Padre KAMUGISHA Aonyesha KIPAJI chake/Awakusanya Maelfu ya Waamini kupitia somo hili/Asisitiza jambo

  Рет қаралды 12,166

Breez Online Tv

Breez Online Tv

3 жыл бұрын

Mafundisho mengine Mapya kabisa kutoka kwa Padre Dkt Faustine Kamugisha, Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo katoliki la BUKOBA.
Tutashukuru kuona maoni yako kwenye Comment ukimtakia neno la Baraka na Matashi mema katika utume wake ambao Mungu mwenyewe Amemuitia.
#BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #PdKamugisha
Breez Online Tv
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online. .
Instagram:Breez Online Tv

Пікірлер: 29
@levinachuwa7622
@levinachuwa7622 2 жыл бұрын
Mungu Mwenye enzi yote, àsante kwa zawadi ya Kuhani huyu! Amekuwa msaada wetu wa chakula cha ROHO. Mpe Afya njema ya mwili na Roho. Mkinge na hatari zote wakati wote anapokutumikia shambani mwako. Mpe maarifa ya mbinguni kwa UTUKUFU WAKO. Amina
@marymghanga4817
@marymghanga4817 Жыл бұрын
Asante Fr mahubiri yako yanaenda na wakati Mungu akubariki sana
@philiponjalika5769
@philiponjalika5769 Жыл бұрын
Mungu akuinue padre kamugisha
@jaqualineobuchi2256
@jaqualineobuchi2256 2 жыл бұрын
Asante sana padre kamugisha. Mungu azidi kukubariki kazi yako.
@jemo5261
@jemo5261 2 жыл бұрын
Amina Padre mahubiri Yako yananibariki sana
@levinachuwa7622
@levinachuwa7622 2 жыл бұрын
Àsante baba Kamugisha Mungu akutunze daima.
@linahmmassy3439
@linahmmassy3439 10 ай бұрын
Aksante sana baba kwa somo lako zuri
@user-tk2zw7fi3f
@user-tk2zw7fi3f 10 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri Niko mbeya
@bibianaamede7845
@bibianaamede7845 3 жыл бұрын
Nimeyapenda sana mafundisho haya Mungu akubariki Farther
@philiponjalika5769
@philiponjalika5769 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana father
@fridafrida7665
@fridafrida7665 2 жыл бұрын
Huyo father ni fire 🔥God bless you father
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 10 ай бұрын
I'm at Iringa, You are fulfilling your vocation father, be blessed.
@mosesnkoimo4981
@mosesnkoimo4981 3 жыл бұрын
Shukrani padri, Niko Nairobi na nimebarikiwa na mafundisho yako.ubarikiwe na uneemeshwe
@leocadiabwire512
@leocadiabwire512 Жыл бұрын
Ahsante baba
@lucastesha7273
@lucastesha7273 3 жыл бұрын
Mungu akutunze father kamugisha
@danstanwanzala2707
@danstanwanzala2707 2 жыл бұрын
Niko Busia Kenya, mafundisho yako daima huniweka njia nzuri, nayapenda sana
@octaviusvenant2652
@octaviusvenant2652 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana from Tanga
@HAYABOYTV1
@HAYABOYTV1 3 жыл бұрын
NAMPENDA SANA FATHER WANGU
@agnesndevuno6251
@agnesndevuno6251 3 жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@mkudembeteni7667
@mkudembeteni7667 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Father una tufundisha Elimu ya kiroho iliyo tukukamnooo ubarikiwe sanaaa....
@dsshirima77
@dsshirima77 2 жыл бұрын
Nimekubaliana na karama yako. You are a God given character
@fridafrida7665
@fridafrida7665 2 жыл бұрын
Play for me and my family and another
@dsshirima77
@dsshirima77 2 жыл бұрын
You are teaching the real life I like it. Ameni
@majaliwaphilipo8277
@majaliwaphilipo8277 3 жыл бұрын
Niko Mpanda Ukweli Father MUNGU Azidi Kumjalia Afya njema
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 жыл бұрын
Mungu akutunze.ili tukuze kiroho.
@victoriakiwanuka548
@victoriakiwanuka548 3 жыл бұрын
Asante Fr.Kamugisha Tunafuatilia mafundisho yako tukiwa huku Marekani.Mungu akubariki 🙏
@breezonlinetv
@breezonlinetv 3 жыл бұрын
Wasiliana nasi tafadhali +255756494796
@josephfkinyaghakinyagha7046
@josephfkinyaghakinyagha7046 2 жыл бұрын
Be blessed father,,Mmm we father,,nomaaa,,unafaaa ,,PAPA,,najifunza Mengi kutoka kwako,,,
@joycemakundi9411
@joycemakundi9411 2 жыл бұрын
🙏🙏
Padre Dkt Kamugisha: Tawala Uso wako/ Nyakati 2 za kufunga mdomo
31:34
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 18 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 3,8 МЛН
ALICHOZUNGUMZA PADRE AMIGU KATIKA KONGAMANO LA LITURUJIA,MAASKOFU WAFURAHISHWA NA HIKI..
1:07:10
TUNAISHI KWA AJILI YA WENGINE/Na Padre Dkt. Faustin Kamugisha.
3:07
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 7 М.
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 18 МЛН