GARI YA POLISI KITONGOJI CHAO MUIMU KIONGOZI MAKONDA ❤
@lunangabenjamin3121Ай бұрын
Kuzeeka ni mumbile nimeamini sasa watoto 11 nabado unavutiya nilikuwa nafikiri mwanamke akizaa sana ndo uzeeka mapema kumbe niogo wawanawake wengi,sio taka kuzaa.
@user-gx4gt2pe4wАй бұрын
Jamani mh makonda kongole sanah yaani unavyoweza kuwabana kwa maswali wanaishia kutetemeka na kushindwa kujieleza kwa sababu wenyewe hawako vizuri kiutendaji
@eliamwankenja7087Ай бұрын
Nakupenda sana
@patrickmathiasnsalanga3401Ай бұрын
Makonda ni kiongozi
@ElneySheddy-is1dvАй бұрын
Hivi makonda kwann tusimuite raisi japo nimkuu wamkoa jamani kama kunamtu mwenyemaono yakuona makonda anafaa kuitwa raisiwetu kabra gonga raiki👊💪🙏🤝
@alzawahirabdallah229918 күн бұрын
Labda awe padri tumpe kanisa
@davidmalisa8043Ай бұрын
Makonda unaona majibu ya huyo mkuria ndio tunavyotishiwa anasema mm naerewa unataka kunifundisha Kaz
@JuliusHatariАй бұрын
Duh miaka 30 watoto 11 , aiseee ,sema ni mbaraka hongera dada MUNGU atakusaidia
@glorymungure7740Ай бұрын
Police wana siasa sana
@AnnaMinja-zp7tiАй бұрын
Makonda mtetezi wetu wanyonge
@mohamedomari6129Ай бұрын
Askari msaidizi wa wezi
@khamisali597827 күн бұрын
Hii nchi watendajii wengi hawafanyi kz ipasavyo,ndo mn akitokea mtu km Mh Makonda ndo unaliona hilo.
@sandalakabalo5442Ай бұрын
Safi sana kadada
@user-tr9wd5kf7iАй бұрын
Bigup mh makonda
@kutailass6671Ай бұрын
😂😂😂😂😂sijui ata kilicho nichekesha, sijui kutoa mimba najua kuzaa Duu na kweli
@khamisswaleheАй бұрын
weww tutakupa kura gombea tu
@stefanomasolwa897921 күн бұрын
Makonda ni Magufuli kabisa 100%❤❤❤
@davidmalisa8043Ай бұрын
Hao jamaa wanatuonea Sana police we acha tu
@thomastemu3332Ай бұрын
Hao polisi waondoke hapo
@mohamedomari6129Ай бұрын
IGP bado kama nchi haina.
@OmanOman-dn6djАй бұрын
Afande kajichanganya😂😂😂
@user-jx9xc6vo9x22 күн бұрын
Pole
@user-yl2br2ts3iАй бұрын
5/10 paka 20
@BOYKAJONATHAN243Ай бұрын
Makonda I love you 💞 kutoka congo DRC
@philemornmutta1597Ай бұрын
Nawapongeza wanchi wastaarabu vinginevyo angekuwa amebadilishiwa jina
@RashidaRashida-sy9kp20 күн бұрын
Asimwi
@alexjackson5960Ай бұрын
Makonda hiyo Sasa sio spana ni vise 😅😅😅😅
@temuramadhani5134Ай бұрын
Polisi wars rushwa
@davidmalisa8043Ай бұрын
Mwananchiii hoyeee
@khamisswaleheАй бұрын
Allah anatutetea sana wanadamu wake lakin sisi ni bure kabisa
@subo266724 күн бұрын
"mengine sio ya kwenye mic" Nimeelewa sana hii kauli
@Jal210Ай бұрын
IGP haupo sawa kama siro
@mcgabbyАй бұрын
Hivi ni yupiii mbona simjui hata😂😂😂
@kwzjkwz3532Ай бұрын
huyu police wa kwanza huyu
@OscarRabison26 күн бұрын
Huyo wocd amejificha,atafichuliwa tu
@user-yk5gm5qj4uАй бұрын
Huyo askari zero
@stefanomasolwa897921 күн бұрын
Askari mla Rushwa huyu Askari hana lolote
@JUU-lw2jeАй бұрын
Ila jaman kesi nyingine hata sio za kuleta kwa makonda eti hadi kesi za wizi mnashindwa kusolve hadi mzilete kwa makonda lack of seriousness!!!!
@moimojamojanakupacongolera7257Ай бұрын
Bro mwenye watoto natoa 200000
@happymrema7487Ай бұрын
Naomba hiyo laki mbil mimi nao Tisa sin mume
@barikimollel7890Ай бұрын
Barikiwa
@lawrencegwerino1656Ай бұрын
Huyo asikali hafai fukuza kazi..
@kwzjkwz3532Ай бұрын
Exactly
@kwzjkwz3532Ай бұрын
exactly
@user-yk5gm5qj4uАй бұрын
Hamna polisi hapo
@zidinayusuphyusuphАй бұрын
Tungepata makonda 7 nchi Tanzania ingenyookaj
@alzawahirabdallah229918 күн бұрын
Samia 2 tu nchi ingenyooka
@user-ew7xd1xu3s10 күн бұрын
Hatawatatu tu wangetunyoshea
@OmanOman-dn6djАй бұрын
Makonda Anatakiwa Kuwa WAZIRI WA ULINZI NA USALAMA
@imeldasamwel53926 күн бұрын
😂😂😂😂😂police oyee
@AishaHussein-en3wf28 күн бұрын
Makonda hawa walinzi shirikishi,wasimamiwe juu ya mishahara yao,wanateseka juu ya malipo yao,wanalinda mwezi ukifika kulipwa iyo laki ni shuhuli,naomba siku muamue kila mkoa mufanye vikao na walinzi shirikishi akiamungu wakuu mtalia tunaona mitaani naomba msilipuuzie muwatafute muwasikikilize awana pa kusemea
@haronbakora7156Ай бұрын
Huyo mwizi kumalisana naye ni rahisi, maalizia yeye Kwa kumtia moto na tyres na petrol case finished
@ErnestNgaire23 күн бұрын
Eeer kama Kule kenya😅😅😅
@haronbakora715623 күн бұрын
@@ErnestNgaire kabisa
@user-xg5xs7rb2yАй бұрын
Nakonda nakupa nafasi ya rais kbc
@alumonkisinda4574Ай бұрын
piga spana hao bila kujali shingoni humo
@nyerere1259Ай бұрын
Kuanzia sekunde 12:52 kama umeelewa ww ni mcuba kabisaa wengine endelezeni blabla uyo mwizi kwisha habar yake.
@ilynpayne7491Ай бұрын
Watanzania maskini sana😢😢 1:06 ame zaa vipi watoto 11😂😂
@mwizaluchiba6264Ай бұрын
hajui kutoa ndomaana amezaa hao 11😅
@godfreybeatus8396Ай бұрын
Baraka huna bahati round hii hutoboi
@YusuphMwangobolaАй бұрын
Toa pereka vijijini leta wengine hapo.
@user-qo6qv6mc5p20 күн бұрын
Rais wa wanyonge
@esterswai9454Ай бұрын
Hiv watu hapo ni usiku au
@user-qt8vu1zk1tАй бұрын
Tumekaa hapo adi saambili
@esterswai9454Ай бұрын
@@user-qt8vu1zk1t polen
@angellomarcel5677Ай бұрын
Duh huyu Dada...asee watoto 11 in 30 yrs..? Hivi hao Police wanajielewa kweli..? RC PIGA CHINI hamna ASKARI hapo..Mmeishapata Information..alafu mnambwela tu.
@camilomassao897122 күн бұрын
39
@temuramadhani5134Ай бұрын
Anafakua raisi
@RachelMgimba-ge4jhАй бұрын
shida ni baraka na cio ulinzishilikishi
@alexrwezaula8857Ай бұрын
Uyo dogo kafa awaulize alivo kua mkuu wa mkoa dar vishandu waliisha uyo dogo mzee wake andae sehemu ya kuzika
@geey7893Ай бұрын
😂😂😂Hajui, huyo wamuandae Mchungaji kama ni mkiristo😂
@kwzjkwz3532Ай бұрын
hata mimi ningeagiza apotezwe
@onesmolwambano9349Ай бұрын
Mpaka hapo baraka kasha .......... malizia😂😂😂😂
@aminielimushi8709Ай бұрын
Atakuwa mirongo kwa mbele na mia
@loner_wolf20 күн бұрын
Kiongozi wa polisi hamna kitu , unaongea habari ya shirikishi wakati wewe ni polisi 😅...... inamaana polisi hawatoshi na jeshi la polisi ni dhaifu ? Ni ujinga sana kutoa visababu vingine vya kijinga.
@davidmalisa8043Ай бұрын
Mi naerewa
@sabatoelia31221 күн бұрын
😅
@BarakaWaziri-oj3uc20 күн бұрын
Makonda ni mwamba Tena endeleza kaxi yako mwamba we ni noma mzee
@user-xk7vy4gb6gАй бұрын
@angellomarce hujasikia vizur wamesema ana miaka 39