RAIS SAMIA ATAJA SABABU ZA KUMWONDOA BOSS TRA "UHUNI WOTE WA TRA UMEFANYWA NA WEWE, MLIKUWA MNAIBA"

  Рет қаралды 45,589

Uhondo TV

Uhondo TV

9 күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 180
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 16 сағат бұрын
Ungemtumbua waziri wa fedha ingekua vzr sana maana watanzania tunalalamika ila bado yupo tu daa
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 16 сағат бұрын
Nchi ikikosa kiongozi ni hatari sana!
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 16 сағат бұрын
Mama Samia ukweli ni kwamba kulipa kodi hatuna shida, tatizo kodi zetu za Tz ni za juu mno, zinatuumiza sana
@geey7893
@geey7893 12 сағат бұрын
sjawahi kusikia speech ya hivi kutoka kwa raisi wa nchi ndugu zangu.kazi tunayo
@elisharenatus9351
@elisharenatus9351 14 сағат бұрын
Sema Rais ni mlalamikaji sana juu wezi badala ya kuchukua hatua ya kuwatumbua very sad
@elioimer8423
@elioimer8423 14 сағат бұрын
Kama mama Anasema mnaiba , kwa nini wasistakiwe. Nchi ya ajabu sana.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 16 сағат бұрын
Watu wanaiba kama hakuna serikali. Watu wanateseka, bunge limetekwa. Wananchi wanaotetea Mali za wanatanzania wanaambiwa wabebe Mizigo yawo watóke bungeni, utafikiri bunge ni la watu binafsi. Uwongo juu ya uwongo. Wabunge wote wakianza kutowa hoja zawo wanamushukuru Mwenyezi Mungu kisha wanamushukuru Rais. Rais amekuwa Mungu wa pili. huku hawatetei haki.. Wenye akiri zetu tunajuwa hizi ni sifa za uwongowa. Wanayoyasema pembeni wanajuwa wenyewe.. Wanaosema ukweli na watetezi wa haki wanafukuzwa bungeni. Haki iko wapi?
@gm003
@gm003 14 сағат бұрын
Mtu anaeiba anawezaje kupewa kazi ingine???
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 14 сағат бұрын
Kama unajua walikuwa wanaiba mbona huwachukulii hatua!!
@gm003
@gm003 14 сағат бұрын
Kutokopa mama Abdul kunawezekana, PUNGUZA ZIGO LA MATUMIZI YA SERIKALI...mashangingi na mianya ya kupotea kwa pesa za walipakodi, kupitia watendaji wa serikali...na hii kazi ccm haimuwezi.
@justinemsela3593
@justinemsela3593 16 сағат бұрын
Mh rais wetu Samia, kwann watu au taasisi zinazotajwa na CAG kufuja pesa za uma hawachukuliwi hatua za kisheria na kiwajibishwa
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 16 сағат бұрын
Mwizi anakaa mesa Moja na muheshimiwa! Mwizi.....nani analinda raia na Mali zao? Nani anapambana na kuzuia rushwa?
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 16 сағат бұрын
Mchoma picha ya raisi yupo sero ilihali wezi na mafisadi wanaachwa tu kwa kubembelezwabembelezwa! Tanzania na vichekesho vya viongozi wetu.
@gm003
@gm003 14 сағат бұрын
Mama Abdul, unafurahisha, Kidata jizi, sasa ndo MSHAURI WAKO WA KODI, haaa Watz kweli sisi ni mafala, ilibifi tuingie mitaani jana na sio kesho, ccm wanatuchezea!!
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 16 сағат бұрын
Professor anasema tunakopa sababu sisi matajiri. Mama hiyo kauli Mh Mwigulu alikuwa atumbuliwe. Ukweli ni kwamba mapato hayaridhishi. Mama matumizi yasiyo ya lazima yapungue. Nashangaa waziri wa fedha halipi kipaumbele. Ripoti ya CAG zinaonyesha pesa nyingi inapotea kwa uzembe wa wafanyakazi. Napendekeza tuwe na sheria kali dhidi ya ubadhirifu wa mali ya umma.
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 16 сағат бұрын
Hivi vyeo vya kupeana vina tabu sana.Mtu anaharibu hapa anapelekwa pale.
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 16 сағат бұрын
Mama naomba uwe serious na watz
@MATIKO9640
@MATIKO9640 14 сағат бұрын
Katiba ya nchi yetu hakika ilitudhurumu haki yetu ya msingi ya kupiga kura, kumchagua kiongozi takwa letu sisi wananchi na sio takwa la katiba ya zamani ambayo haina hata mchango wa mawazo yetu sisi kama raia wa sasa tunaongozwa, huko ni kutuburuza, kutulazimisha kukubali maamuzi ambayo hatukushiriki, Dah!. hayati rais wa Iran alipofariki kwa ajali, uchaguzi ukaitishwa ili kupata rais wa wananchi, na hivyo ndivyo inavyotakiwa hata katiba iwe,makamu wa rais hatumchagui sisi, inakuwaje then anakuwa rais na hatujamchagua? au mimi ndo sielewi, basi mnisaidie mawazo.
@PeterNMzee
@PeterNMzee 14 сағат бұрын
Nasikia kichefu2
@htx1873
@htx1873 12 сағат бұрын
Fisi anapelekwa kwenye mifupa halafu tunaexpect asile mifupa , jamani hivini ni kweli ? 🥴🥴🥴 Time will Tell !!!
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН