No video

TAHARUKI ARUSHA MWILI WAKUTWA KWENYE TENKI KUBWA,WANAFUNZI WAONDOLEWA SHULENI,POLISI WAUCHUKUA MWILI

  Рет қаралды 39,595

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le Ай бұрын
Millad unafaa kupewa tunzo kaka unafanya kazi nzur xana
@happinessmchome9101
@happinessmchome9101 Ай бұрын
Hakuna kitu kibaya kama msongo wa mawazo, sikia tu isikukute jaman. Poleni sana kwa wafiwa Mungu mwaminifu awarie nguvu aki, Na haha watu amazon sio waongeaji sana alooo. Mungu atusaidie tu.
@fellyvoicetv4433
@fellyvoicetv4433 Ай бұрын
Aiseee Ayo Tv now ofisi zenu zihamie Arusha taarifa zote zinapatikana Arusha😅
@elibarikikivuyo5946
@elibarikikivuyo5946 Ай бұрын
Wakwanza lakini umeandika utumbo😢😢
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs Ай бұрын
Kuna taarifa kibao kweny Kila mkoa SEMA wanabez arusha na dar ndo shida Iko apo
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
​@@Officialjidaa-sn9csacha uongo ww mbona Dar hatusikii matukio ya ajabu km huko Arusha!? Waandishi wapo kila mkoa sema huko Arusha, Geita, Njombe ndio mna matukio ya kutisha
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Ай бұрын
​@@Officialjidaa-sn9csarusha kuna matukio mengi zaidi by nature. Kipindi naishi Arusha mitaa nayotoka Kila siku Kuna tukio linatokea ila nilipokuja dar kuishi nakaa hata mwez sjaona tukio lolote ktk mtaa nayoishi
@davidmarik4633
@davidmarik4633 Ай бұрын
Nakumbuka kuna company moja tulikuwa tunafanya kazi siku mmoja kuna dogo alienda kuangalia kwenye Tank kama kuna maji bahat mbaya aliteleza kazama ndan na kulikuwa na maji ni kama MUNGU tuu nilikuwa napita naona miguu inacheza kwa haraka nikaenda kumuokoa na nikaita watu tulifanikiwa Kwahyo uwezi juwa labda Situation ilivyo kuwa ila nimeshuudia yanatokea R.I.P apumzike kwa Amani
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch Ай бұрын
Msongo wa mawazo jaman tusiwape watu stress tuish na watu vizur Mungu atusaidie
@marthamushi9390
@marthamushi9390 Ай бұрын
Mh! Sasa wanafunzi na watu wengine hapo si walikuwa wanakunywa hayo maji dah!😢
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 Ай бұрын
Karibuni Arusha. Kila siku tukio
@momosaid6193
@momosaid6193 Ай бұрын
Arusha jaman 😢😢 Allah ampe kauli thaabit
@joycekaje8755
@joycekaje8755 Ай бұрын
Walimwuwa na kumdumbukuza ndani bwana,
@linahtairo1859
@linahtairo1859 Ай бұрын
Inawezekana kabisa Mungu ndo anajua
@joycekalago532
@joycekalago532 Ай бұрын
Wamemsukumia humo tu wasitupange sisi😢😢watalipwa na Mungu
@Laizer3
@Laizer3 Ай бұрын
Mawazo mabaya ,stress mbaya mnaweza kujua ni jini lakini ni stress .
@emmanuelelisha3948
@emmanuelelisha3948 Ай бұрын
Sasa hilo tank si watu walikuwa wanakunywa hayo maji au hata kuogea duh
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Arusha tena
@PetrolinaSipriani
@PetrolinaSipriani Ай бұрын
Dah polen sana
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Wakat nwingine hizi shule binafsi zina mambo mengi.
@lamarkiwingu4160
@lamarkiwingu4160 Ай бұрын
Kesi hy mlinzi mwenzake ndio wa kujibu vizuri isije ikawa hamemtumbukiza😀
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 Ай бұрын
Kabisa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
🤔🤔au alijitumbukiza ? Mmh tumuachie mungu 😢😢😢apumzike kwa amani 😢
@mariumseif6751
@mariumseif6751 Ай бұрын
rusha asil8mia 90 wana roho. mbaya hawaoni asala kuuwa wako kama south africa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Makonda pole kaka aisee
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Nilijuwa tu ni washenzi wa Arusha
@JumaGendeye-sv6yl
@JumaGendeye-sv6yl Ай бұрын
Jamn poren sana Rip
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 Ай бұрын
jamani deo amefariki nilivo mezoea sana jamani😢 nawaona majirani zangu poleni sana
@Lewistofficial-kc7mw
@Lewistofficial-kc7mw Ай бұрын
Maisha yanachangia
@user-ft6ps7gx9j
@user-ft6ps7gx9j Ай бұрын
Arusha Arusha Arusha Kuna nini jmn😢😢
@marygracemsigwa5757
@marygracemsigwa5757 Ай бұрын
Arusha sijui Kuna mapepo...kila siku matukio
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
Suspect no 1 ni mlinzi. RIP 😊
@user-zw9mi8fn3w
@user-zw9mi8fn3w Ай бұрын
Huyo marehem ndo mlinz mwenyewe
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Arusha tumlundie mungu
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Ай бұрын
Sasa alijitumbukiza mwenyewe kwenye hilo tanki au mmmh jamani hatari sana
@mariumseif6751
@mariumseif6751 Ай бұрын
Yaani hata sojui tusemeje labda alipanda kuchungulia akatanguliza kichwa kwa bahati mbaya akashindwa kugeuka ndio akafariki
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 Ай бұрын
Poleni wafiwa lkn kwa wale tuliofanya kazi za mabomba na kusafisha hayo matenk mtakubaliana na mimi kwamba marehemu maji yalimzidi na joto kali la ndani ya tenki ikapelekea kukosa hewa akatutangulia.
@HelenaMasele-ug3hi
@HelenaMasele-ug3hi Ай бұрын
Poleni Sana
@apaelmbise635
@apaelmbise635 Ай бұрын
Chuga 😢
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t 27 күн бұрын
inalihi wainalilah rajiuni
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
Arusha, Njombe na Geita zinahitaji dua
@LamarOmary
@LamarOmary Ай бұрын
Jamani arusha khaaa
@RICHARDMAMKWE
@RICHARDMAMKWE Ай бұрын
R. I.P
@devotabashome1090
@devotabashome1090 Ай бұрын
Hili Arusha mna nini jamani
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc Ай бұрын
Arusha😢😢😢
@sadikingitu
@sadikingitu Ай бұрын
There is something sospicious
@WilliamSamwel-vh5op
@WilliamSamwel-vh5op Ай бұрын
Poleni sana
@joycegodfrey4683
@joycegodfrey4683 Ай бұрын
Jamani Arusha kuna nini😢
@user-hz8un6sm4p
@user-hz8un6sm4p Ай бұрын
Hivi Arusha ndio sodoma au😢😢
@vannyk-jz7tf
@vannyk-jz7tf Ай бұрын
Nawe usichekeshe watu apaaa 😅ka mazuri jamani
@babuudullahmunisi4753
@babuudullahmunisi4753 Ай бұрын
Innalillah wainna illah rajuun
@user-zw9mi8fn3w
@user-zw9mi8fn3w Ай бұрын
Arusha kuna nn aisee.
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 Ай бұрын
Yan arush matukio tu kila siku
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 Ай бұрын
Huyo mlinzi abanwe aulizwe vizuri anajua nini kimefanyika kwanini anasema alikuwa anaangaika, pia kwanini awaze haraka kwenye tanki
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Ай бұрын
Kha
@LamarOmary
@LamarOmary Ай бұрын
Pwent Kamaa auna d2 uezielewa
@user-hh7df4mq1j
@user-hh7df4mq1j Ай бұрын
Utakuta kuna mtu alimtupia humo amuwezi jua
@ruthjapheth174
@ruthjapheth174 Ай бұрын
Msongo wa mawazoo huo jaman
@InocentPius
@InocentPius Ай бұрын
Kila siku arusha
@leonardobedi4779
@leonardobedi4779 Ай бұрын
hakuna kupoa.. km sio taarifa nzur basi mbaya nayo utaipata😂😢
@LamarOmary
@LamarOmary Ай бұрын
Iyondochugaa ayo inabidi ujenge arusha
@bahatibushiri1610
@bahatibushiri1610 Ай бұрын
Arusha lakini
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Hapo kwanza waangalie vizuri inawezekana kuna wizi umefanywa alafu kaona apoteze ushahidi na hao walio fanya njama wote, kwanini kawaza kwenye tank na kwanini anasema jana alikuwa anakosa utulivu, ?
@nasrachaya
@nasrachaya Ай бұрын
Kwan hujasikiliza vizur c wamesema inasemekn walikosan na mke alimuachia watoto akaondka
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
@@nasrachaya nikusikilize nawewe basi
@CotridaKigwile-d6p
@CotridaKigwile-d6p Ай бұрын
Mh
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n Ай бұрын
Arusha kila siku inanikumbusha miaka ile ya kwa wakulya..
@babuudullahmunisi4753
@babuudullahmunisi4753 Ай бұрын
Msongo wa mawazo
@JullianaBoaz
@JullianaBoaz Ай бұрын
😢😢😢
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 Ай бұрын
alafu huyo deo ni kaka yake na mwenye hiyo shule
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
IMPOSSIBLE! Giant SNAKE Lay Eggs Hunters Saving Girl | MIKE FISHING
11:32
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН