MWAKINYO AWATAJA WALIOMSALITI/ "SIWEZI KUSAMEHE"/ABADILI MAAMUZI YA KUTOPIGANA BONGO/ "NITAPIGANA"

  Рет қаралды 18,355

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Mwakinyo #Tpbrc #Liamsmith

Пікірлер: 58
@MohamedAbdi-nk8wo
@MohamedAbdi-nk8wo Жыл бұрын
Nakubar Mzee baba
@aboukillo1734
@aboukillo1734 Жыл бұрын
Ww mwislam,Allah anasamehe itakua ww mwanadamu,usiweke kisasi samehe Allah atakupandisha darja
@salimmapande4668
@salimmapande4668 Жыл бұрын
Huyu dogo kumbe ana wisdom, falsafa na msimamo. Nimeanza kumpenda sana kwa hili ila namuombea kwa Allah ampe ithbaati kwneye njia ilionyooka
@issarashid7707
@issarashid7707 Жыл бұрын
Big up mwakinyo Tuko pamoja Nakukubali sn Kubali Mipango Ya Mungu kwa wakati Sahihi
@nadomkalikwanza5550
@nadomkalikwanza5550 Жыл бұрын
wakwanza nipen like achen wivu
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 Жыл бұрын
Nakubali campenz
@rahimkomba3149
@rahimkomba3149 Жыл бұрын
Upo sahihi
@nassorbabu5552
@nassorbabu5552 Жыл бұрын
nkubali sana mwakinyo
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Жыл бұрын
Tuko pamoja Bro!!!
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 Жыл бұрын
Waovu weng huwa na lafudhi mujarab sana
@bakarisaady181
@bakarisaady181 Жыл бұрын
Ukiskilia interviews za mwakinyo asilimua kubwa lazima alalamike au lazima anzishe maneno ya mafumbo lile pambano anatakiwa aseme ukweli kama ilichukua note kuliko kijizungusha ameonyesha uzaifu mkubwa
@salimhassan3369
@salimhassan3369 Жыл бұрын
Mstiri mwenzio kwa mwiba usio ujua uchungu wake#tujiangalie aya ni maisha
@maicgado58
@maicgado58 Жыл бұрын
Mungu akubaliki
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 Жыл бұрын
Nzuri Kaka
@mot.tvmsamvu6770
@mot.tvmsamvu6770 Жыл бұрын
Leo kidogo umeongea tatizo mwakinyo ulikua na dharau sana
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 Жыл бұрын
Umri mdogo akili nyingi mr champez
@sadocksaidi3646
@sadocksaidi3646 Жыл бұрын
Mtu kazeeka unasema umr mdogo
@mkanganails5839
@mkanganails5839 Жыл бұрын
Mh aisee kazi ipo maneno ni mengi Kama autapanda uwanjani iyo itakuwa segele umeona mfano mzuri ulipoita waandishi walikuja wachache dalili ya kwamba watu wanataka ngumi sio maneno mdomo auongei
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
HASSAN UMEZINGUA SANAAA LILE PAMBANO MZEE LIMEKUALIBIA SANA MZEE HILA MIMI NAKUOMBEA
@ivangasper1709
@ivangasper1709 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea kwa utulivu lkn logic sana
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Жыл бұрын
Mungu akusimamie mdogo wangu utafika inshallah
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Mwakinyoo we nimpambanaji
@mohamedimohamedi58
@mohamedimohamedi58 Жыл бұрын
Wewe unajitanbua sana.hongera sana ,Tanzania mambo mengi akitokezea mtu anafanya mambo makubwa na kujitambua kwa kutaka maslahi anayostahili basi anakuwa hapendezi tena, example Mwakinyo ni kama Fei toto, Diamond .inshort ukijitanbua kwa uwezo na stahili zako watu wataanza kukubeza baada ya kuungana na wewe
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 Жыл бұрын
Powerful
@omanoman-ir1ez
@omanoman-ir1ez 8 ай бұрын
Hasan mwakinyo hunijui sikujui pengine niseme hivyo mie nakufahamu kupitia sanaa yako ya ngumi na kiukweli mi ni shabiki yako sana huwa nakutetea kila angle ila nataka nikunasihi juu ya msamaha kusamehe ni bora kuliko huo msimamo uliokuwa nao mwenyezi mungu husamehe wewe nani? we ni mja tu wa Allah subahana huwataalah. hivyo nakusihi punguza msimamo unaweza kukuharibia pengine hata kumkera mwenyezi mungu. mwenyezi mungu anaweza kukushangaa ninani huyo siyeweza kusamehe wenzake pale wanapo mkosea? yeye mwenyezi mungu tunamkosea mangapi na bado anaaidi kusamehe pale tu mja anapo muomba msamaha . Ndugu yangu naomba utafakri kwa kina maneno haya najua kuna wengi inawezekana wameshakueleza maneno kama haya. mimi ni shabiki yako ninayependa kukuona ukiendelea na sanaa yako ya ngumu.
@mustafamgomba1713
@mustafamgomba1713 Жыл бұрын
Smith juzi kampiga Chris Eubank Jr ambaye alikuwa favourite, Jr alikuwa ame dominate fight had round ya 4 akapigwa kwa TKO hakuna alimlaumu Jr kwamba kauza fight kwani alipigwa ngum 3 kali mwakinyo ulitwala ile fight hasa round ya 3, ghafla rnd ya 4 umeenda chini ukahesabiwa, tena hata hujapigwa hata ngum I ukanyoosha mikono juu Refa akamaliza fight watanzania hatuwezi kukuelewa had utupe Sababu nyngne Lkn viatu Kubana no tumekuona bado ulikua umevivaa hotel ulishindwa kumaliza round ile ili ubadili viatu?
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 Жыл бұрын
nimekuelewa umeongea kiufundi xn
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 Жыл бұрын
Mwakinyo Kwan ww unaahushiwa wahai punguza vinyongo nawatu watu ndio hawahawa mdogo wangu
@sidearsenal666
@sidearsenal666 Жыл бұрын
Nnaokaa mbali na mwakinyo ndio mtapata tabu sisi wa tunaekaa nae mtaani tunamjua mwakinyo ananata ana dharau anajiona anapiga watu mtaani kikubwa abadilike aache mambo ya kidogo lakini pia amalize tofauti zake na kakaake hamisi mwakinyo.
@hamzagati197
@hamzagati197 Жыл бұрын
Anaonekana anapiga watu kweli
@sumamelody6197
@sumamelody6197 Жыл бұрын
Acha kudharau wanaume wenzako mdomo ni mbaya
@kajemberamadhani
@kajemberamadhani 5 ай бұрын
cjaona kama ulipgwa hli pambano ,champezer
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Unacheza ww na umakamu warais unaona ngumi zako hzooo
@dominicrobert266
@dominicrobert266 Жыл бұрын
Kiwango chako bado kidogo sana kwa level unazoota, ndio maana unajitahidi kurukaruka lkn matokeo ndio kama Yale ya Liam na usipojirekebisha ko zinakusubiri, mzito huna speed,skills zako ndogo ,footwork poor,jitahidi bro,world championship sio lele mama au mkoleni,keep it up!
@rogertuga007
@rogertuga007 Жыл бұрын
Dah wewe nae shabiki wa ngumi au mtazamaji.
@dominicrobert266
@dominicrobert266 Жыл бұрын
Wewe ni mbongo lzm upigane bongo kwanza kisha kwingine!
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 Жыл бұрын
Mwakinyo ukimpa nafasi ya kuongea lazima umkubali,,ila ukweli aliuza pambano,,coz alimiliki ulingo Kwa Kila kona
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 Жыл бұрын
Mdomo mdomo mdogo wangu ulijisifia wakakuona mtu wa hovyo.ulizid dharau
@joetheone3354
@joetheone3354 Жыл бұрын
Sahihi kabisa alikuwa na mdomo saaana kijana
@gockoomzawa226
@gockoomzawa226 Жыл бұрын
Mwana fa ni naibu waziri wa watanzania wote ustake kujifanya kama ni mjomba wako
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 Жыл бұрын
Kuna watu wanakuchukia lkn wanafuata mawazo yako sasahivi pia nshawasikia kina kiduku na kidunda nao hawataki kupigana na mabondia wandani, km kiduku anatakiwa na maono lkn hajibu kitu
@yahyamlawa2069
@yahyamlawa2069 Жыл бұрын
Tatzo mnajisahau sana..mafanikio kidgo t tayar mnadharau mlipotoka....
@salimumbaraka272
@salimumbaraka272 Жыл бұрын
Mwakinyo waache machoko waseme
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Mi nimiongoni mwa shabiki wako kindaki ndaki kiukweli tuliumia mno lkn bado tunaimani na ww champez utafikia ndoto zako one day
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 Жыл бұрын
Unakwenda kupigana peke yako kwa madhumuni gani
@sumamelody6197
@sumamelody6197 Жыл бұрын
Mvunja kuni ktk ubora wake
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 Жыл бұрын
huyu jamaa anadharau sana 😅😅😅
@tosh7671
@tosh7671 Жыл бұрын
We makwinyo ni Fala sana. Unaongea upumbavu wakati ulipewa world stage ujibebe, uibebe nchi, uwabebe mashabiki ukazingua sababu ya ushamba na exposure ndogo
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 Жыл бұрын
Kwa 85% ya mazungumzo ya mwakinyo yamejengwa ktk chuki na umimi mwingi .......pengine unaweza sema mwakinyo sio mtu sahihi kujifunza kutokana na yeye.......Mfno ikitokea Mandonga akasema nitampiga mwakinyo ndoige ....Mwakinyo hujaa sumu na hasra nyingi bila kuzingatia aliekua anamsema ni nani
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Kila mtu kaubwa na roho na nafsi yake atufanani
@mkundukunuks
@mkundukunuks Жыл бұрын
Kama umeona ilo Safi Ana chuki Sana uyu mwamba na majivuno
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Жыл бұрын
@@mkundukunuks futa hilo jina sio zuri
@mkundukunuks
@mkundukunuks Жыл бұрын
@@zuheorsalim7759 nipe jina
@fatumaally6124
@fatumaally6124 Жыл бұрын
Udigo mwingi ttz
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
vip mbona mzee hatumuon uringon kimyaaaa Jua kuwa ngumi cıo usanııı hakuna ujanja ujamja ganyankaz kaza kaza brooo uvpoangalia mandomga atakuja kuwa juuuu hıbhıbı mwenzako anaheshima anaheshm anaadabu mttıfu n mchezo tuu ngumu , Cıo kıatu cjuı nn ganya kaz angaliaa
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Apiganii mapambano ya bonaza
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Жыл бұрын
Mtoto wa mama sanaaaaaaa acha umama
@saidmansoury1526
@saidmansoury1526 Жыл бұрын
Mwakinyo unadharau unajisikia broo kwa mafanikio bado sanaa kutoboa itakuwa ngumu moyo wako unavisasi mungu apendi uliuza pambano lzm ulipe kwa hilo ulizingua tunakuzingua
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 37 МЛН
MWAKINYO AWATOLEA UVIVU WANAOMCHUKIA
9:35
Wasafi Media
Рет қаралды 1,5 М.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00