Namkubali xana Jaffo,Namuomba Yaarab amuongoze zaid.
@charlesmwambinga43552 күн бұрын
Hongera Sana Mama Mh Samia Raisi wetu , Jafo atatufaa sana...eneo la Viwanda na Biashara
@amohammed33902 күн бұрын
Dar kunataka kujengwa shopping complex 4 au zaidi zitoshe
@jedidahbintidaudi82413 күн бұрын
Mh Jafo, you need to be innovative- mbunifu. haya anayosema Mama ni sawa kabisa ila isiwe unataka tuu kupokea kutoka kwake ya utekelezaji na wewe jiongeze..go ouit there and think what needs to be done then act accordingly. this is now your ministry, sit down with your subordinates and draw done a plan come up with tactics and strategies, divide amongst yurselves these tasks. You also need to involve enterprenuers for more ideas and w/nchi in general. you will be very successful..Jafo, our nation has a huge expectation from yu man!!!
@Dottosumun2 күн бұрын
Safi sana samia kwakumuamini jafo
@JaphetKilimba-zo2izКүн бұрын
Asante mama kwakumvalisha kiatu selemani jaffo kiatusaiziake
@kakawamashariki89783 күн бұрын
Pongezi kwako mh. raisi Samia, kumbe! ukimya wako ni wa kimkakati yaani unapima na kufuatilia yote yanayojiri ili upate mzizi ambao ndiyo suruhu ya tatizo husika. Hakika ' Mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache' yaani baadhi ya wateuliwa wanaonyesha unyenyekevu usiyo kifani siku ya uapisho baada ya hapo business as usual.
@ANYELWISYEGODWIN2 күн бұрын
Huyu jamaa hawezi mwangusha mama!!!
@jedidahbintidaudi82413 күн бұрын
tunaomba pia masoko mengine yote nchini mama..waziri Jafo awe benet na TRA pia...kodi kubwa
@richkaja33172 күн бұрын
Mama kumbe viongozi wako unawajua vizuri tumbua majipu acha huruma
@stedeteam5316 сағат бұрын
AHSANTE SANA MAMA KIUKWELI MIE BINAFSI NNAMKUBALI JAFO IN SHAAA ALLLAAAH NNAMUOMBA ALLLAAAH AMTANGULIE
@richardnott44032 күн бұрын
Hapo sawa naunga mkono wasajiliwe kama alivyo fanya jpm
@user-cz7bd9tc5k3 күн бұрын
Mama Hapo ume sema kweli na huo ndio ukweli Wenyewe Nime kubariki sana
@ImaculathaMasuka2 сағат бұрын
Mama uko vizur.Mimi nakupenda mama.
@paulokateme76152 күн бұрын
Nakushukuru mno bi mkubwa kwa kukubali kwamba ipo tofauti kati ya Mwanaume na mwanamke. Na vile vile mrekebishie Profesional wa uchumi atamwangusha.
@Optionxll_Playz12 күн бұрын
Kalikoo zingekuwa kama tatu hivi au 4 Dar ni kubwa sana wekeni mtandao mzuri simjifunze Rwanda wanavyofanya .
@iddiabdallah73522 күн бұрын
😱🫣tumezoea maneno mazuri mama km haya je wanaopewa majukumu km hayo kwenda kutenda utendaji sahihi wote tuwe satisfy na maisha yaende,nimependa kila miezi 3 au week 3 km nimechanganya hapo maana tofauti na hapo ndio inaleta kutoelewana 🙏🏿☝️🤲
@Dottosumun2 күн бұрын
Piya mludishe silinde tamisemi
@amohammed33902 күн бұрын
Hapa Dar inataka kujengwa shopping centres kama 4 ili zitosheleze hmahitaji. Kariakoo jengo tokea mkoloni. Ni kufumba macho na kujenga shopping centres Dar kwanza kisha mikoa mengine. Rais wasaidizi wake hawamshauri vizuri kama hawajatembea nje ya nchi.
@NhonokaStephano2 күн бұрын
Nimemwelewa rais
@user-qg1iy5ov3u3 күн бұрын
Mikopo kwenye ap ya mitandaoni inatuumiza ni zaidi ya kausha damu tusaidie
@jumanneselemani21722 күн бұрын
NAJIVUNIA KUWA NA RAIS SAMIA.UPO VZR MAMA TUNAKUPENDA.
@user-ze6lx9ng6s2 күн бұрын
Miezi mitatu si unahalalisha ufisadi wewe mama, wananchi tunaumia na ufisadi wako, RIP JPM
@zacharianjanga2 күн бұрын
Hongera mama yetu kipenzi
@user-qg1iy5ov3u3 күн бұрын
Mikopo ya mitandaoni inatudhalilisha sana tusaidie mheshimiwa rais
@rayisadesigns26462 күн бұрын
😂😂😂 hao jamaa hawafai hata kidogo, ukichelewa tu kuwalipa wanakutangaza mwizi na tapeli ktk mitandao na kuwatumia msg watu wote waliokuwa kwenye namba yako ya simu uliyowapa. Kuna jamaa mmoja walimfanyia hivyo akataka kuwapeleka mahakamani walimharibia heshima yake yote kwa shilingi elfu 30 tu. Jamaa hawana subira hata kidogo, kiufupi hayo ni magenge ya wezi tu 😂😂😂😂😂
@yonakisarangata460819 сағат бұрын
Acha kukopa, Kam utak kudhalilishwa
@AleiHadji-js3ed2 күн бұрын
Mama ni kweli kuna Kazi mwanamke Heshma Lazima ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@zobakazizi76372 күн бұрын
Hakuna dample za kisasa Jafo amefailisha taifa. Serikali inashindwa nini kujenga dample kusaidia kuondoa uchafu mitaani?