Part12_USHUHUDA WA MCH.KATEKELA ALIYEKUWA CHIFU WA WAGEREGERE KABILA LA KICHAWI

  Рет қаралды 49,645

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

KUJIUNGA WHAT'S APP GROUP LA MARAFIKI WA MCH.KATEJELA NO.2 BONYEZA LINK👇
chat.whatsapp.com/G6ymOcE6bc7...
4,500$ inahitajika ili kufanikisha safari ya mtumishi wa Mungu Aston Mbaya nchini Kenya.Tafadhali wezesha safari hii ya injili kwa kuchangia pesa yoyote uliyonayo.Tumia namba hizi kuchangia ama kwa mawasiliano.
M-Pessa: +255766294335
Airtel Money: +255784074462
WesternUnion/MoneyGram:Jacktan Arbogast Msafiri
City:Mwanza
Country:Tanzania
$ 4,500 is needed to make the journey of God's servant of God Aston Mbaya to Kenya. Please facilitate this gospel journey by donating whatever money you have. Use these numbers to donate/communication.
M-Pessa: +255766294335
Airtel Money: +255784074462
WesternUnion/MoneyGram:Jacktan Arbogast Msafiri
City:Mwanza
Country:Tanzania
KUJIUNGA NA GROUP MAALUM LA WHAT'SAPP LA SAFARI YA ASTON MBAYA NCHINI KENYA, BONYEZA LINK HII chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Kama unashindwa kujiunga mwenyewe tuma kwa What'sApp neno "Niunge Promover tv Kenya" kwenda No. +255784074462 .Kama unahitaji kuungwa Tafadhali hakikisha umetuma ujumbe kwenye What'sApp usitume kwa ujumbe wa kawaida yaani sms.
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 299
@mariahyera3737
@mariahyera3737 2 жыл бұрын
Nimeacha mapambo na vikorokoro vyake na sasa nipo huru kweli kweli. Ibadani nafunga zangu kilemba maisha yanakwenda.
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏿 Mimi pia dada yangu MUNGU wetu anatupenda hivi tulivyo
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Ongeraa wajina wang.niombee n mm niache wajna wangu
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 2 жыл бұрын
Upo vizuri sana Dada, Mbingu ni ya maana sana, kuliko mapambo.
@jamessemwnda5035
@jamessemwnda5035 2 жыл бұрын
Niombeeni NAMI niache kusuka Rasta huyu ni jezebel spirit Bado napambana nae niombeeni wapendwa
@Faraja2023
@Faraja2023 2 жыл бұрын
Good@ Maria hyera
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Kwa shetani kweli ni kazi ngumu,Mungu wetu tusaidie,safari hii hatutaweza pekee yetu
@neemamwalende9740
@neemamwalende9740 2 жыл бұрын
Amen mtumishi ubarikiwe na bwana YESU kichwa kilikuwa kinaniuma ulipo omba kimeacha hapo hapo Asante YESU kristo.
@emmanuelbuyombo.3882
@emmanuelbuyombo.3882 2 жыл бұрын
Mwenye masikio na Asikie, na mwenye mashikio na ashikee, huu Ushuhuda Umefunuliwa kwetu katika kizazi hiki tupate Wokovu. Tuweni watendaji si wasikiaji tu. Be blessed Rev. Amiel Katekela. and Jacktan Masafiri Mungu awatunze sana. Amen
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@eliasmusa3421
@eliasmusa3421 2 жыл бұрын
@@PromovertvTz ndugu. Naomba kama inawezekana unisaidie namba ya amieli
@mishinema8719
@mishinema8719 2 жыл бұрын
Huh Asante sana mutumishi amieli nmejifunza mengi kupitia Huu ushuhuda sasa nko Imara n mungu
@aminaally4163
@aminaally4163 2 жыл бұрын
NYWELE BANDIA ZOTE NIMBAYA HAKUNA NZURI.BWANA YESU HATAKI TUVAE VITU BANDIA
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
True dada
@naketizainabu7803
@naketizainabu7803 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen Asante barikiwa sanasana mutumishi Nimeokoka Sasa hivi kupitiya wewe through my phone yesu ni bwana be blessed alot man of God
@florencemueni1183
@florencemueni1183 2 жыл бұрын
My brothers in Christ nawapenda sna katekela naomba tupatane siku moja kma ni mapenzi ya Mungu ushuhuda wko unipea nguvu za kiroho sna
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
KUJIUNGA WHAT'S APP GROUP LA MARAFIKI WA MCH.KATEJELA NO.2 BONYEZA LINK👇 chat.whatsapp.com/G6ymOcE6bc7IigyFRL1bML
@shadrackgunza8211
@shadrackgunza8211 2 жыл бұрын
Ilo limejaa tunaomba link ya group jingine
@dawsonkabyemela4009
@dawsonkabyemela4009 2 жыл бұрын
I can't join, group limejaa
@annak6738
@annak6738 2 жыл бұрын
Ni kweli hilo limejaa, tunaomba Link ingine Jacktan.
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Mungu alituumba kwa mfano wake. Tusiongeze chochote. Mungu atusamahe. Barikiwa pastor Amieli Jacktan Barikiwa sana. Tunamshukuru
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 2 жыл бұрын
Amen.
@margarethsaumu5602
@margarethsaumu5602 Жыл бұрын
Asante sana Mch Katekela kwa kutufunulia mambo mengi ambayo sikuyajua. Yesu nisaidie nikujue zaidi, na nisaidie kuacha dhambi.ninakutaka Yesu na l nguvu zako. Asante Promover Tv kutufikishia ushuhuda huu. Mungu azidi kuwainua.
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Asante kwa sala ya toba yako kuanzia sasa nmeokoka. Amen
@leonardinabalenzi4005
@leonardinabalenzi4005 2 жыл бұрын
Amen. Mungu akuongoze ktk safari yako uliyoianza
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Blessed onger kwa kuokoka
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Hongera kwa kuokoka karibu kwa Ufalme wa Mungu
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel 6 ай бұрын
Umekiri Kristo ila ujaokoka....hadhi utubu na kubatizwa....mark 16:15-16 ....pia acts...2:38 kundelea na mandiko zingine nyingi
@rebecashindika3091
@rebecashindika3091 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwapigania kwa kazi ya Mungu
@paschalpaul5793
@paschalpaul5793 2 жыл бұрын
Jaktani asante kwa kuniulizia swali nzuri kama hilo, mimi nimechagua kuacha kabisa vitu vya mapambo kiujumla lakini pia nashauli na wengine waache
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 2 жыл бұрын
Kuna nabii w channel y unyakuo tv alisema alimuona mtu kwenye chuo uko mbinguni amesuka nywele zake sio dhambi labda marasta
@ngwanafabian4612
@ngwanafabian4612 2 жыл бұрын
@@janethmwihumbo1289 una uhakika gani na huyo nabii? Yamkini ni nabii wa shetani ama ni pepo katika fomu ya binadamu.
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Mmmmmmh kikubwa n kuach vyote tu
@petermageta4987
@petermageta4987 2 жыл бұрын
Shetani naye anajigeuza pia kama malaika wa nuru
@user-ro6kq5xx2d
@user-ro6kq5xx2d 3 ай бұрын
Ni bora kuacha tu ili kuwa huru kabisa.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Mungu anakataza mapambo mtumishi haya sijahadithiwa na mtu mungu mwenye ananiongoza huzunguza na Mimi nimeacha vyote sijipambi siku hizi akaanza kunifunulia kuhusu vyakula pamoja na mavazi mpaka viatu
@ngwanafabian4612
@ngwanafabian4612 2 жыл бұрын
Vyakula siyo najisi lakini siyo vyote vinafaa kwa kuliwa. Baadhi ya vyakula hudhoofisha hali ya kiroho ya mtu.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Mimi sifundishwi na mtu ni mungu mwenyewe vyakula nivichafu siku hizi mpendwa uwe macho nakuambia mungu huniambia vitu vingi Sana hata visivyompendeza yeye yaani aliniambia hivi ukitaka kuingia mbinguni mambo ya Dunia hii achana nayo nawala usimfuate fulani kavaa nini nawewe usiogope kuchekwa maana wengine watakuita chizi na anasema watakaoteswa au kutukanwa kwaajili ya Jina lake nawaliojikana Hao uzima wa milele ni halali yao
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
@@castorykapinga6425 n kwel vpo vyakul vngne havifai usibishee kapo kibinadam kujuwaa n ngumu Sana mpk MUNGU akufunuliee ipo cku utafunuliwa n wew maan shetan yuk bize San kutek kanisa kwa gharama yoyote..anatafuta watu wa MUNGU il awaangushe kwa gharama yyote at vinywaj chakula.mavazi.nk.yhn dunia saah imechanganyikiwaa kulko unavyonadhn mda n mchache. Sana YESU anarud
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Hujui ninachokuambia Mimi mungu ananifunilia vitu vingi sibishani namtu yeyote site safari nimoja yakwenda mbinguni jitahidi usijikwae ubarikiwe sana
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
@@liesharehema5193 ok blessed..
@kasorerushumuza5419
@kasorerushumuza5419 2 жыл бұрын
Mimi nitasimamiya ushuhuda WA Adamu mbaya kuhusu kusuka nisijenikasikiya badaye nikawakama muke walutu
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Amen blessed promover TV. YESU awazidishiee mlipopunguza kwa namna yyote ile Ili sisi tuapate ufunuo wa KRISTO YESU.tuache uovu.asanten.barikiwa pastor katekela
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@judithbett420
@judithbett420 4 ай бұрын
Asante sana Mchungaji kwa mafunzo mazuri
@josiaamos8010
@josiaamos8010 2 жыл бұрын
Mtumishi apo pa nywere sijakuelewa mungu amekataza kusuka kwa watumishi walio pelekwa mbinguni na kuzimu na maandiko yamekataza
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 2 жыл бұрын
Usiandike mungu. Andika Mungu au MUNGU
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Sisi tulifuzwa na Aston mbaya haturudi nyuma tuliambiwa mapambo yatatupeleka jehanam
@sophiajonas3459
@sophiajonas3459 Жыл бұрын
Wewe huna Roho Mtajatifu
@florianruttahindurwa1189
@florianruttahindurwa1189 Жыл бұрын
Hakuna mbingu ya wavaa mapambo
@florianruttahindurwa1189
@florianruttahindurwa1189 Жыл бұрын
Pete ya ndoa tu hukanyagi mbinguni!
@rebeccaomar3523
@rebeccaomar3523 2 жыл бұрын
Ni AFADHALI TUSITUMIE KABISA HIVI VITU BADIA
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 2 жыл бұрын
Amen mwenye masikio yakusikilizia na asikie
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Kabisaaa
@Mwakibinga_wisdom
@Mwakibinga_wisdom 2 жыл бұрын
Yaan swala la nywele umeeleza vema kabisa mtumishi 👏🙏
@sallymumia8425
@sallymumia8425 2 жыл бұрын
Glory,to Jesus Christ.,for promover tv,and the man of GOD.
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Ameeeeen mbarikiwe sana watumishi wa BWANA
@adelehakizimana1894
@adelehakizimana1894 2 жыл бұрын
Asante.mutumishi.wamungu.kutobowasiri.zawacawi.nashetani.iyo.nikazikubwa.Sana.mbereyamungu.mung u.akubarikisana
@tabithajeremiah2657
@tabithajeremiah2657 2 жыл бұрын
Asante sana Promover tv na mchungaji Katekela
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 жыл бұрын
Kikubwa ni kuachana tu na hizo katani ili awe ushuhuda kwa wengine. Mi nasimamia andiko, sisuki. Na pia mtumishi Aston alioneshwa watu hawakuingia Mbinguni kwaajili ya hayo. Heri niachane na mambo ambayo yanaweza kunikwamisha kuingia Mbinguni; 7bu hayo yoote hayanipunguzii kitu ktk kuishi kwangu.
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏿
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Blessed my
@navongelysrlynsozsye8494
@navongelysrlynsozsye8494 2 жыл бұрын
Umelielewa neno na Mungu atakusaidia.
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 2 жыл бұрын
Amuhurumie mume wake kwasababu ktk maelezo ya Mtumishi amekwishamuonya lakini anampa wakati mgumu bado Mtumishi ndo akamnunulie hayo ni makwazo na akumbuke kwamba Kila mtu atahukumiwa peke yake Ile siku ya kutisha tutengeneze maadamu MUNGU anapatikana Damu ya YESU ndio make-up yetu
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Nikweli mtumishi wamungu Mimi mungu ananisaidia Sana nasikia sauti yake sauti hii huniambia nisivae kitu chochote cha bandia kuanzia nywele bandia kumtumia mikorogo kupaka wanja poda kuvaa hereni vitu vya shanga mpaka nguo Kuna nguo nazo zinamatatizo mpaka vyakula sauti hii huniambia chakula salama nikile nilichopika mwenyewe sauti ya mungu huniambia nikitaka kusuka nisuke nywele yakwangu mwenyewe bila kuongea kitu chochote aminaaa
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 2 жыл бұрын
Aisee hongera sana
@williamntungilahe5598
@williamntungilahe5598 2 жыл бұрын
Niunge yaani ushuhuda nzuri sana
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Niombeee n mm niache kwel au unpe no yako nkutafte kwa msahahda Zaid w kiroho.alfu naomba kuulza kwan kusuka nywel zang n dhambi??piya kunyoosha je nywel zang n dhambi??
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Kusuka nywele zako mwenyewe sio dhambi Dada mungu anatukataza vitu vya bandia mpaka shanga za kiunoni chotechote cha bandia hataki kama kujichubua kupaka wanja poda lipstiki kuvaa hereni cheni napia kuvaa nguo ambao hazisitiri mwili hivi vyote mbele za mungu niuchafu
@omuze1290
@omuze1290 2 жыл бұрын
Hakika huyo ni Roho Mtakatifu na hapendezwi na vitu hivyo!
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Asanteni Mungu awabariki somo ni zuri damu ya Yesu iwafunike mch amiel tueleze yote tupate kupona
@edinajossephatgeorg6246
@edinajossephatgeorg6246 2 жыл бұрын
Kuhusu kusuka: nikujenge mch kwa kuwa umesema unajua ya upande mmoja( kuzimu), unavijua vitu vya kuzimu tu, lakini kuna vitu vya dunia hii, na vya mbinguni, sasa vitu vya mbinguni havitakiwi kufanana na vya dunia, hata stail ya kusuka ni mifumo ya kidunia na pengine kuzimu, mungu wa artem yupo kwa namna nyingine ,majira haya kanisa limebebwa na urembo wa kidunia wala si katika roho, na wana amani Sana💯, viko viwango vya mbinguni, katika mavazi,misemo,matendo,mawazo, nk, hakika hata misuko ya nywele asili inamfanya mtu kuikosa mbingu,
@josephomuto3240
@josephomuto3240 2 жыл бұрын
Naomba unionyeshe mstari mmoja tu unaosema moja kwa moja kwamba na wasukao nywele hawatauona ufalme wa mbinguni.
@edinajossephatgeorg6246
@edinajossephatgeorg6246 2 жыл бұрын
Nioneshe mstali unasema kuvuta sigara huendi mbinguni, nami nitakuonesha
@emes602
@emes602 Жыл бұрын
@@edinajossephatgeorg6246 tena nyie wa maremba mbona mnasuka mabutu na twende kilion?? Hamjui na ivyo ni kusuka kule kule.
@PaulDeus-jh7jn
@PaulDeus-jh7jn 11 ай бұрын
Tufuateni tu maandiko,,,,kusuka acheni wanawake ili musiwe na wasiwasi na Mbingu.
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel 6 ай бұрын
1john 2:15 - 17 kundelea nafikir
@mauriceishengoma5955
@mauriceishengoma5955 2 жыл бұрын
Ndugu zangu, msiwe waalimu wengi,mkijua ya kuwa mtapata hukumu kubwa zaidi. endelea kupata shule ya Roho Mtakatifu. ukiishika sheria yote ukajikwaa katika neno moja umekosa juu ya yote.
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Asante Sana barikiwa kufika Kenya be blessed my country needs prayers
@sarhkimboi9085
@sarhkimboi9085 2 жыл бұрын
Me hapo kwenye kusuka tyu, bado ninpnga lazima tuwee matakatifu Na tusimkosoe Mungu kwa vile alivotuumba.
@annaandrea2812
@annaandrea2812 Жыл бұрын
Sasa Kama unamkosoa Mungu mbona unavaa nguo wakati umezaliwa uchi
@mcchilo13
@mcchilo13 7 ай бұрын
​@@annaandrea2812Tujaribu kuwa Waelewa na kutafautisha Mambo. Kusuka na kuvaa hauwezi vifananisha. MUNGU aliwapa vazi Adam na Eva. Kwaajili ya kujistiri. Lakini pia yapo maandiko yanazungumzia Kuhusu kuvaa na kujistiri. Lakini sijaona andiko linalokubali kusuka. Ushauri wangu kama umesikia watu wanazungumzia hilo. Fanya maombi muulize MUNGU kupitia ROHO MTAKATIFU utapata majibu sahihi. Lakini usipinge kabla hujahakikisha.
@mcchilo13
@mcchilo13 7 ай бұрын
​@@annaandrea2812 kwani kusuka kunafaida gani hasa? Mimi sielewi. Na kama Mtu asiposuka anapata hasara gani?
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 2 жыл бұрын
I concur with my brother on what he says,100%
@leonardinabalenzi4005
@leonardinabalenzi4005 2 жыл бұрын
I came to agree with this man of God from the first episode of his testmony. Several issues in his testimony are in line with other testimonies of former devil worshippers in this channel. Only the wise will learn and understand
@ahebwaedinah3218
@ahebwaedinah3218 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Amen thank you so much am watching from Ugandan naitwa edinah
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen
@christanaluka6031
@christanaluka6031 2 жыл бұрын
Usishauri mtu avae katani Aina maana yoyote awe na nywele zake
@mtumbaclassic9472
@mtumbaclassic9472 7 ай бұрын
Point nimeipata hapa
@violettendih...8452
@violettendih...8452 2 жыл бұрын
Amen, Amen Mtumishi wa mungu asante sana God bless you.
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Thanks mtumishi Amiel na promover nasoma kila siku mungu awabariki
@tembelaabdalah4153
@tembelaabdalah4153 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi na akuongoze kwayale ambayo anapenda wewe kuyatenda
@pillykasegu7679
@pillykasegu7679 2 жыл бұрын
Mtumishi mungu akubariki sana unacho kijua na ulichojifunza na kuielewa biblia mungu akutangulie maana watu wanazijua Zambi kilakitu dhambi jamani kilakitu Sasa ni changamoto mungu atuongoze na sio akilizetu
@lilianmanase761
@lilianmanase761 2 жыл бұрын
SASA NIMEELEWA KWA KINA KWANINI WASABATO WANASHERIA KALI KWA WAUMINI WAO JUU YA KUSUKA, MAPAMBO N.K.. HERI FEDHEHA KULIKO LAWAMA NA KINGA NI BORA KULIKO TIBA. Mwenye masikio na asikie.. MUNGU ROHO MTAKATIFU ATUSAIDIE KWAKWELI. AMEEN
@maureenlusweti9516
@maureenlusweti9516 11 ай бұрын
Mungu aliyekuoa wewe Mch. Katekela na atamuokoa pia Kanumba kutoka kuzimu na wengine pia waliopotelea kuzimu. AMINAAAAAA!!!
@suzanakumburu9035
@suzanakumburu9035 2 жыл бұрын
MUNGU awabaliki watumishi kwa kazi kubwa mnayoifanya balikiwa sana kaka Jacktan
@miriamtutorial
@miriamtutorial 2 жыл бұрын
Glory to God Asante sana mtumishi
@estherthomas1975
@estherthomas1975 2 жыл бұрын
Muongelee pia na madawa ya uzazi WA mpango WA mama wanaangamia
@mauriceishengoma5955
@mauriceishengoma5955 2 жыл бұрын
Mch. Roho wa Mungu hakushuhudii kuona ukivaa hata za katani ni kumkosoa Mungu kuwa nywele alizokupa hazifai endelea kumwomba Mungu utafunuliwa tu ndoa Adam na Eva ni Mungu aliyewaunganisha aliwavisha pete Biblia inasema hiyo ni miungu migeni wewe unasemaje? Mwz 35:2-4,Kut:33:3-6,Hos2:13,1Pet3:3,1Tim2:9-10
@stamilinchimbi6547
@stamilinchimbi6547 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa ushuhuda huu naamin tutajifunza mengi kupitia maisha yako
@raitonjafali6783
@raitonjafali6783 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumish wa Mungu je vp kuhusu dawa wanazoweka kubadil hizo nywele kuwa ndefu kama wzungu nazo znatoka kuzm
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Zidi kubarikiwa sana mtumishi wa Mungu
@fadhilisimfukwe8035
@fadhilisimfukwe8035 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ushuhuda
@petermageta4987
@petermageta4987 2 жыл бұрын
Mtumishi kusuka ni dhambi, kusuka za asili au A bandia petro 3:3-6/1timotheo 2:9-10
@koletajeanne8824
@koletajeanne8824 2 жыл бұрын
Iyo nikwali mungu hakubariki mtumishi
@emelivaly1720
@emelivaly1720 2 жыл бұрын
Amen 🙏. Mtumish. Wa. Mataifa. Yote. Asante. Sana. Kwa. Kutuelemisha.
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 2 жыл бұрын
Just b natural without adding anything
@naketizainabu7803
@naketizainabu7803 2 жыл бұрын
The best way be natural
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 2 жыл бұрын
Ni bora kuwa natural ,kuliko ukavaa katani mwisho wa siku ukakataliwa kuingia Mbinguni maana huyu anajibu kutokana na uelewa wake.Ila wapo walio pewa maono na Bwana Yesu kuwa hataki bandia yoyote
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 2 жыл бұрын
@@sarahmdindile4301 AMEN
@inesfeliciano9235
@inesfeliciano9235 Жыл бұрын
Asante sana mungu awajalie
@danielmatemu9698
@danielmatemu9698 2 жыл бұрын
Mchungaji uko vzr sana barikiwa. Nimeelewa vzr ulivyoelezea 1 Pet 3:3.
@zeldamzena9295
@zeldamzena9295 2 жыл бұрын
Msafiri tumuone na wifi yetu..mke wa mtumishi
@re.emmanuelmdoe3345
@re.emmanuelmdoe3345 Ай бұрын
Nasadiki kwa Sababu maandiko yanakataa mapambo hivyo ushuudaa wako wote Biblia imenithibitisha sanaaaa, Mungu akutendeeni mema MCH A,K
@marcelinekahawara8304
@marcelinekahawara8304 2 жыл бұрын
nashukuru sana mtumishi wa Mungu
@jimmykasinde8439
@jimmykasinde8439 2 жыл бұрын
Biblia imekataza watu kusuka Mchungaji hakuna andiko linalo ruhusu mtu kusuka wewe waambie watu waache na sio kuwaambia wamuulize roho maana roho wa Mungu hawezi kupoteza mda kwenye hayo mambo 1 peter 3:3
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
Sio wote wataacha kusonga
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 2 жыл бұрын
Umenena sawa kabisa.
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Nivyema ungefungua KZfaq yako pia maana itakuwa inasaidia watu wengi kama abavyo tumebarikiwa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
KUNA WATU WANAPENDAGA USHUHUDA WENU WANAONGEA ENGLISH,IKIWEZEKANA WEKENI SUBTITTLES IN ENGLISH ITAPENDEZA,MBARIKIWE DAKTARI WA KIROHO
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Mungu akubariki pia siamini nilitoa wapi nguvu ya kupenda huu ushuhuda toka mwanzo
@julietnelima3253
@julietnelima3253 Жыл бұрын
Mungu atusaidie kujua roho wa Mungu ili atuongoze tuweze kujua utofauti wa nywele tunapo zinunua haswa kwa watoto wetu kwasababu sisi tunaelewa lakini watoto hawaelewi tuwaombee kabisa.
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 2 жыл бұрын
YESU Kristo awabariki sana!
@evelynlehnard3928
@evelynlehnard3928 2 жыл бұрын
Mathew 7:22... mchungaji kuunguza mapepo au kuyakemea siyo kipimo cha kwenda mbinguni. Wachungaji wanaawake na wanaosuka nywele hata yakemee mapepo yakimbie kama Husein bolt hawataiona mbingu. Maelezo yako kwa hilo swali ni potovu na hayana evidence kwenye maandiko matakatifu. Nywele zetu alitupatia akaona zimependeza. Kwanini sisi waafrika tunatamani kufanana na wazungu ?
@johnreemgard4991
@johnreemgard4991 2 жыл бұрын
ubarikiwe sana mamy. msikilize MUNGU maana hakuna mwanadamumwenye uwezo wa kukupeleka mbinguni isipokua MUNGU na nilazima uwe mtakatifu
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Yey pastor anaelzea ya kwke anayoyajuwa na kuyaelewa,kwa uelewa wake so usimuhuku bureee wew uliyepta NEEMA yako yako ukajuwa Zaid yke bas fanyia kaz uelewa wako.n yye mwache ikifika mahali atafundshwa n roho mtakatifu nae atajuwa tu.
@evelynlehnard3928
@evelynlehnard3928 2 жыл бұрын
@@maryandason1815 dada Mary tatizo let sisi waafrika nikuamini kwamba mchungaji hawezi kukosea na akikosea hatufai kumkosoa. Mungu alitupatia nywele ngumu na akawapa wazungu yao laini, sasa kwanini tunataka hiyo ya wazungu ? Inamaana ni rahisi kumkosoa Mungu kuliko kumkosoa mchungaji ? Kwa sababu inamaana wakati unatamani nywele ya kizungu ni kwamba Mungu alikosea kukupa nywele ngumu. Pili 1 pet 3 ingeandika na neno TU tungeelewa kwamba Mungu ametupatian options za kuchagua lakini inasema urembo wetu usiwe wa kusuka nywele. Mchungaji ni mwanadamu na kuingia mbinguni ni kwa utakatifi TU..kama anafanya kitu kando na maandiko matakatifu ni JEHANAMU ataishia na mke wake ndiye anamuongoza kwenda huko kwa kukatalia kwa nywele ambazo zitamkosesha mbingu. Mungu anaweza kutumia hata punda kuhubiri injili.
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
@@evelynlehnard3928 saw mama asntee San kwa ujumbe wako blessed.ipo cku ataelewa n atajifunz tu.kwa sbbu kila mtu MUNGU anajifunua kwa jins yke
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
@@evelynlehnard3928 samahani dada naomba kuuliza je nikisuka nywele zangu mwenyewe na nikachanganya na uzi je haitakiwi. Napenda kufahamu nisaidie
@jeremiahkausi2987
@jeremiahkausi2987 Жыл бұрын
Asante Kwa ushuhuda MUNGU akurehemu
@glorymwalukuta
@glorymwalukuta Жыл бұрын
Nmekuelewa sana juu ya kusuka 🙌 umenipa moyo
@glorymwalukuta
@glorymwalukuta Жыл бұрын
Ndyo maana Mimi n msukaji lkn nmeokoka nampenda Yesu shetan kwangu namgalagaza na moyon nna aman nitaingia mbinguni hivyo hua sielewagi juu ya mambo ya kusuka n dhambi asa Mimi kama kipaji Mungu amenipa nifanyaje naweza kufikiri Mungu n Mungu gan lkn kumbe formula n ndogo tu nimejua kweli kupitia huyu mtumisg
@mcchilo13
@mcchilo13 7 ай бұрын
​@@glorymwalukutaBiblia inasema. Msifurahi kwa sababu pepo Wana watii. Bali furahini kwakua majina yenu yameandikwa Mbinguni. Kikubwa muombe MUNGU kwa bidii ukimuuliza kuhusu kazi hiyo. Naamini Atakupatia majibu. Ubarikiwe mpendwa
@user-nu9ww9ly6q
@user-nu9ww9ly6q Жыл бұрын
Amen
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Duuh walai leo umemaliza, mm mume wangu tangu amuoe mke wapili, namchukia, sasa ntatubu.
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 2 жыл бұрын
Mungu ambariki sana na roho mtakatifu akae ndani yako mm nauliza ukifuga rasta ni zambi
@johnreemgard4991
@johnreemgard4991 2 жыл бұрын
usifuge rasta wala kusokota ni roho kamili ya kirastafarian roho ya uchizi, kina ziporah na watumishi wengine wameonyeha haitakiwi, hata uzi. vaa kilemba kanisani, ukitoka vaa kilemba au bana nywele zako, ukiwa unaomba popote vaa kilemba
@user-nu9ww9ly6q
@user-nu9ww9ly6q Жыл бұрын
Mungu Wangu akubariki
@petermalema5702
@petermalema5702 7 ай бұрын
AMEEEEEEN
@joelyjoely7827
@joelyjoely7827 2 жыл бұрын
Aminakuerewa Sana wakwetu kigoma umetafuta kutobowa kwa MIAKA MING at ukaanza igt kunitabia du kunavitu so kwer vingine ww so fremason izo nikiki
@rahelikilunga2445
@rahelikilunga2445 Жыл бұрын
aminq
@rhodalissu6953
@rhodalissu6953 5 ай бұрын
Ahsante sana mtumishi wa Mungu Jactan Msafiri , swali kwa pastor vipi kuhusu uvaaji wa suruali kwa cc wanawake hili likoje? na vipi kuhusu kusuka nywele kwa mwanaume?
@emanuelmasanja1627
@emanuelmasanja1627 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@purity234
@purity234 2 жыл бұрын
Mimi naeza sema kuhusu nywele bandia na pia mapambo tuachane nazo,kwa maana biblia imekataa Timothy 2:9 na pia 1 peter 3:3 hata bila adhari za kuzimu Mungu ametuonya,, na tunawajibika kufuata masharti yote ya Mungu Ili kuiona mbingu,,si baadhi tu.. sidhani ni vizuri kutafta nywele sisizo na chapa ya kuzimu kuzibandika,,kwa maana hta isipokudhuru humu duniani,,uhusiano wako na Mungu hujakamilika,,pia unaweza ukakosa mbingu kwa kutotii ..tuangalie tafadhali ushuhuda wa Rachael Mushala kuhusu nywele bandia mapambo na mavazi,,tujielimishe kupitia watumishi wengine pia..nawapenda❤️ Mungu akubariki Amieli,,na azidi kukuinua kiroho❤️
@monicangongi7891
@monicangongi7891 2 жыл бұрын
Nywele zote za bandia Mungu hapendi..mtu abaki kama vile alivyoumbwa...wewe umeyaona ya kuzimu bado hujaenda mbinguni na kuona vitu ambavyo vinawakwamisha watu kuingia mbinguni..mwombe Mungu akufunulie juu ya hilo jambo la nywele naamn Mungu atakufungua wewe na mkeo..
@knowledgecoffers
@knowledgecoffers 2 жыл бұрын
Mimi ni mwanamume si songi nywele Na ota ndoto nikiwa shuleni kwa miaka zaidi ya ishirini sasa,inanighadhabisha sana.Kwani hii ndoto Ina maana Gani kuzimu jameni🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@joniajohn4716
@joniajohn4716 Жыл бұрын
Pole sana Hiyo ni spirit of lateness and delay in life. Fast and pray (spiritual warfare)
@troymurimi6320
@troymurimi6320 Жыл бұрын
Ulisaidika ama nikupe number nikusaidie
@raelnthangu8216
@raelnthangu8216 2 жыл бұрын
God looked at everything he made,and he was very pleased.Genesis1:31nvizuri mtu akae vile mungu alivyo muumba.
@eunicewangomwa5506
@eunicewangomwa5506 Жыл бұрын
I'm so happy
@optimamarenda7082
@optimamarenda7082 2 жыл бұрын
Naomba unijibu mtu alieokoka anaeicd ngapi nakanisa la Mungu lakweli linaeicd ngapi
@sharnamoreen8195
@sharnamoreen8195 2 жыл бұрын
Jesus christ is the way, the truth and the life, He says, who comes to me shall never walk in darkness but lights. Thanks Katekela kwa ushuhuda huu, kweli nimeona uliyemtaja Mubarak akihubiri neno na to advise people to go back to Christ, praises to the kingdom of heaven The Father and the Son and the Holy spirit
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel 6 ай бұрын
Kwa kusuka ndungu haitakiwi Kwa upendo Tu haitawi
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 2 жыл бұрын
Naomba aanze na hizo mbinu za wachawi kujikinga na maombi ya walokole ili tuweze kuwashinda.katika top 3 shuhuda za promover hii ya mtumishi katekela ipoo ndani kabica..
@louisejeanne1760
@louisejeanne1760 Жыл бұрын
Kweli kweli kabisa mtumishi. Mimi ni mwanamke na nimeolewa , kulala kwangu na kwa mme wangu ni tofauti kabisa na wakati wote tunafanya kazi, tena mimi natumika usiku 😅😅😅😅
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
Pia tunaomba Mada ya manabii wa uongo ndio ifuate kabla ya mada zingine ili washirika tupate UELEWA
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Nazidi kubarikiwa na huduma hii
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 2 жыл бұрын
Wasikiyaji wa shuhuda mbali mbali tuwe makini latika shuhuda tunazo sikiya jana jana tumemaliza shuhuda zawatu waliyo katazwa na Mungu kusuka , navipodozi aina zozote , Eti tusijibadili Mushala na Recho , Adamu mbaya nawengine wengi Asa leo tena munatuleteya wengine Eti kuna wingi za Dragon nazingine halali , wakristo wa kweli tuwe Macho hange sana nashuhuda ,piya tusome maandiko sana kuliko , kuzama saaana kwa shuhuda. Kujipamba kweku kusiwe kusuka Hawa kusema wigi ilikuwatu mwele za kawaida tuwe makini wa kristo
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Hujamuelewa mshuhudiaji amesema Yeye hajawahi kufika Mbinguni na ameshauli kuacha pia lakini pia walioshuhudia kuhusu kusuka wao waliwahi kufika Mbinguni kwahiyo uwe makini kusikiliza na kuelewa huyu mtumishi hajawahi kuona wanaoenda Mbinguni na wasioenda
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
@@mwigarleysaid5406 umejibu vyema sana mpendwa
@joelyjoely7827
@joelyjoely7827 2 жыл бұрын
Ami namjua Sana katafuta Kiki kwa MIAKA ming nimtoto wa mchungaji wa A G T KIGOMA LUTALE tuwe Makin nahuyuuu
@josephomuto3240
@josephomuto3240 2 жыл бұрын
@@joelyjoely7827 Fafanua tafadhali. Una maana ya kuwa anachotueleza hapa, yaani shuhuda zake zote tangia Part 1 hadi hapa tulipo, ni hekaya tu za kujitungia? Kwamba hakuwahi kua mchawi bali ni stori tu za kumpa kiki?
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
@@joelyjoely7827 acha mambo ya kizushi
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
Brother I'm not understanding how you eat someone alive please tell him to talk more about eating someone Live????🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jamessemwnda5035
@jamessemwnda5035 2 жыл бұрын
Someone will be there alive and witches may be surrounding the person who is alive one witch will take a leg and start eating one Norse one ear one arm one kidney until a person is no more , very scary we need GOD in our lives every day
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
jaman mm nakua najiapiza naacha dhambi lkn baada ya muda mchache narudia dhambi mtumishi nampenda Yesu nahitaji msaada wa kimaombi nahitaji kuokoka kweli kweli
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen, tuwasiliane
@emmyfrank7168
@emmyfrank7168 10 ай бұрын
Ila imarisha sana
@emmyfrank7168
@emmyfrank7168 10 ай бұрын
Ila inatisha
@salmahassan3521
@salmahassan3521 Жыл бұрын
Nahisi nakuelewa kuliko watu wote, Mimi Huwa naenda dukani namwambia muuza duka naomba hizo rasta ngumu, muuzaji ankuwa mkali Kweli utazani anakupa bute, haya manywere ni ya kuachana nayo tu, kwanza wasusi wengi ni wachawi, siku ukipaka mafuta ya damu ya YESU msusi anaona giza
@dicksonsomarjosesomarjose3843
@dicksonsomarjosesomarjose3843 2 жыл бұрын
Asante sana mchunga ninaswali je kutia dawa yani rilaxa
@puritykibe3099
@puritykibe3099 2 жыл бұрын
No wonder Bible says he who finds a wife has found a good thing.
@saumukarisa9873
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Niunge mm kwa group ya rafiki mchungaji katekela
@prosmutonyi3706
@prosmutonyi3706 2 жыл бұрын
Unamteteya sana mchungaji gwajima na kuna mweye alitowa ushuhuda kwamba ni freemason. Walikuwaga naye vikaoni. Na ako kwa ngazi za juu sana.
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 2 жыл бұрын
Gwajima aliingia kweli kabisa mwaka 2017 wakati huyu ameshaokoka kwahiyo hajui Kama kilichotokea huku nyuma
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
KWA KWELI WANAWAKE HATUSIKII WAUME ZETU HAWAPENDI VINGI
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 52 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 18 МЛН
JE! UNAPOOKOKA UNAWEZA KUTEMBEA KATIKA LAANA..... PASTOR  KATEKELA
31:05
PART 6 BISHOP MOSES KULOLA ALIFARIKI DUNIA  BANK AKIWA NA LAKI 2 TU
30:55
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 30 М.
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН