QUEEN, MKE WA DR MWAKA AMERUDI UKRISTO?? AMETUONESHA NA MPENZI WAKE MPYA.

  Рет қаралды 22,632

THE THIRD TV

THE THIRD TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 47
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Жыл бұрын
Safi sana dada, hamna mtu anaye muacha mazima Bwana YESU, hakuna kbsa, Shalom 🙏🙏🙏
@Sppah697
@Sppah697 Жыл бұрын
Safi sana! Alikuwa ni mkristo sasa karudi ukristo! Safi sana!
@saumsaid1966
@saumsaid1966 Жыл бұрын
Akipata bwana wa kiislqmu anakimbia tena dini.
@Sppah697
@Sppah697 Жыл бұрын
@@saumsaid1966 why not! Mme mwenyewe alikuwa Nacistic! Unamtumia mkeo na watoto uliozaa majeneza! C’mon who does that! What a shame!
@eliyawilliam7394
@eliyawilliam7394 Жыл бұрын
Malaya tu huyo tutasikia mengi sana
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Ni mzuri huyu Quinn
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 11 ай бұрын
Huyu dada ni mzuri. Inawezekana alimvumilia mume wake akashindwa. Na mwaka anajuta maana hiki ni chuma. Mwanamke mrembo na sijui mwaka anashida gani. Mungu alimpa mrembo akawa yeye ni kuoa kila siku. Mwanaume ndio malaya
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Mama umenyonyesha mpaka maziwa yamelala siungetulia na mwaka wako?hao waliokutoa Kwa mwaka utaona watakako kupeleka watakapoona maziwa siyo saa sita
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Huyu Dada ni Muongo Sana mwaka angekuwa hakupi huduma ya watoto ungefika hapo ulipo? Sema umeamua kuvunja ndoa yako kwa Mengine tu ulikula bata sana na Mwaka na huduma ulipata km kawaida
@celestinemwenje9662
@celestinemwenje9662 11 ай бұрын
Mukikuwa Musashi name kwenye ndoa yake na mumewe? Ama sababu kabadilisha dini na kurudi kwenye dini yake ya awali?
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Mtu yeyote anayesapoti mtu huyu kuachana na mume wake ni malaya. Kwasababu mungu anachukia sana kuachana mke na mume.Hata nyie wandishi wa habari mnao pablishi ujinga huu hamuoni habari za kuandika kuhusu matatizo yanayohusu nchi yetu?
@anisanassoro5246
@anisanassoro5246 11 ай бұрын
Hakika ni huruma Sana kwa huyo mama ni mzima sasa wanamaanifu na wavulana wadogo mungu amsaidie inshallah
@khaulayahya4004
@khaulayahya4004 Жыл бұрын
Hakuwa amependa dini ila alipenda mume sasa mume kamuucha karudi kwa dini yake hiyo ni kukosa msimamo thabitii
@Shalom2018
@Shalom2018 Жыл бұрын
Sasa hata kama atarudi dini yake ya mwanzo cha ajabu kitu gani?
@rudiaeliakim2172
@rudiaeliakim2172 Жыл бұрын
unaesema mtoto wa mwenzio ni malaya wewe ni msafi au dhambi umeona hiyo tu wewe umekamilika
@henriettenkuba3240
@henriettenkuba3240 Жыл бұрын
Kwani kuimba nikubadili wimbo
@zuhramwavyoni8400
@zuhramwavyoni8400 Жыл бұрын
Muogope mungu daa usisheze Sheri mapemzi na dini yako😢
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Amen amen ameeeeeeeeeeeeeen hureeeeeeeeeeehuhuuuuuuuYesu ni yule yule jana ht leoooooo
@celestinemwenje9662
@celestinemwenje9662 11 ай бұрын
Dini yake ni mkristo. Kuna hatia gani kurudi alikotoka?
@Sppah697
@Sppah697 Жыл бұрын
Very Good!
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Mwenyewe aliwai sema awezi badili dini tena au ujuwi
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Жыл бұрын
Ngumu sana kurudi kwenye ukristo,kwanza kule alishafungaga ndoa ya kikristo na akaachika,akirudi haruhusiwi Tena kuolewa,Bora abaki uislamuni
@salimuismaily693
@salimuismaily693 Жыл бұрын
Natural Uislam utabaki kuwa Uislam Na Watu watabaki kuwa Watu na Watu Sio Dini Watu wanakufa huyo kutoka Kwenye Uislam haupunguzi hata Nukta Moja ya Uislam ila yeye ndio Atakuwa kapungukiwa
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
Swadakta
@africa7479
@africa7479 Жыл бұрын
wanafiki wooote rudini kwenuu ,hahahaha
@thamani5842
@thamani5842 Жыл бұрын
Ovyoo
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Kama ni mkristo na kama anaijua biblia kuvaa suruali ni dhambi na kujipamba kulikopitiliza ni dhambi
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Жыл бұрын
Malaya hawez kuacha umalaya lazima siku atakumbuka umalaya wake tu huyu nimalaya tena kakubuh sasa kaona nafas hapati yakufanya uchafu wake kaona bola atafute sababu yakusema ananyanyaswa ili aondoke huyu nimalaya na bado mbona memgi tutayaona atavuma miez hii mingap ila siku zinazokuja litakua kama gogo atizame wenzake walikua mastaa kias gani na sasa wako wap
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
Hili Malaya SEMA Dkt, hakulishtukia mapema tuu.!!
@bennamush4616
@bennamush4616 Жыл бұрын
Duh sijapenda kwanza kumbuka amekaa Kwenye ndoa miaka zaidi ya 8 nyie ndo wale mnataka mtu afie kwa mwanaume badae mseme kwanini hakuchkua maamuzi mapema halafu kingine huyu dada yupo kikazi zaidi msichukulie mtu Ivo akikaa bila kazi atayaendeshaje maisha yake afu pia ni mwanamke mrembo asitongozwe kwanini Kwan upwiru wake anaupeleka wapi mwacheni mama wa watu kidog
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Жыл бұрын
Huyu nimalaya tu alifata pesa pale kaona hapat kakimbia kahsba nikahaba tu hata ulifanyeje
@annasolomon9855
@annasolomon9855 9 ай бұрын
​@@swalehemrombo9301makasiriko ya kurudia dini yake poleni😅😅
@mimifineliving2022
@mimifineliving2022 8 ай бұрын
Usiyojua ni Bora kunuamaza kimya. Ulikuwepo kwenye ndoa?
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Kwani mtu kuimba ni shida mke kifipi naatoi matumizi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Mwacheni arudi kwenye dini yake wameshaachana tu hamna jinsi
@salimuismaily693
@salimuismaily693 Жыл бұрын
UISLAM NI KAMA BAHARI Wala Hauruhusu kukaa na uchafu Uchafu lazima utoke wenyewe Nnje ya Bahari
@fatmaabdi7192
@fatmaabdi7192 11 ай бұрын
MOLA humuongoza amtakae
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Kumbe dokta mwaka alikuwa na malaya utafikiri si yeye alokuwa akilia
@nanaritho6850
@nanaritho6850 Жыл бұрын
Ulitaka afanyeje sasa kukufurahisha?
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 Жыл бұрын
Unawezaje kumwita Mwanamke mwenzio malaya acha Matusi
@stellawatison6142
@stellawatison6142 Жыл бұрын
Mmmh nawe umalaya gani apo acha uchawi tupiehe uko
@annasolomon9855
@annasolomon9855 9 ай бұрын
Malaya ni wew makasiriko ya kurudia dini yake 😅
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
😂😂😂❤ mume mwisilamu kamwacha then asubiri nini tena
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Karudi kwenye dini yake hili kuivunja Ndoa yake😂😂 kamkomesha vibaya
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
Anajikomesha mwenyewe Sasa Dkt, mwaka kapungua Nini.!!
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 25 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 206 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /23/ #love
28:53
BabaJoan
Рет қаралды 180 М.