PART27:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 13,263

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 239
@theunseen.believe5672
@theunseen.believe5672 3 жыл бұрын
😀😀itabidi zablon acheze filamu ya hicho kitabu,watu wataipenda sana 🙆
@kusahbrown436
@kusahbrown436 3 жыл бұрын
Zablon naomba siku moja nikae chini na wewe shabika toka Kenya like itapendeza nikipata
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
😂🤝🤝🤝🤝🤝
@carolinewanjeri9916
@carolinewanjeri9916 3 жыл бұрын
Unite pia
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 3 жыл бұрын
... This manooooo gives me a great lesson of life " don't complain".. "rejoice in Lord".... Love story inanitsekeza sana😂😂😂 uyu binti commando kweli... What a fresh and sincere heart like a child 🤔.. Davista na team yote aksanti na kazi.. Merci beaucoup.. MUNGU ami barikiwe.. 🤔Avoir autant souffert et éclater de rire ? Pas de rancune ? Grande leçon de la vie.. May GOD gives us the grace to be always thankful..
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
We dada sijui mkaka uliecomment ep ya 26 kuwa kinarushwa saa 6 ule nyama choma na soda nakuja kulipa❣️
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Duuh kaka zabroni duuh pole ila nime cheka sana sio utan
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sallo27.70
@sallo27.70 3 жыл бұрын
Ndugu Sasa Unatufurahisha Sana. Nimecheka Sana.
@username-ey8qu
@username-ey8qu 3 жыл бұрын
Mr zabloni hatukuwezi story inazidi kua nzuri , mr davistar hapo sawa unatuwekea simulizi za mafunzo 2ko pamoja .
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 🤣🤣🤣🤣🤣
@kefasoneliakimumkeyembo1804
@kefasoneliakimumkeyembo1804 3 жыл бұрын
Ni zaidi ya Movie!😂😂😂😁 Davistar kwa hii story big up sana.
@oneclick2023
@oneclick2023 3 жыл бұрын
Bwana zabu ,Umenipa plan kuna angel huku anaruka viunzi 😂😂😂.. #Teamzabu#TeamZabuMadiko 🍜🍝 Story hili lifike hadi ep ya 1000
@voodothurday
@voodothurday 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Aya aya
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Hongeraa number one nakuona
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Shukran sana kwa muendelezo
@zulekhamohd9363
@zulekhamohd9363 2 жыл бұрын
Pole sana
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
Duhh!!😊mbona huyu Angel kaitwa Kama Dada yangu🤔 hii stori nzuri kweli pale kwa mapenzi Zabron kasimulia vizuri..😄😄 Mr.facts twangoja muendelezo...
@mussamgonda8953
@mussamgonda8953 3 жыл бұрын
Asante kk kwamwendelezo
@kelvinemiles6995
@kelvinemiles6995 3 жыл бұрын
Tupo pamoja Kaka tunawapenda sana 🔥
@fredysasine5781
@fredysasine5781 3 жыл бұрын
Nimeipenda
@abuu_khaki4120
@abuu_khaki4120 3 жыл бұрын
First liker😂😂😂
@kheryartist5322
@kheryartist5322 3 жыл бұрын
Here! We gooo... thanks brother D-Mata💥✌🏽
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@angelmilele4730
@angelmilele4730 3 жыл бұрын
Skuiyo misosi hakugonga jamani 😁😁😁
@latifajanja2375
@latifajanja2375 3 жыл бұрын
Duuh hii ya leo ni love story 😂😂😂na stering ni chif zabron
@oneclick2023
@oneclick2023 3 жыл бұрын
Haaa kama movie
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Ushaur nibur:davister mwambie jamaa kitabu akifanyie tarjama namanish tafsiri ya kizungu atanikumbuk inshallah km hajafany hvy
@judiehance1736
@judiehance1736 3 жыл бұрын
Yeah,atauza mno ,,
@williumgeofrey9587
@williumgeofrey9587 3 жыл бұрын
Davistaaaaaaar,,, nakukubali mzee baba
@avierastevens5141
@avierastevens5141 3 жыл бұрын
Chief gikarooo yaani nimecheka hatari.
@fredichaki4868
@fredichaki4868 3 жыл бұрын
Nikweli wa Hindi na wa arabu ni wabaguzi Sana warangi na hua wanapenda kuona wao kwa wao
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
Zabuloni unapenda msosi na wanawake , il faut que tu fasses un film romantique et l'autre diabolique.
@victoriamwalonde8626
@victoriamwalonde8626 3 жыл бұрын
Pole sana,sijawahi miss mpaka mwisho
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Jamani hiki kisa nikizuri saana japo kuna sehemu nyengine zinahuzunisha bora iigizwe film nitafrahi zaidi
@jacobmwacha7285
@jacobmwacha7285 3 жыл бұрын
Yani nataman hii story ingewekwa yote tuimaliza davista unasababisha ugomvi kwenye familia
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
zabron kashamaliza story sasa ni mapenzi kwenda mbele😂😃😃😃
@jeaninemugisha6395
@jeaninemugisha6395 3 жыл бұрын
Nimecherewa aki iyi story niyakwanza ninzuri sana
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Duh pole sana mchumba altaka kukutia matatan
@mudulorukuyana3722
@mudulorukuyana3722 3 жыл бұрын
Oya oya nda waendeya kwa muganga mme chukuwa kiti changu adi mme sababisha nime comment number 14 On KZfaq
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Bwana misosi kweli alikataa maziwa🤔🤔🤪🤪🤣🤣🤣🤣🤣
@lulubintrashid1903
@lulubintrashid1903 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣Davy eti jimovie la kihindi🤣🤣
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Mamb
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
asante dav
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
Amkeni 😘😘😘😘kumekuchaaaa
@susannyamwitha1354
@susannyamwitha1354 3 жыл бұрын
Davista story ya zaburon nimeipenda Sana, kama Ile story ya yule mama wa kuzaa na jini,
@allyiddakizimana7103
@allyiddakizimana7103 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💌
@livingwaterchurchmbulukahama
@livingwaterchurchmbulukahama 3 жыл бұрын
Nimecheka sana
@reubenlameck6225
@reubenlameck6225 3 жыл бұрын
Story TAMU sana🙏🔥
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
💪💪
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@salhakhamis4629
@salhakhamis4629 3 жыл бұрын
Zambiro ww mkal sn wa stor yan dah 👏👏👏👏👏🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
mambo yako dav wapenda hiyo sehemu
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
number2
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Kuchelewa nayo♥️♥️♥️🙄
@mwangazakanganga8110
@mwangazakanganga8110 3 жыл бұрын
kumbukumbu yako sio ya dunia hii aisee!
@kevinlembela2455
@kevinlembela2455 3 жыл бұрын
Zabron is very fun haaahaaaa et kitumbo ndiii
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂daaaa aiseeee bro zabu aaaaaah asante mi najitolea kuigiza hii kitabu jamen😂😂😂😂😂can u imagine sema angle bhna alokuwa na roho ngumu😅😅😅
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Hahahah kitumbo ndiiiii.....zabron bhanaaa
@haidahachim4526
@haidahachim4526 3 жыл бұрын
Yan leo mood yang ilikuwa mbay ila kwa story iyi ya zablon inanifurahishaaaa
@rasjamal9854
@rasjamal9854 3 жыл бұрын
Davistar Mata naona una enjoy kumsikiliza Chefu, Baba yake Engel ngoma Nagwa (hii ngozi ya mtume)
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 жыл бұрын
Tuned 🇰🇪
@jacobmwacha7285
@jacobmwacha7285 3 жыл бұрын
Yani inapoishia najiskia vibaya naweza ata leta ugomvi nyumbani bas tu nipate relief maliza i kitu bana
@joycejoseph8863
@joycejoseph8863 3 жыл бұрын
Tunawapenda sana😘😘😘😘😘 watching frm🇰🇪
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@joycejoseph8863
@joycejoseph8863 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 😆😆
@adamnasango1743
@adamnasango1743 3 жыл бұрын
28 please
@bbycandy6757
@bbycandy6757 3 жыл бұрын
Waah kali
@angeljasson4376
@angeljasson4376 3 жыл бұрын
Nimecheka sana dah
@muznahmuznah8601
@muznahmuznah8601 3 жыл бұрын
Mm pia yalinipata hayo mwaka 98 nikiwa binti kuna mkaka wa kirangi alinipenda sana akiniona km kaona almasi anakua na furaha akawaambia kaka zke na shemegi zake alokua anaishi nao kua ananipenda keshanitongoza ctaki na wao wamsaidie waliponambia niliwachamba kua cmpendi hta kumuona duniani alipopewa jibu hilo kumbe cku hio hakulala kwa mawazo asubuh mapema akjitia kitanzi wakat anakoroma shemegi yke akackia akakimbizwa hospital hajitambui na barua aliacha sasa kaka zke wakawatuma wake zao waje kunipa taarifa na natakiwa kituoni, kaka zke na wake zao walishahojiwa na barua waliwapa police wakataka wanione mm ni wa aina gani mpaka yanatoea hayo waliponiona waliangua kicheko kuona ni binti wa miaka 16 tu natetemesha mtu mzima nikawambia police mm cmtaki nasoma darasa la 7 alipotoka hospital alishikiliwa na police kaka zake wakahonga akaachiwa kwa kukubaliana aondolewe karibu na mm anaweza nidhuru akapelekwa ktk meli kwa uangalizi wa police na mm nipo nilimcndikiza.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Oyoooo ulivyo msindikiza ikawaje
@clintontv7024
@clintontv7024 Жыл бұрын
😅😅😅😅 Uyu jamaa kwa totoz
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
dav nawewe utupee historia yako tuone challenges na zabu
@angelokihaka8363
@angelokihaka8363 3 жыл бұрын
😂😂😂
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Daah roba la maaana haaaahaaaahaaaa
@asiaramadhani9212
@asiaramadhani9212 2 жыл бұрын
Dah kuanzia part ya 25 walau tunacheka mana uko nyuma kote tulikua tunadodosha machozi
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Hapo Zabron pazito yani roho inanafasi yake ila pole sana na matatizo uliopitia
@kanyangezafaraniddi6518
@kanyangezafaraniddi6518 3 жыл бұрын
😅😅😅demu unamuita tena dada yng tena? Nimechek saan🇨🇦Davi maswal gani??
@aminabhitalio8143
@aminabhitalio8143 3 жыл бұрын
🤣🤣yni uyu kaka nimejua kucheka leo
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@aminabhitalio8143
@aminabhitalio8143 3 жыл бұрын
🤣🤣kabisa yn
@aliaalooya3896
@aliaalooya3896 3 жыл бұрын
😂😂 Uwiii story tamu Leo
@salhakhamis4629
@salhakhamis4629 3 жыл бұрын
Dah kwel kupenda maradh dah
@ezekiaandrew8420
@ezekiaandrew8420 3 жыл бұрын
Wa 45 leo....nakuwa ktk 50 bora
@rasjamal9854
@rasjamal9854 3 жыл бұрын
Davistar Mata uli nanii? 😁😁😁 Hila chefu ume mpiga kamba Angel ya kunywa sumu
@rashidhemed5738
@rashidhemed5738 3 жыл бұрын
Nasubiria mie
@mwanzandaki786
@mwanzandaki786 3 жыл бұрын
Jamani muwe mnaangalia na Ads zinazopita kwny hii channel ili #Davistar apate hata vihela kidogo🙏
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Hahahaha atoe namba tumchangie jaman hata vibuku buku
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
@@Teacher_01 mmmmh
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 msichanaa anashangaa nyumba classic iko nakila kituu sasa mwaogopana😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄usije ukaopoa jini😄😄😄😄😄😄😄😄😄wazuri hawajazaliwaa bn
@musiclyrics1131
@musiclyrics1131 3 жыл бұрын
Masela muko fasta online ninjaz
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Duh
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kujifanya hautaki maziwa
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
Duh mumewahi
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 3 жыл бұрын
Judy boucher
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 3 жыл бұрын
Hahaha kaka dave eti mlinani
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Picha yakihindi iendelee mwisho mxigo uliwe tuu😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ulilainikaa kiurahisii kweli Mpka sahii sim private xiko ila sanasana huwa nimtu mybe hutaki umjue ndoanatumia hiyo mm kama mm private nb sishikii waezashika ile hallow ukajikuta gambushi😄😄🤣🤣🤣
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂ngozi ya mtume Haha lkn huyo baba alikuambia ukweli naalikuambia kiupole mana mtoto wakiarabu siutauliwaa wewe ☹☹☹☹☹mana warabuni wafrica wanauliwaa kweli kwakunyemelea watoto wao
@kusahbrown436
@kusahbrown436 3 жыл бұрын
Alafu mbona number ya MC denda haifanyi
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Eti upendo wa wahindi 🤣🤣🤣🤣🤣,haya mtoto wa kihiindi amekuponza 😁
@haikaelazakiel9731
@haikaelazakiel9731 3 жыл бұрын
😆 😆 Davistar mwambie zabron na mm naitwa Angel anitafuteee
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
We unasikia alitembea na mtoto bikira nusura aue aafu we unamtaka?🙉😆😆😆Kweli wanawake sugu sana aiseeeee😜😜
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@an6808
@an6808 3 жыл бұрын
Penzi limemsahaulisha kimvuli chake au kashakipata?
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Kwaiyo mwafrica nipunda dooh jaman
@christophersaimon4398
@christophersaimon4398 3 жыл бұрын
wa 4
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Chif wee msanii wa vichekesho@Kenya.
@mudulorukuyana3722
@mudulorukuyana3722 3 жыл бұрын
Amna apo sasa ndo mimi naenda kwa muganga uyo baba awe kipofu asiweze kuona adi aniachiye muzigo kiulaini duuuuh!
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
🙄🙄😜😜😜😜😜😍🤣🤣😱
@susannyamwitha1354
@susannyamwitha1354 3 жыл бұрын
Zaburon nataka kusikia umenda kijijini kuona mama
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Bata kwanzaa
@zennahenry5953
@zennahenry5953 3 жыл бұрын
Picha la kihindi limeanza 🤣
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@aishahassan9812
@aishahassan9812 3 жыл бұрын
Mapenz acha kabisa Yalinitesa sana nusu na robo kufa😭😭😭🤣🤣🤣🤣 yaan mapnz hayana akil sana Ila jins hamna ndo moyo tena bado nina ugonjwa Wang 🤣🤣🤣🤣🤣🏃
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Ilikuwaje leta story
@aishahassan9812
@aishahassan9812 Жыл бұрын
@@highzacknnko9685 😃😃unataka stor
@angeljasson4376
@angeljasson4376 3 жыл бұрын
Et jambazi mkuu anamuua mapema dah uyo mtt wakike nayy alikua mafya😄
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Duuuuh hii kali hahhah
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Unamtia machungu Da vista to hapo
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@mayoota7889
@mayoota7889 3 жыл бұрын
Yani bro kuangaika kote kule unamuacha kiulaini laini tu
@abangaabanga4677
@abangaabanga4677 2 жыл бұрын
Zabron kweli muhuni jamani 🤣🤣🤣
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni comedian
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Acha leo tuinjoy love story tamu ya Kihindi tupumzike kidogo story za wachawi kula nyama za watu, huenda leo nikaota niko na mtoto mzuuuuuri sio kila siku naota nakimbizwa na majitu.😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 🤣🤣🤣Wacha tungoje mwendelezo saa nne
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 eti baba mkwe
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@elizabethleonce1089 😂😂😂😂 nambie makupotea chidada chacha😍😍
@rajabumlaluko2897
@rajabumlaluko2897 3 жыл бұрын
Teh teh.
@obama2211
@obama2211 3 жыл бұрын
Hii ya leo zabron umetuongopea umeongea chumvi sana
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 79 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 74 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
How a sexual assault case unmasked the Malayalam film industry| Dileep
22:21
Dunia Yetu Leo | Agosti 01, 2024 | Asubuhi
7:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 1,1 М.
Wolfram Physics Project Launch
3:50:19
Wolfram
Рет қаралды 1,6 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
0:21
FASH
Рет қаралды 17 МЛН
Мыла наелся
0:21
Pavlov_family_
Рет қаралды 4,4 МЛН
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 1,7 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН