Part10_Je!Kanumba anaweza kurudi watu wakimwombea?|USHUHUDA WA ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI

  Рет қаралды 113,898

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

4,500$ inahitajika ili kufanikisha safari ya mtumishi wa Mungu Aston Mbaya nchini Kenya.Tafadhali wezesha safari hii ya injili kwa kuchangia pesa yoyote uliyonayo.Tumia namba hizi kuchangia ama kwa mawasiliano.
M-Pessa: +255766294335
Airtel Money: +255784074462
WesternUnion/MoneyGram:Jacktan Arbogast Msafiri
City:Mwanza
Country:Tanzania
$ 4,500 is needed to make the journey of God's servant of God Aston Mbaya to Kenya. Please facilitate this gospel journey by donating whatever money you have. Use these numbers to donate/communication.
M-Pessa: +255766294335
Airtel Money: +255784074462
WesternUnion/MoneyGram:Jacktan Arbogast Msafiri
City:Mwanza
Country:Tanzania
KUJIUNGA NA GROUP MAALUM LA WHAT'SAPP LA SAFARI YA ASTON MBAYA NCHINI KENYA, BONYEZA LINK HII chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Kama unashindwa kujiunga mwenyewe tuma kwa What'sApp neno "Niunge Promover tv Kenya" kwenda No. +255784074462 .Kama unahitaji kuungwa Tafadhali hakikisha umetuma ujumbe kwenye What'sApp usitume kwa ujumbe wa kawaida yaani sms.
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 257
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 2 жыл бұрын
Huyu kijana ni mnyenyekevu sana. Damu ya Yesu iendelee kukufunika
@IreneCremece
@IreneCremece Күн бұрын
Mungu akutie nguvu sana mtumishi wa Mungu uendelee kutufundisha
@binakitigwa3311
@binakitigwa3311 2 жыл бұрын
Watanzania hii ni azina tuliyopewa na Mungu tumtumie sana na kumwombea sana
@miria659
@miria659 2 жыл бұрын
Mungu umbariki mtumishi Amieli ametufunza mengi Sana tunakusubiria hapa Kenya God bless this platform ya promover TV in Jesus name.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@channyqueen6288
@channyqueen6288 Жыл бұрын
​@@PromovertvTz naomba unisaidie ni njinsi gani ninaweza kuongea na huyu mtumishi wa Mungu kapo dakika2 tu Kuna mambo mengi yananisumbua Sana nahitaji msaada au ushauri au nipate majibu yake nateseka Sana naomba unisaidie nakuomba
@johnbernad3990
@johnbernad3990 10 ай бұрын
​@@channyqueen6288mpigie kwenye simu yake maana namba yake aliitoa kwenye part 1
@EvelyneNgidos
@EvelyneNgidos 2 ай бұрын
Ko
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 2 жыл бұрын
Tujitahidi wana wa Mungu tuwe tunachangia uwezeshaji wa kwenye hiz shuhuda kiukwel zinatuinua wengi na kutufanya tujue namna gan ya kuomba juu ya hizi nguvu za giza zinazotutesa kila kukicha
@Soni-lt6oi
@Soni-lt6oi Ай бұрын
Asante sana hii ushuhuda unanitia nguvu sana sifa na utukufu zirudie huyu Mungu
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Jacktan. Mtumishi wa Mungu usijali watu wanaosema haujaokoka. Wewe ni Mtumishi wa Mungu 💯%. Barikiweni sana Watumishi wa Mungu Aliye Hai.
@juliusmakamba255
@juliusmakamba255 4 ай бұрын
Anasema kuna baadhi ya Manabii wakubwa ni maagent wa shetani.
@stamilinchimbi6547
@stamilinchimbi6547 2 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo wa shuhuda inatusaidia kumjua adui yetu na jins yakupigana naye mbarikiwe sanaaaaa
@aminam.410
@aminam.410 2 жыл бұрын
Ushuhuda umenifanya niwe jasiri sanaa asante mtumishi wa Mungu
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Natamani siku moja nifike kanisani kwako tusali pamoja mch amiel najifunza vitu vingi sana ubarikiwe Jactan
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Siri za shetani zinawekwa Sana wazi siku hizi hadi raha.
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Tujiweke tayari ndugu, Yesu yuko mlangoni
@eunicemsigo9677
@eunicemsigo9677 2 жыл бұрын
Unajuwa ni siku za mwisho Alafu damu ya yesu na jina la yesu liko na nguvu. Tuombe bila kukoma maana shetani anatuwinda Blood of Jesus cover us
@agathasungura5047
@agathasungura5047 2 жыл бұрын
Mh
@petermalema5702
@petermalema5702 7 ай бұрын
Kwakweli Ni Raha Sanaaaaa
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Dah sioni at shida kumalza bando kwa ajil ya mambo yakumtukuza YESU wangu.kuwapendraaa tu ndo nachojuwa mm.naomb niulze Kwan mkutano na semina zimeisha jmn.nataman mkutano usiishe kila leo wachawi wasalimishe mikoba yao... blessed all.promover tv.
@cathyrobert6501
@cathyrobert6501 Жыл бұрын
The same case here ,with me as long as ni kitu Cha kulitukuza jina LA yesu then sijali bundle sinaisha ama yaan I am happy that our God is this powerful to rescue from the power of darkness
@israelkessy9807
@israelkessy9807 Ай бұрын
Amina,,ubarikiwe zaidi
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Mtumishi kwa Yesu kuna na amani tele tena bure mcheki Mussa Chesa , Meshack wanavyonawiri kwa Yesu
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Na zabron na kanyerere
@estherakisa3162
@estherakisa3162 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana umetufunza mengi kweli y Dunia n mengi inabidi ss wadamu tumurudie Mungu hatuyajui y kesho ukiwa n Imani utashinda vita y dunian m niko Imani tutashinda hii vita tusaidiana kw maombi
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ubarikiwe Sana watumishi wa MUNGU Kwa KAZI njema.kweli tungependa kujua mtumishi T b Joshua
@Mwakibinga_wisdom
@Mwakibinga_wisdom 2 жыл бұрын
😂
@petermalema5702
@petermalema5702 7 ай бұрын
Ohooooo😂😂😂😂
@fezakabala6589
@fezakabala6589 2 жыл бұрын
Aminaa aminaa sifa kwa bwana ubarikiwe saana baba yetu 🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇵🇨🇵
@petermalema5702
@petermalema5702 7 ай бұрын
Glory To Jesus
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj 2 ай бұрын
Nashukuru nina ujasiri tangu nianze kufuatikia mtumishi huyu.
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Weuh huyu mtumishi Amiel ananibariki saana woiii wish ningekuwa Kenya hizo tarehe akh singekosa but it's my prayer to meet this God servant
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Glory to God 🙏 continuation iko hapa💃💃💃💃💃mchungaji Amiel n jactan blessings...can't get enough of this MCH
@prosmutonyi3706
@prosmutonyi3706 2 жыл бұрын
Mungu ndie mfalme juu ya falme zote.
@sallymumia8425
@sallymumia8425 2 жыл бұрын
Thank you,promover TV,for the,great mission you are doing,for Jesus Christ,thank you for bringing man of God,katekela.
@peninahkariuki1136
@peninahkariuki1136 2 жыл бұрын
Asante sana kwa majibu.barikiwa 🙏🇰🇪
@florencemueni1183
@florencemueni1183 2 жыл бұрын
Na mushukuru Mungu sna kwa kutukutanisha tena na ww jactan na mtumishi katekela...kwa majina ni florence mueni toka Kenya nikubukeni kwa maombi juu mmenisaidia sna kiroho
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Blessed past Katekela..Niko na maswali yakuulza kwko nitakupigia kwa no yako
@criversiahwilfredy
@criversiahwilfredy Ай бұрын
Powerful🙏💪
@elizabethbarasa1035
@elizabethbarasa1035 2 жыл бұрын
Jacton barikiwa ma vizazi wako kwa kueneza injili kupitia shuhuda .mtumishi kupitia shuhuda hizi nimepata Imani ya kuomba na kumuombea mume wangu na mungu wetu anatenda kweli ...napenda msemo wake huu ..penda chuma na mlingoti chuma😊 piga! Piga!
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
nasubili kwa hamu sana sehemu ijayo na Mungu amuinue na kumpa nguvu ya kuusema ukwl inawezekana ukawa wakala na haujui,Yesu tusaidie 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@thobiasleonard5658
@thobiasleonard5658 Жыл бұрын
Pole sana Mtumishi katekela uwe hodar na moyo wa ushuhuda chapa kazi yesu Yu pamoja nawe.
@violettendih...8452
@violettendih...8452 2 жыл бұрын
Thanks Mtumishi wa Mungu God bless you more, more.
@anithashembilu7732
@anithashembilu7732 2 жыл бұрын
Yesu Kristo tawala dunia kwa nguvu zako.
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Wow nimefurahi kuona mwendelezo, Mungu awabariki, naomba unisaidie kumuuliza Jacktan kwamba ni namna gani jini linakuwa katika umbo la mwanadamu na wengine kuzaa na kuzaliwa na wanadamu, asante. Rusi/ Ruth kutoka Canada.
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 Жыл бұрын
Alishaeleza kweshuhuda ya 1-9 rud msikilize vizuri
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu JACKTAN pamoja na MCHUNGAJI Amiel kwa kutufunulia mambo ya giza yenye hatungejua Bwana awe nanyi..
@luciasingano1151
@luciasingano1151 2 жыл бұрын
Amina 🙏 Mungu azidi kukubariki mtumishi na promover tv kwa ujumla
@alexmunguwakwelinawamilele7657
@alexmunguwakwelinawamilele7657 2 жыл бұрын
Jaktan na pastor Amiel Mungu wa mbinguni awaimalishe na m balikiwe sana
@jasminmustapha4586
@jasminmustapha4586 2 жыл бұрын
Amieli umeokolewa kwa kusud maalum usiogope fanya kazi yesu atakutetea mtumishi
@leahbhoke8718
@leahbhoke8718 2 жыл бұрын
Aminaa Aminaa Yesu ni Bwana Mwokozi wa mataifa yote
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu kwa kila jambo ushuhuda huu uko na mafundisho mazuri
@lucyjoseph4216
@lucyjoseph4216 2 жыл бұрын
Asante sana Jactan ubarikiwe Kwa kumleta mchungaji tena... waiting patiently for the next part
@fadhilisimfukwe8035
@fadhilisimfukwe8035 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwa ushuhuda
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
ameni Mungu akubaliki promover tv pia mtumshi kiukweli ushuhuda huu unajenga sana
@mauriciocristianomardes6295
@mauriciocristianomardes6295 Жыл бұрын
Amin mungu akubaliki nchungaji amieli. Jacktan mozambique tunakupenda sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Hii neema jamani msiomwamini Yesu naomba mjifunze kupitia Mchungaji huyu hamjachelewa.
@alexmunguwakwelinawamilele7657
@alexmunguwakwelinawamilele7657 2 жыл бұрын
Amina kubwa pastor
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 2 жыл бұрын
Umeeleza vizuri sana kwenye kunena kwa lugha.Kwa kuongezea;lugha za mapepo zinamfanya anaenena kufanya fujo au kuanza kupiga watu ngumi,wanakuwa kama mazomi au kulewalewa.Pia mtu ndiye anaeamuru watu wanene na wanaanza na sio kwa ufunuo wa Mungu.Kuna muhubiri fulani mke wake huwa anawambia watu watamke asante yesu mara nyingi haraka haraka(hypnosis) ili wanene na wananena
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
hakika ushuhuda huu umenijenga sana.
@pregaremasitatv4259
@pregaremasitatv4259 2 жыл бұрын
Nakufuatilia nikiwa hapa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮100%
@ZainabuWiliam-tm4iw
@ZainabuWiliam-tm4iw Жыл бұрын
MUNGU akubariki muumba bingu na nchi na akupe maisha marefu
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Asante Mtumishi jactan na Amiel kwa kutufungua mambo ya kiroho ili kuzifumbua fumbo za shetani na kazi zake.
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Tunapenda shuhuda hii ♥️♥️♥️, inajenga
@ungwamseke4819
@ungwamseke4819 2 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 be blessed man of GOD
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@NelsonAbel-tq9zj
@NelsonAbel-tq9zj 8 ай бұрын
God is good all the time, from Mozambique
@flm1530
@flm1530 2 жыл бұрын
Ameeeenn God bless you,,
@jeniphaledaschali4594
@jeniphaledaschali4594 2 жыл бұрын
Nimekumis sana kaka jaktani mungu akuongezee mda wakuishi ili uzidi kumtangaza krixto barikiwa kila unapoingia
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Ukiandika jina kma KRISTO YESU plzzz andka kwa erfi kubwa kiswahl fasaha
@MaggieG276
@MaggieG276 2 жыл бұрын
Kazi nzuri jacktan,bali naomba umulize kuhusu nywele za kuzimu na pia swala kuhusu nyota
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Sawa atajibu
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Ukishamjua adui hakusumbui watu wanalogwa kwa kukosa maarifa
@barakamanu1514
@barakamanu1514 2 жыл бұрын
hapo umegonga ndipo😀
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
@@barakamanu1514 true
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 2 жыл бұрын
Naomba kujua haya mapambo ya wanawake
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Жыл бұрын
Amen Mtumishi nakuelewa sana Damu ya Yesu
@modestarmuchiri5386
@modestarmuchiri5386 2 жыл бұрын
Ubarikiwe 🙏🙏🙏sana mch
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Amen.Asante
@laudaud6214
@laudaud6214 Жыл бұрын
Amina mungu ambaliki daima amiell Katekela
@eliasifiwekimaro6652
@eliasifiwekimaro6652 2 жыл бұрын
Mchungaji Amiel napenda kujua wakati kuzimu inawawinda watumishi wa Mungu kuwaua' wakifa wanaenda kuzimu au mbinguni? Maana tayari ni watumishi wa Mungu.
@consolathacallixite4241
@consolathacallixite4241 2 жыл бұрын
Aise ainuliwe mungu ambae amemleta huyu mtumishi tumejifunza mengi kuhusu utawala wa kuzimu.nakuombea Mungu aendelee kukulinda
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Asante kwa maekezo yako muhimu Sana.
@stanslausmathew4591
@stanslausmathew4591 Жыл бұрын
Damu ya yesu ikufunike zaidi mpendwa
@janethjaneth7639
@janethjaneth7639 Жыл бұрын
Mungu akubariki baba jaman tuamke wakristo
@magrethakili7675
@magrethakili7675 2 жыл бұрын
BARIKIWA MTUMISHI Q
@macklinakabyazi3036
@macklinakabyazi3036 2 жыл бұрын
Jacktani Mungu akuweke miaka 500, nampenda bure Mtumishi Amiel kwa kutupa siri ya ufalme WA giza
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@petermalema5702
@petermalema5702 7 ай бұрын
Halelujha Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@user-vj3nb1nc4i
@user-vj3nb1nc4i 10 ай бұрын
Habari ya mchungaji Wewe ulisema jina la yesu likitajwa na mmoja wa hao washirika wa kuzimu linachoma watu Vipi unasema wengine ni nitumie na manabii wa uongo huko kanisani hawataji jina la yesu Linatuchsnganya wengi hilo
@user-bp4wv4jo2i
@user-bp4wv4jo2i Жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote na Kwa Kila amwaminiae
@PiusSingoi-ke7hv
@PiusSingoi-ke7hv Жыл бұрын
Mungu akulinde sana brother
@adriandanford208
@adriandanford208 2 жыл бұрын
Waislam wamezuiliwa kumjua wala kumpokea roho mtakatifu ili wasiujue ukwer kumhusu yesu Kristo na kupelekea kuokolewa kwao
@milosbibengya5357
@milosbibengya5357 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, akulinde na akupe mahisha marefu saaaaaaana tu.
@catemacharia8499
@catemacharia8499 2 жыл бұрын
I wish ningekua Nairobi singekosa kuja hiyo kongomano umoja2 hiyo ni eneo ya nyumba, mchungaji katekelo lazima angekunywa maji kutoka kwangu
@rehmacharo6016
@rehmacharo6016 Жыл бұрын
mungu azidi kk fungus mile Amina
@simonlaizer6261
@simonlaizer6261 Жыл бұрын
Asanteni sana Wana wa mungu mzidi kuieneza ushuhuda hizi ili tukombolewe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lameckemma1718
@lameckemma1718 Жыл бұрын
Asante Sana mutumishi wamungu umetutia not ten mungu akujarie ten karibun kwete burundi
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 2 жыл бұрын
Wanao taka kujiunga na shetani msisumbuke kumtafuta mbona yeye anawafata mwenyewe shetani hana ekima ila ushauli Wangu kimbilieni kwa Yesu
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 6 ай бұрын
Safi kabisa, ushauri mzuri sana.
@preciousgrayson2021
@preciousgrayson2021 2 жыл бұрын
Kama ataendelea kujibu maswali, naomba umuulize kuhusu kiwanda cha kutengeneza rasta kuzimu je rasta zote kusuka ni dhambi au kuna rasta ambazo hazina madhara kwa watu waliookoka
@hilaryloishiye1240
@hilaryloishiye1240 Жыл бұрын
Mungu awabarki sana Bro Jacktan
@alnordarnold5189
@alnordarnold5189 2 жыл бұрын
Ameeen asante sana nahama viwango hata viwango
@janetndonye7709
@janetndonye7709 Жыл бұрын
asante sana kwa huo ufunuo
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
Amen Amen
@johnmedia9756
@johnmedia9756 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@annak6738
@annak6738 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki sana Mch.Amiel kwa kutufundisha siri nyingi za kuzimu.Pia Ubarikiwe sana Jacktan kwa kutuletea shuhuda motomoto,tunajifunza mengi sana.Stay Blessed.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@lazaromary9356
@lazaromary9356 Жыл бұрын
Sema tupone mungu akulinde
@saumukarisa9873
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Nmejaribu kufatilia mchungaji katekela kupitia ushuhuda wako Imani yangu imeongezeka...
@lugendodaniel5266
@lugendodaniel5266 2 жыл бұрын
Asante sana kwa kumkimbia shetani
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 2 жыл бұрын
Ameen.Ila sauti,haijachujwa vizuri.
@amossteven9538
@amossteven9538 2 жыл бұрын
Mbona kila ashuhudiaye, anasema alikuwaga mkuu, huko hamna mdogo
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Wapo shuhuda za makanisani
@marrymangera7087
@marrymangera7087 2 жыл бұрын
Yes pastor George kariuki niliona shuhuda yake
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Yes
@marcelinekahawara8304
@marcelinekahawara8304 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Jactan
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@carolmueni6431
@carolmueni6431 Жыл бұрын
Husein Mubarak na mjua alifika kwetu Kenya kuhubiri,hapa kwa mwaliko wa mtumishi pn makenzi
@catherinemwantwebe
@catherinemwantwebe 8 ай бұрын
Ameni
@victorgoodluck2922
@victorgoodluck2922 Жыл бұрын
Amen
@subilamwamkinga6796
@subilamwamkinga6796 Жыл бұрын
Je! Anayoyasema pasko kssian ni ya kweli
@nancyokemwa2470
@nancyokemwa2470 2 жыл бұрын
Hi plis address also demonic clothes Kama zenye Zika na mashimo especially pants. Zinakaa matambara, yani nikama zimekatwa katwa
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 Жыл бұрын
Mungu anisaidie,pia mim mamandogo,alikufa gafla, na mm sikumzika ila usiku huo,alinifata kwa usingiz na kusema hajafa nisaidie 😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Asante Jactan kWa kumhoji mtumishi kWa faidA ya wasikilizaji
@edithajohn4563
@edithajohn4563 Жыл бұрын
Eti nimempa Yesu maisha lakini ingawa vifungo haviishi kwa siku moja. Mimi Yesu ninaemjua akiingia ndani yako vyoote vinaondoka labda kama sio Yesu ninaemjua.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 6 ай бұрын
Kwa hyo hapo umeelewaje?
@Frosita
@Frosita Ай бұрын
Bado hujamjua ..
@charigrace5993
@charigrace5993 2 жыл бұрын
Safari njema
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
Yesu tusamehe
@patrickmuchoki8782
@patrickmuchoki8782 7 ай бұрын
Mimi naomba no y'all Niko hamu kenya nairobi
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 158 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 52 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 53 МЛН
[NEWS GANG] Ruto fires his Cabinet [Part 3]
43:12
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 158 МЛН