Makonda ni kiongozi anaetakiwa kuigwa na viongozi wenzake, BIG UP MAKONDA.
@KaujuMwakajumbaАй бұрын
Huyu makonda ni Nabii ...kikubwa zaidi mungu akutangulie mheshimiwa makonda ♥️♥️♥️♥️🙏
@user-dt7ec3tr2vАй бұрын
Cjui niseme nini jamani ubarikiwe sanaa mkuu🙏🙏🙏🙏
@jackmabirangacharles9398Ай бұрын
Mungu Akubariki Mheshimiwa Makonda Najiuliza Wakuu wa Mikoa Wengine wanashindwa vipi? Kujipanga au Hawana Marafiki kama Makonda
@user-qy4bg4qj9zАй бұрын
Mungu akuzidishie zaidi UTEKELEZAJI wa kazi zako mdogo wangu
@DanielChalya-zo6mpАй бұрын
Big up makonda
@EliaMarcoАй бұрын
Safi sana kamanda
@mohamedimuhinga9064Ай бұрын
Hi huduma ingetolewa nchi nzima ingetusaidia sana duh!!
@daudimusoma3337Ай бұрын
Kweli unasitahili kuchukiwa na wenye wivu na
@ADIMUSALUMU-ko6zpАй бұрын
Makonda chukua nch unafaa mheshimiwa
@nicodemashaggite8429Ай бұрын
MAKONDA, Makonda, sijui niseme nn Kwa ajili Yako lakini Mungu anakuona🙏🙏🙏
@mohammedmdangwe2056Ай бұрын
mama samia ukiondoka mwachie nchi huyu makonda nchi itakuwa salama mrudishie uenezi 2025 uzoe kula
@machujamathias7165Ай бұрын
Una sitahili kuwa RAISI
@barakajonas3209Ай бұрын
❤❤
@kingaziomari4211Ай бұрын
Ndugu zangu kijana huyo sauti inakauka kwakutetea wanyonge mungu amlinde
@renatusgasembe3338Ай бұрын
mussa tufikishe kanani
@uziasinkamba7380Ай бұрын
Tunaomba na kwetu songwe tusaidiane
@vincentmhoro1952Ай бұрын
Ni mpango na ni ubunifu mzuri sana. Swali: NI ENDELEVU ??
@usafiaps318Ай бұрын
Hii Ni Aibu Kwa Taifa Letu.Serikali Yetu Ikubali Tu Kwamba Haipo Kwa Masilahi Ya Wananchi Bali Kwa Ajili Ya Matumbo Yao.Ukweli Makonda Tunamshukuru Kwa Kuiumbua Serikali Ya CCM.
@kingaziomari4211Ай бұрын
Hangera mama kwakumuunga mkono makonda nakurazangu zote kwako
@IsmailMatolaАй бұрын
Mhe makonda usitegemee kama utapenda na wanaojifanya nnchi ii yao kuanzia mawazili manaibu wao makatibu wakuu wakuu wa idala awowote ni wezi tupu na awafai kuwa viongozi wetu ila wewe wewe makonda nibonge la kiongozi nasio wakuigwa tu bali ni wamfano na ukiona unamchukia makonda wewe ni mwizi aijalishi wewe ni mstaafu au nani nyinyi wezi atuwataki muwepo apa duniani
@nelsonnyamleАй бұрын
NCHI HII WAGONJWA WAPO ALIPO MAKONDA TU MIKOA MINGINE HAWAPO NDIYO MAANA FEDHA ZIMEPELEKWA HUKO TU