MUME ANAE TAFUTA FAMILIA YEKE, MKE NA WATOTO WALIPOTEA GHAFLA

  Рет қаралды 15,475

Mbengo Tv

Mbengo Tv

24 күн бұрын

Пікірлер: 126
@sifaoksbagirishyasie2410
@sifaoksbagirishyasie2410 17 күн бұрын
Ndugu zake Walisha mchukua ugaibuni, pole Sana. Wanakumaliza kisaikogia. Wewe endelea na maisha yako, watoto watakuja siku moja kukutafuta. Tamaa zimemzidi. Usimrudishe tena utaendelea saaana huko mbele na atakutafuta.hujue Mungu amekunusuru nini. Jamani Wanawake WA kizazi hiki?
@AMO_BUSINESS
@AMO_BUSINESS 23 күн бұрын
Duuuh...huyu baba...hua na muona ona apa CHARAMBE KWA MBIKU duuh..kumbe hua anatembea na mengi kichwani MUNGU MSIMAMIE
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 22 күн бұрын
Wanaume mna mambo mengi sana mimi nilimkimbia mme wangu kisa ananitakaga kinyume na maumbile kile kitu kilikuwa kinanitasa sana mda mrefu ukipitiwa na usingizi ukishtuka unakuta mtu kakupaka mafuta kinyume na maumbile anahangaika mnagombana anakiri sitorudia anakaa siku 2 anarudia nimejaribu kuivunja ile inashindika mwisho wasiku na mimi nikaea nahisi hivo ndo nikachukua maamuzi ghafla ya kumkimbia ila namchukia sana
@user-lt2qh5dj1b
@user-lt2qh5dj1b 22 күн бұрын
Pole Sana kipenzi mungu mkubwa atakupigania
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 13 күн бұрын
Mungu akubariki kwa maamzi hayo
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 13 күн бұрын
Du pole kwa ulikua unatumia mafuta😢
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 күн бұрын
Pore sana kwakweri yani Mimi mwanaume akijaribu kufanya hivyo cku hio hio naachana nae
@paulmushi2428
@paulmushi2428 15 күн бұрын
Huyo mwanamke ni asiri yake ni mnyarwanda wanapenda maisha ya juu alishaenda Marekani
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 10 күн бұрын
nani anapenda maisha ya chini?
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂 nashangaa mpuuzi kweri huyu
@AngelRupia-od2gu
@AngelRupia-od2gu 23 күн бұрын
Hakutorokwa bure lazima kuna kitu cc wamama tunapitia mengi msione tupo kwenye mdoa zetu, mwenyewe hapa ningekua na pa kukimbia nami ningesepa tu....
@user-ds5tf9xx1d
@user-ds5tf9xx1d 22 күн бұрын
Pole my
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 19 күн бұрын
Tupo wengi
@TinaZimba
@TinaZimba 16 күн бұрын
Ondoka ukaishi polini mjinga wewe unapitia shida shida gani ukahaba unakusumbua mtii mumeo mjinga wewe
@joreen7603
@joreen7603 16 күн бұрын
Wa mam wanapitia mengi
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 14 күн бұрын
baba anajua uthamani wa mke na watoto. sio limbering afanye hivyo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 13 күн бұрын
Pole kaka inavyoelekea hao wakwe zako wanajua kila kitu ndo mana hawana wacwac 😢😢mkeo alikuwa hakupendi ww ndio unampenda 😢😢hao watt ipo ck watakutafuta tuu ww ni baba yao ipo ck utawaona labda yuko ulaya huko kachukuliwa na ndg zake
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 22 күн бұрын
Huenda ulikuwa unamtesa acha apambane na maisha alee watoto wake
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 15 күн бұрын
Razima ariteswa kupereka watoto kunakitu hakutaka nawatoto wapitie
@user-mq2ip3dh4v
@user-mq2ip3dh4v 15 күн бұрын
HUYO jamaa aache ulimbukeni, tayari una hakika mwanamke hakutaki, unataka kulazimisha Aishi na wewe? pambana wanawake waziri zaidi ya HUYO wapo WENGI ,tafuta mmoja uoe. Watoto watakutafuta tu... Anza upya mapenzi hayalazimiShwi
@sospeterezekiel1927
@sospeterezekiel1927 12 күн бұрын
Jielewe komenti zako kwaio unapenda watoto wawe na malezi ya upandemmoja? Furaha ya watoto kuwakuta baba na mama wako pamoja yeye hatetei mapenzi kama ulimuelewa vizuli toka mwanzo alimpa uhulu maana ya uhulu mapenzi yalikwisha kikubwa watoto
@sophiasophie55
@sophiasophie55 6 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-ty1tp8ly8q
@user-ty1tp8ly8q 23 күн бұрын
Pole Sana dah htr
@jade75798
@jade75798 23 күн бұрын
Wacha mkimbiwe wanaume mmezidi ubaghili mfyuu .mko radhi mtoe pesa nje kuliko kuwapa wake zenu mfyuu .kaa mwenyewe sasa ndio utajua hujui
@brantywilson1347
@brantywilson1347 22 күн бұрын
Ww ni wale wale😅
@jade75798
@jade75798 22 күн бұрын
Naona kimekuuma kwelkwel na wewe mmoja wapo mbaghili kwa mkeo .kwendraaa hilooo mtakoma round hii wanaume .Wanawake pia tunaweza .yena nikimuona ntamwambia asirudi kabisaa
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 14 күн бұрын
​@@jade75798 miaka yote hiyo jamaa amejirushaaa ,sasa ameona ya dunia ni ubatili anaanza kumtafuta.
@user-dy8yc5ml1p
@user-dy8yc5ml1p 19 күн бұрын
Kabila la waha wana gubu sana acha mwanamke ajiendeee
@MojamojaMojamoja-lw2ph
@MojamojaMojamoja-lw2ph 19 күн бұрын
Muache vituko watoto wapo na mama yao watakua salama hata mimi la kwangu nililitoroka wewe baki na cheti utajua mwenyew
@mariumseif6751
@mariumseif6751 15 күн бұрын
😂😂😂 hatari abaki na cheti? kumbe wanaume nao wanapataga viboko yao
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 14 күн бұрын
vingine anamshirikisha .vingine hamshirikishi. hivyo ambavyo ulikua humshirikishi ndo vimeharibu ndoa yako
@enockmaige8936
@enockmaige8936 14 күн бұрын
😂😂😂😂
@sophiasophie55
@sophiasophie55 6 күн бұрын
Hahahahhah
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂 yani jamani ndomana bongo sihami mm eee et nimelitoroka ribaki na cheti
@user-pj3lh8vz5k
@user-pj3lh8vz5k 22 күн бұрын
pole sana kaka tafuta wtt wako bas huyo mwanamke achana nae kapata mwegine we tafuta wanao bas
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 14 күн бұрын
Mapito hayo ndugu yangu. Pole sana, chakufanya we chukua chuma ingine weka ndani maisha yasonge
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 күн бұрын
Wew ndo umeongea point
@sifaoksbagirishyasie2410
@sifaoksbagirishyasie2410 17 күн бұрын
Kama ni mkimbizi ulaya hawezi kujionesha mpaka apate makaratasi 🤣
@trophywilson7211
@trophywilson7211 15 күн бұрын
Alimtesa huyo anaogopa kufungwa
@sophiasophie55
@sophiasophie55 6 күн бұрын
Kabisa
@sifaoksbagirishyasie2410
@sifaoksbagirishyasie2410 17 күн бұрын
Kama ni mkimbizi ulaya, Basi hawezi kujionesha mpaka apate makaratasi 🤣 wanaacha maisha mazuri kwenda kutafuta shida na kuharibu watoto wao wenyewe. Tamaa Jamani ni mbaya.
@TichaSabah
@TichaSabah 16 күн бұрын
Kwakweli kama mchawi vile maana nimejionea live mwenyewe bila chenga wanatutambia wakirudi tu.lakini hamna kitu
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 12 сағат бұрын
Nawaha huwa mnapangiwa na wazazi wenu
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 12 сағат бұрын
Waha mnamanyanyaso sana
@zainab8251
@zainab8251 22 күн бұрын
Pole sana kaka mtihani
@AminaLibisa
@AminaLibisa 23 күн бұрын
Duuh pole sana brother ndio maana watu wanakuaga matahira kuwatesa watoto wa watu
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 5 күн бұрын
Njoo nikuzalie mtoto mwingine wakigoma mwenzangu❤
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 күн бұрын
Nyooooo ngoja ukabakwe nyuma
@viviansulle3194
@viviansulle3194 15 күн бұрын
Nenda kwenye maombi kwa kuhani mussa
@TeddyTheresiamboya
@TeddyTheresiamboya 16 күн бұрын
Inaonekana ni mkorofi hiyo tu kusema unaweka hela ya mtego kwanini iwe mtego na pia mwanamme anapokuwa ndani huwa hana thamani ila akiondoka ndipo utakumbuka yote iliyokuwa ukimchukua powa
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 15 күн бұрын
Weee eeeee hapo ndo Amina umuhimu wake kbx
@latifakikoti9808
@latifakikoti9808 2 күн бұрын
jambo usilolijua sawa na usiku wa giza jamani mambo yamapenzi sio ya kuingilia acheni kuongea ovyo
@AbuuSumaiyah
@AbuuSumaiyah 6 күн бұрын
Jamaa inaelekea boya kdg, sasa km ww pesa zako ulikuwa unaficha mwenyewe sasa unataka ujue mahesabu ya pesa za mkeo, itafaa wapi namna hiyo
@sund2553
@sund2553 16 күн бұрын
Ndugu wanajua mtoto wao alipo ndio maan hawakusumbui kukuuliza.
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 13 күн бұрын
Hiyo njo Hasara ya kuowa Mnyarwanda. Kwanza we kaka shukuru Mungu hujapewa Sumu .ila Watnao wanakutafuta tu usijali Mungu yupo upande wako
@generosennko8343
@generosennko8343 6 күн бұрын
Wakwe zako wanajua mtoto wao yuko wapi. Ukitumia police interpol ndani ya masaa 24 itajulikana walipo. Sema mambo ya rushwa na vyombo vya kutoa haki ni changamoto wewe waombee heri tuu kwa mungu. Huenda mkeo aka respond. Au piga moyo konde na uoe tena kama njia ya kupata amani. Ila wamesema usichague wenye asili ya unyarwanda😊
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 23 күн бұрын
Mtihani sana
@forminaformina7694
@forminaformina7694 15 күн бұрын
Usimfundishe.kama.anataka.kumrudisha.acha.amludishe.na.mwanamke.kama.lizia.kuludi.muache.aludi.ila.nataka.tu.nikwambie.maisha..ya.ndoa.yanasiri.kubwa.na.hatuwezi.jua.nn.kilichomtoa
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 8 күн бұрын
Tunakuaminije au umewaua hii mijitu nyie acheni kabisa
@Namaize-lc8sh
@Namaize-lc8sh 7 күн бұрын
Kwahyo mambo yakifamilia humshirikishi uliona yeye sio mwana familia acheni kutunyanyasa jamani na sisi ni watu
@mariumseif6751
@mariumseif6751 15 күн бұрын
Sasa unampa mwanamke hera kisha unasema umemuwekesha kwani yy ni benki😂😂😂 pesa ukimpa mwanamke ni ya matumizi sio ya kuweka
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l 22 күн бұрын
Mradi wapi salama hope that
@tunkuh661
@tunkuh661 15 күн бұрын
Pole kijana kwasasa surrender then move on uachie muda utaamua wenyewe.
@mlomilucy8294
@mlomilucy8294 15 күн бұрын
Huyu mwanamke atakuwa mrundi au mnywanda hata mwonanekano wake. Kama Ana ndugu marekani basi yupo marekani
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 15 күн бұрын
Miaka tanooo unamke hapo tena uyoo alikuwa anatafuta GIA ya sepaaa
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Күн бұрын
Imetoka hiyo mwache aende una shida wewe asingekukimbia
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 22 күн бұрын
Africa mko nyuma kama mtu amepotea polisi wanatangaza kwenye Television, hata kila station ya train inakiwa matangazo hanonekana.
@tanzaniawomenyouthempowerm267
@tanzaniawomenyouthempowerm267 16 күн бұрын
Nenda wizara ya elimu na uhamiaji utapata taarifa zao. Mana kama qameenda nje utapata taarifa kutoka uhamiaji..kama.wako hapa hapa tz utapata taarifa watoto wapo shule gani then utawafuatilia kwa ukaribu zaid
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 22 күн бұрын
kaendamarekani kwanguduzake😂
@Mohaa4309
@Mohaa4309 19 күн бұрын
😢😢😢
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 22 күн бұрын
Shida ilianzia kwenye pesa sasa bora umeshajifunza huyo dada alishapata mngefungua hata kiwanda ungemshika mkono kuuza chupa 50 kwa siku siyo kazi ndogo sijui ulikwama wapi wengine huku tunauza mashuka na amduvert tunakaa mwezi hatujalipwa😢
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 23 күн бұрын
Ndugu yangu uyo mwanamke udimtafute siyo wako tena na ameshaanu maisha yake. Tafuta watoto wako hao ndiyo wakwako. Awafaagi kwa lolote wanawake wengi ni tatizo kubwa kwenye maisha yetu. Weka mbali na moyo wako uishi kwa amani Kamanda.
@malila4582
@malila4582 15 күн бұрын
Mh! Ndoa hizi jamani
@user-mj3hn6yw4s
@user-mj3hn6yw4s 7 күн бұрын
Kaka mm yamenikuta mke wangu nimeishi nae miaka 11 na tar 15/09/2023 alinitoroka na tar 10/11/2023 aliolewa hapo Dar na wazazi walijua,kwahyo mambo haya yapo,tuliza kichwa bro ingawa inauma sana hasa watto
@mariumseif6751
@mariumseif6751 4 күн бұрын
@@user-mj3hn6yw4s Labda ulikua hujalipa mahari yao na hujamuowa maana mke wa mtu hawezi olewa na mtu mwengine bila talaka ila pole ndio dunia
@anifamickidard4555
@anifamickidard4555 15 күн бұрын
Yupo Marekani huyo
@AziziMpili-zj9ne
@AziziMpili-zj9ne 13 күн бұрын
Kaka nenda kwa mwamposa, ata awe wapi atarudi tu
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q 18 күн бұрын
Mrembo alishawishika na kipato chako moyoni mwake hukuwepo pole na janga hilo
@DM_15
@DM_15 13 күн бұрын
Wanawake sikuzote wakiwa na fedha huwaza kuachana hilo tunapaswa kulijua wanaume, ukiona mkeo ana pesa jiandae kisaikolojia saayoyote analipuka pole broh nakama ni mnyarwanda, bro Wale watu huwa wanatakaga umwage maji kwanza ndio akwambie chumita! Kama alipata mzee wa majalo huraah siowako huyo. Nahawachagi watoto
@CathernNtebwa
@CathernNtebwa 16 күн бұрын
Mjichunguze.mbona dada Yako na yeye kamkimbia shemeji Yako?
@samiatsungura
@samiatsungura 16 күн бұрын
Hawezi sema ukweli huyo
@sauda4505
@sauda4505 13 күн бұрын
Yaan wanopata wanaume WA kueleweka hawakai na wanosaka wanaume WA kueleweka hawapati bas taabu tu
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 13 күн бұрын
Hinzo picha Za watoto zitumwe kwenye umoja Wa Mataifa poa Tuma Amerika. Canada Australië. London Uholanzi. DANMARK. DUICHLAND. NORVEG. YANI HUKO KOTE WEWE TUMA picha zote kabisaa
@HusnaSimbila-ig7ks
@HusnaSimbila-ig7ks 23 күн бұрын
Me nazani abanwe kwanza atasema tu ukweli
@user-re2su8qc4n
@user-re2su8qc4n 20 күн бұрын
Atakuwa ameenda huko marekani kwa ndugu zake
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz 22 күн бұрын
Kwa hiyo ulivyojua anajishuhulisha ukaacha kumtunza
@MojamojaMojamoja-lw2ph
@MojamojaMojamoja-lw2ph 19 күн бұрын
Ndivyo walivo hata mimi nililitoka langu wanachosha
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 22 күн бұрын
Babangu pole nenda buza kwa Nabii kiboko ya wachawi Buza utampata
@nashnene6326
@nashnene6326 22 күн бұрын
Sometimes huwa inakuwa viseversa! Labda kuuwawa na kwanini hajenda chukua pesa za mashamba?
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 14 күн бұрын
BABAMKWE MCHUNGAJI RAKINI KAWA MPOTOSHAJI KWA MWANAE MKAMATE BABA.MKWE ANAJUA YOTE😂
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 23 күн бұрын
Miaka 10 mtu akimbie tu ngoja aibuke tumsikie nayeye
@LilianPhilemon
@LilianPhilemon 21 күн бұрын
Nenda Claus utawapata
@mercye.4277
@mercye.4277 16 күн бұрын
Pole nenda wizara ya Elimu omba msaada wacheck watoto kama kama wapo registered na shule yeyoyote Nenda vizazi na vifo kama watoto wamechukuliwa birth certificate. Mliwahi kuchukuwa Birth certificate za watoto. Tafuta mbinu ya kwenda mambo ya ndani kama utasaidia ku access information... Kama wametengeneza passport au vipi
@Mohaa4309
@Mohaa4309 19 күн бұрын
Wanaume wenzangu tutafte sana hela
@RoseDhahabu-qv3yt
@RoseDhahabu-qv3yt 18 күн бұрын
Achunguzwe Kwa makini watu wasiamini moja Kwa moja wt tumegeuka wanyama.
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 15 күн бұрын
Ndio nimekumbuka ariejifanta amemukosa mke wake kumbi kamuwuwa kamuzuka mwenyewe ndaiu yanyumba yake
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 13 күн бұрын
Tafuta mke mwengine owa uyosiowako asije akakuuwabule
@YekoniaKusiluka-jt2ju
@YekoniaKusiluka-jt2ju 14 күн бұрын
Wanawake siku hizi wako hivyo
@JoycemsangiJoyce-go9su
@JoycemsangiJoyce-go9su 18 күн бұрын
We tafuta mwingine nyie waha mna roho mbaya
@angle3600
@angle3600 17 күн бұрын
Wazazi wanajua mahali alipo
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 19 күн бұрын
Kakutana na viuno mtaani.vumilia mtakutana uzeeeni.
@CathernNtebwa
@CathernNtebwa 16 күн бұрын
😂😂
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 15 күн бұрын
Bosi endelea na maisha Yako Wala usiwaze wanawake ni shidaa sana tafuta utaratibu mwingine mm Niko Kilimanjaro mm ilishanitokea nikapambana na maisha yangu ss ninafamilia nyingine achana nayeeeee tembea wanawake wengi tunaooa ni wakuokota barabarani ni shidaaaa ana ofuu ya mungu sepaaa kunamaisha mengine uyoo ni mwiziiiii kabisaaaa
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 14 күн бұрын
hapo mzee amesha jaribujaribu ameona mke wake ndo alikua bora. alimkorofisha akafikiri angevumilia tu kwasababu ni mwanamke natayari amezaa akaona hawezi kuondoka. sasa ndo anaamini kua kaondoka
@florencemushi6561
@florencemushi6561 15 күн бұрын
Mshaurini huyo jama a aende kwa pastor Dominic kiboko ya wachawi aliyeko Buza atamsaidia.
@TinaZimba
@TinaZimba 16 күн бұрын
Mkuu achana naye huyo ashakuwa kahaba tena ukitaka mkomoe oa mwingine achana nae
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 14 күн бұрын
siyo wanawake wote wanakomolewa na kuoa. laba aliyeondoka ili umfuate muongee. la sivyo, mwanamke hupenda mara moja na akikuchukia anakuchukia akiondoka hageuki hata uoe 20
@naomipieter4627
@naomipieter4627 20 күн бұрын
Mdada mrembosan
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 17 күн бұрын
Kamamnyarwanda
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 18 күн бұрын
Sasa kaka yetu,unamtafuta mkeo mrudiane na kulea watt au unataka watt wako uwalee ww mwenyewe. Mpaka akutoroke yapo makubwa uliyomtenda mpaka akutoroke.Mshukuru Mungu mkeo anakulelea watt wako,wakikua watakutafuta.Watt watakutafuta kama baba yao. Ushauri nenda ubalozi wa Marekani hapo Dsm ukaulizie hapo ,kwani umeeleza anao ndugu Marekani. Huenda kakaribishwa marekani na ndugu zake akatulize mawazo na watt wake.
@AziziMpili-zj9ne
@AziziMpili-zj9ne 13 күн бұрын
Kaka nenda kwa mwamposa, ata awe wapi atarudi tu
@shamzone388
@shamzone388 17 күн бұрын
Muhimu akashikwe baba mkwe anajua mtt wake yupo wapi na anafanya nini
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 14 күн бұрын
Baba mkwe anahisikaje na usalama wa mke wa watu. Baba mkwe ndo anatakiwa amshtaki jamaa aseme mke yuko wapi
@CathernNtebwa
@CathernNtebwa 16 күн бұрын
Mjichunguze.mbona dada Yako na yeye kamkimbia shemeji Yako?
@urbanmission3072
@urbanmission3072 20 күн бұрын
Mbona anaongea kama anamtuhumu mke uyu? Oh nilikuwa nimempa uhuru ndo sababu, kama alikuwa ananmpenda kweli na unampango wa kumpata usiongee yote
@CathernNtebwa
@CathernNtebwa 16 күн бұрын
Pole sana jemsi.mbona ww dada Yako kamkimbia shemeji Yako Tena dada Yako pia alifunga ndoa ya kanisani?mjichunguze
@DonatusNyamizi
@DonatusNyamizi 13 күн бұрын
Ni bipu kwa namba hiyo
@urbanmission3072
@urbanmission3072 20 күн бұрын
Ni kwer baadhi ya mikoa sisi wanaume tupo ivo mtu anapata mali anaanza kusaidia sada zake,mama zake wadogo wajomba zake n.k kw mari izo izo na hawasaidii ndugu za mke je kwani mkoa wenu haupakani na mkoa wa kagera kweri?
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 11 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 31 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 15 МЛН
MCH HANANJA ATOA SOMO KWA GEN Z WA KENYA, MUNGU HAPENDI
29:22
Mbengo Tv
Рет қаралды 3,8 М.
MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA
57:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 71 М.
NILIJIFANYA MSOMALI | NILITUMIKA NA WAZUNGU HATARI | SHULE ILINIOKOA
1:30:38
Official Dating Assistance
Рет қаралды 16 М.
DIAMOND ACHAMBWA VIBAYA NA OSTADH JUMA; HARMONIZE SIO LEVO ZAKE
22:20
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 11 МЛН