USTADH SHAFI AWASISIMUA WAISLAM MASJID MTOROJIJINI DAR NA HOAJA ZAKE TATA KWA WAKRISTO.

  Рет қаралды 258,708

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

3 жыл бұрын

Пікірлер: 230
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
Shafi mwanangu nakupenda sana kwa ajli ya ALLAH na hio duaa ulioiomba ni haswaa....nawaombea IKHLASW na wepesi kwa kila munalolidhamiria...mwenye enzi mungu awafanyie wepesi hp duniani na kesho akhira...amiin
@SsAa-by2ty
@SsAa-by2ty 3 жыл бұрын
Masha allah nawapenda sana kwa kazi ya mmiliki wa viumbe Allah awape muongozo mwema imsha allah
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mbZhbKxj0avPn30.html
@AziziRajabu-mv8jz
@AziziRajabu-mv8jz Ай бұрын
Mashaallah mashekhe zetu Allah awape umri mrefu
@omanbarka2053
@omanbarka2053 3 жыл бұрын
Waallah leo patakua hapatoshi Allah awasimamie katika kazi zenu mnazo fanya tena hata mimi imefurahi sana kwenda kufanya dibeti shafi,mazinge,nawakubali wahadhili wetu kapungua doctor sulle
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Allah awape afya na maisha marefu wahadhiri wetu. Muwe live basi sisi wa mbali tuone.
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 жыл бұрын
Amiin allahumma amiin
@user-os9ul5iu5y
@user-os9ul5iu5y 3 жыл бұрын
Amin yarabi
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mbZhbKxj0avPn30.html
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 3 жыл бұрын
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar! Maneno yenye tamu nyingi na msisimko sanjari na burudani ya kutosha toka kwa Ostadh Shaffi. Wallah huwa napata raha na ilmu ya aina yake kila nikimsikiliza Shaffi na Mazinge. Allah Awalipe pepo,In Shaa Allah!
@MakataWaMakatani
@MakataWaMakatani 3 ай бұрын
Yaani mashAllah tabarakallah nafurahi sana kuona hawa magwiji wako pamoja ❤ alhamdulilah ALLAHU AKBAR
@user-ud1rb5ck1d
@user-ud1rb5ck1d 11 ай бұрын
Mashaallah MASHEKHE, zetu ALLAAH,awahifadhi AMIN🙏🙏✨🌙
@mosesliboston5437
@mosesliboston5437 3 жыл бұрын
Mashaallah mungu amtilie wepesi amiin amiin amiin
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
Shekhe Shafi uko vizuri sana. porojo zako zina amsha amsha ya kutosha.
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 жыл бұрын
Mashaalllah ALLAH awalinde mashekh wetuu kwa kazi nzuri ya kuitangaza dini ya ALLAH
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 2 жыл бұрын
Amiin
@zayanaduduna1405
@zayanaduduna1405 3 жыл бұрын
ALLAHUMMA AMIN YA RABBI 🤲🤲🤲🇧🇮🇧🇮🇧🇮🕋🕋🕋🇸🇦🇸🇦
@abdulbogoyo1243
@abdulbogoyo1243 3 жыл бұрын
Kwa kweli Shekh Shafi unatuvunja mbavu kwa kicheko : lakini ndiyo hali halisi ilivyo.
@nijimbereasia6381
@nijimbereasia6381 3 жыл бұрын
Naam sheikh shafi wambie ukwelikabsa na Allah akupe kiralakher shafiwetu upewe umlimulefu na Allah subhanahu wataallah
@MisangaNassoro
@MisangaNassoro 3 ай бұрын
Nimeipenda hiyo inshallah kura ilimladi kushiba
@alisaidi7477
@alisaidi7477 3 жыл бұрын
Allaah Allah... wallah inabidi tubadilikeeee sisi waislam... kutoa ndy dini....
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 7 ай бұрын
Mashegh hawa hawana majungu kwa waislamu wenzao..kazi yao dawa kusonga mbele…ila wengine kazi yao kubwa kuwaradi wenzao tu!! Kama wao ndio dini wameishusha 😢
@kingilazaro344
@kingilazaro344 3 жыл бұрын
Hahahaa mash Allah ma sheikh zetu,Allah awalinde na awajaalie umri in shaa Allah
@user-nr1bf7iu8z
@user-nr1bf7iu8z 3 жыл бұрын
walaikum msalam warahatullahi wabarakatuh. MashaAllah MashaAllah. Jazzakh Allahukum mashehe mungu awaongoze
@mdoekibai5063
@mdoekibai5063 2 жыл бұрын
Allah Awape kherinyingi duniani nakesho akhera inshallah
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
MashaAllah tabarakallah huyo ndie SHAFIH...
@jumakhamis226
@jumakhamis226 2 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh Shafii
@jumakhamis226
@jumakhamis226 2 жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh shafii
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Wallahi mpaka nalia kwa maneno ya Sheikh Shafiiy Wallahi nalia maneno makali. Wallahi Waislamu laiti wangeyasikiliza maneno na kuyatia akilini wangelia Msikiti mzima.
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mbZhbKxj0avPn30.html
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Mashallah shekh Shafii
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Mashallah Allah 💕
@rubenijhonisamelo5796
@rubenijhonisamelo5796 3 жыл бұрын
Nawapenda sana ,dini ya haki
@ElkanoTadicha-pw1cj
@ElkanoTadicha-pw1cj Жыл бұрын
Shekh shafi tembea Kenya tafadhali
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 3 жыл бұрын
Insha allah allah atufanyie wepess hio Siku kanisa loote liingie ktk uislam
@nailahsaeed837
@nailahsaeed837 Жыл бұрын
Mashallah shekh shafi Allah Barik
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
penda sana wahadhiri wetu maashaallah maashaallah
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mbZhbKxj0avPn30.html
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 3 жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Shukraan Sana jazaka Allah khaira
@rilkabuya6519
@rilkabuya6519 3 жыл бұрын
Mashaallah tabarak allah
@davidharerimana1383
@davidharerimana1383 2 жыл бұрын
Nimimi Hassani Burundi Bujumbura USTA DH mwenyezimungu pekeyake
@davidharerimana1383
@davidharerimana1383 2 жыл бұрын
USTA DH SHAFI Hatunacakukuripa mwenyezimungu pekeyake
@ibraimodinodino828
@ibraimodinodino828 3 жыл бұрын
Incha allah
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 2 жыл бұрын
Amina Yarab alamin
@officialsaddmfalme5381
@officialsaddmfalme5381 3 жыл бұрын
Jamani mlete cd ya iyo siku uku kenya penda nyinyi sanah
@abdoulamisi6104
@abdoulamisi6104 Жыл бұрын
Barakallahu fiykum
@alhabshyhautah408
@alhabshyhautah408 16 күн бұрын
Aamin
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 2 жыл бұрын
Allahu maswali alaalih MUHMAD walaalih Muhamed kamaswa atayta alaalih ibrahmu
@abdulazizmohamed2805
@abdulazizmohamed2805 2 жыл бұрын
Tuwashuru Sana wahaziri na tuwaombea duwa kwa mwenzi mungu hawaongoze katika dini ya haki
@mohdshebe5640
@mohdshebe5640 3 жыл бұрын
Ustadhi bwana pesa shetanii wee Allah atufanyie wepesi
@hafsaali7976
@hafsaali7976 3 жыл бұрын
Amiin Amiin🙏
@ramamambosupesupa3724
@ramamambosupesupa3724 3 жыл бұрын
Amin
@swariotibi6134
@swariotibi6134 Жыл бұрын
Mshaallah tabarika allah
@aligmoha9015
@aligmoha9015 2 жыл бұрын
Subuanah allah
@SaidiLubuvadu
@SaidiLubuvadu 2 жыл бұрын
mashaalah
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kwakuwa mimi muislam
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 2 жыл бұрын
Alhamdulillah
@gharibislam1586
@gharibislam1586 3 жыл бұрын
Toa japo ni kidogo, wallahi weww ukitoa waona ni kidogo lakini mbele ya ALLAH ni kikubwa
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 жыл бұрын
Swadakta maneno yako
@gharibislam1586
@gharibislam1586 3 жыл бұрын
@@sabraabdilnasir8826 sasa mbona wajibu hivyo?kuna kitu kimekuudhi kwa comment?
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Swallallahu alayhi wasallam
@kailaniddi2984
@kailaniddi2984 Жыл бұрын
,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲dini yakweri uyisiramu1√
@HassanAli-lt4xm
@HassanAli-lt4xm 2 жыл бұрын
Shafi mashallah
@adijaamur962
@adijaamur962 3 жыл бұрын
Ukampa pepo 😍😍😍😍😍
@hamishemed6663
@hamishemed6663 3 жыл бұрын
Allah awape nguvu
@babumsiha1573
@babumsiha1573 2 жыл бұрын
Mashallah
@mahmudumsuya3831
@mahmudumsuya3831 Жыл бұрын
MWENYEZIMUNGU awajaalie wahathiri awakinge na Kila baya
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 3 жыл бұрын
Twasbri hio kazi sana masheikh wetu
@daudetjaymaoneo989
@daudetjaymaoneo989 2 жыл бұрын
Allah Akbar
@jumamussa9413
@jumamussa9413 2 жыл бұрын
Kweli
@rehemakei8155
@rehemakei8155 3 жыл бұрын
Mashaallah sauti inanikimbusha kipindi cha ngaliba na kawemba jamani mpe huyoooo
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
Allah awarehem
@onikagabriel5451
@onikagabriel5451 3 жыл бұрын
Allahu Akbar
@dullahdimba8423
@dullahdimba8423 2 жыл бұрын
Shafe unajua sana
@chambalemuddy6406
@chambalemuddy6406 Жыл бұрын
Amen
@nurudinehamimu5658
@nurudinehamimu5658 3 жыл бұрын
Kwa team hiii makafili hawachomoki nakwambia uislam dio dini.
@ramadhanimasudi6904
@ramadhanimasudi6904 Жыл бұрын
Al'hamdul'LLAH...
@saidisudi8668
@saidisudi8668 2 жыл бұрын
حياك الله
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojli
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 жыл бұрын
Tatizo matajiri wengi utajiri wao si wa halali ndy maana wanakua wazito kuchangi maana pesa ya haramu kidini haina faida mbele ya ALLAH imani zao za uongo
@issajuma3346
@issajuma3346 3 жыл бұрын
subhnllh
@alisaidi7477
@alisaidi7477 3 жыл бұрын
Itakuwa live ???
@maryamawadhawadh182
@maryamawadhawadh182 3 жыл бұрын
Shekh unakubalika
@hafidhothman4588
@hafidhothman4588 2 жыл бұрын
Walllah nimecheka kuanzia usiku mpaka asubuhi
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. We have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven.
@mymussept3662
@mymussept3662 3 жыл бұрын
Baada ya kufuatilia watoa mada wa pande zote mbili naona kila upande unaposoma aya za mwingine husoma nusu na kuifanya maana ionekane tofauti na mbaya zaidi wengi wanakoment hawafuatili jambo hili katika yote kila mtu aamini anachokiamini Na hapa mm nasema Yesu kristo ndie njia kweli na uzima inatosha
@sephania8085
@sephania8085 2 жыл бұрын
Subir Moto ukakuchome
@kamalmukaddam1297
@kamalmukaddam1297 3 жыл бұрын
MashaaAllah
@jumasalum2677
@jumasalum2677 3 жыл бұрын
Shafffiiiiii acha tu
@aliyunusu6629
@aliyunusu6629 3 жыл бұрын
Tusije tukachomwa kanisani kama museveni alivio choma wafasi wakanisani Mmoja kule Uganda
@aliyunusu6629
@aliyunusu6629 3 жыл бұрын
Jamini isije ikawa mpango yakutumalizia ma sheikh's wetu
@khaliphamajid270
@khaliphamajid270 3 жыл бұрын
Ukimuamini MwenyeEzMungu kwa dhati humuogopi binadam ,Majini,mashetani na yeyeto isipokuwa Allah tu
@abdillaahirichardkasisi8691
@abdillaahirichardkasisi8691 3 жыл бұрын
Waislam atujielewi kabisa nawambiwa live waislam wengi awajui thaman ya uislam uwa nawashangaa Sanaa kama mtu anaslimu kama hana Imam basi anaeza Rudi alipo toka waislam ni kichwa cha mwenda wazimu
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Jamani Sulle hayupo! Kaogopa atasanifika,
@officialsaddmfalme5381
@officialsaddmfalme5381 3 жыл бұрын
Leo inapeperushwa wapi jamani nataka kuitazama lakini
@aminahajiahh298
@aminahajiahh298 3 жыл бұрын
Mai zumo
@sadyrajabu9318
@sadyrajabu9318 3 жыл бұрын
Asalam alaikum minilikua nauliza muislamu akiritadi hakuna atua zinazo takiwa kufatwa kabla yakumuua
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 жыл бұрын
Ucunguuu wa Islam
@olisecharo6128
@olisecharo6128 3 жыл бұрын
pure comedy
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
😂😂😂 unayoyaongeya nikweli kabisa
@HassanAli-lt4xm
@HassanAli-lt4xm 3 жыл бұрын
Sheikh shaffi tosha
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Sawa unamuiga dr sule
@jamesdavid4977
@jamesdavid4977 3 жыл бұрын
Mikwara hatutaki kaka majibu ya sabato mwanzo 2:1-3 hapo kuna EGW
@husseinkiruta1712
@husseinkiruta1712 3 жыл бұрын
5:15 kumbukumbu la torat Musa anapewa asali sabato atakumbuka alikuwa mtumwa nnchini misir .Sasa wew ulikuwa mtumwa wapi ?
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 жыл бұрын
Siku wislam tukiacha majungu mbona tuta fika mbali sana, maana kinacho tuponza wislam ni uchunguzi yaani tunakuwaga na uchunguzi sana panapo tokea swala la kuchangisha mchango 😃😃😃😃🙌🏃
@edriansmith5809
@edriansmith5809 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😢😢 shafi
@razosramadhani4788
@razosramadhani4788 5 ай бұрын
We pepuni 😂😂😂😂
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 жыл бұрын
Itakua live channel gan
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 жыл бұрын
Au online TV gan
@alimbarouk9353
@alimbarouk9353 3 жыл бұрын
kishki tv
@daudibomani1940
@daudibomani1940 Жыл бұрын
Kwenye pesa Hapo hahaha
@allylwanda7872
@allylwanda7872 Жыл бұрын
Masheik wapiga dili hawa
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 2 жыл бұрын
Sisi hatutembei na mapepo
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Mmeboa Kama nn mshidwa kua live
@alimbarouk9353
@alimbarouk9353 3 жыл бұрын
live ipo shekh
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
@@alimbarouk9353 chaneli gani Jamanii wako live Mie ni Ukhty mwanaisha pls nitajie chaneki
@alimbarouk9353
@alimbarouk9353 3 жыл бұрын
@@mwanahamis5487 kishki tv
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
@@alimbarouk9353 hakuna mhadhara live kwenye Chanel ya kishik
@alimbarouk9353
@alimbarouk9353 3 жыл бұрын
@@mwanahamis5487 wametangaza wenyewe na mm nilikuwepo mskitini jana wamesema kishki katoa msaada wa gari nzima la kishki tv na litaonesha live kongamano lote sasa kama wewe ulikuwepo mskitini na hikuskia ivo basi mi sina maneno
@abuuibniyusufu4620
@abuuibniyusufu4620 2 жыл бұрын
Pia nyinyi tumieni mali zenu
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,9 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 478 М.
USTADHI SHAFII USO KWA USO NA MCH. NDACHA KISA SABATO NA MAJINI
35:59
UTAFURAHI SHEIKH SHAFI ALIVYO KUTANA NA WAHUNI WAKATI WA KUZIKA
10:05
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 68 М.
SHEIKH OTHMAN MAALIM HISTORIA YA VITA VYA BADRI NA USHINDI WA VITA HIVYO.
3:01:22
QIYAMA KIPO Na Tutaulizwa Tuliitumia vipi Dunia. Ust. Shafi Shomari
29:51
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,9 МЛН