utajua hujui
@batashqiraa99364 ай бұрын
Pole sana ndugu inaonekana wewe umeshakufa ingawa unatembea, hujui hata unalolisema kumkataa muhammad utambue kuwa umemkataa yesu, na umemkataa mussa, na umemkataa ibrahimu, mtume wa mwisho aliyetumwa na Mwenyezi Mungu ni Muhammad, waliojiita mitume na manabii baada ya Muhammad hao sio mitume ila ni mawakala wa shetani ibilisi, mwamposa sio mtume ila wakala wa shetani ibilisi
@mohafarah85694 ай бұрын
Muhammad is the way period not Jesus Christ family of the Jews only
@maryamadam56224 ай бұрын
Laanatul LLah huyu
@JeanMuzaliwa-bs6qh4 ай бұрын
@@mohafarah8569 nipeye andiko Muhammad is the way period nyie mumepotezwa kitambo!
@Fifophonce3 ай бұрын
Tumswalieni mtume 😢😢
@stevenialbert50333 ай бұрын
Mpuuzi ww fanya yk archana na iman yet itisha naww watu waje