Wangapi tumemis bakora za kimkakati 😂😂😂 mzuri kishenzi yaan
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hv havikuingii akilini maana mmeshkwa pabaya Leo njo umkr yesu ndg yangu
@videozaaj10693 жыл бұрын
Sema uchawi ni upuuzi sana aseee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂fikiria unafanya mashindano ambayo hujui Ukishinda unapewa zawadi gani
@mariamm27243 жыл бұрын
Duh hizi dini jmn ,yaan unafundisha dini na uchawi ndoo nini hivo?? Ya mungu mpe mungu ya kaizari mpe kaizary .hapa ni kuwa na iman tu tosha
@saidessry99423 жыл бұрын
wewe unaamini kila unachosikia
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Pamoja dav ulipo nami nipo 🙏🇹🇿🏃🏃
@linkreuben58043 жыл бұрын
Good job Devista...shehe Omar ushuhuda ana Mkubwa pia, ...siri za shetani zinafichuka Tanzania!
@joivon3038 Жыл бұрын
Kwakweli kazi ya shetani n ngumu lkn wetu wanafanya kwa uhakika lkn Mungu aliye hai atukuzwe anaokoa watu
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
@abushaddad9893 жыл бұрын
Davistar Tafadhar acha kutumia neno Sheikh aliyeokoka huyu alianza uchawi akiwa na miaka sita sasa usijarib kumuita sheikh huyo Mchawi .
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Kweli mjomba .
@khadijaomari93443 жыл бұрын
kabisa 😀😀😀😀
@JTGSHUUDA3 жыл бұрын
Ujawai kusikia, sheikh Majini @Abu
@mpandamohamedmsoke97223 жыл бұрын
Mimi nataka uyu jamaa familia yake na uyo Shekh aliemfundisha uwo uchawi tukape kweli alikua muislam akabadili na uyo Shekh aliemfundisha naweka milion hapa kama ni kweli atachukua hiyo hela sema kama si kweli asitupakazie
@nooor11203 жыл бұрын
@@mpandamohamedmsoke9722 wanapanga story ili kutushusha hadhi uislam lkn nawaonea huruma kwani uislam ndio kwanza unanawiri.
@hillarykirui42573 жыл бұрын
Amazing stories
@benomwazembe47653 жыл бұрын
Hayo mashindano ya kichawi nimekumbuka move ya harry portel
@catherinewanjiru71363 жыл бұрын
Mr everything 👍👍👍
@suzansimon52963 жыл бұрын
Hii ctor n nzur sanaaa
@stevenrichard1893 жыл бұрын
Pamoja sana kaka
@bebebebe56773 жыл бұрын
Davistar hii kauli yako niliimic ya stepu bay stepu mana kwenye story ya mzee wa bakora za kimkakat skuiskia hii hahahahahah
@michaelgodfrey83723 жыл бұрын
Bakora za kimkakati ni kwere
@abdimohamed39533 жыл бұрын
Duuuh shetani ananguvu jaman tusiache kumuomba MUNGU hakika
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Soon davstar atakua mchawi mkubwa wa kuigwa maana uzoefu anaotayr
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Yani hii dunia hatuji kuhifahamu mpaka unaenda kaburini
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Fafanua vzr au unataka kusema kakosea kuwaanika
@nooor11203 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 kumbe kamuanika mtu? Tujuzeni
@pilimusa77703 жыл бұрын
Wa kwanzaa🎉🎉🎈🎈🎈🎈🎊🎉🎈🎈
@aishaally88113 жыл бұрын
💯💯❣❣
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
natumaini hii sio wizi ya number
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongera wngu😘😘😘😘😘😘😘
@credo78373 жыл бұрын
Duuh kumbe
@Teacher_013 жыл бұрын
Hongera my love.. ❤️❤️❤️
@godelivamuswahili29883 жыл бұрын
Uchawi ni kazi jamani 😭😰👿🙆♀️
@salumsamesame17413 жыл бұрын
Pole sana
@joivon3038 Жыл бұрын
Hii story nilickikiziza Safina radio Arusha kipindi cha safar y mshindi
@kyangwechoma61123 жыл бұрын
naomba umuulize kipindi alikuwa anafanya hvy alikuwa anakaa na familia yake au aliondoka akaenda kuishi na yule mwalim
@scholamwasi27823 жыл бұрын
Iyo nilugha gani inayo pita apo kwenye mtu makini
@mariuskokolulema22993 жыл бұрын
Wa tatu ✌️
@lilhydon45211 ай бұрын
Siri ni Yesu
@godfreyramadhani6503 жыл бұрын
Mtu makini huyu jamaa anajua Hadi kujielezea yupo vzr mme fanya Kama unarudha vi tatu au viwili Maana kinaeleweka kinoma
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Nakwambia ako vizuri sana Mussa anafaa amuige
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Km mzee wa bakora
@credo78373 жыл бұрын
Saf sana nakubali sana hii story ndio naielew 🙏🙏
@tracyirene89173 жыл бұрын
Eti 🤔🤔😂😂👍
@credo78373 жыл бұрын
@@tracyirene8917 eeee sanaa 😂
@credo78373 жыл бұрын
@@tracyirene8917 nipee no yako bc ya whatsapp
@tracyirene89173 жыл бұрын
@@credo7837 Wee Mkorofi bado haujalala 🤔🤔🤣?? Bado upo Mtandaoni??🤔🤣🤣
@credo78373 жыл бұрын
@@tracyirene8917 nilikuwepo eenikalala🤣🤣
@shizaarfred40593 жыл бұрын
Nipale uko bise na kupambana na maisha Kumbe kunawatu wanakuchabo tu ndomana tunafeli kwenye maisha maan kila unacho panga kufanya wenzio washajua unacho kifanya
@berthamghanga10933 жыл бұрын
Kabisa,inakera kweli.
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaa
@mariamm27243 жыл бұрын
Kwa kweli mimi siwapendi wachawi jmn
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Yani Hawa wanaweza kuchabo hata ukiwa na mkeo mnajigiji wanawachora tu dah
@marthamaligo4583 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@joycesycherlwy38353 жыл бұрын
Yaani nilikuwa nangoja utafikiri doze
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
mbona mimi sauti hamna?
@joycesycherlwy38353 жыл бұрын
My number 1 kenya iyooo
@credo78373 жыл бұрын
Wakenya bhn
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Together
@hillarykirui42573 жыл бұрын
Pamoja
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Jaman msitusimulie bana nyamazeni tu kama mshaiona ni nyie sasa ila Sisi bado
@deelissa27463 жыл бұрын
Umeona eeeh watu wanahaha jmn 😂 et kashawai kuisimulia hii sehem sa utapt wap ambayo mtu hajawai kusimulia sehem 😜
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
@@deelissa2746 😂😂😂😂😂❤🇹🇿
@hadijashabani8903 жыл бұрын
Hayahaya chai tayali sio
@Ommylayzah_tz3 жыл бұрын
Hakuna tochii 😂😂
@MishiPapalan3 жыл бұрын
🙂🙂🙂🙂😎
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
Jameni Wa Kwanza ❤️❤️❤️
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Ongera yako sana
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 Shukran ❤️
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Hongera
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 Asante 💃❤️
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera❤🤝❤❤
@dhayondrama99073 жыл бұрын
Endelea kutudanganyaa
@obillaezra62053 жыл бұрын
Ila hii story ni repeated ilishawahi kuhadithiwa Sehemu humuhumu U tube, kuna Sehemu atahadithia watakutana Kinondoni, baadae watapewa Masaa kufika cjui Misri au wapi, alitumia Fimbo, ila Mwishoe ataishia Baharini na itakuwa Mwisho wake na kuokoka”
@deelissa27463 жыл бұрын
Ht mussa chessa alishawai kusimulia ya kwake ,Kuna wengine hatujawai kuskiliz hii ndio tumept fursa sa HV alishawai kusimulia promover tv
@barackabaracka78543 жыл бұрын
Huyu shehe alivyo okoka aliokoka kwa gwajima ns vitu anavyo simuliya hapo aliviongea vyote hivyo
@nooor11203 жыл бұрын
Ulikaa masaa mangapi kumsikiliza story yake?wee nomaa
@54plus41 Жыл бұрын
Waislamu hawaongei manake wakifungua mdomo tu pengine waseme huu ni uongo.
@MimiMuislam Жыл бұрын
Toa ushahidi wa andiko lolote kama ushahidi wa unachokisema ili tuamini ? Andiko linalosema uislam unaruhusu uchawi ?
@54plus41 Жыл бұрын
kwani wewe mgeni kwa uislamu ama vipi?Nimekaa middle east miaka 12 nikiwa askali so najua mengi sana kuhusu dini.kwa ukristo majini ni roho chafu nakazi yake nikusubua binadamu hadi mwisho.kwa uislamu majini ata hupenda sana kuran .i have two verses from your book. And I (Allah) created not the jinn and humans, except that they should worship Me (Alone). [al-Dhariyat 51:56]. O assembly of jinn and mankind! Did there not come to you messengers from amongst you, reciting unto you My Verses? [al-An'am 6:130]. kama mtu ana believe such verses,bona asitumie hizo roho basi?
@matridalule64773 жыл бұрын
Uchawi dah
@costavalenci76993 жыл бұрын
.muulize aliamka akajikuta yupo kwa huyo mwalimu alirudi vipi?
@ryhislamminamuonamsengetu91113 жыл бұрын
😋🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Kupunguxiwa umri tena mmmm
@karrolleschon39863 жыл бұрын
🙄🙄🙄🇰🇪
@jannyrose53673 жыл бұрын
Oh, My God, kwani hii Dini na majini kuna uhusiano gani????nimeogopa mno🤔🤔
@nooor11203 жыл бұрын
Bora pia waulize wachungaji kule kanisani inahusianaje na nguvu za kiza hata wapate wafuasi wengi?
@hancymachibbula43553 жыл бұрын
Kuna watu walishaifungua dunia wakatoka inje
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Khaaaaaaah je ungetamani naww utoke
@violinenyakara50283 жыл бұрын
Kuna mambo mengi hasemi
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
Njoeni huku shoga zangu
@pilimusa77703 жыл бұрын
Tushafika. Asante kipenzi❤❤❤❤😘😘
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
@@pilimusa7770 mekununia leo me hujaniita😠😠😠
@cyantess84233 жыл бұрын
wa mombasa mpo? acha nivute kiti nasufria sitoki hapa n´goo
@Glassskin_co.3 жыл бұрын
Tupooo🤣🤣🤣
@aishaally88113 жыл бұрын
Sema huyu jamaa haadisii uhusika kweny utoto anaadisia kwa kutumia akili za ukumbwani na sio za kile kipindi kile
@judydota42423 жыл бұрын
Why he didn't use past tense not present tense because he has moved from there its hard to understand him davista kama kuna mwenye ako hii tatiso reply hi 😊
@biddeux99672 жыл бұрын
Unatombwa
@straightkonect16133 жыл бұрын
DavistA funguka za Apostle tupe sauti
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
wacha kurusha mawe police😁
@straightkonect16133 жыл бұрын
@@moreenmbatha1147 😂😂Davistar alimpa watu sana hata naona pia yeye ameanza story😂
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
@@straightkonect1613 😂😂😂😂😂 ali delete hiyo sauti
@straightkonect16133 жыл бұрын
@@moreenmbatha1147 na ndio nilikua niiskize ulipata nafasi kuiskiza?
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
@@straightkonect1613 ongea pole pole😂😂😂😂😂 tulisikiza kabla a delete
@salumulesso63553 жыл бұрын
Wahisha kutupia bro Davista,huwa tunasubir kw hamu sana kaka!!
Umenifanya nijiulize kitu gani nakumbuka wakati wa miaka 6, lkn nimekumbuka vitu vingi, sahabu nilikuwa darasa LA kwanza, naona kama hadanganyi
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
Wallah umefanya nicheke hadi mbavu kuniuma khaa jaman ss sikichawi jaman ndomana anakumbuka uwiii HAJI WEEE
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
@@kingofx2161 mbona hata mie nakumbuka mengi tu mengine 😊😁
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
Lakini nahisi bado Ana mambo ya ki uchawi chawi🤣🤣🤣
@khammykisenga13643 жыл бұрын
Hakuna tochi
@lizzybeth63443 жыл бұрын
Nimechelewa kishenzi ila sio mbaya nimesoma coment
@credo78373 жыл бұрын
Hongeraa
@lizzybeth63443 жыл бұрын
@@credo7837 Asante
@credo78373 жыл бұрын
@@lizzybeth6344 pamoj
@tututz1003 жыл бұрын
Mashallah
@Fm-MornStar20143 жыл бұрын
Hapo ulikuwa unasafiri kwa "the speed of light" mzee, yaani c=νλ! 🤔 Wazungu wakikuckia watakutafuta fasta maana hadi leo wanatafuta njia raisi ya kufika Sayari za mbali.
@kithia1003 жыл бұрын
Kenya hio uchawi amna ata ukifuatilia huyo wa mombasa mzizi tu niwakutoka tanga
@nooor11203 жыл бұрын
Subuutuuu Kuna sehem hakuna uchawi?jidanganye hivyohivyo
@tracyirene89173 жыл бұрын
Nipo Weekendi 👍
@credo78373 жыл бұрын
Nashem au
@credo78373 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@tracyirene89173 жыл бұрын
@@credo7837 Nashem hamna 🤣Nipo Tuu Mvua ndio Mingi Huku 👍
@credo78373 жыл бұрын
@@tracyirene8917 🤣🤣🤣🤣🤣
@amanisanga58663 жыл бұрын
mambo
@zeboytv70433 жыл бұрын
Xuy
@fatmamucha44193 жыл бұрын
WA mwisho
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pole
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Pole my
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
pill musa nakuita
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@florencerose8593 жыл бұрын
Makumbwua haya dini na majini wameka darasa moja
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hatari kweli.
@matukicmagere33313 жыл бұрын
Sambamba
@ryhislamminamuonamsengetu91113 жыл бұрын
Wakwanz
@mouwanahamisi82163 жыл бұрын
Watu wanalala umuumu🙄
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Huyu jamaa naona kama kafanana na stamina vile au ndugu yake🙏😳
@nurafedrick3783 жыл бұрын
😄😄😄😄😄mybe mdogo wake
@stellamtanku95093 жыл бұрын
Kafanana na wiliam ngazija ripota wa itv
@nurafedrick3783 жыл бұрын
@@stellamtanku9509 😄😄😄😄
@benomwazembe47653 жыл бұрын
Stamina, yec
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Kabsa
@obillaezra62053 жыл бұрын
Toa nyingi nyingi”
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Hapa waislam nawataka wajkague wajipate jamn maana sio mtu wa Kwanza huyu Sasa waislam mpooooooooooo na upotevu wenu huu
@nooor11203 жыл бұрын
Gosbert kaka yangu majini sio ya waislam ila majini ya kila kabila kwani huko makanisani unawazungumziaje wachungaji wanaotumia majini ? Yote yameletwa humu kuhusu wachungaji kwahio tuheshimiane dini zetu.uislam haukufundisha tuabudu majini soma quraan yote uone km tumefundishwa uchawi bali umekatazwa.kwahio mtu akiwa mchawi mhukumu huyo mtu usihukumu uislam. Rudi story za nyuma uone nguvu za kiza za kanisani ingawa davi hazileti sikuhizi timemshtukia.
@MimiMuislam Жыл бұрын
Waislam tupooooo naomba unipe ushahidi wa andiko kwenye kitabu chako linalo kwambia waislam ni wapotevu ? Acha kutumia akili zako ikiwa hata dini yako hauijui
@devmwalabu31933 жыл бұрын
Bonge la story
@aishaally88113 жыл бұрын
Wa pil 2
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera🎈🎈🎉🎉🎉🎉🎈🎈🎈🎈❤❤
@aishaally88113 жыл бұрын
@@pilimusa7770 ❣❣❣❣achante kipenzi
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@aishaally8811 🤝❤❤❤❤😍😍😍😘😘😘
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongera wngu😘😘😘😘😘
@aishaally88113 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 asante kipenzi 🥰🥰 tupo tunaelekea visiwa vya kamron