Zabroni ni jamaa mzuri sana. He's giving it all bila walakin wowote.
@saidhomie33683 жыл бұрын
Kweli kabisa, Zabron he is a reall Gentleman, he got great sense of humor, lazima nimpogeze Kwa kumbukumbu zake, Maashallah yupo vizuri, na Kiswahili chake fasaha kabisa, big up Zabron .
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
Yaan zabron akicheka tu nami najikuta nacheka 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁all in all pole sana ka zabron umepitia mambo mengi magumu kweli
@maryamumapenzi12573 жыл бұрын
Huyo marasta tunahitaji kumuona plz
@evelyneakech26773 жыл бұрын
DAVISTAR STORY TAMU MPAKA UTAKI IKUPITE
@karimlubunga61763 жыл бұрын
Ndugu weye umeipata aje iyo conty mpiya
@credo78373 жыл бұрын
Ww pia utaki ikupite
@karimlubunga61763 жыл бұрын
Kabisa
@abushaddad9893 жыл бұрын
Hii channel safi ,ila tuache tamaa na maisha ya watu matajir.
@malimathegreattv92513 жыл бұрын
Aisee Leo umemchelewesha kweli bwana misosi
@euniceeunice76803 жыл бұрын
Zabroni soma bible..mtu akifa lake limekufa..mizimu ni majini wanao kaa kaburini wanacho fanya kudanganya watu tuuu alie kufa awezi kuludi na awezi kukusaidia bali ni shetani anadanganya watu..wasabato wapo sahihi maana wanaamini bible tuu..mtu akifa awezi tambua chochote yan kama kuku anavyo kufa unabaki mzoga..
@joycekelvin54343 жыл бұрын
Zabron ni msabato lkn anatuangusha wasabato wenzako bhan, mtu akifa bc akuna anachojua tena ktk Dunia hii na kila kitu chake kimeishia hapo
@aliakojah3 жыл бұрын
Zablon amenirudisha kwa Mj thriller ndio nikaja kumalizia story. Doh ni noma sana
@angelokihaka72163 жыл бұрын
Hiyo story Mpk 2021 tupo nayo
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Hahaha bwana misosi shem wangu zabroni ww shujaa mungu akubariki sana inshaallah
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
mzee wa sosi 😁😁😁😁😁
@eshalibaba11953 жыл бұрын
Wallah devi mchezoo uliofanya leo usirudie tena bhana
@dotosalim50903 жыл бұрын
😄😄😄
@dotosalim50903 жыл бұрын
Umeonaee ata mm kanikeraa
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
@@dotosalim5090 basi msamee buree atorudia tena
@eshalibaba11953 жыл бұрын
@@dotosalim5090 😂😂😂Yani leo mpaka chooni nilikua naenda na cm
@mkuluwaukae22213 жыл бұрын
Ukiona mwanamke anamuomba zablon namba za ostaz marasta bhas ujue mme wake kwisha habari yake😂😂😂😂
@monicasimpilu62573 жыл бұрын
Duuh Mr Misosi poleni kwa uchovu . Very nice story keep it up.
@SaimonRevocatusmlay-sg9fz Жыл бұрын
Nimejifuza sana maisha juu yako
@latifahjanja66793 жыл бұрын
Leo umetulisha matango poli mungu anaroho sana tangu lini wakati kaumba viumbe vyote vilivyopo dunian af yeye awe ana roho saba hii HAPANA af roho zake mungu zifanane na shetani hapana bhna ngoja tuendelee kuskiliza tuu kama story
@kenyatuktuk28533 жыл бұрын
Hizo story za msosi ni mhimu.
@systemnatubukwajinalababam89763 жыл бұрын
Hapo Sawa mzee baba. Hili simlio lime nieka kiwewe. Siku ikipita bilakumona mzee baba. Nahuzunika Sana. Sumulio zuri sana
@babymkuya3593 жыл бұрын
Hii imeanzia palepale ilipoishia 42 mwanzo ilianza kati yani hta sikuelewa hapo sasa🔥🔥🔥
@zettyhassani22443 жыл бұрын
Wapiga ngoma mpooo😃😃
@ericklukumay17773 жыл бұрын
Marasta yuko vzr sana mpka leo nimewakuta watasha kwa marasta
@ziadameta87023 жыл бұрын
Wa kwanza
@tracyirene89173 жыл бұрын
Nafuatilia Mr.facts mtu makini!! 👍👍
@vellarose25963 жыл бұрын
Nimefika watu wetu kama Kawa 💃💃💃
@babyboss28863 жыл бұрын
Jameni Leo nmeteseka mno DM ulifua Ile upload mchana 🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@nurafedrick3783 жыл бұрын
😄😄😂😂🤣🤣🤣🤣alitumia foma mm sikuangalia
@credo78373 жыл бұрын
Hahah
@innocentrichard29453 жыл бұрын
Monica..!?🤨🤨
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Zabron mdogo wangu Mungu ni mmoja tu ! Hakuna Mungu wa bahari wala Mungu wa Ziwa. Ule wimbo wa Thriller wa Michael Jackson wale ni watu wa kweli walio jipaka make up ndio wakafanana vile lakini sio watu wa ukweli kama unavyo sema wewe. Tangu Dunia iumbwe majira ya kubadilika yalishapangwa na Mungu na hakuna mtu yoyote anae weza kubadilisha.
@wazomyakinifu23013 жыл бұрын
Umefanya vizuri DM maana mliporusha ile nyingine kwa kweli ilikosa muunganiko. Sasa iko vizuri. Ikitoka hii ndiyo ifuate ile nyingine
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
Ilifutwa mida ileile hata sikuifungua
@wazomyakinifu23013 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 Pole. Walau niliweza kuiona yote. Nikaipenda lakini kipande hiki cha Sasa uliweza kuonja kuwa kimerukwa. Lakini nadhani Sasa atakileta hicho alichokiweka kimakosa
@davidkizito69003 жыл бұрын
Zabron kidogo uniuwe na "sirira" nisingekua naujua huo wimbo wa mj uitwao thriller tayari ungekua umenipoteza. Duh
@wildatmsellem75313 жыл бұрын
Hahahaha katupoteza wengi
@pilimusa77703 жыл бұрын
Ayshaaaa. Aishaaaa. Sea air . Aiyam njooni Davistar uwanjaniii
Davista unatucheweshea uhondo wa story, unachelewa Sana ku upload... Ila Ongera kwa kazi nzuri.
@aishahemedi78693 жыл бұрын
Tuma ingine kaka jamani ni tamu sana jamani 😂🤣
@francisgaudence5113 жыл бұрын
Unafanya kaz ya utume devista mungu akubariki sana
@josephineasiza78883 жыл бұрын
Nimengoja sana
@abbyadams86913 жыл бұрын
Ni rahisi sana mtu kufuata na kutii masharti ya mganga, lakini ni ngumu sana mtu kutii masharti ya Biblia.
@joycekelvin54343 жыл бұрын
Si unajua mganga anaonekan lkn Mungu aonekani ndugu
@deelissa27463 жыл бұрын
@@joycekelvin5434 😂😂😂we mtu
@joycekelvin54343 жыл бұрын
@@deelissa2746 ndio ukweli huyu zabron atufany ss atujasom biblia
@dotosalim50903 жыл бұрын
Apo sawa asante
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Usicheleweshe ivi unatukeraaaaaa
@jangombeboys45363 жыл бұрын
insha'Allah
@shaniashani50323 жыл бұрын
Kama vipi tuongeze kidogo Leo davist Mashabiki wako😄
@suleymanally47293 жыл бұрын
Hay pili na bint alrashd🏃🏃🏃
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Nimefika
@pilimusa77703 жыл бұрын
Nimefika kaka
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hey UAE
@saidhomie33683 жыл бұрын
Davister na wewe unapenda misosi Zabron akiongelea machopo chopo ma mazagazaga yote meno yako tunayaona, asanteni sana, Kwa Hadithi ya kutusisimua sisi huku Denmark
Kwa kuwa inayofuata tushaangalia tunaomba mwendelezo wa ep ya 45, msije mkatuwekea tuliyoangalia Jana kwa kuwa hii mliiluka.
@rappertinno41843 жыл бұрын
Wanji wanji 2nasololea mastory
@just_this_way3 жыл бұрын
Hapo kwenye roho za Mungu na Shetani mmhh. Ni Uongo mtupu.
@reubenlameck62253 жыл бұрын
Mungu yupo 🙏
@jamesngalijah37103 жыл бұрын
Mbuzi muhimu kweli mzee babaa
@kenyatuktuk28533 жыл бұрын
Mzuri sana
@mercikatate90333 жыл бұрын
Tulisubiri Sana brother
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
safiii kwa marasta
@bingwa40393 жыл бұрын
Mtu makin mr fact pomoja na chief nawakubali sana
@pilimusa77703 жыл бұрын
Chief Gikalo
@mercikatate90333 жыл бұрын
🇨🇩 Nakukubali Sana kk ila tunasubiri ingine yakufatiya
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
Davistar leo kulikoni niliona part43 alafu baadae ikawa imefutwa..Shukrani 🙏🙏🥰
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Nilijua simu yangu ndio nimescroow vibaya hivyo ikapitiliza juu ya screen ya simu nusu niende kwafundi afungue simu aitafute hii Part 43 mpaka castomer service wa Voda nimewapigia TCRA nao wakasema subiria taarifa zako zina shughulikiwa, Kumbe DM aliitoa🤣🤣🤣🤣😂😂😂😅Duu nimeteseka sana kwakweli
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
X
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈 ww kiboko jmn hadi kwa fundii?
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 😂😂😂😂😂😂😂😂
@salmajumanne89143 жыл бұрын
Waishlini na tano
@OmanCom-ky8tn3 жыл бұрын
Nilisikiliza 43 mwanzo ckuielewa lakini sasahivi ndy naielewa
@nurudaud39932 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mbuzi muhimu bhna brother 😂😂😂😂😂😂 daaa 😊😊😊story inaleta utamu 😮
@didasrichard30683 жыл бұрын
Dope
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Jamaa Leo alionja kidogo
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
punguza background music kiasi
@laurarose15213 жыл бұрын
Kwanza story nzr sana...naomba number ya huyo marastar
@ndonyekavinga28763 жыл бұрын
Niliisubiri sana
@mohammedmhina39733 жыл бұрын
Kicheko ch zabrob🙌🏾🤣
@evelyneakech26773 жыл бұрын
Leo ntalala na viatu no 12💃💃💃💃
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo
@rehemambito79893 жыл бұрын
👏👏👏
@suzankitomary28233 жыл бұрын
Dah!!! Mb zangu jmn umejua kunikomesha na hii story yani online stoki ili stori isinipite
@mercikatate90333 жыл бұрын
Tuma ingine kaka
@aliaalooya38963 жыл бұрын
Mungu wangu leo sizani kama nitalala
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
Pili n aysha njoen vipenzi kitu no 43 tayar davista big up broo
@pilimusa77703 жыл бұрын
Asante ndiyo nimefika
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
@@pilimusa7770 aya mama twende 44
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@aiyamhassan1321 asante kipenzi changu Ndiyo nimefika.
@aiyamhassan13213 жыл бұрын
@@pilimusa7770 aya habibty
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Nshafka shkuran 😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@nancychissamo3793 жыл бұрын
Yeeeeeeeh🤩🤩🤩
@herenagetema39203 жыл бұрын
Davstar mwambie zabron utupatie namba za ostaz malasta.pis
@deusdeodavid53603 жыл бұрын
Ipo ya mti mkavu
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Duu nimesogelea 20 bora sema sikuatukia kuangalia simu nilikua kwenye bodaboda
@elizabethhonere29313 жыл бұрын
Mpaka kufika hapa bwana Zabron humtaki Mungu jamani we na waganga tu? Rudi kwa Mungu tafadhali
@lutmohamad1903 жыл бұрын
Sirira duh 🤣🤣oyaa thriller ila sawa tu
@mwitawakimara36493 жыл бұрын
Brothers leo umetuweza umetuchelewesha
@suleymanally47293 жыл бұрын
Mr mapenz na Mr mapenzi
@fadhiliswalehe92863 жыл бұрын
Davista:Uliona kitu au kawaida makaburini Zabron:Ndo tunaenda huko
@remigjohn48433 жыл бұрын
Kama vile mliruka hiki kipande
@Fm-MornStar20143 жыл бұрын
Kupiga/kugonga msosi kutamu jmni!🍠🍝🍛🍚 Dah! 😋😋😋😋
@shiaochang13353 жыл бұрын
Jamaa kashakuelewa uyo mzee davista hhhhhh
@ahmedkandoro95943 жыл бұрын
Jamaa Muongo Sana , kuna mambo anadanganya Live . Anakuja kuharibu story mwishoni kabisa . Asiongope Sana .
@neemadamian56383 жыл бұрын
Kwani wewe unamjua zaidi anavyojijua acha ujuaji wewe au simulia hadithi yako
@kheryartist53223 жыл бұрын
Talaaaaa 💥😁
@nurdintembo74803 жыл бұрын
Leo mkuu ulichoka nini pole sana
@hildaernest10903 жыл бұрын
Dav this is not fair yoo,,muda mrefu hutupi raha
@angelokihaka72163 жыл бұрын
Alie Dislike huyo ametoka #Gambushi nn
@azizamohd57283 жыл бұрын
😁😁😁
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@asiasalim46343 жыл бұрын
Nilishangaa kama niliona umeposti then sijaona au nilikua naota😂eti alie dis like katoka gamboshi🤣🤣🤣
@florencerose8593 жыл бұрын
Davita niko hapa
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Hii story kilasiiu inazidi kuwa nzuri kisha fupi
@laurianitemba33353 жыл бұрын
Tuwaishie 44 maana umetuchelewesha sana leo mkuu
@rasjamal98543 жыл бұрын
Nimesha kuelewa mimi sifiki huko 😁😁😁 naona Davistar Mata una mchokoza Chifu Zabron yani mpk rahaa
@pili37503 жыл бұрын
Ndo nini leo kututesa hivi @davistamata 😁😁😁
@wildatmsellem75313 жыл бұрын
Mambo mengine unatudanganya zabroni ss unaharibu
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
Daah!!! Msosi NI MUHIMU Bhn HAO wanaomungelea kwenye misosi kwani wanaishije!!!!!!!✨👓 Kula muhimu Bhn!!
@estawilison13723 жыл бұрын
Ila unapenda waganga kwanin usijue yote hayo ni mungu alikua anakutafta
@josephineasiza78883 жыл бұрын
Isey umeona mambo mungubyuko nawe
@mercykileo52303 жыл бұрын
Machelewasha Sana sio poa kabisa
@cosmaslagat50233 жыл бұрын
Hapo sasa
@mohammedmhina39733 жыл бұрын
Story mwisho ep ya ngap
@theunseen.believe56723 жыл бұрын
Davista leo hujatutendea haki,ungetupa episodes mbili ili tufidie ya mchana ila sawa tu,itabidi tusubiri 🤔🤔