PART15:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFATA UTAJIRI WA KUFA NA KUOZA MWILI NA KUTOKA FUNZA MWILINI

  Рет қаралды 5,357

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

2 жыл бұрын

Пікірлер: 28
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 жыл бұрын
Daah stori tamu hii. Mwenyekit wa Vijana sasa mwisho wa utawala wako ukawa umefika🤣🤣
@acimamalingano8556
@acimamalingano8556 2 жыл бұрын
Pamoja saana Mr everything 💪
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
Thanks Mr fact 😆😆😆 si akaaza kupiga 💪 😆😆😆 davistar bhna Elia wewe kwel wakukusahau kwel aaah aaa huyo mwanamke aiseee🤣🤣🤣🤣 umevunja jiko aaah daaa haka ka episode fire sana 🤣🤣🤣🔥
@Limbakale260
@Limbakale260 Жыл бұрын
Ndugu yangu eliya!
@om-gg6jn
@om-gg6jn 2 жыл бұрын
Yupo smart lakini Hana direction, sometime ukiwa na akili nyingi unapoteza mwelekeo
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Kweli ulimpenda mpaka kuongea kwako kumegeuka unapo muongelea huyo Ann
@isaackmboma72
@isaackmboma72 2 жыл бұрын
Wakwanza leo gonna like
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 2 жыл бұрын
nimependa hivo vitasa vya pua ulivyompa Anna 😃😂😂😂
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Jamaa kweli mapenzi yalimdrive
@kevinkundy1338
@kevinkundy1338 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣poleeee sanaa ndugu yetuu Elia
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
shikamoo mapenzi nakumbuka nilimfuma demu wangu gest na jamaa.. wanafanya... yule dem..tukapanda gari...kurudi home akachukuwe vitu vyake.... ninaaibu sana ila siku hiyo nilimgombeza kwenye..gari watu woote waligeuka kuniangali...mpaka kesho mpaka kufa sitaki kusikia kupenda wala kumpenda mtu....sitaki kabisa mapenzi..kitu kinaitwa mapenzi
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
Mapenzi ni usenge sana😂😂😂😂 mpaka ukauza tv ya home? Nimekumbuka watoto wa jirani yangu mmoja hivi!
@fhfbfcvcgfggf6844
@fhfbfcvcgfggf6844 2 жыл бұрын
Mapenzi shikamoo 🤣🤣🤣
@rachelcharles5190
@rachelcharles5190 2 жыл бұрын
Number 01 davistar fans
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
We ndio pimbi kweli mwanamke akikuzimgua SI unaachana nae tu unalazimisha nini acha ulimbuken wa uchi mwanamke jinga wewe
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
​@@husseingabo5497 Ndugu yangu hayajakukuta sasa subiria yakukute muda ambao sio muhafaka utajua mapenzi yakoje, huwezi kuoga kama hujachafuka hata kama unachukulia poa ila kama unajua maumivu ya mapenzi subiri yakukute, Mapenzi hayana mwenyewe wala Baunsa ila tu mmoja kati ya hayo aamue kukujitoa akili ingawa ukweli anaujua. Usiombe yakukute ndugu yangu.
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Eliya mtani wangu namuelewa vizuri kwa maisha yanayo endelea hasa ukiwa huna pesa
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 wewe nini mi nimeshawaacha wanawake kibao ambao ni wazinguaji na wasumbufu Kwa hiyo Mimi sio mgeni wa mambo hayo Mimi mwanamke asienipenda wa nini kwanini nijilazimishe Kwa mtu asienipenda kama sio uzoba ni nini wanaume kuweni na akili
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 жыл бұрын
mapenzi mapenzi..mapenzi sitaki kusikia hata kidogo
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Mwanamke achungiki
@aphilinamsafiri9780
@aphilinamsafiri9780 2 жыл бұрын
Hahaaaaa davsta umenifrahsha:
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 2 жыл бұрын
I story ni love story ya kihindi
@fatumakhamisi1002
@fatumakhamisi1002 2 жыл бұрын
Yeah hivyo ndivyo ilivyo Don't trust Women ever
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Kijana anambana Sana ili demu amwelewe
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 2 жыл бұрын
mapenz ni uchizi 😣😃
@tututz100
@tututz100 2 жыл бұрын
KIJANA AUWAWA
@jacobmwacha7285
@jacobmwacha7285 2 жыл бұрын
Apo maza na mtoto waliamua kukaa wakapanga wakuzingue hamna kaka apo
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
Jamaa anaongea kama mtafya
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 14 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 14 МЛН
Oi Oi Oi & E E Ei Meme Looking For a Girlfriend
0:26
Mischief time
Рет қаралды 27 МЛН
Мыла наелся
0:21
Pavlov_family_
Рет қаралды 4,2 МЛН
小路飞跟姐姐去哪里了#海贼王#路飞
0:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 43 МЛН