KIKWETE Asimulia WALIVYOGOMEA IKULU kuhamishiwa DODOMA

  Рет қаралды 190,484

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

KIKWETE azungumzia WALIVYOGOMEA IKULU kuhamishiwa DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo anaweka jiwe la msingi la ujenzi wa ikulu mpya ya Chamwino jijini Dodoma, zoezi lililohudhuriwa na marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete sambamba na viongozi wengine wa sasa na wastaafu.
Pia Rais Magufuli amekabidhi ndege aina ya tausi kwa Mama Maria Nyerere, mke wa baba wa taifa, marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete. Wastaafu wote wamezungumza kwenye hafla hiyo, huku mama Maria akiwakilishwa na mwanaye Makongoro Nyerere na kwa pamoja wamemshukuru mheshimiwa rais.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 116
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 3 жыл бұрын
Ulituchelewesha sana Wewe mwanadamu
@karamarwamugema335
@karamarwamugema335 3 жыл бұрын
Maneno tu na kuchekacheka kama fara, wewe ulikuwa mtalii hakuna la maana umefanya licha ya kukuza ufisadi. Mnafiki mkubwa.
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 4 жыл бұрын
Nchi nyingine Maraisi wa Tz hao,kwingine hakuna. Nchi yangu naipenda. Hakuna kama Tanzania
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 жыл бұрын
Nyerere tutakukumbuka daima. Na yule aliyetimiza ndoto ya kuhamia Dodoma, jpm, wengine walizidisha maneno kuliko vitendo.
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 4 жыл бұрын
Ndo maana kunawakati nawaambia bila udketa mambo mengine hayawezekani.Hata maandiko matakatifu yansema mambo mengine hayawezekani ila kwa kufunga na kusali.JPM ameweza kwakuamua bila kushirikisha watu wenye ubinafsi.Unafikiri jambo hili lingepelekwa bungeni,namengine kama ununuzi wa ndege ujenzi wa meri na Reli bwawa la umeme nk vingefanikiwa???Nawaambieni nilazima uwe na msuri wa maamuzi magumu kama Rais JPM ndo unaweza fikia malengo.Nakilichotuchelewesha kuwa na maisha bora kwa wote watanzania ni kila jambo tushirikishane nawanaoshirikishwa niwale wapigaji wenye kugikiria matumbo yao.Ndo maana kwa mambo anayoyafanya JPM kwa wanasiasa anaonekana ni dikteta kwasababu anaamua bila kusubiri maviakao amabayo miaka yote yamefanyika bila kuleta tija.Watanzania wenzangu Tumuunge mkono Raisi wetu JPM.tumpende tumuombee atatufikisha ng'ambo ya mafanikio tutashangilia kama wana wa Israeli walivyoshangilia walipovuka bahari ya shamu.
@raphaeldayos5662
@raphaeldayos5662 4 жыл бұрын
Safii saana international mediator, diplomatic man and international conflict solver bravo kikwete
@josephngoo9776
@josephngoo9776 4 жыл бұрын
Umeongea vzr sana ndg Kikwete
@azizawadh5973
@azizawadh5973 2 жыл бұрын
Yap
@nedkatunge5702
@nedkatunge5702 3 жыл бұрын
Uligomea kuhamia dodoma kwa sababu hukuwa na uwezo huo mwanaumea aliweza licha ya miradi mingi kuwepo
@mrishogange4276
@mrishogange4276 3 жыл бұрын
Umetuchelewesha sana we jamaa
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 3 жыл бұрын
Amekuchelewesha mwl.nyerere mwinyi na mkapa sio jk acha dhuruma
@conradmwingira684
@conradmwingira684 4 жыл бұрын
My Country Tanzania My Mother Tanzania Thank you.
@stevenobillo7100
@stevenobillo7100 4 жыл бұрын
Kikwete umeongea poa sana Rais wetu
@moseschilumba7907
@moseschilumba7907 4 жыл бұрын
Hongera inchi yangu, hongera raisi wangu John Magufuli
@maigechagu7324
@maigechagu7324 4 жыл бұрын
Hongera JPM kwa kutimiza ndoto za mwalimu Nyerere.
@jaredmutego6884
@jaredmutego6884 4 жыл бұрын
hongera sana viongozi wa Tanzania
@amirmahundi3730
@amirmahundi3730 4 жыл бұрын
Naipenda Tanzania naipenda nchi yangu na nawapenda sana marais wangu
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 4 жыл бұрын
Hekima,Umoja na Amani..Mungu ibariki Tanzania na watu wake ...
@juliusmzengaboma9892
@juliusmzengaboma9892 4 жыл бұрын
Mie binafsi nafurahia Historia inavyonijia vizuri. Mwaka 1973 Mwalimu Nyerere alipotangaza Makao Makuu ya Nchi kuhamia Dodoma nilikuwa nasoma Shule ya Msingi Ibihwa Dodoma darasa la tatu. Leo nashukudia utekelezaji kamili na ujenzi wa Makao Makuu Kama alivyotangaza Mwalimu Nyerere. Mungu anipe nini Mie maana nimeyashuhudia yote na sio kwa kusimuliwa. Ni kama Nicodemu alivyoshuhudia uwepo wa Kristo. JPM hoyee kwa utekelezaji. Muwaha John Malecela na wewe ulijitahidi chini ya Mzee Mwinyi kuihamisha Ofisi ya Waziri Mkuu kwenda Dodoma, ingawaje baadae wajanja wakairejesha Dar es Salaam. Mungu ibarika Africa Mungu ibariki Tanzania.
@florianhenry7198
@florianhenry7198 4 жыл бұрын
Ayubu 45:2 nilikuwa nikikusikia kwa masikio Leo hii nakuona kwa macho
@muddymaulid2771
@muddymaulid2771 4 жыл бұрын
Good
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 жыл бұрын
Wale ambao wanajisahaulisha kazi zilizofanywa na Kikwete..."Chuo Kikuu Cha Dodoma" moja ya Kazi zake..kaunganisha mikoa yote kwa barabara za kudumu
@malipulachalamila110
@malipulachalamila110 4 жыл бұрын
nakupenda nchi yangu Tanzania nawapenda marais wote, upendo wenu unamaana kubwa kwetu
@conasmalale1073
@conasmalale1073 4 жыл бұрын
Kwa speech huwa nakuelewa sn kweli ni sauti ya mstaafu
@mpendaomary5705
@mpendaomary5705 4 жыл бұрын
duuu chuma
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 жыл бұрын
Jamani. Mpeni mama janeth mjane wa rais wetu hayati JPM tausi pia. Furaha na faraja kwa mema ya JPM kwa Tz. Mungu tubariki watoto wa Tz
@veronicatweve9015
@veronicatweve9015 3 жыл бұрын
Atapewa tu ngoja "40" imalizike😊
@chrispinemabwenga5187
@chrispinemabwenga5187 4 жыл бұрын
Naisikia lafudhi ya Ridhiwani toka kwa Sauti ya Mzee JK, hongera sana Mzee wetu Mungu azidi kukupa afya pamoja na watangulizi wako, nyie ni majemedari wetu endeleeni kumsaidia Mheshimiwa Rais JPM kwa ushauri ili tusonge mbele kimaendeleo kuelekea Uchumi wa Kati.
@jonathanjocksonmushi9518
@jonathanjocksonmushi9518 4 жыл бұрын
N wapi utaona wastafu Marais na Rais wa awam ya tano JPM wakiwa wamekaa pamoja ni Tanzania utayaona haya idumu Aman tz na Mungu awe Mungu juu ya nch Tz
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 4 жыл бұрын
Wala,!!!!! Wackubezu mzee wangu Raisi msitaafu MRISHO JAKAYA KIKWETE, Ulifanyanya mambo makubwa sana kwa walio wapofu ndo muda wao wa kuona.
@willgabrio8292
@willgabrio8292 4 жыл бұрын
Im proud tanzanian proud to be dodoma tribe
@christophermsabi8184
@christophermsabi8184 4 жыл бұрын
Nikweli unacho sema mweshimiwa kikwete
@lewismpangala927
@lewismpangala927 4 жыл бұрын
Upendo ndo utamaduni wetu
@mechanistzegreat1224
@mechanistzegreat1224 4 жыл бұрын
Well done
@reganfredyringo7432
@reganfredyringo7432 4 жыл бұрын
Watoto wa mama tanzania.marais wangu
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 4 жыл бұрын
Asante kwa chuo baba
@zozohmeed5546
@zozohmeed5546 4 жыл бұрын
Kweli ubinasu ndo kikwazo
@danneismail5442
@danneismail5442 3 жыл бұрын
Rip president John pombe magufuli, hakuna mtu hapa alijua uko karibu kufaa😢
@jazzcellc6563
@jazzcellc6563 4 жыл бұрын
Allah bless you mzee jakaya
@bumbazladas4369
@bumbazladas4369 4 жыл бұрын
MUNGU akulinde na HUSUDA jakaya napenda speech zako
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
Hivi nyie mlikuwa mnashindwaje? Mambo mengi Jpm anayafanya sielewi yalikuwa yanakwama vipi? Thank you God for Jpm he is a Leader
@edwinpaul9930
@edwinpaul9930 4 жыл бұрын
Sidhani kama kuna tofauti yoyote kati ya marais waliopita na wa sasa. Kila mtu alifanya kwa nafasi yake. Mengi anayofanya raisi wa sasa yalianza toka vipindi vilivyo tangulia.
@hijazhija316
@hijazhija316 4 жыл бұрын
Pumzika
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 жыл бұрын
Edwin Paul acha pumba
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 жыл бұрын
Kikwete mwenyewe leo kaongea jinsi mabadiliko makubwa aliyoyaona wakati anapita eneo la Ikulu mpya.. Ama kweli watu wana macho ..lakini ni macho bandia tu.. Hivi kweli jamani .Rais anayejenga reli ya kisasa na bwawa la umeme... Utamfananisha na watangulizi wake kweli ? Aaaa.. Nashukuru bwana.. Macho yangu yanaona. Sijawa kipofu mie
@harriethkinjoli7545
@harriethkinjoli7545 4 жыл бұрын
@@edwinpaul9930 ni kweli kabisa.
@johnkomba2774
@johnkomba2774 4 жыл бұрын
True
@donforexindustry6516
@donforexindustry6516 4 жыл бұрын
Nice baba
@kazungukakiyo8560
@kazungukakiyo8560 4 жыл бұрын
Mbiiyuuu;:mbiiyuu yamugambo ikilia ina jambo.Kweli Jpm your laegersy are the dreams of the founder JULIUS MWALIMU KABARAGE NYERERE.weldone.Ukisema tuende wote nituende hakuna kubaki nyuma chapa kazi.
@mansurfadhil3749
@mansurfadhil3749 4 жыл бұрын
Best naso wanawake wabay
@janviersentama2437
@janviersentama2437 3 жыл бұрын
Mzee Kikwete safi sana.
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Mungu awabariki Wastaafu wote kwa mliyoyatendea nchi hii. Mungu awajalie afya njema na muendelee kushirikiana na watakaotawala mkiwa hai.
@ismailahmed5133
@ismailahmed5133 4 жыл бұрын
Nimependa kilicho fanyika,,😍😍
@meshackjelad8345
@meshackjelad8345 4 жыл бұрын
Video mbon mbovu ase
@yahyajuma8793
@yahyajuma8793 4 жыл бұрын
i love it
@stevenmwaiko801
@stevenmwaiko801 4 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana JK kuweka wazi hatua ilivyokwenda... kuna aliesema amekuta li nchi la hovyo hakuna kilichofanyika
@festobosco6642
@festobosco6642 2 жыл бұрын
munafiki uyoooooooo
@fredkyara3278
@fredkyara3278 3 жыл бұрын
Jakaya kama unakachuk na kawivu ivi?🤔
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 3 жыл бұрын
Amefanya makubwa sana mzee huyu inshort magu na jk ni viongozi bora kabisa wa maisha yangu tumuombe mungu bi samia nae awe zaidi ya hawa
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
Anao asa ananikaza tu
@malikiorybajuta9830
@malikiorybajuta9830 4 жыл бұрын
JPM amefany kazi Ila amekwama tu kutotoa ajira Ila kwngine kote yupo vzr
@kombomwazini7748
@kombomwazini7748 4 жыл бұрын
Nice
@isayakilangi5888
@isayakilangi5888 4 жыл бұрын
My dad my sun my father my presdent nakupendaga Sana JK
@josephngoo9776
@josephngoo9776 4 жыл бұрын
Huzeeki !!
@nameiztv7870
@nameiztv7870 4 жыл бұрын
Jakaya
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 4 жыл бұрын
Mstaafu
@samkivuyo9385
@samkivuyo9385 3 жыл бұрын
Napenda Tanzania xna coz ni nchi ya amani kabixa
@dostovan5142
@dostovan5142 3 жыл бұрын
Jk was a good politician
@saisaikalyasi5998
@saisaikalyasi5998 4 жыл бұрын
Kikwete umemfanyia nn Mungu, mbona huzeeki
@anoldjose7793
@anoldjose7793 4 жыл бұрын
😂😂😂
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 4 жыл бұрын
Kuishi ni watu vizuri brother!! Ukiwapenda watu na ukaishi nao vizuri, Mungu anakubariki kwenye mambo mengi
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 жыл бұрын
Pinda nae kazeek vibaya
@aprgg
@aprgg 4 жыл бұрын
Achoke amefanya kazi gani???????
@kazembally6032
@kazembally6032 4 жыл бұрын
hana roho mbaya ndyo maana azeeki
@josephmpiluka6381
@josephmpiluka6381 4 жыл бұрын
Mmh
@laziertipay7463
@laziertipay7463 4 жыл бұрын
do we have double white house now coz naona kama Dar bado inatumika
@selijusgasper1274
@selijusgasper1274 3 жыл бұрын
Tunakukumbuka sana jakaya
@jamalnahdi5984
@jamalnahdi5984 3 жыл бұрын
Ukimtoa mwinyi anafata kikwete,, ishi maisha marefu
@maxamedsaalax7194
@maxamedsaalax7194 4 жыл бұрын
Ft. F fry
@fatmakhamis580
@fatmakhamis580 4 жыл бұрын
Kalale pema mkapa
@veronicatweve9015
@veronicatweve9015 3 жыл бұрын
Na Magufuli pia😭😭🙏
@ismailahmed5133
@ismailahmed5133 4 жыл бұрын
Ubinafsi uliwakwamisha nchi moja mnataka kuanza kuvutana ndomana mlikuwa mnakwama,,🤔
@gracepeter2391
@gracepeter2391 4 жыл бұрын
I lv Tanzania
@salumsalum8261
@salumsalum8261 Жыл бұрын
Muuwaji anasema nakuombea kwa mungu akupe maisha uje kukata utepe......for sure he has something to do with his death
@bedamassawe8107
@bedamassawe8107 4 жыл бұрын
Katikati ni singida sio dodomaa
@lewismpangala927
@lewismpangala927 4 жыл бұрын
Wasingida wanakula punda
@sele2507
@sele2507 4 жыл бұрын
Ni sindiga pamoja na dodoma
@andrewjohn2404
@andrewjohn2404 4 жыл бұрын
Singida Ingekuwaa Tanganyika Sawa Lakini Kumbuk Zanzibar pia Ni tz Iliyopo feat vzr kutoka Zanzibar mpak kigoma Ni Dodoma Umenielewa nafkilii
@daudhenry6212
@daudhenry6212 4 жыл бұрын
Tubadili katiba wastaaaf waruhusiwe kurudia kuwania urais
@habibabandru9174
@habibabandru9174 4 жыл бұрын
Lbd wabadili katiba jpm aendeleee, sio huyo mwenye IPTL
@mohamedmotte1519
@mohamedmotte1519 4 жыл бұрын
Mhe. Rais mstafu Jk usituache kwa ushauri ili tuweze songa mbele.
@habibabandru9174
@habibabandru9174 4 жыл бұрын
@@mohamedmotte1519 alishindwa kutuendeleza happy zamani ataweza leo? Wakati kipindupindu kinatumaliza Leo kipo wapi maji bwena. Lbd mrudie kupishana hewani huku wanainchi wanatabika. Kikwete gogo
@habibabandru9174
@habibabandru9174 4 жыл бұрын
@Humphrey Msengi kunywa maji machafu
@michaeltito971
@michaeltito971 4 жыл бұрын
Acha mawazo mgando
@stevenobillo7100
@stevenobillo7100 4 жыл бұрын
Kikwete umeongea poa sana Rais wetu
@rajabkhaji7826
@rajabkhaji7826 4 жыл бұрын
Nice
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 4 ай бұрын
Ni ujinga kutoa ndege kwa mjane alitaka nn.h
UTAPENDA: MBWEMBWE ZA MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE SHEREHE ZA UHURU MWANZA
12:00
Global TV Online
Рет қаралды 1,1 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 101 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 26 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 22 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 17 МЛН
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,1 МЛН
JK Asimulia  Mkapa Alivyotangazwa Mshindi
7:43
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 61 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 101 МЛН