SHEKH ABBAS AWALIPUA WANAOWAHUDUMIA WATU HIJJA AIOMBA SERIKALI IINGILIE KATI NIMEVUMILIA NIMECHOKA

  Рет қаралды 1,624

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

26 күн бұрын

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Пікірлер: 10
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 20 күн бұрын
Allah akulipe kheri nyingi sana
@user-qd2tp2mb5l
@user-qd2tp2mb5l 20 күн бұрын
Mashaa'Allah ukweli humuweka mtu huru Allah akuhifadhi
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 20 күн бұрын
Allah atakulida kwa kusema kweli Allahumma Amiin yaarabiby
@shersaid7988
@shersaid7988 24 күн бұрын
Allah atakulipa sheikh Abbas kwa kusema madhaifu msema kweli mpenzi wa Mungu ubarikiwe
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 24 күн бұрын
Ukweli mtupu shekh Abasi
@ummya3996
@ummya3996 23 күн бұрын
Ndio maana Rwanda mwaka jana kiongozi wao wa hijah aliporudi kutoka hijah alifikia jela kwa service mbaya walipewa mahujaji
@hamynas
@hamynas 24 күн бұрын
HILI LA MINA LIMENIKUTA MIMI MWAKA JANA HUYU SHEIKH KAONGEA MANENO YOOTE NI SAHIHI KABISA YAANI KASEMA KWELI KWELI TUPU MINA HAMNA STARA KABISA
@froma3732
@froma3732 23 күн бұрын
Hapo kuna kula hlf Wanasema wanawakilisha Wa Islam wape vidonge vyao
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 24 күн бұрын
Abas umeongea kitu kizuri sanaa hii tunapigwa pesa nyingi halafu tuna kaa kimya
@hamynas
@hamynas 24 күн бұрын
MINA NI SEHEMU NGUMU SAANA KATIKA HIJA NA UKICHUKULIA MNAKAA SIKU TATU MAHITAJI NI MACHACHE SAANA
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 32 МЛН
KUUWAWA KWA MJUKUU WA MTUME (HUSSEIN) -  PART ONE
33:27
Al Hijra Video Production
Рет қаралды 4,7 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 88 М.
DR SULE - MAAJABU YA NABII MUSSA KWA FIRAUN- MUENDELEZO HUU
28:39
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 15 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН