PART14:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFATA UTAJIRI WA KUFA NA KUOZA MWILI NA KUTOKA FUNZA MWILINI

  Рет қаралды 5,228

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

2 жыл бұрын

Пікірлер: 31
@seifmketo2421
@seifmketo2421 2 жыл бұрын
Hamna story humu kwa sasa.....
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Huyu ni bingwa wa kuvua chupi
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 жыл бұрын
Mwanamke katoka damu nyingi hata kumpeleka hospitalini hamna? Unakaa nae ndani tu? Hio kali!
@carlosmoshi392
@carlosmoshi392 2 жыл бұрын
Unajitahidi sana mkuu hiyo haina ubishi Hongera sana kaka.
@honestema
@honestema 2 жыл бұрын
Mtu kapata kazi akamkaataaaa ogopa sana wanawake ishi nao kwa akili tu🙌🙄
@Patience.67
@Patience.67 2 жыл бұрын
Nashukuru mungu Kwa kukuokoa hiyo maisha ya pombe ilikuwa mbaya
@acimamalingano8556
@acimamalingano8556 2 жыл бұрын
Pamoja saana Mr everything 💪 I
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Mzee wa fact kapatikana anapewa story za kuchapa bakora ametulia tuli
@opionlinetv5052
@opionlinetv5052 2 жыл бұрын
Wakwanza😂
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 2 жыл бұрын
Wanawake Eliya watakuja Kumuuwa tu. Unatakiwa kujifunza kutokana na Makosa.
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 2 жыл бұрын
Ama kweli binadamu tunashingo Ngumu, Kwa uzinzi Elia umetisha.
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Amekula ujana anayo haki ya kuokoka sasa
@ombeninnko9332
@ombeninnko9332 2 жыл бұрын
Amefanya uzinzi wa kimataifa
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
@@ombeninnko9332 Huwezi kuwa mzinzi kama huna roho ya uzinzi
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Ana bahati ukimwi haukumpata
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
Asanteee 😆😍
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 жыл бұрын
😆davista ana pepelea eti ndugu yang elia
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Mr fact piga mazoezi mwili huo unakuja
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Poa kaka tuko pamoja
@thegreat.9869
@thegreat.9869 Жыл бұрын
Kischana hahahaaaa.
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
Akaja kupata kazi, AKABADILIKA ALOOOOO
@thegreat.9869
@thegreat.9869 Жыл бұрын
Coment yako inaonesha we mngoni😃😃
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 2 жыл бұрын
Maisha yake yalikuwa ya hatar sn
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Huna pesa wanawake wa kileo uwapati
@hildaernest1090
@hildaernest1090 Жыл бұрын
Story tamu sama,,,,jamaaa anaongea Kama mtafya tapeli mwizi wa kimataifa
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
sema nini watu wengine tamaa dada anaelewa Mama anaelewa Kaka wanaelewa unapata shida gani??
@yugakiyumbi9909
@yugakiyumbi9909 2 жыл бұрын
Title ya story inavutia lkn story yenye msimuliaji anairefusha Kwa kusimulia matukio ambaye si ya muhimu. Had saiv hizo pesa za kuoza mwili hajazipata,nakosa hamasa ya kusikiliza Kila part
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Kiukweli hii stori kila tukio analosimulia lina sababu ukimsikiliza kwa makini
@fatumakhamisi1002
@fatumakhamisi1002 2 жыл бұрын
We ndo una haraka bila sababu
@florencerose859
@florencerose859 2 жыл бұрын
mbona wanaume hawataki mke/girl friend aende gym???😂😂😂acheni uwivu
@thegreat.9869
@thegreat.9869 Жыл бұрын
Mkashikwe shikwe matako na ma trainer huko... hovyo sana wadada wa siku hizi
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 29 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 194 МЛН
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
SIMULIZI YA KWELI: HIKI KIJIJI NI BALAA
2:48:24
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 253 М.
The cat chose the right one 🥰🥳😸
0:32
Ben Meryem
Рет қаралды 46 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 33 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 31 МЛН