Mama Samia mama, kina Makonda watakuwepo wengi tuu, ni nafasi ruksa na kujiamini na kumtumainia Mungu hawajapata,... Wakuu wengine jamani mnakwama wapi au sheria za mikoa na majukumu vinatofautiana mkoa kwa mkoa?? Mungu awatangulie Team Makonda Ukombozi mkazidi kuwa mfano kwa mikoa mingine.
@ruthhamisi2902Ай бұрын
Wanavyotia huruma sasa kama hawajui, mungu anawaona kwani ukitenda haki na ukiwa mwaminifu utakufa???
@agathaphamis3430Ай бұрын
Love you Bure Makonda from uk
@kilogreekachananawatuwasio4054Ай бұрын
WEWE JAMAA MUNGU AKUBALIKI AKULINDE MULEKEO TUNAYAONA KWA UZALENDO WAKO KATIKA KIFUA CHAKO TUNGEPATA WATU KUMI KAMA WEWE TANZANIA TUNGEOMBWA MISADA NA NCHI ZA EUROPE 🇪🇺 😂BRAVO MAKUFULI JUNIOR CHAPA KAZI WANYOOKE 😂😂😂
@user-ne9zz4tl2qАй бұрын
Viva makonda
@CristinLyangaАй бұрын
Fungia nahizo bank pia zinazoshiriki wizi.
@luganouswege628Ай бұрын
Pamoja
@abiudmichaelАй бұрын
Nipenda hiyo kuangalizia hakuna dhambi
@user-wj6zj1ly4eАй бұрын
Mkurugez ndo mkweli, asilimia zote ziliondolewa na magufuri. Afsa biashara naww mkonda mnajua ukweli lkn mnainjoy watu
@msafiriomary893Ай бұрын
Mama samia tunakuomba utusaidie makonda apite kra mkoa iri apige spana kra mkoa magari mengi ni mabovu kra mkoa
@luganouswege628Ай бұрын
Piga kazi makonda
@SelijusiMalambo-rh6sfАй бұрын
Mtakoma
@paullugendo9508Ай бұрын
Uyo ndo mwenyekiti sasa
@PartySekemiАй бұрын
Yani ningekua Mimi nitoe barabara wasinilipe ningewaambia wajenge fraiofa
@PiusNjelekelaАй бұрын
dduuuuuuuuuuuuu
@nassontunyande1109Ай бұрын
Hizo microphone za kubadilishanabadilishana zina usalama kweli??
@evansokemwa6587Ай бұрын
sio salama kiukweli
@SalumuMashauriАй бұрын
Hakika viogonzi bado tunao mungu tutunzie baba huyu