Рет қаралды 3,217
Kuku wa mayai kuanzia wiki ya 9-18 wanatakiwa wapewe chakula (grower mash) chenye kiwango cha protini muhimu (Digestible Crude Protein) kuanzia asilimia 16 hadi 18%. Mchanganyiko huu wa chakula husababisha kuku kukua kwa haraka sana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea umri wa kutaga.