😂😂😂😂MAMA lulu anatapika siri zote. Aibuuu ndo mana lulu kilkua kihuni kilvokua kidogo,. Mama ni kichwa akiwa sie ni janga nzito la family
@Tiffany3407 ай бұрын
Apo kwenye kutoa siri za ndani akilewa,ni janga la kitaifa mi mwenyewe limenitokea kuna mtu akipata glass tu ya kilevi basi ya ndani hakuna siri tena ,zooote nje 😂😂😂..
@uwimana65337 ай бұрын
😂😂😂😂
@merinakassembe1184 ай бұрын
Sasa si muhaya
@hanifamziray2777 ай бұрын
Jamani anamtia lulu aibu boda tena khaaaaa
@marianajoseph18927 ай бұрын
Amnunulie pombe amuwekee ndani. Lulu mtunze mama yako, mpe pesa. Mama ni mama, aolewe , mama aolewe huyo mama
@dignakanje45087 ай бұрын
Ndio shida yawahaya majivuno yte yko kwao.
@mariamomary77587 ай бұрын
Aendelee tu kupigwa miti co shida zetu
@wambuimedia7 ай бұрын
😂😂😂😂💔🙌
@mariamomary77587 ай бұрын
@@wambuimedia eeeeh aendelee tu saa tusemaje jmn , watu tunasak pesa tutimize majukum ye zee Zima anazichezea pesa kwa kwend kulewa aendelee tu wanauhakika hao wenzetu
@maryamm77657 ай бұрын
😂😂😂
@merinakassembe1187 ай бұрын
Bodaboda ana gari
@merinakassembe1187 ай бұрын
AzIMA SI MUHAYA
@AfricaQueen7 ай бұрын
Mwacheniiii aleweeee kalea mwanae wamepitia mengi Na mwanae 🤔Wacheni uzushiiii Na Wacheni Maroho Mabaya si uchi wake mnakereka Niniiiii 😏Kula Maisha Mamaaa maisha Mafupiii wasema sanaaa🥳🥳🥳🥳🥳