Sheikh Kutoka Burundi Awashushia Nyundo Masheikh Wanaotangaza Pete Za Majini Kuwapotosha Waislam

  Рет қаралды 39,444

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

26 күн бұрын

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM KZfaq @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 profile.php?...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com/creator-center

Пікірлер: 179
@Assiya39
@Assiya39 19 күн бұрын
Barakallahu fiyqih Sheikh shakuru umeongea maneno mazito yenye mazingatio 😊
@Zanha582
@Zanha582 19 күн бұрын
Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka na atusamehe makosa yetu yoote
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 7 күн бұрын
Allahuma amiin thumma amiin
@kisaujibabou9436
@kisaujibabou9436 15 күн бұрын
Burudani nchi nambar moja kwa umaskini nambar moja kwa upendo mansha Allah tunarizika nakila Hali ushirikina upo ila hatuuamini hongera sana sheh wetu Abdul shakur imamu mku mskiti 17 nambar 11 buyenzi anatuhelimishaga kweli kweli Allah atujaaliye tuwe wene kuyafwata nakuyatekeleza
@azamomar9920
@azamomar9920 20 күн бұрын
Allah akuhifadhi shekh akujalie umri mrefu wenye manufaa. Hakika umefikisha
@hassanmchengwa2950
@hassanmchengwa2950 19 күн бұрын
Allahu Akbar, Allah atunusuru inshallah
@user-tt4yv9zl7i
@user-tt4yv9zl7i 21 күн бұрын
Allah akulipe heri sheikh wetu. Kua madha mazuri sana❤❤kaka yangu.Allah atupe muisho muema
@malikmasoud3190
@malikmasoud3190 20 күн бұрын
Sheikh umeongea maneno mazuri sana , ma sha allah
@lilmojr7
@lilmojr7 20 күн бұрын
Allah sheikh akulipe kheri nyingi sana umesema ukweli mashekhe njaa na washirikina wanapotosha sana watu Allah atuongoze
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 18 күн бұрын
maashaallah shekh kemea wazushi hao wanaozuka kila kukicha
@imamumohamedmalina6995
@imamumohamedmalina6995 23 күн бұрын
Allah akulipe kwa elimu hii
@user-um8lt3vx3u
@user-um8lt3vx3u 19 күн бұрын
Masha'Allah Allah akuhifadh na akujalie mwisho mwema inshaaAllah
@RehemaJuma-es4jk
@RehemaJuma-es4jk 4 күн бұрын
Jazakah Allah kher sheikh Allah akuhifadh na atusameh makosa yetu yasiri n yadhahir hakika maneno mazito
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 23 күн бұрын
Mambo ya pete za majini ni ushirikina Allah atunusuru
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 23 күн бұрын
Upo sahihi sekhe, ila Kuna wengii watakupinga na kuyadharau maneno yako, hii kwasababu watu wengi hua tunajali nani kasema. Na sio nini kinasemwa, hii ndo shida ya Waislaam wa zama hizi tunajali watu sio maneno yanayotoka kinywan kwa mtuu
@the-homeboyztv2689
@the-homeboyztv2689 23 күн бұрын
Shida imeingia katika uisilam, mashehe wasababisha kwaku sema wau wanagawa utajiri, baraka kuja ufanyewe dua
@user-nk3dp9cv9c
@user-nk3dp9cv9c 23 күн бұрын
@@the-homeboyztv2689 🤣 Kama ni hivyo umaskin ingekua hakuna ,lkn ni upotoshaji ulotujaa viumbee, mtu hataki aende motion mwenyewe laazim awe na wafuasi
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 23 күн бұрын
Watanzania huwa wanaangalia MTU siyo NENO.
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 18 күн бұрын
Mbona mahubiri. Ya kikristo??? C ubatizwe? Usiwe na miunnngu mingine iila mimi Kutoka 20:1... ..
@allahisone6386
@allahisone6386 18 күн бұрын
​ NIKWELIIIII KBSAAAAAA
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 7 күн бұрын
Manshaallah tabarakallah sheikh Uposahihi allah akujaliye umri mrefu
@user-xb3nf9dq8k
@user-xb3nf9dq8k 22 күн бұрын
Binafsi nimekuelewa sana Allah atufanyie wepesi sote kwa jumla
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 21 күн бұрын
Mungu azirehemu roho ambazo haziwezi kubadilishwa au kuzaliwa mara ya pili Ee Mungu, wasamehe wale ambao tuliishi nao miaka ya kupendeza zaidi na ambao tulihisi tamaa kwao. Ee Mungu, tukusanye pamoja nao katika bustani za neema, Ee Mungu, uwasamehe walio wa thamani zaidi waliotoweka machoni pangu sikia sauti yao. Mungu airehemu kila nafsi inayopendwa na moyo wangu chini ya ardhi Nakula kiapo? idhini ya Mola wangu Mlezi, Ametakasika, na ulitukuze jina Lako, Uso wa Mtukufu, Mungu wangu, namaanisha, Ee Mungu, Ee Mungu, Ee Mungu, Ee Mungu, Ewe Uliye hai, Ewe Uliye hai , Ewe Mwenye nguvu, Mwenye nguvu, Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu, Mwenye kurehemu, katika kutimiza na kuamini kwa kiapo na maagano kwa hakika, agano ni la kuwajibika Mwenyezi Mungu mkiiamini, na mkataba wake mnapofanya mkataba nayo, na mmejifaradhishia nafsi zenu kuwa ni haki kwa yule mliyefunga naye mkataba na mkamuamini, wala msivunje viapo baada ya kuvithibitisha. Basi mkavunja viapo vyenu, na mkavivunjia uwongo, na mkavivunja Wallahi, Hakuvunja ahadi, na kiapo, ni wajibu kutoka kwa Mwenyezi Mungu .Enyi mlioamini, kwa nini mnasema msiyo yatenda? Ishara za mnafiki ni tatu: Na anapoahidi huvunja amana yake, na anapoaminiwa humfanyia khiyana walifanya ahadi na Mwenyezi Mungu, kwani miongoni mwao wapo walio kufa, na waliopoteza maisha yao. Hao ndio wanaongoja, na hawakufanya mabadiliko yoyote, ili Mwenyezi Mungu awalipe.
@hamisisaid-zz2ye
@hamisisaid-zz2ye 20 күн бұрын
Mashallah JazzakAllah kheir sheikh
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 23 күн бұрын
Swadacta sheh nimekuelewa
@NdikumanaAmisdi
@NdikumanaAmisdi 21 күн бұрын
Allaah akujaze kheri Sheikh wetu.
@sakinahassani1455
@sakinahassani1455 9 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah shekh
@Aziza12999
@Aziza12999 5 күн бұрын
Allah atukinge na shirki na washirikina atufishe kwenye Tauhidi
@rizikiali328
@rizikiali328 21 күн бұрын
Huyo shékh mshirikina laana za zimshukie ametudhalilisha waislamu
@Ibrahim-om2lu
@Ibrahim-om2lu 12 күн бұрын
Haifai mtu kumlaani muislamu mwenzake
@aishamumy8402
@aishamumy8402 12 күн бұрын
MashaAllah sheikh wetu,Allah akujalie afya njema na umri wenye kher uweze kutujuza🙏🙏🙏
@HassanGessan
@HassanGessan 23 күн бұрын
maashallah sheikh ALLAH atuhifadhi
@maulideabdala3832
@maulideabdala3832 21 күн бұрын
Masha Allah Safi sana allah atunusuru wote. Kwa mambo ayo
@NassorNassor-p1i
@NassorNassor-p1i 20 күн бұрын
Sahihi sheikh
@AsdASD-xc3sw
@AsdASD-xc3sw 21 күн бұрын
Kabisa 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@Abdoulnibigira
@Abdoulnibigira 19 күн бұрын
Jazzakaallah kher
@GamingLimbe
@GamingLimbe 21 күн бұрын
Mashaallah❤
@user-ds1cy3dc7z
@user-ds1cy3dc7z 16 күн бұрын
Naam 😊Allah akuifadh Shkh Shkrn sana Kwa Dawa 👏🏼
@Jigflou
@Jigflou 16 күн бұрын
Masha Allah, Allah azidi kukupa ujasiri waku kemeya Ayo mambo sheikh 🎉🎉❤
@NoraKedir
@NoraKedir 12 күн бұрын
Barakallah fiki
@KheyriHassani
@KheyriHassani 23 күн бұрын
Sera moja tuu mashekhe wote akuna mabadiriko
@hemedyusuf8835
@hemedyusuf8835 19 күн бұрын
Mtihani wallah Allah atunusuru
@AmadeChafimBacar
@AmadeChafimBacar 20 күн бұрын
Allah te abençoar shekh
@SultanSaid-js9yj
@SultanSaid-js9yj 23 күн бұрын
Shukrani
@destineluna5768
@destineluna5768 20 күн бұрын
Mashaallah shekhe
@user-ws8uk2ip3l
@user-ws8uk2ip3l 6 күн бұрын
Viizuri sana sheikh
@MariamMwamba-lm4oe
@MariamMwamba-lm4oe 6 күн бұрын
Shekhe mola akuafu Kwa kutoa daawa nzuri
@user-qv8uo3bc6o
@user-qv8uo3bc6o 14 күн бұрын
MashaAllah MashaAllah ALLAH HUAKBAR 💯
@ZainabHassan-hz4no
@ZainabHassan-hz4no 19 күн бұрын
Alhamdullah wafundishe hap wanao tupotosha
@MunezeroIsmail
@MunezeroIsmail 19 күн бұрын
Allah atulinde na mitihani hiyo
@ZainabuIrakoze
@ZainabuIrakoze 21 күн бұрын
Allah Akulipe Kwa mawaidha mazuri
@user-ej2hj4zr9y
@user-ej2hj4zr9y 20 күн бұрын
Jazzakaallahu kheri 😂❤
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr 22 күн бұрын
Jazakumllahu kheiran
@ayubumasudi8380
@ayubumasudi8380 21 күн бұрын
Maashallah❤😂😂😂 Tabaraqallah imeenda iyoo😂
@rizikiali328
@rizikiali328 21 күн бұрын
Sheikh unasema kweli na hawa masheke wanao jiita waumni wanafiq hawa waupotoa uislam mpaka wasio waislamu wana tukejeli Allah awaongoze hawa wanaojiita mashekh
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 9 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu na ufunuo zaidi sheikh
@OGONGOMBAMEDI
@OGONGOMBAMEDI 16 сағат бұрын
Maashaallah❤❤
@user-ih4zi8ss9y
@user-ih4zi8ss9y 17 күн бұрын
Masha Allah Tabaraka Allah Jazaka Allah hkeir 🤲
@brianaugust9737
@brianaugust9737 14 күн бұрын
Sheikh, nimekuelewa sana, umenifungua vizur kuhusu pete na uislam, kumbe masheikh wengine wanaupotesha uislam na watu wanakaa kimya, mimi ni mkristo ila nimefurahia sana darasa lako leo
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 7 күн бұрын
Alhamdulilah rab
@user-pg2xj9jd9l
@user-pg2xj9jd9l 6 күн бұрын
Dk Sule. Nimushilkina maana Ana Amini sana pete
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 22 күн бұрын
Hawa wanafiki wameficha kufuru katika miyoo yao ndio mana wanamtangaza sheitwan baada ya kumtangaza allah subhana wataalah
@AthuuSainga
@AthuuSainga 21 күн бұрын
Baaraqallahu fiiqa
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo 21 күн бұрын
allah sw akupekher
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 23 күн бұрын
Bismillah ❤
@user-dv4md3vi5u
@user-dv4md3vi5u 23 күн бұрын
Shukran
@omarynguhwe3961
@omarynguhwe3961 14 күн бұрын
Sheikh umenigusa sana alhamdu li LLAH Rabil Ghalamiiyn
@AmadHassanRashid
@AmadHassanRashid 17 күн бұрын
Allah hatie kherry kwenye helimu na kuwaongoza mashekhe kama haw lnshaalla
@ShemsaKeza-mo8wf
@ShemsaKeza-mo8wf 21 күн бұрын
Allah akulipe kwakufunguwa watu masho
@latifanyari8912
@latifanyari8912 18 күн бұрын
Allah akuhifadhi inshaallah na akujazie kwenye mizani yako siku ya hesabu
@Gaddafi-knight
@Gaddafi-knight 19 күн бұрын
Allahu Akbar
@ShamiraMbululo
@ShamiraMbululo 22 күн бұрын
Allah akulipe
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 23 күн бұрын
Diwani Mbogo Sulyman mnaaasikia hayaaaaa Acheni ushirikina someni dini
@the-homeboyztv2689
@the-homeboyztv2689 23 күн бұрын
Hio ndio shida kubwa limekumba uisilam kwasasa watu waamin mashehe kuliko Allah, mashehe wagawa utajiri, baraka, huu ni ugojwa wakumbwa uisilam ( tafuteni dawa
@Djdiho257
@Djdiho257 17 күн бұрын
Umeongea fact
@salehbahovu9303
@salehbahovu9303 13 күн бұрын
Sheikh yupo sahihi saana, Allah akuihifadhi in shaa Allah… ila naona sheikh na yeye ana pete zake 2 mikono yote miwili 😊
@harerimanaaisha7613
@harerimanaaisha7613 17 күн бұрын
Mansha'Allah Mansha'Allah
@husseinkudra-gp6gp
@husseinkudra-gp6gp 18 күн бұрын
Allah akuhifadhi❤
@ButoyiRukiya
@ButoyiRukiya 18 күн бұрын
Allahu Akbar mawaidha mazuri saana.
@NahimanaMariamu
@NahimanaMariamu 13 күн бұрын
Mansha Allah 🇧🇮
@loner_wolf
@loner_wolf 20 күн бұрын
Dr Sule anatutia aibu sana waislam ...... mungu ktk quran anasema tumuombe yeye na tumtegemee yeye , na yeye ndio anatulinda . Lkn Bro Sule anataka tutegemee pete . Quran haijasema tutegemee pete . Fuckin Sule . Mungu amuongoze aongoke .😢😢
@malikmasoud3190
@malikmasoud3190 20 күн бұрын
Usihukumu kabla ujaukumiwa unaweza kuonyesha mahari ambapo sule amesema tutegemee Pete sio allah
@loner_wolf
@loner_wolf 20 күн бұрын
@@malikmasoud3190 mfuatilie.
@FaridaHamadi-p9d
@FaridaHamadi-p9d 18 күн бұрын
We na we in Amana ujui au unajizima data, ​@@malikmasoud3190
@RévérienDusabe-w8z
@RévérienDusabe-w8z 18 күн бұрын
Allah akulipe kila laheri
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 16 күн бұрын
Mimi na shangaa sana mnajua mtu anajinasibisha naushekh hamumuiti na kumnasihi akiendelea kukaidi mnamuwajibisha kwanini mashekhe wetu mnashindwa kumuonya kwani anababaisha mara mhadhir , muomba dua, mganga na kujifakhalisha kwa vijimali kufanya mambo ya lia. tumejifunza kutoka kwa Allah kupitia kwa Mtume wetu Muhammad na wema walio tangulia kumtegemea Allah lakini akuja mtu mpuuzi hana dalili ilio thibit ya kusemea uislam kama ana hati miliki ya kubadilisha uislamu namnamuangalia tu anaeneza ushirikina kwa kuwapaka mafuta wasio elewa tauhid pete haina jambo lingine zaidi ya pambo tu hamna bahati wala ulinzi vyote hivyo vinatoka kwa Allah Subhanallah Wataala tuamke tumtegemee Allah tuache matapeli wanao jinasibisha na dini yakimchongo mchongo. Allah atuongoze ktk dini yake Shekhe nakumshukulu kwa kuliongelea hilo ila naomba muliongezee kulisema zaidi na zaidi kwani wanaleta uenyeji ktk dini na UISLAM ni SUNNA na SUNNA ndio UISLAM
@baqirmkilindi9369
@baqirmkilindi9369 23 күн бұрын
Soma hiyo ان الله ابى ان يجري الأمور الا باسبابها
@Faharizuckerberg
@Faharizuckerberg 22 күн бұрын
نعم، صحيح أن الله لا يهتم بالمصالح الشخصية
@sirlimomari2633
@sirlimomari2633 19 күн бұрын
نعم، وما قصدك في ذلك
@DjumaIssa-w8v
@DjumaIssa-w8v 8 күн бұрын
Kuna watu hawa elewi kabisaa sikilizeni vizuri Haifaï kumushirikisha Allah nachochote Harizie hilo
@amimwinni4829
@amimwinni4829 18 күн бұрын
ALLAH AKBAR
@keidykudrat2533
@keidykudrat2533 23 күн бұрын
Kweli
@user-yy2rk4wi3p
@user-yy2rk4wi3p 23 күн бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Wambie kbs
@omaar5693
@omaar5693 23 күн бұрын
jibuni kama mwaweza
@FaridaHamadi-p9d
@FaridaHamadi-p9d 18 күн бұрын
Ni kweli, majisifu anawakashifu mashekh wasio na kipato yani daa sio yule wazamini ambae akiingia mskitini itoki saa iz akiingia mskitini watu waondoka aibu sana
@ngendakumanaselemani6722
@ngendakumanaselemani6722 Күн бұрын
❤❤❤❤
@tanvalley7544
@tanvalley7544 3 күн бұрын
Ndoman Sipend ten kumsikia Dr. Sule
@hashiru_bayona
@hashiru_bayona 18 күн бұрын
Jazaaka llahu khaira sheikh, Allah akuhifadhi
@wiseman7133
@wiseman7133 22 күн бұрын
Naam
@ShukranSaidi
@ShukranSaidi 18 күн бұрын
Asant Abdl Shakur Wetu Wape vidongi vyao wa TZ😂😂😂😂
@sulekhan7119
@sulekhan7119 22 күн бұрын
Hapa duniani kama kuna watu niwanafki sana
@AliMsellem
@AliMsellem 22 күн бұрын
Pete km Pete sio haramu wala shiriki ila pete Sasa watu wadanganywa tuu pete haina uwezo wowote
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 22 күн бұрын
Khaswah
@RamadhaniMsukuma
@RamadhaniMsukuma 19 күн бұрын
Nitaipataje namba ya sheikh huyu
@FazilKarim-nm8vd
@FazilKarim-nm8vd 5 күн бұрын
Ninayo anaitwa Abdul shakur
@user-xl3cd6iq2u
@user-xl3cd6iq2u 21 күн бұрын
Maisha yaharaka matokeo nihayo
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 23 күн бұрын
Swadaktana. Umesema kweli.
@aishamukandanga6892
@aishamukandanga6892 11 күн бұрын
Naaam
@amrozwhite1073
@amrozwhite1073 8 күн бұрын
SASA WW SHEIKH NA WW PIA UNAYO PETE TUELEZE PETE ULIOVAA NA YANINI
@drsaeedherbs
@drsaeedherbs 23 күн бұрын
Usiyoyajua wachananayo
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 22 күн бұрын
Kwanza nchekee maana sio kwa dongo hilo
@alphalungele-479
@alphalungele-479 15 күн бұрын
Sasa Dini aikubali?
@iradukundaideale2673
@iradukundaideale2673 10 күн бұрын
Rakini chehe naizo Pete munavara siy o nzuri uzo
@SangoAbdallah-cf2ld
@SangoAbdallah-cf2ld 16 күн бұрын
Sheik pete haina matatizo,na kama inamatatizo? Mbona wewe unavaa? Tena istoshe kama kweeli tupe aya moja tu, Mungu kamkataza nabii suleiman kuvaa, kwa sababu pale ndo palokuwa nguvu fulani na uwezo alowezeshwa na Mungu, sasa kama elimu yako ndogo kaa kimya tu
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 11 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 63 МЛН
VIPI UTAFUGA MAJINI
8:09
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 10 М.
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 76 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН