Afadhali umetuletea Mapema anaempenda Davistar na Zabron gonga like hapa 😀😀😀😀
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@sapnaabdallah1084 😍😍😍
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 Mimi namalizia kipande cha asubuhi Mb ziliniishia yaani nikiwa Sina mb nachukia
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@sapnaabdallah1084 uxijar karibun tutaeka Net🤗
@sarahloveyouolivermtukidzi67043 жыл бұрын
Leo nami nimewahi nipeni like jamani nione inakuaje
@alitoufik54773 жыл бұрын
Sawa Sara umejitahidi
@lulubintrashid19033 жыл бұрын
Pole kwa kusumbuliwa na sauti kipenzi chetu
@mursallusinde91893 жыл бұрын
Jamaa hachoshi yaan dah amepambana si mchezo na hii stori ina funzo kubwa sna tena sna ktk maisha hasa ktk suala la upambanaji wa kutfta maisha hakuna kukata tamaaa kma una pumua ni mapambano kupanda kushuka ni sehem ya maisha hakika ukifatilia kwa makini lazma utpata kitu kipya ktk maisha
@KariukiRoysambu3 жыл бұрын
Pole kwa sauti Zabron, kuongea vile unaongea kila siku kwa interview sio mchezo....mimi nakuelewa kaka
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Ndio
@cecycecy36103 жыл бұрын
mchangieni davstar ela xa bando sasa sio kulalamika tu anachelewabkuwekaa dav promo hyo. upate na enegry drink usichoke zaid jamni weka namba watu mumpe moyo na yeye davistar mchango azid kutupa vitu vizur kwa muda muafaka
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Huyo baba pia nishetani unazulumu mkeo hadi kumpiga 😢😢😢😢
@liliankemuma94753 жыл бұрын
Story nzuri Sana ulikuwa na bidii na buhemba migodini napafahamu
Bado nafwatilia story hii,very interesting and real,Zabloni umepitia mazito😢😢🇰🇪
@Mazoea3 жыл бұрын
Davistar why unaishiaga kwenye utamu....anyway asante kwa kutuwekea back to back .storry nzuri sana.....tunasubiri 37 usiku huu
@neemaomar763 жыл бұрын
Mimi huwa ht sipendi huyu Davi akinyanyuka nyanyuka jmn 😒
@abbyadams86913 жыл бұрын
Wanawake buana! Kazi ipo
@rahemahassan30153 жыл бұрын
😂Jaman hata choon asiende
@mamskiumbe40573 жыл бұрын
Duu kwann upend
@bragajohn89443 жыл бұрын
Pole 😁😁😍
@floramwanuke9613 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 asiende at kukojoa
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Barikiwa sana, pili Musa kuja sasa 💃
@pilimusa77703 жыл бұрын
Ndiyo nimefika my. Asante
@somoeawadh77743 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Ok sweetheart
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
@jongoathumani36903 жыл бұрын
Kuwapenda tuu ndo najuaga
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@jongoathumani3690 pamoja
@jonasynyasika63913 жыл бұрын
Zabron anasema akiteswa akafikia hatua ya kulia basi Mvua kubwa na maafa fulani yanatokea.sasa mbona alipoteswa kule gerezani(garage) akalia sana mpaka akawa hawezi kuongea,Mbona Mvua haikunyesha.
@griezmannmhalaka43383 жыл бұрын
Mizimu iliogopa na yenyewe
@roseuwambe80893 жыл бұрын
🤣🤣🤣😅😅😅😅🙈🙈
@michaeleustarch32363 жыл бұрын
Mizimu ilikimbia
@salumjabuonlinetv2093 жыл бұрын
Davistar unachelewa kuweka
@stivenmgonja59083 жыл бұрын
Pamoja kaka
@vailetimassoro20423 жыл бұрын
Pole sana kaka zabroni kwa matatizi uliyoyapitia
@tracyirene89173 жыл бұрын
👍👍Duh !!!
@euniceeunice76803 жыл бұрын
Iyo sm ndio sm yangu ya kwanza ya kutumia internet mwaka 2006...Motorola' bapa...na nikaibiwa mweee😂😂😂😂😂
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
😅😅😅😅😅pole
@euniceeunice76803 жыл бұрын
@@kawtharsaleh9229 bhana 2003 ndo nimeanza tumia sm ya Motorola ile ndogo yenye mwanga wa blue nikaja tumia Nokia ya toch then Motorola bapa 2006 iyo
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Pole mimi wetuuuuuu mpenzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
Daaah!!!!!!!! Hapo kwenye misosi jamaa anapasifia saanaa kweli 😝😝😝😀🤔🤣
@neemaomar763 жыл бұрын
22 seconds weuwee 👌
@roseuwambe80893 жыл бұрын
Pole zabron sauti imekauka
@victoriakyara80003 жыл бұрын
Hiyo sauti saga tangawizi mbichi changanya na asali lamba kutwa mara 3
@angeljasson43763 жыл бұрын
Nimeidaka juu kwa juu
@ruthkwamboka90823 жыл бұрын
Watu wako active sana
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
safii
@theunseen.believe56723 жыл бұрын
Kila mazito mungu alikuwa anakushushia neema zake,
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaaa
@gaomariwa76373 жыл бұрын
Dah
@aimeelacongolaise58813 жыл бұрын
Yaani hatusii waame zetu, bro unatisha
@sheikhaalmandhari1253 жыл бұрын
🙉nasikiliza kwa makini
@michaeleustarch32363 жыл бұрын
Hhhhhh app amemtaja mtu kma namuona Mr korosho kwa mbaliii
@thegreat.98693 жыл бұрын
Daah. Nakumbuka kasim kangu ka L7 daaah
@angelmlay41733 жыл бұрын
Leo mapemaaazu😂😂
@flubtv3 жыл бұрын
Twende kazi
@didasrichard30683 жыл бұрын
Dope
@angelmilele47303 жыл бұрын
Ushuzi 😁😁
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
hapo sawa
@rastamabuki1853 жыл бұрын
Kwenye kukazia kazia broo umenena kabisa
@evachuwa38093 жыл бұрын
Zablon umenifanya nikakufuatilia ? Asante
@sheikhaalmandhari1253 жыл бұрын
💃
@griezmannmhalaka43383 жыл бұрын
Kwenye nyama za 50,000. Davista anatamani angekuepo
@roseuwambe80893 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@vellarose25963 жыл бұрын
Nime come oooh
@aminsalimali7933 жыл бұрын
UBARIKIWE DAVISTAR MATA
@halimaaa38603 жыл бұрын
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@mashamramba34613 жыл бұрын
Kkkkkkkkkkk !!! Hii part ipo juu
@nolascochaule93423 жыл бұрын
Davister hebu jaribu kuitangaza chaneli yake vizuri ngumu kuipata
@wailosvijevania10493 жыл бұрын
Chanel ya jamaa imeandikwa mollywood ila ina subscribers wachache kinoma
@jangombeboys45363 жыл бұрын
Mungu atuongoze ktk haki
@sapnaabdallah10843 жыл бұрын
Leo umezungumza LA maana Amiin atupe na mwisho mwema
@faustinaalukungu85113 жыл бұрын
🙏
@shakiraabbas75383 жыл бұрын
🙋
@nurdinmustafamohamed91683 жыл бұрын
Dav usitoketoke bhana mi spend
@beatricechristopher73713 жыл бұрын
Mambo hayo!!watu hatulali mambo ya notification on...twenzetu kaka zabron
Kumbe baba nae ni mchawi Kama mamake alie kuharibu doh pole sana
@wantangosaimon52953 жыл бұрын
Eti unapigiwa cm na videm kichwa kinavimba Mwisho Wa siku unamkuta kapauka hahahaaaa
@michaeleustarch32363 жыл бұрын
Naona Kuna mtu amalengwa hapo namuona korosho kwa mbaliii
@wantangosaimon52953 жыл бұрын
Nilisoma na jamaa yangu mmoja alienda huko mgodin mwezi tu kapiga million 10 aaah alipiga mupe muluke kama yote Mwisho Wa siku anakata kuni duh mgodin bna
@noshadmadini57683 жыл бұрын
Kwenye sekta ya misosi tu upo vzur
@jeaninemugisha63953 жыл бұрын
Nimewahi aki
@shifamakame46223 жыл бұрын
Mbona bado mdogo zabro
@beatricekweka66833 жыл бұрын
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@fahamnitwahir92493 жыл бұрын
Huyu muhuni anapenda uhb kinoma 😂😂
@azizamohd57283 жыл бұрын
Tuko pamoja davista
@fadhilngimilanga18283 жыл бұрын
Mgodini hapa patamu balaa!
@suleymanally47293 жыл бұрын
Bint all raashid kipenz njooo jamaa wanakuach huku safar inaanz. Bi fetty wa musqat naw sjakusahau😂😂😂😂😂